hii comedy mmeirudia, mliigizaga enzi zenu zile joti alikuwa kama babu aliyefiwa. whole script mmeirudia. sema niliipenda sana ile ya babu joti, alibakishiwa shilingi mia😂😂. afu bonge anaharibu, anatujulisha mwisho wa comedy tokea mwanzo, inapunguza uhondo,,,,angejifanya hajui kitakachotokea
Kama mmekumbuka hii idea wameirudia ile ya miaka kama minne iliyopita ambapo joti alikua Amefiwa na mtoto wake alikua ni HR hakuna kitu kipya zaidi ya wameongeza watu tu ila hii wameshaifanya
Msiwe watu wakuvunja moy et mama bonge hajui kueni watu wa kujenga sanaa ni mpangilio sasa we unasem hajui wkt scene inamtak acheze uhusika uo watien moyo cio kusem ajuh
Hapa issue ni script ndio inataka asiongee ongee sana vitu vya mbeleni ambavyo ndio lengo la script kuigiza ni kuendana na script na sio uhalisia mnaousema hapa
@@dr.peterofficial6390 poleee Sanaa mzee,usichokijuwaa wewe maandishii anapomchoraa msanii kwenye maandishii lazma ajue nataka awe Kama Nani kwenye jamiii husika coz,haijalishii script inasemaje but script lazma hiakisii uhalisia wa jamii husika so kutokana na script mama ameweza kufikisha ujumbe kwa uhalisia wa wamama wetu uswahilinii wanaopenda kuropoka ropoka upoo mzee Big up kwa Mam etu kaweza kuvaa character yake vyemaa
Wazee zibeni masikio pamba hao wanao coment pumba waseme wamecheka au hawajacheka!? Kazi nzuri sana wakuu hingereni kwa kazi zenu zenye ubora wa hali ya juu sana, na hii ni zaidi ya commedy🙌🏽🙌🏽 Nawakubari sana you make everyone’s day na tunawaunga mkono. Hao wanao comment pumba ndo viewers wazuri sana na wamesubscribe for next episodes😂😂😂
Mko vizuri katika kazi hii, ila kurudia mchezo unahitaji ubunifu ili hadhira hata akifahamu aone mchezo ni kama mpya. Nje ya ubunifu mzuri inaonyesha mchezo wa mwanzo kuwa mzuri kuliko ule wa kuboresha. Tupokee maoni na tuyaingize kazini.
Masanja na kukubari sana ila hii kazi ya kuigiza waachie2 kina mpoki ww nimchungaji Kwa Sasa so anzisha maisha yakibiashara2 uwe boss MCH sio mizaha kama hii sawasawa na zabur1;1_3
mama lmma kama co ww vile umetupia balaa..haaahaaahaaahaaa nakukubali sana mama lmma
Bonge nakupenda sana na unajua Sana kuigiza kpenz
Safi sana
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 NYIE woote mnatisha sanaaaa. Hongereni Sana.
chat.whatsapp.com/IosOSDc5aBPDyEwCoBpKvR
Mmetisha mnoo uhusika wa mke wa mpoki Kaua mnoo ametiisha mnoo
Jamii ina watu kama hawa lakini hatuwaelewi tunawaona kama wanakiherehere
Umeongea vyema sana
@@ChekeshaTv pamojaaaa sanaa
Ila Ambao hawaijui Sanaa wataona anaropoka wakati huo Ni uhusika wake
Ni kweli kabisa
😂😂😂😂 mpoki ndio unawatwisha viti jamani nakuwamwagia maji maji
😅😅😅😅mnaweza sana wote mko mzuri
Comedians wa uhakika Big up sana kwenu...Mmmetisha sana
Huyo bonge anachefua sana
Nimecheka sana😅😂😂😂😂
Kijiji bila ya wazee ni uhuni,🎉❤
Huyooo bonge anajuwa sana
mpoki nimekupenda bure unajuaa saannnn masanja on fire
Mzee chalamila😂😂😂
Mpoki et watu wamekula maharage matupu😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂ujue wakuvanga ni miayusho sana Tena namkubaligi akikasirika 😂😂😂😂😂
Kiujumla wte mmetisha kwel wakongwe kazini😂😂
Na majji wakamwagiwa
Masanja nakukubali sana😂😂😂😂😂
Hahahahah, Wapuuzi sana Nyie😀
chat.whatsapp.com/IosOSDc5aBPDyEwCoBpKvR
Mm nashauli na Mboneke awepo kwenye hili kundi mtanishkuru😅
Mnawezaa aiseeee🏆🙌😂
chat.whatsapp.com/IosOSDc5aBPDyEwCoBpKvR
Mpoki mpuuz sana et halaf watu wa mjini wakilia machozi huyaoni yanavilia ndani kwa ndani 😂😂
Dada bonge hana experience na hii kazi.pls mpeni madin kwenye mozoezin
chat.whatsapp.com/IosOSDc5aBPDyEwCoBpKvR
Tatizo! Mlichanganya siasa na kazi zenu za usanii! Poleni!
chat.whatsapp.com/IosOSDc5aBPDyEwCoBpKvR
Hehee... masanja na mpoki wote taira...😂😂😂
chat.whatsapp.com/IosOSDc5aBPDyEwCoBpKvR
Ile ya mwanzo mkiwa na Joti ndiyo nzuriii
chat.whatsapp.com/IosOSDc5aBPDyEwCoBpKvR
Kijana naona hii tuitoe 😂😂😂😂
Huyo mama amezidi kihelehele hajui kuigiza
Nimecheka sana mbavu zangu
hii comedy mmeirudia, mliigizaga enzi zenu zile joti alikuwa kama babu aliyefiwa. whole script mmeirudia. sema niliipenda sana ile ya babu joti, alibakishiwa shilingi mia😂😂. afu bonge anaharibu, anatujulisha mwisho wa comedy tokea mwanzo, inapunguza uhondo,,,,angejifanya hajui kitakachotokea
Waache warudie kwani ww unazurika wap cheka tena
@@Amirmgunya-pt2zm hii ya sahiv haichekeshi sasa.....bora ata wewe unachekesha😂😂
Ima ame anza kazi yake🤣🤣
😂😂😂ila mpoku
🤣🤣🤣🤣wapuuzi kweli nyie
Huyo mama bonge achaneni nae anaharibu show
Wanyonyadamuuuu😂😂
chat.whatsapp.com/IosOSDc5aBPDyEwCoBpKvR
Mpoki kumbe Mariooo😂
Hhhhhhhhhhhhh huu msiba umekua double impact
chat.whatsapp.com/IosOSDc5aBPDyEwCoBpKvR
Hela ni noma 😂😂😂
Sifuli baba😃😃😃
Chalamila na bajwahuka wapi na wapi sasa😂
Unakopa kwenye hela ya MAREHEM😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
Sikuhizi mmeishiwa kabisa, sasa hivi kuna damu changa wanafanya vizuri sana.
Umeshasema damu changa sisi ni Wakongwe
Hela ya kampuni😂😂
Kama mmekumbuka hii idea wameirudia ile ya miaka kama minne iliyopita ambapo joti alikua Amefiwa na mtoto wake alikua ni HR hakuna kitu kipya zaidi ya wameongeza watu tu ila hii wameshaifanya
So?
chat.whatsapp.com/IosOSDc5aBPDyEwCoBpKvR
@@TimilaiGugachat.whatsapp.com/IosOSDc5aBPDyEwCoBpKvR
huwa naitafuta youtube ile na siipati,,,, inaitwa mchanganuo wa rambirambi
Masanja Naona unabonga Kiha Mwakeye.
NYiE mnaosema dada bonge hajuiii kuigiza mkaigizeee NYiE bc😊😊
chat.whatsapp.com/IosOSDc5aBPDyEwCoBpKvR
Hiko alichoongea sio kiingereza kabisa 😂
chat.whatsapp.com/IosOSDc5aBPDyEwCoBpKvR
Mbona mnarudia jaman au mmeishiwa mana nawafatilia mda mlefu hh mlisha ifanya kuchanganua
Msiwe watu wakuvunja moy et mama bonge hajui kueni watu wa kujenga sanaa ni mpangilio sasa we unasem hajui wkt scene inamtak acheze uhusika uo watien moyo cio kusem ajuh
Uyo bonge mwambieni atulie basi
Sifuri baba. Hahahahaha😂
Wazee wa mila na destuli
Hawa wanaosema mama hajuii kuigizaa hawajuii nini maana ya uigizajii tena huyo mana kaigiza ualisia kabisa kutokana na uhusikaa aliopewa
Umekua positive safiii
Ni kweli kabisa.
Hapa issue ni script ndio inataka asiongee ongee sana vitu vya mbeleni ambavyo ndio lengo la script kuigiza ni kuendana na script na sio uhalisia mnaousema hapa
@@dr.peterofficial6390 poleee Sanaa mzee,usichokijuwaa wewe maandishii anapomchoraa msanii kwenye maandishii lazma ajue nataka awe Kama Nani kwenye jamiii husika coz,haijalishii script inasemaje but script lazma hiakisii uhalisia wa jamii husika so kutokana na script mama ameweza kufikisha ujumbe kwa uhalisia wa wamama wetu uswahilinii wanaopenda kuropoka ropoka upoo mzee Big up kwa Mam etu kaweza kuvaa character yake vyemaa
😂😂😂😂 mpoki bana
Sehemu ya uyo dada bonge mngemuweka Katarina
chat.whatsapp.com/IosOSDc5aBPDyEwCoBpKvR
Wazee zibeni masikio pamba hao wanao coment pumba waseme wamecheka au hawajacheka!?
Kazi nzuri sana wakuu hingereni kwa kazi zenu zenye ubora wa hali ya juu sana, na hii ni zaidi ya commedy🙌🏽🙌🏽
Nawakubari sana you make everyone’s day na tunawaunga mkono.
Hao wanao comment pumba ndo viewers wazuri sana na wamesubscribe for next episodes😂😂😂
@@mussawaziri4702 kweli kabisa
Wenye mnasema mama bonge hajui kaigizeni nyinyi nkt
chat.whatsapp.com/IosOSDc5aBPDyEwCoBpKvR
Waswahili hawana kizuri ; uki wafuatilla hauto fanyaga chochote
Nani atanikopesha 😅😅😅
Nani atanikopesha mbeya wa office yote ya nini😂😂😂
chat.whatsapp.com/IosOSDc5aBPDyEwCoBpKvR
Yani hii comedy unacheka Hadi unakojoa😂😂😂😂
Hii comedy mtu anaeweza kucheka adi kukojoa basi uyo atakuwa ana matatizo ya kibofu cha mkojo
🤣🤣🤣🤣daah hela imepigwa
Ila Masanja, eti mwakeye 😂😂😂
chat.whatsapp.com/IosOSDc5aBPDyEwCoBpKvR
Nimempenda mke wa mpoki, ameona mbali.
Eti mzee alikuwa ni HR
Dada hapana, Kibonge bado
chat.whatsapp.com/IosOSDc5aBPDyEwCoBpKvR
Ma bonge Badoo,apambane
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Masanjaaaaaaa
ati mbeya wa ofisi🤣🤣🤣
😂😂😂
Mko vizuri katika kazi hii, ila kurudia mchezo unahitaji ubunifu ili hadhira hata akifahamu aone mchezo ni kama mpya. Nje ya ubunifu mzuri inaonyesha mchezo wa mwanzo kuwa mzuri kuliko ule wa kuboresha. Tupokee maoni na tuyaingize kazini.
chat.whatsapp.com/IosOSDc5aBPDyEwCoBpKvR
Maneno yakuwa mengi,jua pesa kidogo au hmna kbsa
chat.whatsapp.com/IosOSDc5aBPDyEwCoBpKvR
Nilijuwa to hakuna hera hapa du
Masanja na kukubari sana ila hii kazi ya kuigiza waachie2 kina mpoki ww nimchungaji Kwa Sasa so anzisha maisha yakibiashara2 uwe boss MCH sio mizaha kama hii sawasawa na zabur1;1_3
Shida Unachanganya mambo
Dereva katumia mpaka Hela yake
Hii Kari
jamaa mnajua
Wakuvanga nomaaa
Sifuri baba😂
chat.whatsapp.com/IosOSDc5aBPDyEwCoBpKvR
😅😅😅dah hatr sanaa sema kwel mama bonge anaongea kwa sauti kali inaumiza masikio
chat.whatsapp.com/IosOSDc5aBPDyEwCoBpKvR
i wish siku moja nikutane na makregani napenda anavoongea jamaa
Hi nakumbuka iliwahi tokea maporomoko
chat.whatsapp.com/IosOSDc5aBPDyEwCoBpKvR
Mambo ya kiswahili😅
Ata nyimbo watu ua wanarudia wkt walifny kuna watu wengne awakuoon xo n saw tu kurudia
Hii comedy ya mchanganuo mshairudia sana umizeni vichwa mtuletee vitu vipya.
Huyo bonge mmepata shoti tu
Markregan umetisha hutaki ushenzi
Wakati mkandamizaji anafanya mahesabu walitakiwa wamtume mtoto akakate fimbo nyingi tuu .. tena za mpera!
chat.whatsapp.com/IosOSDc5aBPDyEwCoBpKvR
😂😂😂😂😂😂
wageni wamekuja na gimble😂🤣
Ahahaha😅😅😅
Eti kama hawajatoa hela hawaliiii 😂😂😂
Wasipo toa hela hawali😅
chat.whatsapp.com/IosOSDc5aBPDyEwCoBpKvR
Mwshoniiiii😅😅😅😅
chat.whatsapp.com/IosOSDc5aBPDyEwCoBpKvR
Mmetisha sana
masanja mbn utaki kuwaachia wenzio😭😭
chat.whatsapp.com/IosOSDc5aBPDyEwCoBpKvR
😂😂😂eti wanaomba tena 75k ya nauli
chat.whatsapp.com/IosOSDc5aBPDyEwCoBpKvR
wafanyakaz wanalia kuliko sisi watoto wa marehemu hahahahahahahahaa
Eti ni kama mmbea wa ofisi😅
Chief.hata body guard huna
Mac Regan kipara , acha nochekeee😊😅😂😂😂
chat.whatsapp.com/IosOSDc5aBPDyEwCoBpKvR
Unamshika Chifu kama msela😂
chat.whatsapp.com/IosOSDc5aBPDyEwCoBpKvR
🤣🤣
😂😂😂😅😅😅🤣🤣🤣
Hii ni kali Sanaa kama michango ya rambirambi inatumiwa ni hatari
habari!