Daah Pole sn Haji Manara kwa Changamoto zote zinazokukabili...ila naamini Mungu yupo akubariki sn uje upate kazi nyengine nzuri zaid ya hapo Simba (Msimbazi)
Bro Haji you don’t need to worries!! No mud thrower has clean hands! Give your life room to breathe.be happy where your are and with what you have at any give stage bro!A greateful heart is the beginning of greatness!!! Cheers kaka!
Haji manara namkubali sana. Anajua kuhamasisha watu mi yanga damu Ila haji kwa mpira wetu watanzania haji manara kasapoti sana na uwamasishaji wake. Mnyonge mnyongeni lkn haki yake apewe. Big up haji manara umeongea ukweli. Wana simba wote tupo na wewe💪🇹🇿.
Mungu ndo kila itafaamika tu ila mimi Mo hua simuelewagi kbs alafu alivyomjanja Mo alizinguana na Manara tu akajifanya kutoa Bilioni.20 ili kufuta muovu yake
Na angekuepo Magu angeingilia kati ilo ungemskia sitaki kuona mtani wangu anasumbuliwa na mtu maana Haji mzaramo Magu msukuma watani hao Mungu amrehem Magu🙏🤲
Waswahili wanasema ukisema usimalize maneno.pia huko unakokwendaa Ujue kukaa na watu vizuri Ujue kule ulipotoka kuna siku utakuja hitajia tena .na wakati huo ushatukana sanaaa.jamaa tukumbuke ihsaani.moo dewj. Usjali.mungu yuwatosha binaadam wanasahau.na hawabebeki.
Pole sana manyara kumbe simba imeitoa mbal sana Dah,kwa namna hii kumbe ss wapenz wa simba ni ubabaishaj tuu mm sitoenda yanga ila naachia upenz wa sim bora ata niende Azam.kumb mtihn sana wallwh.
Wahindi ndio walivyo kaka manara bila majungu huwezi kufanya nao kazi wanapenda sana issue za majungu majungu sasa ukiangalia hapo ni wewe umekuwa maarufu sana basi hakuna kingine
Utakufa na pressure achananao bhana mungu atakulipia achananao mimi ni yanga original sijawahi ipenda simba ila hamasa zako sio zakitoto watakukumbuka, never give up
I feel u, my brother, the have used u, for the Past of Six Years n, u, have been blaind to see what is coming in front of u, but now at list u, know now ( Muhammad he doesn't know what is doing ) n, now wait n, see how simba it will drop dramatically Yangu قد المريض منارة ان شاء الله الله أكبر منهم ولكن تذكر أن تبتسم الله يحبك دائمًا
Mimi ni mwanayanga ila ulichofanyiwa haji sio sawa naamini ata hamasa itapungua wala sidhani kama atapatkana msemaje bora kama wewe japo ulitutukana sana wanayanga ila nikaz mungu atakusaidia inshallah
MO na Huyu demu BARBARA inaelekea wana mahusiano ya KIHARAMU ‘ haiwezekani kwenye kampuni umpe nafasi Huyo demu ya maamuzi ya kuumiza wafanyakazi Kwa kiasi hicho..!..wenye masikio tushasikia ‘Japo MANARA umewasitiri ..!
@@mponejawillson1453 yani kaniangusha sana manara kuropokwa hadharani unajua matajiri watakuwa na khofu nae sasa ... huyu haji ana access ya kuonana na wakubwa wengi na wanamuamini kiasi kwamba kama ndugu yao sasa ikiwa kaongea ya moo je wengine ?? Hana kifua manara kaniangusha sana
@@mponejawillson1453 kabisa ndug yangu ila watu wengine wanasema sisi watz waoga ndio maana hatuendelei wakati mwanadamu lazima awe na akiba ya maneno asiendekeze hasira za kupitiliza zitam cost
Kwani unadhani dili hana uyo anamadili kibao pesa anayoipata Manara zaidi ya ile aliokua akiipata Simba anafanya kazi na GSM mda mlefu kabla GSM hajaifadhili YANGA ana mkataba na Asasi anamkataba na Azam ayo matangazo yooote anapiga ela ndefu sana kuliko kujidhalilisha pale simba siku ya Harusi yake GSM kampa milioni.10 kwaio sisi watanzania tulivyo wanafiki tunataka asiwe na dili lolote lile awe simba tu ndiomana alipewa mkataba atakaolipwa milioni.4 kwa kila mwezi mkataba uo ameusoma unamfanya asifanye kazi kokote kule wakat ayo madili aliopewa anavuta zaidi ya milioni.4 kwa mwezi ndiomana alikataa kusaini
Mo bahili na watu wanamuona bahili sababu wanashindwa kuelewa utajili alionao ameukuta kwa baba haya endeleza asidanganye watu et amepambana saaaaana ila elimu imemuongezea maarifa
Manara tulijua wewe ni bright sasa kwa hapa naona kidogo asilimia fulani zinapungua hukupaswa kukaa kwenye media kujielezea mambo meengi ,kumbuka simba ni taasisi na kamwe wewe huwezi kuizidi pia simba haiwezi kuwa manara ikumbukwe simba bila manara inaweza kuendelea bila manara, na kumbuka kunamaisha baada ya hapo
Kwa maneno haya ya Manara nina wasi wasi hata kwenye kuongoza utajili ndio tajili ila sio tajili no.1 Africa mashariki na kati si kweli ila anajikweza tu kuna mtu anaitwa Bakheresa ana lioteli la kimataifa Zanzibar na n.k viwanda Tv redio vitu mbali mbali lkn yupo kimyaaaaaaa wala hana mbwembwe ila Mo anajipambanua sana kazi ya kuifanya Manara anaifanya yeye
Haji hivi kinachokufanya utangaze mabaya kwanini haukuweza kusema kabla haujaondoka simba...!! ? Lakini unakosea achana na uzushi na chuki anza maisha mapya..!
Kulikuwa na vipepeo wawili waliokuwa wanapendana sana, siku 1 waliamua kucheza mchezo wa mahaba. Waliweka ua na walipanga kesho ambaye atakuja mapema na kukaa juu ya UA, atakuwa anampenda mwenzake zaidi. Asubuhi kipepeo dume alienda mapema sana na kukaa juu ya UA. Masikini kumbe jike alifika tangu jana kumwonesha mpenzi wake ni jinsi gani anavyompenda...!! Jee...!! wewe, utamuonesha nini umpendaye ili aone ni kiac gani .........................
Wamekutoa kwa sababu unayajua mengi kuwahusu wao binafsi na jinsi wanavyowalaghai watanzania. Hawa ni wafanya biashara manyang'au wanachotaka ni kuikamua Simba na wala si kitu. Hizi timu zetu zinahitaji wazalendo na siyo wenye pesa ambao si wazalendo kama Mo dewji na huyo binti ambaye hata Kiswahili hajui.
Yupo Allah .. Jallah Sha'nuh! 🙏 💯
Mlinzi wa waja wake ..
Aiseee apo umehereweka sn manara hongera kwa kuyavichuwa tusiyo yajuwa pole sana mzee
Kuna watu wabaya wallah!!!!!
He is so good guys😭😭😭
Pole baba Manara
We love u
Wana simba wote Tanzania mzima tupo na haji manara.
Pll0l000lpp
Mboe so gaid
Daah Pole sn Haji Manara kwa Changamoto zote zinazokukabili...ila naamini Mungu yupo akubariki sn uje upate kazi nyengine nzuri zaid ya hapo Simba (Msimbazi)
Hata sponsorship hawataki apate !!atakulawapi? Yaani simba walikua wana mfanya chawa huyu kama hanampango
Bro Haji you don’t need to worries!! No mud thrower has clean hands! Give your life room to breathe.be happy where your are and with what you have at any give stage bro!A greateful heart is the beginning of greatness!!! Cheers kaka!
Good advice bro
Hivi wasafi mna mtazamo gani?
Haji manara namkubali sana. Anajua kuhamasisha watu mi yanga damu Ila haji kwa mpira wetu watanzania haji manara kasapoti sana na uwamasishaji wake. Mnyonge mnyongeni lkn haki yake apewe. Big up haji manara umeongea ukweli. Wana simba wote tupo na wewe💪🇹🇿.
Ndgu yang😁😁Mara yanga mara simba vip tena ndgu yngu 😁😁
@@manyuhandumbaro9618 😂😂😂😂😂Umeona eeeeh alivyojikanyaga mwenyewe huyu ila alichotaka kufanya aonekane yeye Yanga anampenda Manara kumbe Simba ndiomana wahenga wanasemaga tuongee na kukumbuka tulichokiongea nyuma 😂😂😂
Wafungulie kesi ya kudukua simu yako, hilo ni kosa kubwa sana kufuatilia uhuru wako na undani wa maisha yako!!!
Inshaallah mwenyezi mungu atakufanyia wepesi akuondolee kila lililobaya
Mambo ya yenu mie sijui ila kwenye Mkataba naweza kukutetea Mo anadhulumu sana wafanyakazi kwenye Kampuni zake wengi wanafanya pasipo mikataba.
Pole mmanyema but ume inspire my heart to know more about simba
Dah!. Mzee kakasilika Hadi Kawa mwekundu aisee. Mungu atatatuwa aisee. @mbeledaima, nyumamwiko
Mafuta hana ya kupaka
Mungu ndo kila itafaamika tu ila mimi Mo hua simuelewagi kbs alafu alivyomjanja Mo alizinguana na Manara tu akajifanya kutoa Bilioni.20 ili kufuta muovu yake
😂😂😂😂😂
Jmn mpka haji kataka kumtaja magu😂😂dah tutamkumbka kwa mema
Kwer aseee
Na angekuepo Magu angeingilia kati ilo ungemskia sitaki kuona mtani wangu anasumbuliwa na mtu maana Haji mzaramo Magu msukuma watani hao Mungu amrehem Magu🙏🤲
Huwez kushindana na nwenye pesa ishi maisha yako
Kweli tupu manara 👏👏👏🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Pole sana Hajj Manara
Waswahili wanasema ukisema usimalize maneno.pia huko unakokwendaa Ujue kukaa na watu vizuri Ujue kule ulipotoka kuna siku utakuja hitajia tena .na wakati huo ushatukana sanaaa.jamaa tukumbuke ihsaani.moo dewj. Usjali.mungu yuwatosha binaadam wanasahau.na hawabebeki.
Pole sana manyara kumbe simba imeitoa mbal sana
Dah,kwa namna hii kumbe ss wapenz wa simba ni ubabaishaj tuu mm sitoenda yanga ila naachia upenz wa sim bora ata niende Azam.kumb mtihn sana wallwh.
Pole sana Manara mungu ndo kila kitu anaejua ukweli itafaamika tu
Haji Goodluck
Mwana Simba dam dam Mic sana kazi yako ndan ya uzi wa simba
Wahindi ndio walivyo kaka manara bila majungu huwezi kufanya nao kazi wanapenda sana issue za majungu majungu sasa ukiangalia hapo ni wewe umekuwa maarufu sana basi hakuna kingine
Kweli indian typicaly
Wahindi ndo zao usipoijua Sheria wanatake advantages
Pore Sana brother hila nakukubali Sana wewe kichwa ,pia kwa rehema za mungu utashinda
Hakuna mmanyema mnyonge , big up Haji
Utakufa na pressure achananao bhana mungu atakulipia achananao mimi ni yanga original sijawahi ipenda simba ila hamasa zako sio zakitoto watakukumbuka, never give up
Nimeshituka hizi sitor wanarusha wasafi hata sifwatilii itakuwa kiki tena
Pole sana my brother manara mungu yupo nawe 🙏🙏
Pole sana Manara.
Mtu akiwa na haki anasemaga kwakujiamin ✅✅🙌
Pole sana kaka Haji...
I support u bro
Usijali bro yatakuwa sawa tu
Hamna mtu nlkuwa namchukia Kama manara ila saiv natubu Haji kumbe we ni mtu pole sana
Mi piaahh
Pole xana Haji MUNGU atakusaidia achana na Barbara Huyo ni Malaya 2
Mamaako yey sio Malay wakat alikuzaa
Manala Acha kugombana na mwanamke
Mm shabik wa yanga Ila hajimanara walikutesa broomungu akusaidie
Well miss you my brother manara
I feel u, my brother, the have used u, for the Past of
Six Years n, u, have been blaind to see what is coming in front of u, but now at list u, know now ( Muhammad he doesn't know what is doing ) n, now wait n, see how simba it will drop dramatically
Yangu
قد المريض منارة ان شاء الله الله أكبر منهم ولكن تذكر أن تبتسم الله يحبك دائمًا
Daahhh
Mimi ni mwanayanga ila ulichofanyiwa haji sio sawa naamini ata hamasa itapungua wala sidhani kama atapatkana msemaje bora kama wewe japo ulitutukana sana wanayanga ila nikaz mungu atakusaidia inshallah
Mzee mpili🏹🦁🙌
Pole sana hajimanara
MO na Huyu demu BARBARA inaelekea wana mahusiano ya KIHARAMU ‘ haiwezekani kwenye kampuni umpe nafasi Huyo demu ya maamuzi ya kuumiza wafanyakazi Kwa kiasi hicho..!..wenye masikio tushasikia ‘Japo MANARA umewasitiri ..!
Suma wewe em njoo nimekumiss wallah
Apelekewa Moto barba 😂
@@salhanassor5201 ....Wallah billahi..?...Nipo ..Nambie
@@zuheorsalim7759 ....tena Moto bati..!
@@ismailyusuph740 😀
Njoo yanga mantra
Pole kaka ila wanasimba bado tunakuitaji sana
dah pole sana manara mungu atakulipia wanasimba tupo nyuma yako
Pole na mitihani.
Pole baba
Wahinda Wana Roho mbaya Sana 😭😭😭😭
Haji brother nenda Azam aseh. Pale patakufaa sana.
Hawana hakili hawo achana nawo mungu yupo haji
Dah
Am now with you Hajji
Serikal naomba inilinde🤣🤣🤣
Wahindi wana Roho mbaya Sana. Umetuambia mengi tulokuwa hatuyajui. Wengi tunaondoka SIMBA Haya yasipojibiwa
Jaman Daa inauma Sana aisee Manara ukiondoka Simba hakuna wa kuvaa kiatu chako ulikuwa unahamasisha Sana jaman Duuu😭😭😭
sawa mzee
Kaka haji ungekuwa muugwana ungekaa kimiya ukaendelea na mambo yako
Si angetulia tu huyu nyau
Mwache ateme kaumizwa sana
Angetulia lakini wao ndo walimuana kuanika voice note zake imebid ajitete
@@omarcarlos4595 kil mtu lazim aonje kikombe cha maumivu,,we hapo ushaumizwa lakin unaon uachane nayo,
@@edithringo2581 ile voice note si yeye aliivujisha mwenyew jamn
Yaani na ujanja wote huo leo ndo unasema eti umetumikishwa,tafuta wanasheria wakueleze kitu kinaitwa TIME BAD!!
Huyu mjukuu wa kilomon tupa kule🤣🤣🤣
Huyo kahaba wa simba anaejiita babra ndo aliemfukuzisha manara eeh
Huyo ndio wakushughulikiwa na wala sio Mon
@@fatmafeisal4328 kabisaa!!
@@mponejawillson1453 yani kaniangusha sana manara kuropokwa hadharani unajua matajiri watakuwa na khofu nae sasa ... huyu haji ana access ya kuonana na wakubwa wengi na wanamuamini kiasi kwamba kama ndugu yao sasa ikiwa kaongea ya moo je wengine ?? Hana kifua manara kaniangusha sana
@@fatmafeisal4328yes matajiri watajenga mashaka juu yake kuhusu utunzaji wa sili za makampuni anayoyafanyia kazi
@@mponejawillson1453 kabisa ndug yangu ila watu wengine wanasema sisi watz waoga ndio maana hatuendelei wakati mwanadamu lazima awe na akiba ya maneno asiendekeze hasira za kupitiliza zitam cost
Haji wetu unahitaji ulinzi sasa.
Mzungu siku zote ni mnafiki na mbaya sana usitishike na Cheko lake.
Vumilia mzee wangu utapato dili lingne
Kwani unadhani dili hana uyo anamadili kibao pesa anayoipata Manara zaidi ya ile aliokua akiipata Simba anafanya kazi na GSM mda mlefu kabla GSM hajaifadhili YANGA ana mkataba na Asasi anamkataba na Azam ayo matangazo yooote anapiga ela ndefu sana kuliko kujidhalilisha pale simba siku ya Harusi yake GSM kampa milioni.10 kwaio sisi watanzania tulivyo wanafiki tunataka asiwe na dili lolote lile awe simba tu ndiomana alipewa mkataba atakaolipwa milioni.4 kwa kila mwezi mkataba uo ameusoma unamfanya asifanye kazi kokote kule wakat ayo madili aliopewa anavuta zaidi ya milioni.4 kwa mwezi ndiomana alikataa kusaini
Mo bahili na watu wanamuona bahili sababu wanashindwa kuelewa utajili alionao ameukuta kwa baba haya endeleza asidanganye watu et amepambana saaaaana ila elimu imemuongezea maarifa
Hawa wahindi wanazingua.
Mbona uliambiwa uasini mkakaba wa million none kwa mwezi umekataa
@@salumbarouk6403 uja muelewa tatizo nikwamba mkataba wa simba walio kua wanataka asain ulikua una mzuia kua baloz wa makampun mengin isitoshe mshahala wenyew mdogo ungekua wewe ungeweza
tatizo wewe chawa...unazingua
Manara tulijua wewe ni bright sasa kwa hapa naona kidogo asilimia fulani zinapungua hukupaswa kukaa kwenye media kujielezea mambo meengi ,kumbuka simba ni taasisi na kamwe wewe huwezi kuizidi pia simba haiwezi kuwa manara ikumbukwe simba bila manara inaweza kuendelea bila manara, na kumbuka kunamaisha baada ya hapo
@@fredymakonge5962 muache atoe yamoyoni kuna vitu vinauma ukivimezea vinaweza kukupa msongo wa mawazo
Pole haji 🤔🤔mungu yu pamoja nawe
Aliyemlipia hii press conference ni nani?😂😂😂
Kwa maneno haya ya Manara nina wasi wasi hata kwenye kuongoza utajili ndio tajili ila sio tajili no.1 Africa mashariki na kati si kweli ila anajikweza tu kuna mtu anaitwa Bakheresa ana lioteli la kimataifa Zanzibar na n.k viwanda Tv redio vitu mbali mbali lkn yupo kimyaaaaaaa wala hana mbwembwe ila Mo anajipambanua sana kazi ya kuifanya Manara anaifanya yeye
Anatapatapa saizi
Hakuna msemaji kama manara ... kubali sanaaa
Duh pole manara
Haji hivi kinachokufanya utangaze mabaya kwanini haukuweza kusema kabla haujaondoka simba...!! ? Lakini unakosea achana na uzushi na chuki anza maisha mapya..!
mm nimehama timu
Kaka chukua ubunge wa Ilala ongea na Zungu tuwakeree hawana hela Bora bakhresa n Moo vinywaji hatununui na jezi tunachoma
#Mo n mtu mbaya sanaa 🙋🙋🙋
Ngoja niongee na Rayvan atoe ngoma kuusu ii inshu...au nitaongea na Hamonize
Hata Mo mwenyewe hajielewi.
Soksi za MO zina thamani kuliko wewe ndugu yangu
Wanadhuruma kweli
Mungu akutangulie utakuwa wathamani Sana wataona haibu
Huna lolote wewe
Naam
Nakumiss tu manara 😭
Hayo yalikuwa WAP kuyasema acha unafiki nenda Zeruzeru pumbav wew
Achana nao brother
Serikal ya Doctor 🤣🤣🤣
SIMBA HAIWEZ BILA HAJI MANARA. UKITAJA SIMBA UNATAJA JINA LA HAJI MANARA. BABA UKIONDOKA SIMBA. TEAM INAKUFA
Nani kasema
Manara wetu arindwe, ao wahindi waende mbele uko
Kulikuwa na vipepeo wawili waliokuwa wanapendana sana, siku 1 waliamua kucheza mchezo wa mahaba. Waliweka ua na walipanga kesho ambaye atakuja mapema na kukaa juu ya UA, atakuwa anampenda mwenzake zaidi. Asubuhi kipepeo dume alienda mapema sana na kukaa juu ya UA. Masikini kumbe jike alifika tangu jana kumwonesha mpenzi wake ni jinsi gani anavyompenda...!! Jee...!! wewe, utamuonesha nini umpendaye ili aone ni kiac gani .........................
Nilichoona hapo ni MO na BARBARA wana mahusiano HARAMU ya kuvuana Chuuuuuuu...iiiii...(P)
Fala tu manara
Si umeshaondoka teyari tatizo nini sasa potezea
Kupotezea atapotezea lakini wacha waanikwe wasifanye watu hivo
Jamaa yuko na hasira mpka amegeuka rangi
Hao swala la kuhujumu ilikua ni sababu tuu lakin wao walikua na jambo lao lingine cose akufukuzae hakuambii toka
Ahahaha Movie ndo imeanzaaaa iyo
Wahindi ndo walivyo na ndo enzi za zaman wamesababisha wasanii kuwa masikini
Vita ya Kibiashara hii Azam bhana
Ww umefukuzwa acha kelel hayo unayoyasema hapo kwann ulishindawa kusema mapema kabla ya kufukuzwa
Amedhurumiwa kwann hasiongee we umekuwa nan
Wamekutoa kwa sababu unayajua mengi kuwahusu wao binafsi na jinsi wanavyowalaghai watanzania. Hawa ni wafanya biashara manyang'au wanachotaka ni kuikamua Simba na wala si kitu. Hizi timu zetu zinahitaji wazalendo na siyo wenye pesa ambao si wazalendo kama Mo dewji na huyo binti ambaye hata Kiswahili hajui.
Ungekaa kimyaa ningekuelewa Sana
Kabisa.. lkn hii inaonyesha kweli si mtu mzr kwanza siku zote alikaa pale na hakuwahi kusema mzushi tu
Kwani kunini siwapinzani tu lakini safi auzi secrets (kaifikisha simba mbali)
Naomba serikali inilinde 😂😂😂
Yani mpaka huruma jamani
Pole sn kk haji hii ndo dunia
Manara wee kaa kimya mambo ya mitandao yatakudhalilisha, unachotafuta ni kutafuta huruma kwa wananchi.
Simba bila ya Manara ni kama mchuzi bila chumvi au chai bila ya sukari 🙄