HAJI MANARA AFUNGUKA MWANZO MWISHO CHANZO CHA UGOMVI WAKE NA RAISI WA TFF

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 24 янв 2025

Комментарии • 24

  • @amaningalla9420
    @amaningalla9420 6 месяцев назад

    Pole sana mwanangu Haji ,mungu akujalie moyo wa subira, yanamwisho hayo. Viongozi wanajisahau sana

  • @eppiemodest
    @eppiemodest 2 года назад +4

    Unayofanyiwa kama kweli malipo hapa hapa òn this world of Ģod.

  • @HajiAbdalla-vm2jr
    @HajiAbdalla-vm2jr 6 месяцев назад +1

    Sema alhamdulilah

  • @GilbertGombeye
    @GilbertGombeye 10 месяцев назад +1

    Pole Haji alikuonea sana Tena akuombe msamaha maana kiongozi kama hiyo hafai kuegemea upande wa coast na na simba yake hafai kabisa Mungu tusaidie😊

  • @HajiAbdalla-vm2jr
    @HajiAbdalla-vm2jr 6 месяцев назад +1

    Dhalili yupo pamoja namungu

  • @GetusMajaliwa
    @GetusMajaliwa 5 месяцев назад

    Nena King manarà

  • @HajiAbdalla-vm2jr
    @HajiAbdalla-vm2jr 6 месяцев назад

    Ndugu yangu muachie mungu atakulipia

  • @yusufsalimu-j4w
    @yusufsalimu-j4w 6 месяцев назад

    Huyo ndivyo alivyo kilasiku maneno hayohayo, anajiona kamayeye ndo mwenyempira wa tanzania, anapenda sifasana hadi kichefuchefu.

  • @GetusMajaliwa
    @GetusMajaliwa 5 месяцев назад

    Wewe ni mkweli ndio maana wanakuhaisha mungu atalipa

  • @tintz3157
    @tintz3157 2 года назад +2

    Sasa msamaha ulioomba ni wann ndugu ukickia uzabizabina na unafiki ndo huo kwann hukusema hayo mapema,umelikoroga we jamaa

  • @HajiAbdalla-vm2jr
    @HajiAbdalla-vm2jr 6 месяцев назад

    Mwenye kudhulumiwa yupo pamoja namungu

  • @YasinSheikika
    @YasinSheikika 6 месяцев назад

    Karia anachukia binafsi na haji

  • @HajiAbdalla-vm2jr
    @HajiAbdalla-vm2jr 6 месяцев назад

    Riziki Yako haiko Kwa binaadamu mche m mugu hizo ndio sofa za bindamu mk mkorofi

  • @H3s4d
    @H3s4d 7 месяцев назад

    Ulimbukeni wa. Uongozi anafikili ataongoza milele

  • @YasinSheikika
    @YasinSheikika 6 месяцев назад

    Karia acha roho mbaya cheo kina mwisho

  • @H3s4d
    @H3s4d 7 месяцев назад

    Mtu. Wa. Aina. Hiyo anapenda unabii

  • @victornyese9009
    @victornyese9009 8 месяцев назад

    Sielewi kama hili selikali haioni?

  • @theuniversetv2870
    @theuniversetv2870 2 года назад

    Mpira wetu umeghubigwa na viongozi mashabiki

  • @victornyese9009
    @victornyese9009 8 месяцев назад

    Lilitaka kufa lenyewe mbwa lile

  • @abubakarmbarouk5256
    @abubakarmbarouk5256 2 года назад +1

    Wewe muongo hatukuamini kamwe

  • @Khamisyussufkhamis
    @Khamisyussufkhamis 6 месяцев назад

    ww muongoooooo

  • @zainabujuma4278
    @zainabujuma4278 2 года назад

    Haji huw ni mkweli, kbc jmn.

  • @Nasbu-tb6cs
    @Nasbu-tb6cs 6 месяцев назад

    Kaongeze mke huna jipya Kwnye mpira