MANARA AMVAA AHMED ALLY - "NILIMUONYA HAKUSIKIA, AKASEMA NAJISHTUKIA, NIKAAMUA NIM'BUST"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 25 мар 2022
  • MANARA AMVAA AHMED ALLY - "NILIMUONYA HAKUSIKIA, AKASEMA NAJISHTUKIA, NIKAAMUA NIM'BUST"
    Afisa habari na msemaji wa Yanga Haji Manara amezungumza na waandishi wa habari kuelekea katika mchezo wao dhidi ya Azam fc mchezo utakaochezwa katika dimba la chamazi .
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
    ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline
  • СпортСпорт

Комментарии • 281

  • @009biafra8
    @009biafra8 2 года назад +5

    Msukule Bwana. Achana na SIMBA 🦁💪

    • @roseminja1920
      @roseminja1920 2 года назад

      Wizard makolo kaeni kmy semaji lakimataifa anatoa neno tulieni dawa iwaingie timu yawahuni niyakwenu nasiyoyanga chefuuuuuuu

  • @evidarink
    @evidarink Месяц назад +1

    huna baya mr achana na wasio jielewaaaa ahamed ally alipo ata afanye nini awezi kufikia level akooo ko anajiridhisha kwakulitaj jina lakooo cool it broo

  • @user-xm5zc3sh5n
    @user-xm5zc3sh5n 7 месяцев назад +1

    Kaka manara uko sahihi

  • @wardakangezi6942
    @wardakangezi6942 7 месяцев назад

    Safi Sana kaka

  • @veredianavenance2901
    @veredianavenance2901 Год назад

    Uyu zeruzeru akiri ana nampenda sana semaji ra cef Ahmed ally we ni msemaji bora sana

    • @frankhoffa8356
      @frankhoffa8356 3 месяца назад

      Weee jinga kweli kwahiyo ulitaka anavo mcrash akae kimya? Inatokea mi nakuchokoza wewe utaniacha? Nduguyenu ni mchokozi yule bwana mumshauri aache ugomvi

  • @elijahsolomon3260
    @elijahsolomon3260 2 года назад +7

    Mbona bumbuli hana Fuji na ndiyo boss wako, nenda shule wewe kilaza acha kuzionea wivu CV za Professional International Journalist Super Ahmed Ali

  • @abdallahesika8407
    @abdallahesika8407 2 года назад +3

    Huyu manara mupimeni akili nahisi haziko sawa hamfikii Ahmed Ally hata kidogo unaona tu unajua. Ahmed yupo smart sana

  • @samiraahmed8966
    @samiraahmed8966 2 года назад +9

    Sasa kwani hukusema?Wewe toka umetoka simba Akili yako bado haijawa nzuri.

  • @khalifamaliki4179
    @khalifamaliki4179 2 месяца назад +1

    Aji ww mtukubwa wa wapi ww songa

  • @nastyb7405
    @nastyb7405 2 года назад +11

    Hivi Manara kwa clips zile ndo wa kusema aliikataa Simba.? Kuna umuhimu wa kuweka akiba ya maneno

  • @jaribiwarungwe1925
    @jaribiwarungwe1925 2 года назад +4

    Kizuri chajiuza kibaya Chajitembeza

  • @eliasmushi6792
    @eliasmushi6792 2 года назад +2

    Acha ufalaaaa manara....tuachie Simba yetu....na msemaji wetu

  • @mashalahwajimwaga1012
    @mashalahwajimwaga1012 2 года назад +3

    Unapenda sana kujipendekeza kama familia zako zimekushinda unadhani utaongoza timu gani ya wahuni

  • @halidimgonza5945
    @halidimgonza5945 2 года назад +2

    Ahmed Ally ameingia juz tuu lkn keshafanya makubwa n anaendelea kufnya makubwa tuachie semaji letu pambana n hali yko huko UTOPOLO au husikiki sikuiz sasa unatafuta kiki kupitia yy km mjibuji kweli mguse MWIJAKU kiboko yko mbona unamuogopa

  • @magrethsanga942
    @magrethsanga942 2 года назад +5

    Haji muongo unataka kuabudiwa msukule wewe toka huko muqche Ahmed ally wetu

  • @issackchalahani1235
    @issackchalahani1235 2 года назад +5

    Kwani manara umefanya nini kwenye mpira! Manara tatizo anasumbuliwa na jinsi alivyo, wala sio kingine.

  • @salumumsei3942
    @salumumsei3942 2 года назад +13

    Haji unaishi maisha ya filauni kabisaaa jitathmini kaka

  • @billsmgashe1917
    @billsmgashe1917 2 года назад +2

    We manara embu tafakar neno school na upoyoyo achana kubishana na msomiwewe poyoyo

  • @Princewaweru
    @Princewaweru 2 года назад +1

    Toka hapa

  • @user-pl7sx4mx5w
    @user-pl7sx4mx5w 3 месяца назад

    Wambie brow

  • @user-yn6yu9zl1p
    @user-yn6yu9zl1p 2 месяца назад +1

    Mashabiki bora African

  • @roberttagaya9098
    @roberttagaya9098 2 года назад +5

    Wewe kiboko yako ni Babra tu. Ulimuongelea hakukujibu chochote mwisho wa siku ukasanda.

  • @kulwahemedi1110
    @kulwahemedi1110 17 дней назад

    Umefanyakitu gani bwanaa kweny mpr kikubw gan

  • @mombasa0076
    @mombasa0076 2 года назад +9

    ACHA KUMTISHA KIJANA HUYO. LAZIMA UAMBIWE MBONA WEWE UNAWAAMBIA WENGINE WENGI TU.
    ACHA ZAKO ZA KUTISHA WATU.

  • @Yu-jr9uf
    @Yu-jr9uf 2 года назад +2

    El buggati😁😁😁😁, yule mtt hata mpira haujui maskn!! UNDISPUTED EL BUGATT

    • @jescakiria6883
      @jescakiria6883 2 года назад

      Huyo haji mpira anaujua au kacremisha Sheria na kusoma historian wachezaji Tena ndio wanaoujua mpira kabwili

  • @luthermbio7581
    @luthermbio7581 2 года назад +12

    Kwa jinsi unavyoongea hakika simba unaipenda sana

  • @user-ck6lf9gg6v
    @user-ck6lf9gg6v 5 месяцев назад

    Hakuna kitu kibaya kama kuwa mnafiki. Ww ni mtu mbaya sana hata vitabu vinatueleza tuwakwepe watu wa namna hii, anapenda sana sifa mm namjua toka michezo yake wakati wa utoto inamuathiri, omba toba ww kwa uliyoyafanya ww una uwezo wowote ktk nchi hii. Uwezi kuwa juu ya sheria na uwe na mipaka ktk kuongea.

  • @user-ux5hj3qi9e
    @user-ux5hj3qi9e 3 месяца назад

    Wew ni hela

  • @amiriamri654
    @amiriamri654 2 года назад +3

    Tushakuzoea kama unaita press kwa ajili ya ng,ombe sembuse hli

  • @sakaramasenzamasenza4165
    @sakaramasenzamasenza4165 2 года назад +7

    Umefanya nn kweny mpira ,,,acha sifa za kijinga,subir wanampira wazungumze

  • @ghost_worker01undetectable63
    @ghost_worker01undetectable63 2 года назад +5

    Fala kweli hili...
    Mbona yeye anamattack Mo personally...

  • @kitambimwana4974
    @kitambimwana4974 2 года назад +3

    Kweendraaa kuleeee,,,mganga njaaa weeeee

  • @saidothmani7522
    @saidothmani7522 2 года назад +2

    WW HUNA UKUBWA WOWOTE
    KILA CKU SIMBA UNAIONGELEA HUNA MPYA
    WAKO NI WIVU HUNA JIPYA KWENDA HATA SISI TUTAKUFYATUA.TUNAJUA ZAKO NYINGI TU.NIFUTE MM UONE KAZI

  • @mohamedjeizan5929
    @mohamedjeizan5929 2 года назад +6

    Nyie watangazaji hiyo ndio kazi? Kutafuta mambo ya fitna?
    Mambo ya mpira yamekushinda umebakiza ushoga tu

  • @AminiMsellem-gk3yy
    @AminiMsellem-gk3yy 2 месяца назад

    Umeisha wewe mpira ushakushinda unayoweza ni mipasho 😂😂😂

  • @user-yp4gc5zc2i
    @user-yp4gc5zc2i 4 месяца назад

    Mwambie kweli hakuwezi maneno mengi vitendo vichache Simba mbeleko2

  • @rehemamejja8342
    @rehemamejja8342 7 месяцев назад

    Muomgooooo

  • @amankayinga3475
    @amankayinga3475 2 года назад +2

    Hujui chochote wewe we ni msukule tu

  • @user-bf7rp2pu5h
    @user-bf7rp2pu5h Месяц назад

    Archana nae.bro uyo mshamba tu

  • @audifacejosephat7071
    @audifacejosephat7071 2 года назад +2

    Acha upuuzi nguruwe pori we nani kasome kwanza acha upuuzi fala wewe umuonye nani

  • @saidizuber8831
    @saidizuber8831 10 месяцев назад

    hloooo zeluzeu

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 2 года назад +2

    Huna jipya ww unajishtukia tuu

  • @meshackumoja
    @meshackumoja 7 месяцев назад

    Manara tako lako

  • @yunusmhenga1397
    @yunusmhenga1397 3 месяца назад

    Sasa hapa nan amekimbilia polisi

  • @paskalinaawaki4398
    @paskalinaawaki4398 2 года назад

    Matter core uyo

  • @florianmodest6215
    @florianmodest6215 2 года назад +4

    Haji bana mkwara mkubwa wakati alipotimuliwa Simba alikuwa analia ktk Ile clip yake. Mganga njaa kweli acha kumtisha semaji la club Bingwa humuwezi Ahmed!

    • @rucho7663
      @rucho7663 2 года назад

      Club bingwa si Simba walitolewa

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 года назад +1

      @@rucho7663 WALITOLEWA NA MAMAKO.

  • @AhmedSaid-mk7qs
    @AhmedSaid-mk7qs 5 месяцев назад

    Wew ashura umefanya nini kwenye mpira usitake sifa wew hujui kusema ni mropokaji tu wew semaji la caf anaweza kujibu msukule

  • @AminaLibisa
    @AminaLibisa 2 месяца назад

    Uyu ameshachetuka ni wakumsanehe tu nyau uyu😂😂

  • @user-cj2bp9os1i
    @user-cj2bp9os1i 4 месяца назад

    Ww chiz freshi huna maajabu

  • @farajakunyanja2521
    @farajakunyanja2521 2 года назад

    Unaga jipya aaaa aah

  • @tellyandrew7030
    @tellyandrew7030 2 года назад +1

    Mlalamikaji org

  • @ufugajiwetu7782
    @ufugajiwetu7782 2 года назад +3

    Ovyooooo

    • @isackdaniel3656
      @isackdaniel3656 2 года назад

      Manara elimu yenyewe du!! Fanya Kaz acha kujibu watu kujibujibu no uzaifu

  • @michaelhadram416
    @michaelhadram416 2 года назад +2

    Ila si mwanaume unaye lia lia au ?

  • @mohamedjuma8348
    @mohamedjuma8348 Год назад

    Ni kweli unajistukia na usijifanye we mkubwa kwenye mpira. We hujui kitu kuhusu mpira unachojua ni kuimba taarabu

  • @rosekweka47
    @rosekweka47 2 года назад +1

    Mm sikuona sababu ya kumjibu unajua kimya nalo jibu lakini ukaanza kujibu inaonekana nikweli vumilia ndio uyangauo babu tulia upewe

  • @seifsungura6936
    @seifsungura6936 2 года назад +2

    Nondo gani unazo Wewe nyani tu

  • @mombasa0076
    @mombasa0076 2 года назад +7

    Ahmedi usimuogope haji .
    Wewe ni msemaji kijana tena ktk timu kubwa. ASIKUTISHE HIYO ... WEWE FANYA KAXI YAKO USIMUOGOPE HAWEZI KUKUFANYA KITU.
    WEWE NI ZAIDI YA YEYE.
    USIOGOPE MITUSI YAKE SISI TUPO TUNAKULINDA.
    KAMA ANAKUSUMBUA WEWE MSEME TU USIOGOPE .

    • @salim02tv24
      @salim02tv24 2 года назад

      Mpk mnamlindaaa..maanara🤣🤣🤣🤣🤣🤣 anajilinda mwenyewe na maneno yake...

    • @jescakiria6883
      @jescakiria6883 2 года назад

      Lazima tumlinde dhidi ya kichaa 😆😆

  • @mikamwalimu9324
    @mikamwalimu9324 2 года назад

    Mbona we umewatukana sana yanga au umejisahaulisha kisa leo upo wananchi

  • @mohamedjuma8348
    @mohamedjuma8348 Год назад

    Nadhani waandishi wa habari hasa wale unaowahoga ndio wanakupa kichwa kubwa afu ni matope

  • @salimmalaka256
    @salimmalaka256 2 года назад +1

    WEWE MQNARA KENGE SI ULIANZA WEWE KUJISIFU NA KUSIFIA SUTI ZAKO SIJUWI ZINATOKA UFARANSA UBELGIJI KUMBE MITUMBA KAMA LILE KOTI LA NJANO UNAVAA NA JINZI MTUMBA OG. KWELI KICHWA CHAKO KIMEJAA MAJI MACHAFU HUNA AKILI.

  • @user-tv9zu6kv6l
    @user-tv9zu6kv6l 3 месяца назад

    WE NGURUWE POLY TULIA SIMBA SC TULISHAKUPIGA CHINI

  • @dafrosadeus5203
    @dafrosadeus5203 2 года назад +5

    Unaongea Sana wewe, huna jipya! Tuachie msemaji wetu, pambana na hali yako kk

  • @patrkmwata4902
    @patrkmwata4902 2 года назад

    SemA baba bughati

  • @adam-saffi211
    @adam-saffi211 2 года назад +2

    Huyu Manara ni shoga kiboko

  • @rassulluis1947
    @rassulluis1947 2 месяца назад

    😅😅😅

  • @josephatanazi1005
    @josephatanazi1005 2 года назад +2

    Akuogope we nani mbwa wewe ni fara mmoja

  • @paulalphonce2488
    @paulalphonce2488 2 года назад +2

    Ni mdogo lakini anakuzidi akili na maalifa ww ni kenge kama kenge wengne

  • @geraldlyimo2859
    @geraldlyimo2859 2 года назад +2

    Hivi kwani wanaume wanakuaga ushambenga?

  • @shabanimungazija7272
    @shabanimungazija7272 Год назад

    Unajufagilia ndugu

  • @user-kl9ej6yd4v
    @user-kl9ej6yd4v 5 месяцев назад

    Utopolo

  • @teddymhagama611
    @teddymhagama611 7 месяцев назад

    we chizi Kwanza Simba tulipotea njia kukupa kazi mbugila wahed kafie mbele huko😮😮😮

  • @bashiruathumanichambo5144
    @bashiruathumanichambo5144 2 года назад

    Huna lolote mtt mdogo sana haji

  • @user-ux5hj3qi9e
    @user-ux5hj3qi9e 3 месяца назад

    Wewe ni pesa

  • @ClementKonda-uj1nj
    @ClementKonda-uj1nj 2 месяца назад

    Kwani wewe msemaji wa club ipi?

  • @enockboidy7829
    @enockboidy7829 2 года назад

    Oya kaswaki meno unanuka kaka maana sio kwa povu Hilo🤣🤣🤣🤣

  • @albertsaatatu6552
    @albertsaatatu6552 2 года назад

    Mskule bhna 😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @veredianavenance2901
    @veredianavenance2901 Год назад

    Semaji retu ra simba achana na uyo chizi amefrri zeruxeru nakukubari sana semaji ra time yangu ya simba Ahmed ally

  • @makamejenje5362
    @makamejenje5362 Год назад

    Kipapaa ww

  • @user-px4nt4sv8g
    @user-px4nt4sv8g 5 месяцев назад

    Kaka kaa utlie dawa ifanye kazi

  • @kareemathumani7382
    @kareemathumani7382 2 года назад

    Umeshapotea ww

  • @AyubuHamisi-sh2fg
    @AyubuHamisi-sh2fg Год назад

    Yaani we ndo unaharbu mpira wa Tanzania una laana ya wazaz wako

  • @ClementKonda-uj1nj
    @ClementKonda-uj1nj 2 месяца назад

    Unamuonea gele acha ale maisha simba

  • @cettyamandus2929
    @cettyamandus2929 5 месяцев назад

    Zai uyo mdogo nauyo wapili mbona wadogo akuogopi nguruwe

  • @mariamemadoshi5540
    @mariamemadoshi5540 7 месяцев назад

    Manara umewazidi kilakitu falatu huyo maisha hana huyo ahemedi wanaokutukana wote hawana maisha

  • @festomlowegypsum8214
    @festomlowegypsum8214 Год назад

    Tunaomba utuambie unaukubwa gani mzee baba hunyi wewe au vipi bwana

  • @franclovewayesu9544
    @franclovewayesu9544 2 года назад

    Manara ni poyoyo tuuuuuuu mpumbavu koko

  • @albertsaatatu6552
    @albertsaatatu6552 2 года назад

    Eti hajji n mkubwa sana 😂😂😂😂😂

  • @vannybayda8967
    @vannybayda8967 2 года назад

    Ww Ni mwamba

    • @josephsisa8139
      @josephsisa8139 7 месяцев назад

      Wana simba huyu mtu tusimtukane nidhambi kumtukana mremavu tumuombee

  • @FrancisDaka-pe3xd
    @FrancisDaka-pe3xd 6 месяцев назад

    Mbona una maneno kama mwanamke tushawapiga sana

  • @Mumewangu
    @Mumewangu 7 месяцев назад

    Haji unasahau .ilo suala ulisema

  • @elisamasha4666
    @elisamasha4666 2 года назад +1

    Dish linayumba

  • @LindaNgongi-pn9tf
    @LindaNgongi-pn9tf 4 месяца назад

    Manara rud msmbaz kumenoga twakusamehe bure twajua tamaha tu zirkuponza

  • @sweetmang3953
    @sweetmang3953 2 года назад

    Albino ambae hajielewi

  • @raymonadsaliboko3068
    @raymonadsaliboko3068 2 года назад

    Wewe nikama mchezaji tu,ukipita umepita tu,wew nani kwani umeku mtume,weweee

  • @samsonkarungubale2658
    @samsonkarungubale2658 2 года назад +1

    Huyu kilaka

  • @usiniguse
    @usiniguse 2 года назад +2

    Ahmed kaenda shule sio kama wewe boya wewe

  • @user-ws7no6wf3p
    @user-ws7no6wf3p 10 месяцев назад

    Ww nimesenge tu huna hakiri

  • @hamisbakary6133
    @hamisbakary6133 2 года назад

    Kiboko Yako babira TU msukule tangu ulivo pewa talaka na Simba akili zimehama hatukutaki kenge wee iroooo😜😜😜

  • @Samwemussa
    @Samwemussa Месяц назад

    😂😂😂😂😅

  • @khamiskassim1126
    @khamiskassim1126 2 года назад

    Na ngombe nani anachunga