Assalaam alaykum Sisi Salama aiseee umenitouch sana na Salamana....Hajji umembana sanaa...of coz nakufollow bibie...mungu akuongoze n kukutangulia ktk kazi yako Inshaallaah.
Je umeagiza GARI 🚘🚗nje ya nchi na unahitaji huduma ya clearance ya gari lako( Clearing & Forwarding ) kwa uharaka na BEI NAFUU ila unawaza Clearing Agent ⚓️🚢gani atalitimiza Hilo? Basi ondoa shaka na karibu nikuhudumie. Tazama baadhi ya bei zangu za kutoa magari bandarini 🚢Dar Es Salaam (Local) aina ya *TOYOTA* km ifuatavyo.. Kama aina ya gari uliyoagiza haipo kwenye orodha usisite kuniuliza📞Pia wateja wa mizigo ya AIRPORT 🛫/ CONTAINER & MAGARI🚗 yanayokwenda nje ya nchi ( TRANST ) mnakaribishwa..... ------------------ Kwa wateja waishio Dar Es Salaam utafikishiwa gari lako mpaka ulipo BURE na kwa wateja wa mkoani utalipia gharama ya Dereva kutokana na umbali uliopo kutokea Dar Es Salaam kama ukihitaji kusafirishiwa, Asante 1: IST old - 850,000/= 2: HARRIER New-1,000,000/= 3: HARRIER Old-950,000/= 4: RAV 4 - 950,000/= 5: RAUM - 850,000/= 6: SPACIO - 850,000/= 7: PASSO - 800,000/= 8: VITZ - 800,000/= 9: PREMIO - 850,000/= 10: ALTEZA - 850,000/= 11: SUBARU - 850,000/= 12: CARINA - 850,000/= ---------------------------------------- Gharama hizi zinahusisha malipo ya 1: Port Charges 2: Shipping Line 3: Walfage 4: Agent Fee 5: Plate no ---------------------------------------- ☎️DM/Piga/Text 0653953900 / 0742996876 ☎️Whatsapp +255 653953900 📪Telegram +255 742996876 📧 Email: charlessabikazi@gmail.com Instagram@mr_sabyy 🏢Company: Mofaz movers 📍Location: PSSSF Tower, Samora Avenue Dar es salaam, Tanzania *NB: Triangle & Fire Extinguisher 🧯 BURE *NB: KUAGIZIWA GARI NI BURE 🙏 *NB: KUAGIZIWA BIDHAA CHINA 🇨🇳 NI BURE🙏
Salama Mungu akuwekee ukiondoka tutapata tabu sana ni vile hatupendi kumsifu mtu akiwa hai mpaka afe ila unamchango mkubwa sana sana ktk media
I am real
@@husseinmaingo7116 Uyu jamaa nimeamini kua chizi yani anajisifia fumanizi....
Haj manara wewe pamoja na shule uliyonayo wewe umejaaliwa karima na Mwenyezi mungu Maashallah
The best anachekesha sana
Huyu jamaa Mungu amtunze ambariki kabisa maana yuko vizuri
I think this interview is the best for 2021 with no doubt
Tunaoomba interview hii iwe hadi part 10 tujuane hapa 😂😂😂
salama ndogo wangu uko vizuri kwenye mahojiano. nasisimka unavyohoji maswali yako. hongera sana
Salama leo umebakia kucheka tu
Wamilele MUNGU Akuweke Miaka mingi bro Haji Manara
Big up- zikuendee Salama Jabri' mtangazaji miruwa umemleta Stering wa Vilabu vyoote tz na africa pia muongeaji Mkuu hana mpinzani Og MANARA SIMBA SC.
Mimi Ni Yanga ila nampenda Haji Manara, kijana wetu. Nime enjoy sana.
Haji sunday manara we ni genius broh uko smart sana
Wewee mshambaa tu Ni limbukenii wa maishaa nafuuu mpumbavuuu sanaa
MashaaAllah tabaraka Allah
Yaani salama toka kimeanza hichi kipindi ya hii ndo interview nloingalia nikaenjoy sana huyu jamaa namkubali sana
Master mwenyewe haji Manara
True, kumuweka CEO mwanamke imezungumzwa sana nje ya Tz
Waaa nimecheka sana, best interview this year
Haji manara the Best spoken man of all Times...Over!🦁
THE BEST INTERVIEW
manara mungu akulinde utupe burudan🙏🙏🙏🙏
Hii nyimbo mwishoni ni kali sana..
Assalaam alaykum Sisi Salama aiseee umenitouch sana na Salamana....Hajji umembana sanaa...of coz nakufollow bibie...mungu akuongoze n kukutangulia ktk kazi yako Inshaallaah.
Mtongoze salama ujibebee kifaa icho yuko vzuri sana uyo she
Haijasoma km nyingi,
The best interview ever
Jamani nimeliona paja la Salama mwishoni hapo, mashallah!!!!
i know I'm kinda off topic but does anybody know a good place to watch newly released series online ?
Manara kama manara bonge moja ya interview big up salama for this platform
Thx Haji 👍👍👍👍👍👍👍
Nimekukubari sana ....yaani ukifumaniwa kataa kabisa,usikubari hata kidogo
Sipendi hela Nina allergy nazo. Napenda kua na matajiri hata nikiwaomba hela waninyimi
Namkubali jamaa anakipaji si mchezo
Leo tumeEnjoy sanaaa interview ya Haji
Ukifumaniwa KATAAAAAA USIKUBALI HAJI NAMGAWA BURE🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Unamgawa bure kivipi
🤣🤣🤣🤣
Nakesi hz na shinda mm,yani nimecheka kifala 🤣🤣🤣
Mwenyewe kashasema n propagandist
Nmemkubali sana jamaa
Tume-Enjoy Sana Hii Interview Hawa Ndio Watu Wakuwahalika Salama
Hapo kwenye kukataa kesi ya kufumaniwa😂😂😂😂😂😂😂 Haji umetishaaaa
Msemaji wetu mpya salama Jabir
Aisee Haji is Geneous
Haji Manara ! Nimecheka eti umeshawahi kufumaniwa!!😃😃😃😃😃😃
Haji nakukubali sana kufumbaniwa apo umenimaliza kweli prix nobel mumupe Haji🤣🤣
Haji Nyange 😂😂😂😂
Kataa kosa kabisa
Nakupenda sana salama hunaga sho mbovu akii
Haji alisema ashindwi kukutongoza anaweza akakupata sasa analake na umekubali
Huna kazi mbovu Salama...💝💝
Salama nipendaa sana uchesh wako
Salama huyo Khaji, mwache hivyohivyo,kwa domo ameshindikana!!!!!
Hhhh
Professa Haji Manara
Ufike Mbali
Mbavu zangu mieee Manara duuh
Hamna kosa linatakiwa likubalike hata dogo
Nimecheka Marana kweli wee kivuruge
Manala uko vzr jmn 🙌🙌🙌😂😂😂😂
Haji nyange
Manara I have really enjoyed
Salama jabir wewe ubunifu sana HONGERA BINT
Haji is a Genius
Salama 🌺👾
Ukifumaniwa uckbali
Wanasubiri siku nifumaniwe😂😂😂😂😂
Mko vizuri
Haji anajua anachokifanya,
nakufatiria sana sarama kipindi chako
🤣🤣🤣🤣 so funny manara walaah,eti wanasubiri nifumaniwe 🤣🤣🤣🤣🤣🤣❤🇨🇭🇹🇿
I like more this interview wllh🤣🇧🇮❤️
Zeruzeru star wa kwanza duniani....Haji Manara mwenye mdomo wake mjini🤣🤣
Acha UNAFKI mtu maarufu zaid Duniani mwenye uwaribino ni Paul scholes wa MAN U
@@magangajames4644 Kevin De Bruyne
😎
@@Ram_1893 👍
Haji manara upo vizuri huna mpinzani wala huna kazi mbovu
Hapa salama alikuta na mzee maneno
Je umeagiza GARI 🚘🚗nje ya nchi na unahitaji huduma ya clearance ya gari lako( Clearing & Forwarding ) kwa uharaka na BEI NAFUU ila unawaza Clearing Agent ⚓️🚢gani atalitimiza Hilo? Basi ondoa shaka na karibu nikuhudumie. Tazama baadhi ya bei zangu za kutoa magari bandarini 🚢Dar Es Salaam (Local) aina ya *TOYOTA* km ifuatavyo.. Kama aina ya gari uliyoagiza haipo kwenye orodha usisite kuniuliza📞Pia wateja wa mizigo ya AIRPORT 🛫/ CONTAINER & MAGARI🚗 yanayokwenda nje ya nchi ( TRANST ) mnakaribishwa.....
------------------
Kwa wateja waishio Dar Es Salaam utafikishiwa gari lako mpaka ulipo BURE na kwa wateja wa mkoani utalipia gharama ya Dereva kutokana na umbali uliopo kutokea Dar Es Salaam kama ukihitaji kusafirishiwa,
Asante
1: IST old - 850,000/=
2: HARRIER New-1,000,000/=
3: HARRIER Old-950,000/=
4: RAV 4 - 950,000/=
5: RAUM - 850,000/=
6: SPACIO - 850,000/=
7: PASSO - 800,000/=
8: VITZ - 800,000/=
9: PREMIO - 850,000/=
10: ALTEZA - 850,000/=
11: SUBARU - 850,000/=
12: CARINA - 850,000/=
----------------------------------------
Gharama hizi zinahusisha malipo ya
1: Port Charges
2: Shipping Line
3: Walfage
4: Agent Fee
5: Plate no
----------------------------------------
☎️DM/Piga/Text 0653953900 / 0742996876
☎️Whatsapp +255 653953900
📪Telegram +255 742996876
📧 Email: charlessabikazi@gmail.com
Instagram@mr_sabyy
🏢Company: Mofaz movers
📍Location: PSSSF Tower, Samora Avenue
Dar es salaam, Tanzania
*NB: Triangle & Fire Extinguisher 🧯 BURE
*NB: KUAGIZIWA GARI NI BURE 🙏
*NB: KUAGIZIWA BIDHAA CHINA 🇨🇳 NI BURE🙏
Renj discover
Salama hebu mwambie ajaribu kukutongoza km atakupata😃😃
Haji anadiriki kumuita moo Muhammed ipo siku atamuia mudy 😅😅😅😅😅
Uwa anamuita hivyo🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Haji umenifurahishi kuhusu kufumaniwa ukiwa mwanaume lijali lazima ufumaniwe
Jamaa masta wa kuongea
Haji nyange😀🙌
Salama na haji safii
huyu arudi tena, Haji ametupa rahaaaa
Ukweli,ndo,uwo
Nice Guy🇰🇪❤️🇸🇦🙌
"Hatufiki 7 watatu washatangulia mbele za haki na tumebaki wanne" 🤣🤣🤣 ila manara
Namwelewa kaka sana maojiano yaleo matamu sana
😂😂😂😂 ila huyu jamaa Mimi simuwezi ukifumaniwa kataaaaa😂😂
Haji Kama haji tuletee na Mo please
Manar
Salam alek Haji Samahani ndugu yangu naomba saana hayo maneno yako yaende uwanjani...
Je Yapo Kweli uwanjani??
Burudan sana
Kityu kimeshushwa manara shikamo
Nawaheshimu hawa watu, yaan hapo mmefanya niendelee kuwasikiliza japo mmemaliza
Ndio
❤️❤️❤️
Manara ni noumah
Mmmmhhhh Mimi napendra kuguna mm c mzaramooo haji shikamoo 😂😂😂
Wazaramo ndio ze2 izo 😉😉
hahhaha
Kumbe kuna somo la propaganda mayooooooo sijawai jua hili
Apo pa kufumaniwa sasa...🤣🤣🤣
Haji Nyange😂😂😂😂
Bugatti the propagandist 🔥🔥
Propagandists Haji Manara katika ubora wake.
Bugatti 😀😀😀 #Nguvumoja
Well done manara
Salama: Propergandist
Manara:PropergaNdist
Salama again :Propergandist
Manara: yees..propergaNDIST 🤣🤣🤣🤣
Haji. Nyanoko tombanebhe
Swala la kufumaniwa upo sahihi hakuna mwanaume anae kubali kosa ata uwakute uchi atatoa sababu tuuuh
Duuh manara,bhana eti hata,ww sarama,
Professional Propagandist!🙌🙌
Bugatti bonge la interview dada salama
😁😁