MCHUNGAJI HANANJA ATOA ONYO KALI NYOTA NI USHIRIKINA. MASHIMO NI MTABILI WA MPIRA. [01]

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 18 дек 2024
  • #kagoziprotv #mchungajihananja #subscribe

Комментарии • 84

  • @josephkiwale374
    @josephkiwale374 10 месяцев назад +8

    NASADIKI kwamba nyota cyo ushirikina,NASADIKI kwamba niudhihirisho wa utawala wa MUNGU mwenye enzi katika maisha ya wanadamu,mtu anasiyeamini nguvu za nyota anaonyesha wazi kuwa bado yupo kwenye utumwa wa fikra,mtu kama huyo fikra zake hazijakombolewa,japo yupo huru kimwili lakini nimfungwa kiroho,,mababa wote wa imani,Ibrahimu isaka na yakobo wote waliamini katika nyota

    • @kagoziprotv
      @kagoziprotv  10 месяцев назад +1

      Amen

    • @anordgerison8639
      @anordgerison8639 10 месяцев назад +2

      Acha ushamba

    • @machoguhameri7757
      @machoguhameri7757 10 месяцев назад +4

      Acha ushamba wa Imani.Ibrahimu aliona nyota halisi siyo nyota ya kusomewa na mtu.Mama Jusi waliona nyota halisi iliwaongoza hadi palipozaliwa Bwana Yesu siyo nyota ya kutabiriwa na mtu.Nyota za kusomea watu ni ushirikina kama wewe unaamini nyota za unajimu una bahati mbaya sana.

    • @josephkiwale374
      @josephkiwale374 10 месяцев назад

      @@machoguhameri7757 we endelea kuota2 bro

    • @brightcommcleaning
      @brightcommcleaning 9 месяцев назад

      Hana amwanga wa mambo ya Kiroho kabisa.... Hhivyo uchambuzi wake ama maelezo yake yakuyaangalia sana...

  • @BabaWaziwa
    @BabaWaziwa 2 месяца назад

    Nimekombolewa na maombezi yako baba ananja,ubalikiwe sana baba namungu akupe maisha malefu sana,niko pamoja na wewe kila siku baba,

  • @HassanHassansaidkampun
    @HassanHassansaidkampun 7 дней назад

    Nakuelewa sana baba hananjaa

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel7149 10 месяцев назад +3

    Haleluya! Mch.Hananja wewe unao,tena ni mkombozi wa Nafsi(fikra) chukua maua yako babaa...

  • @JohnKeya-b8d
    @JohnKeya-b8d 4 месяца назад

    Upo vizuri mtumishi wa MUNGU

  • @JohnKeya-b8d
    @JohnKeya-b8d 4 месяца назад

    Na kuelewa sana mtumishi wa MUNGU 🙏👏

  • @YohanaRichard-e6p
    @YohanaRichard-e6p 9 месяцев назад +1

    Waovu Wana kuchukia sana , maana wanawatesa Wana wa mungu na kuwapofusha macho ya kiroho wakiongozwa na roho ya kahaba mkuu anae ongoza Dunia kwa upotoaji wake wa neno

  • @brightcommcleaning
    @brightcommcleaning 9 месяцев назад +1

    You are a Star... He is a Super star..... Lugha involves the reality of our life... Itabidi nijifunze asili ya haya maneno ..... Labda ntaambulia kitu

  • @DeboraNeno-s5o
    @DeboraNeno-s5o 8 месяцев назад +1

    Mweee Mtumishi Ubarikiwe

  • @Muheramaneva
    @Muheramaneva 5 месяцев назад

    tunafika tumezimia miguuni kwamungu 🎉🎉🎉🎉🎉😂😂😂😂😂

  • @SamuelKarisa-m6d
    @SamuelKarisa-m6d 10 месяцев назад +1

    Mungu akipee maisha marefu mch hananja, uendelee kutuelimisha maswala ya kiungu.

    • @kagoziprotv
      @kagoziprotv  10 месяцев назад +1

      Amen 🙏🏽 ❤❤

    • @brightsmartcleaning
      @brightsmartcleaning 9 месяцев назад

      Kama Hananja anajua mambo ya Mungu hata 10%.. Mambo ya Mungu sio blah blah na kukoti biblia.. Mambo ya Mungu ni mambo ya kiroho... Kuponya, kunena kwa lugha kutoa pepo nk ni agizo la Yesu mwenyewe Mark 15:17 ikiwa ni Ishara ya Mkristu wa kawaida (waaminio).. Alwasy anapinga mambo ya kiroho koz yeye ni wa kanisa sio wa kiroho.. kilaza wa mambo ya kiroho.. Ni mchungaji/padri wa Non pentecostal Church wasio amini karama za Holy Spirit katika maisha ya kila siku. Yes wako wachigaji waongo lakini wanafanana na ngano na magugu .. sio easy kuwatambua.. But mambo ya kiroho ndicho alichokuja kutufundisha Yesu sio utaratibu wa makanisa ambayo yote hawayakuwapo wakati wa Yesu.. Nakuombea umpokee Yesu wa kweli na Roho Mtakatifu akufundishe.. No offense kwa nia nzuri mkuu
      '

  • @DeboraNeno-s5o
    @DeboraNeno-s5o 8 месяцев назад +1

    Hongera sana Mtumishi

  • @nemeskulaya3962
    @nemeskulaya3962 10 месяцев назад +1

    Mungu akupe maisha marefu utumegee maarifa zaidi mch. Hananja

  • @Thierrymuhindo-vs8jk
    @Thierrymuhindo-vs8jk 7 месяцев назад +1

    Aksanti mchungaji kwa neno

  • @dankhany3385
    @dankhany3385 10 месяцев назад +1

    mungu akupe maisha marefu hananja

  • @dankhany3385
    @dankhany3385 10 месяцев назад +1

    mungu akubariki sana mchungaji hananja

    • @kagoziprotv
      @kagoziprotv  10 месяцев назад

      Amen 🙏🏽

    • @brightsmartcleaning
      @brightsmartcleaning 9 месяцев назад

      Mungu yupi anambariki mpingaji wa mambo ya kiroho? He is more wa makanisa na wengi wanaomuunga mkono ni wasabato, RC, Anglicans na Lutherans "Non spiritual ama Non Pentecostal Churches".. Mtafuteni Mungu wa kweli msipotezewe muda na ma-celebrities kwa jina la Yesu.. Ubarikiwe sana

    • @WilsonEmmanuel-bs6op
      @WilsonEmmanuel-bs6op 6 месяцев назад

      Mm nimemuelewa sana mchungaji yeye hajasema kuusu nyota ya Yesu yeye kasema kuusu wanabii wanavotabili kusu nyota zawatu sasa Uwondio uchawi au kwenda kwa wangaga ndio Uwo uchawi wew utatabiliwaje kuusu nyota wew nyota yako Niyesu tu siyo kutabiliwa

  • @gospelmediaafrica9801
    @gospelmediaafrica9801 10 месяцев назад +1

    Ooh hallelujah 🙌😁

  • @francofrederick972
    @francofrederick972 9 месяцев назад +1

    Narudia unapopambana kuweka udhaifu wa wengine wazi unadhihirisha ulionao na unadhihirika kwa kiwango kikubwa,
    😅😅😅😅😅😅😅😅
    Wanaojua vzr siri hizi hawana mpango wakuwafunua wenzao

    • @kagoziprotv
      @kagoziprotv  9 месяцев назад

      Amen

    • @brightsmartcleaning
      @brightsmartcleaning 9 месяцев назад

      Bravo... next time fafanua tujifunze.. usiongee kwa mifano kama Yesu

  • @Kuminamoja1995
    @Kuminamoja1995 10 месяцев назад

    😂😂😂😂😂 points 👉 👈 sana mchungaji

  • @renatusmtakyawa594
    @renatusmtakyawa594 9 месяцев назад +1

    Mmmm Danieli 12
    3 Na walio na hekima watang'aa kama mwangaza wa anga; na hao waongozao wengi kutenda haki watang'aa kama nyota milele na milele.

  • @DeboraNeno-s5o
    @DeboraNeno-s5o 8 месяцев назад

    Kweliii

  • @festinamwakipale3919
    @festinamwakipale3919 6 месяцев назад +2

    Uchungaji feki ko waganga wanavijua sana vitu vya siri husomi maandiko

    • @kagoziprotv
      @kagoziprotv  6 месяцев назад

      🙏🏽🙏🏽🙏🏽

  • @brightcommcleaning
    @brightcommcleaning 9 месяцев назад +1

    Ushirikina ni utakatifu uliobadilishwa/kubatilishwa na kutumiwa na shetani.... But kila anachofanya shetani ama washirikina vimetoka kwa Mungu.... Ushirikina ama ushetani ni kuiga vya Mungu na kuvitumia kwa njia ovu..... Kuna inverse relationship kati ya ushirikina na Utakatifu.. sadaka, damu nk

  • @PamelaNdlovu-ot6do
    @PamelaNdlovu-ot6do 8 месяцев назад +1

    Alafu anaesema yeye ni mwanafunzi wa mastai kweli ikawaje mbona afanani kama alifundishwa na mastai .maana mastai ninae mfahamu yule ni mpakwa mafuta haswaa wa Mungu yule ni kkkt kanisa la kiroho.yuko vizuri haswaa nadhani hata yeye atakuwa anamshangaa ananja anaubiri vitu gani

  • @renatusmtakyawa594
    @renatusmtakyawa594 9 месяцев назад +2

    Mmmm. Mathayo 2
    2 Yuko wapi yeye aliyezaliwa mfalme wa Wayahudi? Kwa maana tuliiona nyota yake mashariki, nasi tumekuja kumsujudia.

  • @DeboraNeno-s5o
    @DeboraNeno-s5o 8 месяцев назад

    Maskiniii

  • @DeboraNeno-s5o
    @DeboraNeno-s5o 8 месяцев назад +1

    Mtumishi MUNGU akubariki unatufungua akili

  • @YohanaRichard-e6p
    @YohanaRichard-e6p 9 месяцев назад +1

    Watu wavivu kuchunguza maandiko ndio maana wanadanganywa, na wataendelea kuwa vipofu na walimu wao vipofu.

  • @simonndaro
    @simonndaro 9 месяцев назад +1

    Acheni Mchungaji Hananja awafunde Matapeli walioibaka dini kwa sababu tu ya tamaa zao na uchu wa mali ya hapa duniani. Anachokisema ni KWELI. Mwenye akili atamuelewa tu.

  • @festinamwakipale3919
    @festinamwakipale3919 6 месяцев назад +1

    Bora ulivostafu ungetuchanganya wewe unahesabu.mizoga kwenye vita hatuhesabu maiti ukiishi ukiangalia watenda dhambi unaweza ukavurugika

    • @kagoziprotv
      @kagoziprotv  6 месяцев назад

      🙏🏽🙏🏽🙏🏽

  • @renatusmtakyawa594
    @renatusmtakyawa594 9 месяцев назад +1

    Mmmm Mwanzo 37
    9 Akaota tena ndoto nyingine, akawaambia ndugu zake, akasema, Angalieni, nimeota ndoto nyingine; na tazama, jua na mwezi na nyota kumi na moja zikaniinamia.
    10 Akawaambia baba yake na ndugu zake; baba yake akamkemea akamwambia, Ni ndoto gani hii uliyoiota? Je! Mimi na mama yako na ndugu zako tutakuja tukusujudie hata nchi?

  • @BernardoAmwayi
    @BernardoAmwayi 8 месяцев назад

    Mambo ya nyota ni ya waganga

  • @brightsmartcleaning
    @brightsmartcleaning 9 месяцев назад

    Mwanadamu ana uhusiano na galaxy… iweje mzunguko wa maanamke uhusiane na mzunguko wa mwezi?…… tukijifunza pamoja kuna kitu

  • @brightcommcleaning
    @brightcommcleaning 9 месяцев назад +1

    Hananja ni mchungaji KILAZA wa mambo ya kiroho kwakuwa anatoka kwenye Non Spiritual Churches.. kuweni waangalifu na upotoshaji wake ama kutoelewa kwake..JIFUNZENI

    • @kagoziprotv
      @kagoziprotv  9 месяцев назад

      🙄

    • @samsonhamery3809
      @samsonhamery3809 9 месяцев назад

      Wewe ndiwe kilaza maana hujui Neno la Mungu.Nyota zinazotajwa katika Biblia Ni nyota halisi siyo nyota za kusomewa na Mchungaji au kuhani. Yesu alipozaliwa mama Jusi waliona Nyota mashariki walikuwa wasomi wa sayansi ya nyota wakajua nyota ile inaashiria tukio muhimu. wakaifuta ikawaongoza Hadi alipozaliwa Bwana Yesu.hiyo ilikuwa Nyota Halisi. Zamani kabla ya kugundulika vyombo vya kisasa manahodha baharini waliendesha manowari zao kwa kuongozwa usiku na Nyota angani. Hata wakulima waliyatambua majira yao ya musimu wa kilimo kwa kuongozwa na nyota zilizoitwa "kilimia" Kuna kilimia jike na kilia dume.Wana wa Israel waliposafiri usiku toka Misri waliongozwa na wingu waliongozwa na nguzo ya Moto pia waliongozwa na nyota. Acha ushamba wa Imani Soma Biblia upate ufahamu.

    • @andrecarlos1024
      @andrecarlos1024 2 месяца назад

      Hananja👌👌🇲🇿

  • @michaelmbeti5040
    @michaelmbeti5040 10 месяцев назад +1

    Shida yako wewe kuelezea makanisa mengine hubili mungu 2 kusema watu ujipunguzia maono yako

  • @ShukruMakoko
    @ShukruMakoko 9 месяцев назад +1

    Haijalishi yukoje acheni kubwabwaja fanyeni kazi ya Mungu Yesu atangazwe kote duniani vyovyote vile vyamsingi vimewashinda mnataka kufanya talabu

    • @kagoziprotv
      @kagoziprotv  9 месяцев назад

      Amen 🙏🏽

    • @AlphonceDM
      @AlphonceDM 8 месяцев назад

      Ww mshamba

    • @AlphonceDM
      @AlphonceDM 8 месяцев назад +1

      Anayosema ni ya kweli ww kondoo umepotea

    • @ShukruMakoko
      @ShukruMakoko 8 месяцев назад +1

      Nahisi tungefanya kazi ya kulitangaza jina la Yesu krisito bwana wetu kuliko kobezana maana bado nahisi hata nusu bado enenden mukahubili injili ulimwenguni kote watu wakaijue kweli