Namkubar sana kipozeo siwezi lala bila kumsikiliza ingawa Mimi ni ndugu yake wa damu kama anavyosemaga ongea ukweli kuhusu imani Mzee wangu hata kama wapo wasiokukubari
shekhe tunavyo jua kua kuimba nyimbo haram kuskia nyimbo haram licha ya rizki mbona ilo swali umelijibu kua ukimnyenyekea allah akunyimi rizki mbona hukujib kua kuimba haram kama dini inavyo sema shekhe wetu
JeanMuzaliwa unaongea kitu usicho na elimu nacho.Una uhakika hizo ndevu zimechomwa? Jifunze hilo kwanza halafu ndo uje barazani kuongelea mambo yenye kuhitaji uelewa wa kutosha.Halafu ni jambo jema hata kwenye maelekezo ya dini ya jina lako kuwa adabu kwa watu wazima na viongozi wakiwemo wa dini.Hicho ulichokusudia kusema kwa kuandika 'choga' ni ukusefu wa adabu.Hata hivyo,hiyo rangi ya ndevu zake siyo alama ya hicho ulichikilenga. HICJO ULICHOKILENGA KWA KIONGOZI HUYO,KITAKURUDIA WEWE MWENYEWE.HESHIMA YA SHEIKH KIPOZEO NI KUBWA KULIKO CHOCHOTE CHAKO.BADILIKA NDUGU.
Tumesikia ukaribu wa kipozeo na Hananja, unaongopa na huku umefunga. Anyway hata hivyo uongo unaruhusiwa kwenye Uislam ili mradi uwe kwa manufaa ya Uislam.
Namkubar sana kipozeo siwezi lala bila kumsikiliza ingawa Mimi ni ndugu yake wa damu kama anavyosemaga ongea ukweli kuhusu imani Mzee wangu hata kama wapo wasiokukubari
Huyu mwenye kuuliza hana uwezo wa kuuliza maswali yenye maana unampotezea muda Sheikh
Swadakta sheikh kipozeo
Taaluma ya habari imevamiwa... anayehoji hana taaluma ya habari/uandishi..usharobaro..
shekhe tunavyo jua kua kuimba nyimbo haram kuskia nyimbo haram licha ya rizki mbona ilo swali umelijibu kua ukimnyenyekea allah akunyimi rizki mbona hukujib kua kuimba haram kama dini inavyo sema shekhe wetu
Mlinganie aingie kwenye haki
Kipozeo zamani nilikuwa nikimkubali sana wakati wa ramadhan kama hivi yupo pale kigogo
Jamaa kakariri watu maarufu ..... ndo nini sasa😏
Interview pia hajajipanga kuuliza masuala ya msingi
Hakuna sheikh hapa, ni comedian tu
Nakukubali kupita maelezo
Na wale wanafanya dawah mitaaani na wankuwa na viatu wakisoma quran3 je vipi hao?
Wewe jean aca comment za kitoto
Nadhani ameshitukishwa majibu haya laa
Naomba kama naweza pata namba yake Mzee wangu
Taaluma ya uandishi imevamiwa!
Maandishi hujielewi
JeanMuzaliwa unaongea kitu usicho na elimu nacho.Una uhakika hizo ndevu zimechomwa? Jifunze hilo kwanza halafu ndo uje barazani kuongelea mambo yenye kuhitaji uelewa wa kutosha.Halafu ni jambo jema hata kwenye maelekezo ya dini ya jina lako kuwa adabu kwa watu wazima na viongozi wakiwemo wa dini.Hicho ulichokusudia kusema kwa kuandika 'choga' ni ukusefu wa adabu.Hata hivyo,hiyo rangi ya ndevu zake siyo alama ya hicho ulichikilenga.
HICJO ULICHOKILENGA KWA KIONGOZI HUYO,KITAKURUDIA WEWE MWENYEWE.HESHIMA YA SHEIKH KIPOZEO NI KUBWA KULIKO CHOCHOTE CHAKO.BADILIKA
NDUGU.
Wewe interviewer una matatizo maswali yako Mimi ningekutia kofi Bwege ww huna akili
Tumesikia ukaribu wa kipozeo na Hananja, unaongopa na huku umefunga. Anyway hata hivyo uongo unaruhusiwa kwenye Uislam ili mradi uwe kwa manufaa ya Uislam.
Acha uongo ndugu yangu
we mwenyewe umeshachoma ndevu la kufuatia utakuwa choga,kama ww kiongozi unakaa ivo vp kuhusu wale unaoongoza?dini nyingine ni shida tupu!
Hajachoma kaweka hina
WWE JEAN ACA COMMENT ZA KIJINGA KAMA HUJIWI UMUHIM WA HINNA ULIZA
@@pacifiquemukanya1009 kama ww ni muislamu uko kwenye hatari,pia naomba unifunze ww mwenyewe kujuwa!