Nashukuru sana mkuuu, umefanya niamini nilichokuwa nawaza, yule tod anatuaribia tim, Gallagher ni wa kuuzwa kweli alafu ubaki na chuku?, naombea hata disasi na badiashile wapate injury ya mda mrefu (kama miaka minne) kwenye mechi ijayo ili Trevor asiondoke,
Hiii nimeielewa kinyama👏👏👏👏
maresca amesema TUTAKULA VYUMA MSIMU MPYA SABABU YA KUANZIA MPIRA NYUMA😅 kwaio tujiandae kisaikolojia😅
Kweli kabisa
Sanchez anakula num kizembe sana
È verdade meu amigo. Dalaja
Thanks bro,sory i can not translate every video in english
Nashukuru sana mkuuu, umefanya niamini nilichokuwa nawaza, yule tod anatuaribia tim, Gallagher ni wa kuuzwa kweli alafu ubaki na chuku?, naombea hata disasi na badiashile wapate injury ya mda mrefu (kama miaka minne) kwenye mechi ijayo ili Trevor asiondoke,
Maresca kasema tutakula vyuma sana msimu huu kuanzia mpira nyuma😅
Chalobah yuko poa sana
Lazima asepe hakuna jinsi
Nikweli broo sasa unafkiri tuna watetea Vipi tuna wakubali Sana wadau wetu banaa
Kilichobaki ni kuomba waje wachezaji wazuri zaidi yao
Sasa inamaana hao maboss hajaligundua hilo? Na km wameshaligundua hilo jambo kwann wasifanye mabadiliko ya hao madirector
Wamewekeza ela nyingi kwa directors na njia yao ni kusajili watoto wengi wauze kwa faida