ENZO BILA USAJILI HALI NI NGUMU

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 25 янв 2025

Комментарии • 48

  • @AliissaAliissasumail
    @AliissaAliissasumail 10 дней назад +1

    Safi sana kuusu fowad

  • @MuuminAli-c4i
    @MuuminAli-c4i 8 дней назад

    Huyu kocha mbaguzi sana, halaf hatak ata kumchezesha Challobah

  • @borntown6945
    @borntown6945 9 дней назад

    Broo nguvu yakiume imepotea kwakweli😂😂

  • @mohamedkhalifa6014
    @mohamedkhalifa6014 10 дней назад +1

    Jackson sio striker wa kumtegemea atupeleke nchi ya ahadi

  • @KINGABUMEKAR
    @KINGABUMEKAR 10 дней назад +1

    NGOMAA NIII NGUMUU MNOOO

  • @footballbrain74
    @footballbrain74 10 дней назад +1

    Dah hii chelsea Yetu inafanya tunakosa alama kibao amabzo tungekuwa mbali sana sasa hivi

  • @Deny859
    @Deny859 11 дней назад +4

    Ngoma ningumu kaka mimi nilisema Chelsea bado mukasema kwa mpira wa maresca lazima tutatoboa wapi hamna lilote ni joto tuu the blues

    • @darajani1905
      @darajani1905  11 дней назад +1

      Hatari sana,lile soka lilitufumbaza😅

  • @MuuminAli-c4i
    @MuuminAli-c4i 8 дней назад

    Kaletewa Challobah anasem hatocheza ata dakik moja

  • @YusufuMwamlengaMwamlenga
    @YusufuMwamlengaMwamlenga 11 дней назад +1

    Petrovich yule kipa yupo wapi?,kipa hakuna,beki ya Kati mzoefu hakuna,viongozi huu mzigo hawezi kuukwepa,pia Chelsea ilihitaji kocha mzoefu nasiyo huyu maresca,mm binafsi hapana

  • @SaluEddy
    @SaluEddy 10 дней назад

    Mbona ben chilwell yupo ula hampi namba anazingua maresca aache bifu wale watoto wke .na pia akitoka veiga tutapigwa hatari veiga ni pleyaa kataaa kubalii

    • @SaluEddy
      @SaluEddy 10 дней назад

      Ampe nafasi veiga kuliko achaeompong anauwa timu maresca hatumtak yule timu yake man city

    • @SaluEddy
      @SaluEddy 10 дней назад

      Mm nna hasira sana mpumbavu yule mpka ipswich anatufunga muambien aache useng

  • @NikolaiMwambene
    @NikolaiMwambene 10 дней назад

    Hayo yote ni baada ya matokeo mabaya

  • @SumailAbdalaAbdala
    @SumailAbdalaAbdala 10 дней назад

    😢😢😢

  • @AllyMadenge-u6o
    @AllyMadenge-u6o 10 дней назад

    Rudisha Alizabalaga Rudisha Rudigar Rudisha Lukaku

  • @KhalidinaAdam-d6t
    @KhalidinaAdam-d6t 10 дней назад

    kocha mdogo mawazo madogo chelssea tunautajili wa viungo ila kocha atunna dar viongo kama awa angewapata morinyo tungekua katika nafac ya ubingwa mfano kati mweke caicedo viega enzo mbele jizi jakson palmer neto apo tukishinda 1 imeisha iyo lkn sasa iv ni aibu chelsea ata ikicheza na yang GG inatoa dar inauma

  • @Gsamir694
    @Gsamir694 10 дней назад

    Chelsea wasajili Lautaro au gyokeres au Conrad harder au sesko au vlahovic au osimhen

  • @samdrumsticks9016
    @samdrumsticks9016 10 дней назад

    Kaka naikubali hiyo piga promo

  • @KhalidinaAdam-d6t
    @KhalidinaAdam-d6t 10 дней назад

    enzo maresca ni chiz kamtoa kipa aliyetufikisha nafac ya6 kamuacha yule chiz aya kasajili kipa mbona amtumii naamini yule kipa aliyekua bench mzuli kuliko sanchez pia kusajili mabeki chelsea atunashida ya beki toa disasi toa badiashili ludisha cheloba uza sanchez mludishe slonina gaga shida yetu ni straika na kama atuna pesa yakusajil mfungaji bora Gui kuliko jakson chiz

  • @mapromovichege6997
    @mapromovichege6997 11 дней назад

    Big p weka mzikiiii hahahah

  • @DiazMwinuka
    @DiazMwinuka 11 дней назад

    Maresca apunguze IGO. Chelsea watafute namna ya kutowategemea wachezaje injury prone, Striker mwingine anahitajika majukumu ya kufunga ni makubwa sana kwa Jackson, akipata mtu wakumtua huo mzigo atakuwa bora zaidi

  • @ndaboroheyeblaise685
    @ndaboroheyeblaise685 10 дней назад

    Naku fatilia 5/5

  • @daudiraphaeli
    @daudiraphaeli 11 дней назад

    Kweli

  • @Gsamir694
    @Gsamir694 10 дней назад

    Chelsea hawana mabeki wakati

  • @Abdully08hamid
    @Abdully08hamid 10 дней назад

    Kaka vipi mbn hujapendekeza Bek was Kati awe nani

  • @aproxaprox
    @aproxaprox 11 дней назад +1

    Kosa kubwa siku ya jana ni substitute ya James kwa Lavia,
    Lakin watu wengi hawajlion hilo, isipokua wachache wenye kuujua mpira.

    • @darajani1905
      @darajani1905  11 дней назад

      Lavia majeruhi hawez dakika 90

    • @mohamedkhalifa6014
      @mohamedkhalifa6014 10 дней назад +1

      Upo sahihi baada ya lavia kutoka ni kama jamaa walipata nguvu ya kupenya sana kwenye kiungo chetu ila kocha alikuwa hana namna lavia tayari alikuwa ame panick na ameshakula njano so ilibidi atolewe tu

    • @aproxaprox
      @aproxaprox 10 дней назад

      @@mohamedkhalifa6014👍 we nimekulewa,
      Hizo sababu nazikubali, yellow card na kwamba alikua ashapanic,
      sio huyu mchambuzi wetu eti anasem injury hawez dkk 90, kivip wakat alipata maandaliz Kw mchezo wa FA uliopita.

  • @AhmedSalim-uf5vy
    @AhmedSalim-uf5vy 11 дней назад

    Me kun kipindi nilisemaa kua mpiraa ni matukiooo inatubidiii kustahamiliaaa kivovoote vileee uooo nd mpiraa

  • @shartygaking
    @shartygaking 10 дней назад

    kutoka kufufuka mpk ngoma ngumu bdo aujasma mdg mdg unaanza kuacha moshi

  • @Chelseaboy_1905
    @Chelseaboy_1905 11 дней назад

    Tunakomalia kila siku tunataka strika lakini kiuhalisia tunahitaji goal kipa matured kule nyuma

  • @jumajuma6612
    @jumajuma6612 11 дней назад

    Mi naona asa ivi tucheze 4-3-3 labda

  • @SahimSalim-l5f
    @SahimSalim-l5f 11 дней назад

    Huyu KOCHA ni povu LA soda

    • @darajani1905
      @darajani1905  11 дней назад

      😂😂😂😂😂 linaisha haraka au

    • @SahimSalim-l5f
      @SahimSalim-l5f 11 дней назад

      @darajani1905 mimi nliazani kocha alivyoanza atakuwa na makombokombo ya Gadiola

  • @JacksonJoshua-o5q
    @JacksonJoshua-o5q 11 дней назад

    Ulivyo anzaa nikajua Leo ata plomo itakuwa aifai

    • @darajani1905
      @darajani1905  11 дней назад +1

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @SahimSalim-l5f
    @SahimSalim-l5f 11 дней назад

    Huyu kocha anasababisha tufungwe Kila siku analichezesha lile kipa bovu sanchez na Kila siku anafanya makosa

    • @darajani1905
      @darajani1905  11 дней назад

      Nahisi kuna watu wanamlazimisha,maana ana pochetino alianza nae akaja akamla bench

    • @SahimSalim-l5f
      @SahimSalim-l5f 11 дней назад

      @darajani1905 nikwel

    • @YusufuMwamlengaMwamlenga
      @YusufuMwamlengaMwamlenga 11 дней назад

      Ndio maana walishindwana na Tuchel,pocketing,hawa makocha hawapendi kuingiliwa taaluma yao​@@darajani1905

  • @SahimSalim-l5f
    @SahimSalim-l5f 11 дней назад

    Naona KOCHA kama ataendelea hivi, Milango wa kwaheri unamsubir

    • @darajani1905
      @darajani1905  11 дней назад

      😂😂😂 naamin atabadilika

    • @SahimSalim-l5f
      @SahimSalim-l5f 11 дней назад

      @@darajani1905 sio ya kucheka, ifike mda gem aanze nkuku japo mechi tano tumuangalie, mm namin nkuku hakos kisenge senge

  • @KhalidinaAdam-d6t
    @KhalidinaAdam-d6t 10 дней назад

    enzo maresca ni chiz kamtoa kipa aliyetufikisha nafac ya6 kamuacha yule chiz aya kasajili kipa mbona amtumii naamini yule kipa aliyekua bench mzuli kuliko sanchez pia kusajili mabeki chelsea atunashida ya beki toa disasi toa badiashili ludisha cheloba uza sanchez mludishe slonina gaga shida yetu ni straika na kama atuna pesa yakusajil mfungaji bora Gui kuliko jakson chiz