ASANTE WANA DARAJANI: OSIMHEN SHIDA: ASERNAL WATUHESHIMU

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 27 янв 2025

Комментарии • 106

  • @adolphndenga6489
    @adolphndenga6489 4 месяца назад +1

    nakukubali sana kaka kwanza ilibidi uwe chombo kikubwa hapa Bongo wewe ni level za Ambangile 🎉

    • @darajani1905
      @darajani1905  4 месяца назад

      😂😂😂😂😂😂 ndugu utaniua😂😂😂😂

  • @FanuelMtemi
    @FanuelMtemi 5 месяцев назад +1

    ⚽⚽⚽⚽⚽💙💙💙💪

  • @israelmpiluka-gu6vh
    @israelmpiluka-gu6vh 4 месяца назад +1

    The blues 💙fire

  • @khalidmwinyi1981
    @khalidmwinyi1981 4 месяца назад +1

    Saw nakukubali bro ila mara hii Chelsea top kama kawaida😅

    • @darajani1905
      @darajani1905  4 месяца назад

      Sure kabsa ila shida tumemkosa osimhen

  • @SharifaKombo-w6p
    @SharifaKombo-w6p 5 месяцев назад +1

    hongera sana

  • @JozeeHazard10
    @JozeeHazard10 5 месяцев назад +1

    Aaaaah kumbe familia 😂😅

  • @ahmedghoth2996
    @ahmedghoth2996 5 месяцев назад +1

    Safi sana yule mtoto cole palmer ananikosha sana

  • @geormichael5870
    @geormichael5870 5 месяцев назад +1

    💙💙💙💙🔵

  • @VenacSiremany
    @VenacSiremany 5 месяцев назад +1

    Nipo pamoja nakufatilia sana naipenda sana chelsea 🙏

    • @darajani1905
      @darajani1905  5 месяцев назад

      Naipenda sana pia ndugu,furaha yetu ndio hiyo

  • @ALLINONE-us6tj
    @ALLINONE-us6tj 5 месяцев назад +2

    Pamoja sana kaka mchambuzi wa boli God bless you

    • @darajani1905
      @darajani1905  5 месяцев назад

      Thanks sana karibu la familia

  • @Babusori
    @Babusori 5 месяцев назад +7

    Ila Chelsea 💙💙 like zangu jamn

  • @RajabMussa-hb2xo
    @RajabMussa-hb2xo 5 месяцев назад +1

    Kaka unalijua soka pamoko sana💪

  • @Mikael-e7g
    @Mikael-e7g 5 месяцев назад +1

    Nakukubali sana

  • @abdusaleh8542
    @abdusaleh8542 5 месяцев назад +2

    Aseee sisi wamoto

  • @selemanajali6336
    @selemanajali6336 5 месяцев назад +1

    Dar mwanangu nakukubali sanaa

  • @KINGABUMEKAR
    @KINGABUMEKAR 5 месяцев назад +1

    tuko pamoja sana kaka sisi sote ni wana darajani

  • @bonifacewanyonyi3555
    @bonifacewanyonyi3555 5 месяцев назад +1

    💙💙💙💙💙💙

  • @KasangaMasudy
    @KasangaMasudy 5 месяцев назад +1

    Sawa mchambunzi🔥🔥🔥

    • @darajani1905
      @darajani1905  5 месяцев назад

      Asante kwa suport yako ndugu

  • @KomboMakame-x8t
    @KomboMakame-x8t 5 месяцев назад +3

    Asant mzanzibar nnojuwa mpira hapa bluus❤

  • @hamidulaizer7730
    @hamidulaizer7730 5 месяцев назад +1

    Up bluess

  • @flavourboyke
    @flavourboyke 5 месяцев назад +1

    Pamoja

  • @mohamedkhalifa6014
    @mohamedkhalifa6014 5 месяцев назад +1

    Pamoja sana mchambuzi🔥🔥

  • @mohammedmohamed969
    @mohammedmohamed969 5 месяцев назад +1

    La familia forever kaka
    The blues

    • @darajani1905
      @darajani1905  5 месяцев назад

      One love bro long time upo ndugu una suport

  • @issakawaya8315
    @issakawaya8315 5 месяцев назад +1

    Yajayo ya tapendeza

  • @KhalidinaAdam
    @KhalidinaAdam 5 месяцев назад +1

    nami pia nakubaliana na ww kaka colwil mm namtazama kama john terry kalud

    • @darajani1905
      @darajani1905  5 месяцев назад

      Sure kabsa dogo anadamu ya uongozi

  • @jamesjoseph2421
    @jamesjoseph2421 5 месяцев назад +1

    Ila asenyali bana😅😂

    • @darajani1905
      @darajani1905  5 месяцев назад

      Wanataarabu sana na hawana kombe😂

  • @jamclassic9466
    @jamclassic9466 5 месяцев назад +1

    Ongelea ishu ya osimhen hizo historia tunazo

    • @darajani1905
      @darajani1905  5 месяцев назад

      Nimeandaa video kwajaili yake inakuja

  • @IssayaLaizer-u4c
    @IssayaLaizer-u4c 5 месяцев назад +1

    Tuko vzr sana

  • @geofreygerrald5173
    @geofreygerrald5173 5 месяцев назад +1

    ❤❤❤❤

    • @darajani1905
      @darajani1905  5 месяцев назад

      Baba kopa ipo poa shida rangi nyekundu😅

  • @AhmadIssa-s7s
    @AhmadIssa-s7s 5 месяцев назад +1

    Vp kuhus toney kaka

    • @darajani1905
      @darajani1905  5 месяцев назад

      Toney ilikua danganya toto,team nyingi zinamkataa sababu ya skendo yake ya kubet.Brand yake haiuziki kibiashara

  • @EmmanueliKarisa
    @EmmanueliKarisa 5 месяцев назад +1

    Jifariji broo kichapo kiko palepale

    • @darajani1905
      @darajani1905  5 месяцев назад

      😂😂😂😂😂 najua ndugu ila iman tunayo

    • @EmmanueliKarisa
      @EmmanueliKarisa 5 месяцев назад

      @@darajani1905 Sawa ukweli Ile Chelsea ninayo ijua sioo uongozi unatuangusha Sana pochetino hakuwa mubaya

  • @halidhakim883
    @halidhakim883 5 месяцев назад +1

    Pamjaaaaa

  • @stephanoseleman6698
    @stephanoseleman6698 5 месяцев назад +1

    Fanya uje arsenal

    • @darajani1905
      @darajani1905  5 месяцев назад

      😂😂😂😂😂 damu yangu ya blue ndugu ila sio mbaya nyie majiran zetu nitakua nakuja kusalimu

  • @alissonGeorge-z5o
    @alissonGeorge-z5o 5 месяцев назад +1

    Hujamzungmzia victor gyokeres

    • @darajani1905
      @darajani1905  5 месяцев назад

      Namkubali sana jamaa ila naona chelsea imejikita na victor

    • @darajani1905
      @darajani1905  5 месяцев назад

      Namkubali sana jamaa ila naona chelsea imejikita na victor

    • @alissonGeorge-z5o
      @alissonGeorge-z5o 5 месяцев назад

      @@darajani1905 yule jamaa ni mashine ya magoli

  • @jorento
    @jorento 5 месяцев назад +2

    Shida ya Osimhen ni INJURIES 😢

    • @darajani1905
      @darajani1905  5 месяцев назад

      Ata neto injuries ila muhimu awepo ata game kubwa

  • @KINGABUMEKAR
    @KINGABUMEKAR 5 месяцев назад +1

    arsenal; lazma tumfungee yaani iyoo haipingwii

    • @darajani1905
      @darajani1905  5 месяцев назад

      Siku hiyo nitachinja mbuzi tule na lafamilia

  • @monnyswaggs_8641
    @monnyswaggs_8641 5 месяцев назад +1

    Unatisha sana kaka,kikubwa usichoke kila mechi au kila jambo njoo na uchambuzi

    • @darajani1905
      @darajani1905  5 месяцев назад

      Support yenu inanipa nguvu

  • @abdul-qadirshaame2024
    @abdul-qadirshaame2024 5 месяцев назад +1

    Bro create whatsup group 💙💙

  • @sultanhamis9292
    @sultanhamis9292 5 месяцев назад +4

    Tuko pamoja

  • @oscarfrancis2464
    @oscarfrancis2464 5 месяцев назад +1

    Mimi naamini kwasasahivi Chelsea tunawashambuliaji wengi wenye ubora ,usajili niliofurahia Mimi ni Felix na Neto , nadhani maresca akiwatumia vizuri tutamaliza na magoli mengi

    • @darajani1905
      @darajani1905  5 месяцев назад

      Wolves walifunguka sana ila kuna game watu watakaa nyuma,bila striker ngoma tutasugua sana chuma

  • @amilyabdu1563
    @amilyabdu1563 5 месяцев назад +1

    Sasa Onana Anakuusu Nini Ongelea Khabali Za Hao Mashoga Zako Unajiyekenya Na Kucheka

  • @Abdully08hamid
    @Abdully08hamid 5 месяцев назад +1

    Hivi Chelsea wanataka kumsajili osimhen AU vipi

    • @darajani1905
      @darajani1905  5 месяцев назад

      Yani wanapresha nae sana na nahisi walimuahidi kumsajili

    • @Abdully08hamid
      @Abdully08hamid 5 месяцев назад

      Halafu vipi kuhusu Sancho mana naona posti nyingiii Kuna dondoo yoyot ama

    • @Abdully08hamid
      @Abdully08hamid 5 месяцев назад

      Asante kaka mwanao chelsea hapa

    • @Abdully08hamid
      @Abdully08hamid 5 месяцев назад

      @@darajani1905kun reply zk cizion kaka

  • @ShaibukhamisMohd
    @ShaibukhamisMohd 5 месяцев назад +1

    😂😂

  • @fahmyisco2912
    @fahmyisco2912 5 месяцев назад +1

    Ushindi usiwape bichwa ligi bdo mbichii😂😂😂😂

    • @darajani1905
      @darajani1905  5 месяцев назад

      😂😂😂😂😂😂 shida sio ushindi bali boluu lililopigwa kuleta ushindi

  • @mohammednassor2492
    @mohammednassor2492 5 месяцев назад +1

    Tutampata lkn bro

    • @darajani1905
      @darajani1905  5 месяцев назад

      Chelsea hawawez weka nguvu zao zote kwake wakamkosa😅

  • @samwelkavwanga4491
    @samwelkavwanga4491 5 месяцев назад +1

    Kaka Bado hatujakaa sawa . Tuache iz sifa za kijinga. Msimu wa tatu huu hatuna kombe lolote kaka😢

    • @darajani1905
      @darajani1905  4 месяца назад

      Sure kabsa nilikua na mzuka nikijua osimhen anakuja ila daaah

  • @josephatmdidi1527
    @josephatmdidi1527 5 месяцев назад

    Mbn fabrizio anasema ohsimen ana negotiate na al hilal

  • @wencewenceslaus
    @wencewenceslaus 5 месяцев назад +1

    ,, 😂😂😂😂😂

    • @darajani1905
      @darajani1905  5 месяцев назад

      Oya umefurahini na mim nifurahi😅

  • @GanazXG
    @GanazXG 4 месяца назад

    Vipi kuhusu 5 - 0? Tuchambulie mara ya mwisho Chelsea alipigwa 5 - 0 na timu gani.

  • @justinhabonimana3890
    @justinhabonimana3890 5 месяцев назад

    kuto Burundi tuko pamoja

    • @darajani1905
      @darajani1905  5 месяцев назад

      One love sana bro,la familia🤚🤚🤚

  • @ErickMeneja
    @ErickMeneja 5 месяцев назад +1

    💙💙💙💙💙