pacoume kawaka sana jana💥ila kuna wachezaji wapo kwenye viwango bora sana na wanashawishi kila kukicha..boka,duke abuya,mzize,pacome,maxi,musonda anazidi kuongeza kitu ila ajitahidi kuwekeza akili zaidi katika eneo la kumalizia..AZIZI katulia sana
Pacome akishika mpira ningumu kumpokonya alf ana force kubwa kufika mbele na akifika ni shoot kubwa so naongea km mwana simba tareh 8 aangaliwe sana sana alf kipa wetu ayubu au ali salum yanga wana mashut ya mbali hatar hasa pacome chama na aziz ki pamoj na mudthir mznzibar mwenzngu
Man of the match alikua kipa wa red arrows! Kafanya saves nyingi!Nashanga wanaosema ref kawabeba yanga,( sioni sababu) red card ya mchezaji wa RA slijua ana njano,lkn akafanya ujinga.Red red card hapo ilimuhusu.Hii ilikua friendly match,hakuwa na sababu ya kufanya ule utoto! Penalty ilikua sahihi kabisa! Ref kuchezesha vizuri kabisa! Match ilikua nzuri sana kwa ujumla..wabongo tusiangalie mpira na fikra za kijinga jamani! Chama,sisee,touches zake zimenikosha,yaani anacheza mpira kwa uzoefu mkubwa sana,passes zake,zimepimwa! Tarehe 8/ ataumua watu.I cant wait
@@emmadora7848 ukiwa na mawazo kama hayo ya kitoto,na maisha yako yatakuwa ya kitoto! Unaelewa maana ya man of the match inaaana gani!? Yaani wewe mawazo yako ni kudanga🤣🤣pole
mwaka huu makipa watapata shid sana. Abuya anapiga miwa, Aziz anamabomu, Muda anang'oa minara ya simu, Dube yeye popote nje ndani anakujuka, Pakome ndo ukigoma anakulazimisha mpaka chumbani kwako yaani tuburere.... kipa haelewi nani atatoa pasi au nani atapiga, simba mchukueni kabisa huyu kipa wa Red Arrows awaokoe na ninyi tarehe nani. Sisi tunajua Deborah tu akikamatwa basi!
Tatizo hujui sheria ya football, huyo mchezaji kajitakia mwenyewe hiyo card . Alikuwa tayari kashatoka nje , kisheria ukiwa nje huruhusiwi kuingia tena mpaka matibabu yamalizike ndo maana hata wenzao walimshangaa, anakuwa kama cyo mchezaji bwana . Hata kocha wao aliongea kuwa kadi nyekundu tulijitakia wenyewe.
Mudathir our zanzibar finest❤🎉
Mudathir ndo man of the match 👏 🙌👊💪💛💚
Pacoume is back on his fitness 💪
Yanga bingwa nayipenda sana muno from burundi❤❤❤
Man of the match...Refa wetu kasaidia Sana kama pesa imeenda kialali
Man of the match ni kipa sio refa
Hii yanga itatikisa Africa kila mtu atakuja kuona 💚💛🙌
Ase yanga hongera, kipa wa red arrows hongera
Huyu Golikipa ni next level😮🤩🤩 nomaa sana
Aiseee kipa wa Red arrows 🔥🔥🔥🔥
Huyu dube namuona kabisa anakamba 2 tarehe 8. Mark my words.
Ila Pacome🔥🔥🔥
daima mbelee yanga💛💛💛💛💛💛💛💛
Man of the match kipa
Kipa wa red arrows apewe hongera yake maana kajituma sana yupo vizuri
Kipa wa red arrows man of the match daaah ilikuaw ni kaziaaaag😢😢
PACOME 🙌🙌🙌
Goal ako vizuri 🙌🙌
Makolo roho Zina umaa yanga oyeeeee💚💛🖤☠️🇰🇪
Oyeeeh
@@jumakassim8718 yes mtu asiguse comment yangu
pacoume kawaka sana jana💥ila kuna wachezaji wapo kwenye viwango bora sana na wanashawishi kila kukicha..boka,duke abuya,mzize,pacome,maxi,musonda anazidi kuongeza kitu ila ajitahidi kuwekeza akili zaidi katika eneo la kumalizia..AZIZI katulia sana
Man of the match inaenda kwa kipa wa Red 🫡 ila kwa 🟡🟢⚫️ wamejipata 🙌👏
Nimeridhika na usajiri inatakuwa concentration tu kwa attacking midlfield na strukers.
Kalumba wa man of Match. Safi sana.
Yanga ya Huu Msimo itakua Kali sana Simba Mjiandae😂😂😂🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦
Pacome +max+Duke 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Yanga kama yanga 💛🔰💚
Yanga 🎉
Huyu kipa ni mzuri sanaaa
Ila hii yanga hii atakufa mtu siku mashaallah ❤
Nyoko
@@boxdad unakufa ukiwa wapi
Wamshukuru kipa wao yupo good wangekula nyingi sana
Kwani kazi yake kipa ni kudanga au kuzuia magoli? Mmeshindwa hata 3 nyingi mngetoa wapi?
@@emmadora7848 mje na kipa bora
Mchumba umebebwa 😂😂😂 diara anaongz kutolew bikra 😅😅😅😅
Hii yanga ya kubebwa na refa hadi mechi ya kirafiki penalty laini sana
Ona huyu naye wamshukuru nini sasa,kwani alikuwa pale kwa jukumu gani
Hii Saka Saka mwizi ya Yanga ni hatari sana, naogopa.
Tukiacha ushabiki wa kijinga yanga wangeshinda nyingi Ni kipa tu wa red mzuri pia bahati haukuwa upande wao
Ulitaka wacheze bila kipa?
@@andrewIzdory-sk4cu elewa comment ndo ujibu usiwe una comment hujanywa chai Sawa mkuu
😂😂😂 Unaandika comment ukiwa wapi? 😂
Ww umenena bwana
Hakuna nyiny kilicho wasaidia ni upungufu wao tu
Kuna mwehu alisema penati tumepewa wehu hawawezi kuisha😅😅😅💚💚💚💚
Safi 🎉🎉🎉🎉
Pakome ni kisanga na nusu 🔥
Zaid ya san pacome ninomaa
hawa jamaa wana Bonge moja la Nyanda .... Good Goalkeeper
marverous saves
Viva Yanga Viva Wananchiiiiii PACOME Hatare Saaana
YANGA bingwa 💚💛🙏
My beautiful team
Ila huyu kipa ni mnoma ❤🔥
Hivi yanga mbona on 🔥🔥🔥🔥🔥
Wamshukuru gor kipa arikuwa vizur
Maskini kipa wa watu alipata tabu sana 😂😂 ⭐⭐⭐🖐🏼
😂😂😂😂
Walipelekewa moto sana red arrows
Ss utopolo na red arrow nn. Kapelekewa moto zaidi ya mama ni bebe
Mimi nimkenya lkn napenda yanga kinoma juh wako na game nzuri than any team in Eastern Afrika.
PACOME mtu hatari sana
PACOME yupo juu SANA ki-soka.
yanga iko vizuri
love yanga
Mungu mukubwa
Yanga noma sana
Uyu kipa wa red atari sana la si ivyo zilikuwa nyingi sana leo
Chadrack Boka hatari sana🔥🔥
Jana angekua kipa wa simba angekula nyingi sana 7
Huyu kipa wa Red Arrows Mungu amfungulie milango apate timu itakayoweza kumlipa zaidi anavyolipwa sasa.Sincerely speaking,he is the best goalkeeper.
Unaweza ukawa mzuka wa mechi moja tu 😀😀
Kipa wao yupo vzr sana😂
Pacome akishika mpira ningumu kumpokonya alf ana force kubwa kufika mbele na akifika ni shoot kubwa so naongea km mwana simba tareh 8 aangaliwe sana sana alf kipa wetu ayubu au ali salum yanga wana mashut ya mbali hatar hasa pacome chama na aziz ki pamoj na mudthir mznzibar mwenzngu
Huyo kipa wa moto 🔥
Mmudathir +aziz ki+ pakome+ dube+ musonda. Chama atasubiri sana
What a goal
🔥🔥🔥🔥🔥
Ila.mudathir ana kitu kinaitwa bahati nzuri
Anajua sana sema hapewi heshima yake. Angekua sio Mtanzania angepewa heshima sana
Noma
Ndio maana ya team akikosekana mmoja n mbaya😊
Asante
Washukuru kipa
Yanga kikosi kipana kipo😂😂
Yanga inaweza kucheza mechi mbili siku moja
KWA KULA VIDONGE VISIVO RUHUSIWA
Yanga ni balaa sijui iyo tarehe 8 mwezi wa 8 watu watalia😢😂 nyie
Shikamoo golikipa wa red arrows
Red arrows wangeshinda hii gem tatizo walipobadili jezi nyekundi yanga ikaaza kuwaona kama adui wengine
Kwani hiyo nyeupe walipowatia moja bila haina utamu wa mnyama🦁
Timu ya pili ya yanga inajaribu kupiga shoti sana kuliko ya kipindi cha mwanzo
Zambia kipa mnae @ anajua Kaz yake
YANGA bingwa
Yanga bingwa mpk wanatrendiiii😂
Yanga daima mbele
Shikamoo pacome
Marahaba 🎉
Kosa kubwa la red arrows ni kuvaa nyekundu tu
PACOME ni moto
Aisee, jamaa ni balaa
Hatari sana anajua sana 💚💚💛💛
🎉Thus why katambulishwa wa mwisho mwisho huko ❤❤❤
Pacome ni shida sema Aziz kii ana offer mechi nyingi bila injury yani msimu mzima anakuwa anacheza game nyingi
huyu pacome achunguzwe 😂😂
HAWA YANGA NYINYI,TIMU IKIJA HOVYO INAWEZA KUCHEZEA NYINGI SANA!
Jamani ushabiki naweka mbali uyo kipa so pouwa angekuwa nikupa wa simba angekula 7
Ww ndio shabiki
Wanasimb wenzang tumuangalienisana huyu pacommme ..nishida
Mudathir Yahya Abas
Man of the match alikua kipa wa red arrows! Kafanya saves nyingi!Nashanga wanaosema ref kawabeba yanga,( sioni sababu) red card ya mchezaji wa RA slijua ana njano,lkn akafanya ujinga.Red red card hapo ilimuhusu.Hii ilikua friendly match,hakuwa na sababu ya kufanya ule utoto! Penalty ilikua sahihi kabisa! Ref kuchezesha vizuri kabisa! Match ilikua nzuri sana kwa ujumla..wabongo tusiangalie mpira na fikra za kijinga jamani! Chama,sisee,touches zake zimenikosha,yaani anacheza mpira kwa uzoefu mkubwa sana,passes zake,zimepimwa! Tarehe 8/ ataumua watu.I cant wait
Sasa kwani kazi yake kipa ni kudanga uwanjani au?😂😂😂😂
@@emmadora7848 ukiwa na mawazo kama hayo ya kitoto,na maisha yako yatakuwa ya kitoto! Unaelewa maana ya man of the match inaaana gani!? Yaani wewe mawazo yako ni kudanga🤣🤣pole
@@errydeo8865MNGE FUNGWA USINGE MSIFIA REFA LAKINI WEWE NI WALE WALE 😂😂😂😂😂 TOPOLOOOOOOO
𝕎𝔸𝕋𝕌 𝕎𝔸ℕ𝔸𝕆ℕ𝔾𝔼𝔸 𝕐𝔸ℕ𝔾𝔸 𝕀𝕄𝔼ℕ𝔹𝔼𝔹𝕎𝔸 𝕎𝔸𝕊𝕌𝔹𝕀𝕃𝕀 𝕋𝔸ℝ𝔼ℍ𝔼 8
@@errydeo8865 ww ndio masikini wa mwisho , kipa kafanya kazi yake ambayo analipwa kwayo
🎉🎉🎉
Yanga baba lao tunasubilia hiyo tarehe nane
🍎yani goal kipper ndio aliwaokowa
Good 👍👍👍🎉
mwaka huu makipa watapata shid sana. Abuya anapiga miwa, Aziz anamabomu, Muda anang'oa minara ya simu, Dube yeye popote nje ndani anakujuka, Pakome ndo ukigoma anakulazimisha mpaka chumbani kwako yaani tuburere.... kipa haelewi nani atatoa pasi au nani atapiga, simba mchukueni kabisa huyu kipa wa Red Arrows awaokoe na ninyi tarehe nani. Sisi tunajua Deborah tu akikamatwa basi!
Huyu kipa noma
Hatar xna ❤❤❤❤
Imebidi apewe mtu RED CARD ili Vitenge FC waweze kushinda, ikashindikana ikabidi wapewe penati 😂😂😂😂
Tatizo hujui sheria ya football, huyo mchezaji kajitakia mwenyewe hiyo card . Alikuwa tayari kashatoka nje , kisheria ukiwa nje huruhusiwi kuingia tena mpaka matibabu yamalizike ndo maana hata wenzao walimshangaa, anakuwa kama cyo mchezaji bwana . Hata kocha wao aliongea kuwa kadi nyekundu tulijitakia wenyewe.
W kolo chakavu em uje uifunge yanga tar 8 @@RehemaPanga-x6z
Usiwe unaongea tu yanga wanapiga ball
Kipa wiki hii haamki Kwa kuokoa mekwaju mingi
Tunaishukuru Kadi nyekundu iliyotupa ahuweni na kiukweli April ina kiwango bora kuliko Red Arrow
Kwan red arrows si walicheza na Apr kwenye cecafa.. unajizima data.. subir tareh 8.. Simba wangecheza na Red arrows wangeliwa 3 bila
Sio kweli kaka
Inamana bira cad nyekundu yanga shghur ilikuwepo
KWELI BRO
Inaonekana umeumia Sana @@magesakhamis4808
Hujui mpira,
Yanga bingwa yanga tamu yanga rahaa ww huogopi 💚💚💛💪💪💃💃
Jifariji tu
VP SADA UTANIPA ILE KITU NAMESA MESA MWENSAKE??? 😂😂😂😂😂 SIMBA UBAYA UBWELA ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@@salimmalaka256 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 tulia kolo sanda
@@sadahamad6158 BASI NIPE ILE NAMESA MESA MWENSAKE
Ila yanga Mungu anawaona hadi mnabebwa
subir zam yenu 5🖐️🖐️🖐️
Mbeleko FC🥱🥱🥱🤣🤣🤣🤣
Ila kipa wanae!
Uwezo wayanga nimkubwa sasa waonyesha viwango
Red mumepiga sana mpira lakini kilichokuponzeni ni hii jezi, imekaa kimnyama mnyama, na Yanga akiona hii kitu lazima aifanye kitu mbaya!
Kitu mbaya ipi wakati alibebwa
@@iamdivineimage Imekojoa mgongoni
@@hajihassan5433 Hamna kitu utopolo mtupu
Wakat wamebebwa 😅😅😅na mlishabebwa sana kwn hatujui