It’s going to be a long road for my fellow South Africans🇿🇦 at Simba (Fadlu Davids & Co ) Gamondi’s team are a well oiled machine 🔥🔥🔥Dube-Pacome-Ki Yanga’s defence is extremely stingy A bit of unselfishness could’ve earned Simba a goal That’s a penalty all day anywhere in the world Simba will feel hard done by the officials on that one But overall as a neutral 🇿🇦 , Yanga were too strong for Simba I’m loving the Swahili commentary and the nicknames are funny aswell ‘Screen protector’ ‘Master key’ ‘
Thanks brother in Tanzania 🇹🇿 the biggest team is Simba though we are having a hard time finding how to get organized as a team with almost new players from different areas.But hope this season gonna be good after 3 consecutive nil .
Team yetu imecheza vizuri japokuwa wengi ni wageni.... Naamini itakuwa bora sana kwenye Ligi... Hongereni sana... Hatuangalii kupoteza ila tunaangalia performance. Nguvu Moja 💪🦁 Kahuli hile UBAYA UBWELA😎
simba hii weka mbali na watoto hilo goli ni uwezo wa pacome kupiga penetration pass na pia pacome ni defense destructor ndiyo mcheza kaibeba yanga kwa leo . simba wana hitaji more game kutengeza combination hongera kwa washindi hongera simba kwa mchezo mzurii
TFF mutazam refa wa kuwawek huy risas anatukosesh penalt hiv hiv na iyona na iyo VIR mueke tunadhulumiw hiv hiv hlf leo yang kishasho kimekutoken ubaya ubwela ❤❤❤❤❤❤❤
Wa Kenya 🇰🇪 wenzangu na mashabiki wenzangu wa yanga nipeni like hapa duke abuya tunae na tunatamba nae
Umeonaeeh
Naipenda sana young Africans from kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Safi Sanaa 💚
Upende ndo timu kubwaa kwa ss hutojutaaa
@@exaudyjm5170😮😮😮😢😮😮😢😢😢😢😢😢😢😢😮😢😮😢
Wanya Rwanda 🇷🇼 tunapenda Tanzania ❤❤
Ubaya ubwege gonga like shabiki wa Yanga twende pamoja💛💚💛💚
😂😂Ubaya ubwege kwel
🎉❤❤
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kweli ubaya ubwege
😂😂💚💚💚💚
Ubaya ubwege
Naipenda sana yanga from Mozambique 🇲🇿🇲🇿
Wananchiiiiiiiii, tulio gulf gonga like 🇴🇲
💚💚💚🧡🧡🧡
🍃🍃🍃🍃🍃
❤a a😊😊😊à
Mi shabiki wa yanga🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Tunakushukuru sana Mungu wetu kwa zawadi hii kubwa. Tunaendelea kukushukuru Eeeee Mungu wetu na hatutakoma kukushukuru daima upendavyo. Amina.
Simba project yao itafanikiwa round hii. Sawa tumekubali ila muda utaongea simba nguvu moja.
It’s going to be a long road for my fellow South Africans🇿🇦 at Simba (Fadlu Davids & Co )
Gamondi’s team are a well oiled machine 🔥🔥🔥Dube-Pacome-Ki
Yanga’s defence is extremely stingy
A bit of unselfishness could’ve earned Simba a goal
That’s a penalty all day anywhere in the world
Simba will feel hard done by the officials on that one
But overall as a neutral 🇿🇦 , Yanga were too strong for Simba
I’m loving the Swahili commentary and the nicknames are funny aswell
‘Screen protector’
‘Master key’
‘
'may day'😅
@@GilbertJackson-fv5mh 😂😂😂
Thanks brother in Tanzania 🇹🇿 the biggest team is Simba though we are having a hard time finding how to get organized as a team with almost new players from different areas.But hope this season gonna be good after 3 consecutive nil .
@@thehustlerafrica4368 tons of patience needed and sufficient support for the coach
Yanga bingwa
Wana Yanga nipeni like moja kwa kuwafunga hawa wazee wa ubaya ubwela 😂
Ubaya ubwege
@@mmewaswida 😄
Nimeku like kaka umeiona
@@KibaoMkojane nimeona 😁
Yanga kutoka kenya🇰🇪🇰🇪
Max yupo karibu na Mungu SN Utafika mbali bro
Kazi kusema ubaya ubwela kufungaa aaahh naomba like wanayanga 💚💚💚💚💚💛💛💚 naombeni like
😅😅😅
Ubaya upwiru 😂 gonga like hapa💚💛🖤 yanga oyeeee tuwakele kidogo 🤣
Me w kwanz nipen like zng
Diara is phenorminal 💛💚💛💛
Simba nguvu moja
Hiii ndio yanga ya master wetu gamondi mungu amzidishie ujuz wa mbinu na maarifa zaid ili wapinzan wazid kuumia
Ubaya ubwege ---- Hili refa wasithubutu jumps Derby nyingine ya kariakoo ---- " siku moja atakuja kusababisha majanga --- shauri zenu '
😂😂Kama umeskia mpenja akisema yanga nimabingwa wa ngao yajamii gonga likes ap
Yanga juu sana. Yanga never disappoints
Simba hii nzuri inahitaji mechi kama 6 ielewane vizuri zaidi.
Kweli kabisa
Kazi nzuri sana Azam TV pamoja na mtangazaji wake Baraka Adson mpenja. Derby haijawahi kuwa rahisi po pote duniani pale.
Kama we ni yanga likes hapa 🇶🇦.
Team yetu imecheza vizuri japokuwa wengi ni wageni.... Naamini itakuwa bora sana kwenye Ligi... Hongereni sana... Hatuangalii kupoteza ila tunaangalia performance. Nguvu Moja 💪🦁
Kahuli hile UBAYA UBWELA😎
😂
❤❤❤❤❤ yanga nomaaa, ubwelaa poleen, mmezidi maneno tu,
Mnyama 🦁
Nilijuwa yanga tunashinda ❤yanga
Daah kuwa mshabikiwa nikam kuwa mbinguni, ❤ safi sana yanga
🎉🎉🎉🎉 BIG UP MY TEAM #YANGA_SC FOR LIFE ☝️
Aweeee Co kinyonge timu letu lunyasi Ata iweje simba damu❤️❤️💪💪🦁🦁boli limetembea bwana
EBU TUFUNDISHENI GOLI LA AZIZI KI OFFSIDE IPO WAPI? Bora ushindi mengine kuhusu refa tusahau
@@damianmcba9525 refa anajua anachofanya
@@damianmcba9525 LILE LILEFA NI LA KWAO MBWA HAO AZIZ I KI ILIKUWA PENATI NA LILE GOLI LAKE NI GOLI FAL. SANA YULE
❤❤❤😂 Hongera sana young african's, hongera mtani leo umetuweza. Safi❤❤
Ubaya ujingaaa😂😂😂😂😂😂yanga ni bigwa naipenda yangaa❤❤
Dube hakikisha mpira umeingia kwanza boya wew
Simba ipo vizuri sana kuliko yanga Basi tu bahati yao yanga!
Yani matukio yote ambayo mmepigwa bado unasema simba ilikuwa vizuri kuliko yanga!!!!!!??? Aisee mapenzi kipofu kweli
Nakuunga mkono kwasababu timu yetu tunaijenga kwa mchezo wa leo iko vizuri
@@Abillsn😂😂😂😂😂😂 Hadi position wamezidiwa afu anasema nn😂😂😂 wenyewe wakishika mpira wanaruruka bila ushirikiano .
I m worried about Simba's defenders 😢😢😢
Miaka inaenda sana, leo hii Simba wanajiona wapo bora kwa kufungwa goli moja, Yanga ni next level.
Magoli kadhaa na penati zimekataliwa..
Ushind na mke tunaye
Tumeshinda na mke tunaye gonga like hapa mwananchi💚💚💚
Yanga oyeeeh,,,,penda mie yanga mwaaaah
Yanga oooyy wimbo hamoniz raaaaah
simba hii weka mbali na watoto hilo goli ni uwezo wa pacome kupiga penetration pass na pia pacome ni defense destructor ndiyo mcheza kaibeba yanga kwa leo . simba wana hitaji more game kutengeza combination hongera kwa washindi hongera simba kwa mchezo mzurii
Yamekataliwa mangapi?😂
Na mwamuzi pia nyota wa mchezo,kaibeba simba
@@simonanthonykayombo6913yamekataliiwa 15
@@simonanthonykayombo6913 Matatu
Uwezekano wa simba kufanya vizuri kwenye ligi kuu bara upo watulie wasipaparike na pasi ziwe za UHAKIKA
Kweli kabisa
Viva Young Africans
Naona tu uwanja umejaa shabiki sana ningefurahi pia kenya ikuwe tu hivi kwa uwanja yao
Mashabiki wa yanga Kenya wapi upendo
Duke abuya on fire
Hery sasii hii match ilimshinda au alilipwa na makolo ..
Kama sio kuwabeba makolo wangepigwa mkono tena
Dube is a good signing
Yanga unaifungaje😗🙂🙂🙂🤗🤗
Yanga on fwayaaaaa
❤❤❤❤❤yanga waoooooooh
Yaani hii YANGA ndio itacheza na Gor mahia ya Kenya 🇰🇪🇰🇪 yetu??Haina haja tucheze wapewe tuu ushundi YANGA hatuwezi wamiliki kwa kweli
Haahhah
Wew ni buree kabisa haujiamini
Hii ni timu sio kikund cha wachezaji😂😂😂😂😅😅😅😊😊😊❤❤❤❤❤
Yanga hiii unaifungaje 😂😂🎉❤hadi raha
Kocha safi kabisa sema hii defence ya SIMBA inatakiwa irekebishwe vizuri Malone kama vipi apewe thank you mapema tu
Mwaaaah yanga yangu💛💛💚
Ila Mpenja daaah😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Love yanga ❤❤❤❤❤❤
Tarehe 19 Tenaaa
Bacca ❤❤❤ # Zenjiyano
Yanga ilionewa Sana,but hivo hivo ilishinda
Baca🎉🎉🎉💚💛🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💯
Kama sio refa kuwabeba ubwege FC. Walikuwa wanakula chuma 3. YANGA BINGWA TENA
😂 ubwege Fc
Simba tunawafunga midomo leo nahapo walikuwa kwenye michezo mingine kuichezea taifa stazi Yani mnabahati ngoja mchezo mwingine naleo mtalala naviatu
Yanga wametisha
Yanga nilidude likubwa sana
Acha kuiga utopoloooo
HAMISA UMETUHARIBIA MTU😢
TFF mutazam refa wa kuwawek huy risas anatukosesh penalt hiv hiv na iyona na iyo VIR mueke tunadhulumiw hiv hiv
hlf leo yang kishasho kimekutoken
ubaya ubwela ❤❤❤❤❤❤❤
Wananchi tunasema simulia huku unalia 😭😭😭
Tupe jibu goli la pacome na Aziz k shida nini?pia penalty ya master k shida iko wapi?yes pia nanyi mlistahili penalty moja dk za mwisho
Hiv VAR tulioambiwa iko wap😢 hawa marefaree ovyo kabsa
Dube angeelekea uelekeo wa mpira alikuwa anamalizia mwenyewe aisee💪💪👊👊
Hapo ndipo tunapomkumbuka Mayele asingewaacha pale
Ss yanga kucheza na Simba tuna halibu kiwango chetu.
Hii mechi simba kabebwa saana
Yanga yanga❤❤❤❤nawakubali tunawakubali❤❤❤❤❤
YANGA NI BORA KULIKO SIMBA!! KWA SASA WANANCHI WAKO KWENYE SAFARI NZURI YENYE MWENDELEZO ELECTRIC FOOTBALL 💚💛
Gemu ngumu sanaaaa ila.hongera yanga🎉🎉🎉🎉🎉
Alhambdulilah nashukuru kwakutujaalia Kheir
Simba walikua wazuri kila idara sema zare halikusimama
Ubaya uboyaaaaa
Wamebebwa sana
Dube mpira ulikuwa unaludi kwake kabsa Mapepe ya kushangilia mpira haujapita mstari,,Ingekuwa mayele anahakikisha umepita
Inabidi wakubar tu kua yanga Tim moja, wahamie kwetu hatuna stress, tunakula mchicha tembele Kwa aman zoote, wananchi tunaenjoy❤❤❤.
Mungu ibariki daima Yanga tamuuuu!
Lol the match officials were lost 😂❤🇿🇦
😂
Simba nguvu moja ❤️❤️❤️🩹❤️🩹
Wooowww our rayon sport of TZ has 🏆💪
From Rwanda: unprofessional refers ! Young inaibiwa penalty pia na goal Moja ! Fake refer result was 3-0
it seems you take a look at one side of the coin. far enough you were supposed to write, fake refer result was 3-1
Very interesting mwaka huu kazi ipo yanga ipo vizur sana moto mwazo mwisho awapoi simba imejitahidi pia
Simba wanakazi kubwa sanaa ya kufanyaa
Mmmmh 01 on trending
Woyoooooo.yanga.hoyeeeee
Sisi ndo yanga 💪💪
This highlights is based on yanga side only because Simba has a lot of ball engagement than Yanga
Alhamdulillah💛💚
Hatar yanga jitu kubwa
Simba 🔥🔥🔥🔥🔥
💚💛💚💛 penda sana yang
Clear penalty. Poor refereeing all round. Assistants kept raising offside flag instead of waiting for the play to complete.
Nyieeee😂😂😂 Max alivoipokea ile pasi jmn kama kimbunga 💛💚💚💚🔥🔥🔥
Goli la nzengeli limepitia Kwenye tobo
Simba imejitahidi sna lakini tarehe 19 mwezi October tatu sifuli mnakula , Ubaya ubwela❤❤❤Naipenda simba milele
Angalie msile nyie simba
Bado team yenu sio yakutufunga tatu sisi October ni kesho hapa tutawakanda ten vizur tu