Yanga is my team..I am not a TANZANIAN but all the way from France I support Yanga ..I am always in Tz for vacation..Always ..nice people sweet country..I missed my kuku makandae from sawa sawa bay Mikocheni Palm villa
Mtakao angalia hii video mwaka 2099 mjue kwamba 1.goli alifunga kijili mchezaji wa kolo lakini wakamlaumu refa 😂😂 2. Striker wa makolo alisema hajui mabeki wa Yanga ila hakupiga hata off target dakika zote 😂😂😂 3.baada ya mechi wazee wa makolo waliitisha press conference kusema et watahama ligi kisa ya kushenyentwa na yanga 😂😂😂
Tatizo simba bado mnajifanya kutoukubali ubora wa Yanga! Na kwa mtindo huu bado hamjasema yaan mpk mseme Tutakuwa tunawashenyenta kila muda hlf mnakuja hapa mnajisemea kabao kenyewe kamoja tu😂 Hlf sisi waleeeeeeeeeee❤❤❤❤
Maneno ya mkosaji ayo Fanya uchawi alafu usifanye mazoez uone kama uchawi wako utakusaidia nyie Simba Bado Sanaa Kwa yanga jipangeni upyaa ubwabwa ubwela poleni sanaa
Huyu line one --- Mohammed Mkono,ana agenda gani na Yanga --- derby ya pili mfululizo anafanya maamuzi ya hovyo,ambayo yanaigharimu Yanga (1) Derby ya ngao ya jamii,alikataa goli halali la Aziz ki kwa madai alikuwa offside ya kiganja cha Mkono -- (2) Derby ya juzi,alinyuti,wakati Arteba alikuwa clear offside,kwa mguu wote na sehemu kubwa ya mwili wake --- kama sio uhodari wa Diala kusevu --- Arteba ange score,ilikuwa " walete kati "najiuliza, aliwezaje kuiona offside feki ya Aziz ki na kulikataa goli,lakini hakiweza kuiona offside halisi ya Arteba juzi --- " wananchi ! huyu Mkono,hapana , ana agenda yake "
YOU DID IT AGAIN MWANA MBOKA NZENGELI THIS IS YOUR SECOND VICTORY AGAINST SIMBA LET ME CONGRATULATE MASHABIKI, WACEZAJI PIA VIONGOZI WA YANGA AFRICANS KWA USHINDI
Yaani kila simba wakiandaa timu yanga wanacheza 12 uwanjani... Safari iliyopita hivyo hiyo penalty ya waazi kabisa dakika za mwisho simba wanakataliwa 😢😢😢
Mwamuz ameshndwa kutoa penalty kutokana na hali ya uwanja ilivoo na dabi kachezesha Vzur tu ila Simba atengeneze team aache visingizio vya kutegemea waamuz maan ata penalty unawez kupta na ukakosaa
Mwamuzi alijitahid kuchezesha lakin bado ameshindwa kutoa penati ya wazi kwa simba. Pia alishindwa kuona offside kwenye shambulio la kwanza la simba. Waamuzi wetu bado viwango viko chini.
Ni kweli refa alishindwa kwenda na kasi ya mchezo kwa haraka haraka unaweza kusema refa alitaka game kuliweka kati lakini kipa wa simba ndio kamaliza mchezo kwa makosa yake
Simba Tim kubwa tz tatzo uwonevu tu ila itafika mwisho za mwiz 40 itafika tu goal la mchongo mpira umetoka nje kabisa ata kipof anaona kayoko umeiyuwa simba leo ila simba ipo vizur
Game ilikuwa poa ila INSTRUCTOR wa mareferee tanzania center kazengua game ya leo......desicion zake zote poor penalty ya wazi,last man tackling,player overruling na kupandishia sauti,hafiki gates zake kabsa he has to be punished 2 game off the match to stay out
I'm here for Yanga sending Love from em trenches of South Africa 🇿🇦
Nimeikubali simba ya sasa ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
This match is better than big games in the England England premier league. Though the referee was on the side of Young Africans
Refereee ndo wakulaumiwa hii game alivyochezesha na amevaa nembo ya FIFA hafai kabsa
Sisi yanga hatumtaki tena kayoko katuonea sana Leo kawabeba sana simba hatutaki achezeshe machi zetu tena😢😢😢😢😢😢😢😢
Eti he mpk mwenyewe unaona aibu
Wangapi tunaangalia marudio leo😂💚💛💚💛
Yanga is my team..I am not a TANZANIAN but all the way from France I support Yanga ..I am always in Tz for vacation..Always ..nice people sweet country..I missed my kuku makandae from sawa sawa bay Mikocheni Palm villa
Hi
@@AnnaJayden-k4m How is Tz.
Like jaman mimi ndo wa kwanza
Mtakao angalia hii video mwaka 2099 mjue kwamba 1.goli alifunga kijili mchezaji wa kolo lakini wakamlaumu refa 😂😂
2. Striker wa makolo alisema hajui mabeki wa Yanga ila hakupiga hata off target dakika zote 😂😂😂
3.baada ya mechi wazee wa makolo waliitisha press conference kusema et watahama ligi kisa ya kushenyentwa na yanga 😂😂😂
Yanga bingwaa🏆🏆🏆🏆🔥🔥🔥🔥🔥
Mchezo ulikuwa mzuri sana kinachufurahisha zaid kuona SIMBA inazidi kuimarika kadri siku zinavyozid kwenda
Simba ikikutana na timu nzuri viungo wanafeli hasa dada debora fanya analysis utaelewa
No 1 on trending...🎉
Kama na wewe unaamini simba itakua hatari sana ikiwa na Fei toto gonga like
Uongo bwana😂😂😂😂
Mpaka tuione siwez kusmin
Bado mpanzu uwiiiiiii tutauwa watu asee😂😂
Mungu wetu sote atukuzwe kwa yote yy akisema ndiyo hakuna wakupinga, na humpa amtakaye Asante Mungu kwa hizi point tatu
The more We love Simba ❤️. This anger will affect the world only time will tell
Simba Nguvu Moja ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Nguvu moja
Nyoo nguvu mnaitoa wapi
bora ww unajua kujifarij👍👍👍
pamoja
Tatizo simba bado mnajifanya kutoukubali ubora wa Yanga!
Na kwa mtindo huu bado hamjasema yaan mpk mseme
Tutakuwa tunawashenyenta kila muda hlf mnakuja hapa mnajisemea kabao kenyewe kamoja tu😂
Hlf sisi waleeeeeeeeeee❤❤❤❤
Ubora gani wa yanga wakubebwa na marefa penalty 3 clear
Mashaallah Alhamndulilah Allah tuzidishie zaid Inshaallah
Mi naona mechi imeenda vzr sana Mistake ya kujifunga ndo imeamua lkn Simba wameimprove sana yani mechi ya leo vijana wametoshana nguvu
Dakika ishirini za mwisho walikuwa wanataka kutapika nyongo 😂😂
Mimi mfuasi wa Yanga, Kenya
Umekula
Hii ni Yanga yenyewe ❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Watanzania huyu si refa wakuchezasha derby
Kunya ukafe kolo ww😂😂Yanga, bingwa simba hamna timu
Usiongee broken 😅😅😅🤔🤔🤔🔊🔊🎀🌋🍞🐶🐕🤔
Chizi ww
Usijali derby ijayo utachezesha wewe
I support yanga but Simba was stolen three penalties and even the goal the ball had gone outside
Cry more 😂
Cry more and more dear 😅
AM FROM KENYA I THINK TZ REFEREES SHOULD IMPROVE. ALMOST THREE RED CARDS AN PENALTY
Fadlu anajua shida investment kwa wachezaji wa simba
Mara nyingi mechi za Simba na Yanga hazina matokeo halisi bali uchawi ndo unachukua nafasi zaidi .
Hahaha twajua mnvyojisikia hvyo mtkalosem htushngai il poleni
Maneno ya mkosaji ayo Fanya uchawi alafu usifanye mazoez uone kama uchawi wako utakusaidia nyie Simba Bado Sanaa Kwa yanga jipangeni upyaa ubwabwa ubwela poleni sanaa
Huyu line one --- Mohammed Mkono,ana agenda gani na Yanga --- derby ya pili mfululizo anafanya maamuzi ya hovyo,ambayo yanaigharimu Yanga (1) Derby ya ngao ya jamii,alikataa goli halali la Aziz ki kwa madai alikuwa offside ya kiganja cha Mkono -- (2) Derby ya juzi,alinyuti,wakati Arteba alikuwa clear offside,kwa mguu wote na sehemu kubwa ya mwili wake --- kama sio uhodari wa Diala kusevu --- Arteba ange score,ilikuwa " walete kati "najiuliza, aliwezaje kuiona offside feki ya Aziz ki na kulikataa goli,lakini hakiweza kuiona offside halisi ya Arteba juzi --- " wananchi ! huyu Mkono,hapana , ana agenda yake "
bahati aikua kwa simba lakin simba ikosawa sana
Tusipokufunga utajifunga tuuu😂😂hii ndio yanga yetu😂
Yeah....mziki mnene lazima ucheze😅😅
@@mamboshepea8888 Kabisa yaani😂
Mm Yanga lakini Simba atakuja mkanda mtani wake siku za karibuni.....Bado anajitafuta lkn yupo vizur
Watching from USA ,Poorly officiated game.2 clear penalties denied. I think we need VAR in our African games.much love though 🇺🇬🇺🇸
Ata ungeandika kutokea usukumani hakuna penati inayotolewa nje ya box mbona usemi defender wenu alistahili redcard 😳😳😳😬😬😬
Translation hatuelewi
Huyu kibu Denis nimempenda sana aje yanga nitafurahi sana💚💚
Mbona sikioni wanacholalamikia mashabiki wa Simba au ni stress za kufungwa 😂
😂😂😂😂😂😂 stress tu kaka Zina wasumbua
@@bilalcharya4110mav nyieee mnajua stresss nyie bado ligi haijaisha mtataga
Simba players they don't talk to referee for his mistake against them
Napata rahaaaaaaa makolo wanapoteseka🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣💛💚💛💚💛💚💛🖐️
Kama Tff wangetupa maandalizi mazuri simba wangeteseka sana yanga wacchezaji wake wengi walikua timu za taifa ndo maana tulicheza chini ya kiwango
Ila tukiacha unafiki refa kawasitiri Simba axe😢😢
😂😂LEO dakika za jiooniiiiiiii 😂😂😂makolo wamebana lakini ameachaia jamaniii 😂😂kama unairudia hii mechi LIKE 10 😂
mpira n mchezo wa makosa tuu
Unatafta bwana
@@mrhanaf8932 mashaallah bwana mwenyewe umefika my love wangu 💔❤️
@@BlyackLeon-hb9tw kabisa kipenzi
Daima mbele nyuma mwiko button 💚✅💚💛
Simba yetu❤
Yanga oyeeeee❤❤🇹🇹🇿🇨🇩
Yanga ❤❤❤❤
Job ilitakiwa apate nyekundu ila refa kanana fuu😢
The referee was not fair enough with Kibu Denis 😢. Two clear penalties for Kibu Denis
mmmmh😂😂😂😂 i think you need medical retention😂😂😂
Derby imepambwa na sauti nzuri ya mtangazaji
Mnatesek mkiwa wapi penalty hta sisi tumenyimwa
Naipenda yanga tokea kongo
Chama umejua kutufunga mdomo😂😂 wewe sio mzee baba wewe umezaliwa upyaa
Yanga yangu ❤❤❤
Ubaya ubwege😂😂😂hao makolo tumewashona
Mwenye nacho uongezewa kama mahandiko yanavyosema yanga bingwa
Ila kibu anapenda kudondoka,,,, anasahau hiyo ni dabi 😂😂😂
Hyo tabia marefa wengi washamgundua nayoo
@@SuleimanSaidHamadkwa hyo daby ni utopolo ndo kuwakanyaga simba daby ndo madhambi yanaruhusiwa nyiy.ngoja var ije mbn mtakom
Y Musonda penat, Hamza ile Red card, last defender, Kibu denis penat,
Makolo kwa lawama namtaendelea kulalamika sana msimu huu
Hongere sana maamuzi kwa kukubali kupewa hela
Kila lenye mwanzo huwa na mwisho wanasimba tutulie tu wakati waja
YOU DID IT AGAIN MWANA MBOKA NZENGELI THIS IS YOUR SECOND VICTORY AGAINST SIMBA LET ME CONGRATULATE MASHABIKI, WACEZAJI PIA VIONGOZI WA YANGA AFRICANS KWA USHINDI
Yaani kila simba wakiandaa timu yanga wanacheza 12 uwanjani...
Safari iliyopita hivyo hiyo penalty ya waazi kabisa dakika za mwisho simba wanakataliwa 😢😢😢
Hii penati ambayo camara amemshika mguu musonda mbona hamuisemi😂
@@gladnessmushi-ge6fd makolo hamna kitu
Bas 3_2
Sio penalti hio
@@hemedkagodah1436 hii red card ambayo beki wenu angekula lakin refa kaifunika?
@@silasmwamburi9284 ukiwa kolo lazima useme sio penati
Kibu kibu tabia za kujiangusha kutafuta penalt achana nazo waamuzi wameshakujua
Nimeikubali simba iko vizuri ushindi wa mwisho kwa utopolo
Wananchiiiiiiii point 3 muhimu kabisa
Mwamuz ameshndwa kutoa penalty kutokana na hali ya uwanja ilivoo na dabi kachezesha Vzur tu ila Simba atengeneze team aache visingizio vya kutegemea waamuz maan ata penalty unawez kupta na ukakosaa
🇰🇪🇰🇪🇰🇪✌️
Muwe munaitisha wa refer wa Burundi 🇧🇮
Simba ni kubwa sana African❤
Nikiwa USA nimeangalia hii match vizuuuri sana ila kusema ukweli refa katubeba Young Africans. Yaani Hapa tulikuwa tunapigwa 3-1 na SIMBA S
Huyu referee ni mbovu sana...Penalty 2 za Simba
Yn bdo san
Mimi Yanga lakini huyu kazingua kweli
Penalty 2 za wazi kabisa au ndo mama kizi mkazi tunaonewa kila mechi? Bora enzi za Magufuri Kwa kweli R.I.P
Kamfufue aje kuchezesha😂😂😂
Acheni,kulalamika nyinyi mlifunga magoli ya wazi yakakataliwa? Au mnataka huruma za waamuzi?
Hapo Bado hujasema
Kumbe
Acha kuchanganyikiwa kijana tuliza kichwa
Nilicho gundua simba uwezo wakuifunga yanga walikuwa hawana walitegemea sana mipira ya penalt au frekiki ili wapate magoli
AZAM TEAM( LEADERS AND EMPLOYEES) LET ME THANK YOU FOR THE HARDEST WORK NI KWA AJILI YENU TUNAKUWA TUKIPATA IZO VIDEOS ZA GAMES
Kabla ya Kayoko, uchunguzi uanzie kwa kipa
Uchunguzi wa nini we kolo😂😂😂
Kadi nyekundu ya hamza mbona makolo hawaongei pumbavu zao
Yanga bingwa Boss alishasema nyie wakwenu alituma salamu kwa Dada yake
😢😢😢😢kayoko
Yanga wanacheza vibaya hawana fair play ni kuanguasha watu chini tuuu😢😢
Lakini mbona wabongo taifa stars ikicheza hawajazi uwanja?
Ndo Hapo sasa
❤❤❤❤❤❤❤ yangaaaaaaaaa weeeee zombi haujuh
Hiyo faulo iliyopelekea goli mbona haikuwa na msingi wowote
unaweza Jenga nyumba bila msingi
Endeleeni kuingia na matokeo makoloooo
Mwamuzi alijitahid kuchezesha lakin bado ameshindwa kutoa penati ya wazi kwa simba. Pia alishindwa kuona offside kwenye shambulio la kwanza la simba. Waamuzi wetu bado viwango viko chini.
Sasa hivi Mpira ni siasa tu
Ni kweli refa alishindwa kwenda na kasi ya mchezo kwa haraka haraka unaweza kusema refa alitaka game kuliweka kati lakini kipa wa simba ndio kamaliza mchezo kwa makosa yake
Huo ndio ukweli
Simba fan from Kenya but I can conclude that Young African without referee they can't win against Simba
😂😂ya nchini kwenu yanawashinda kazi kuhangaika na timu za jirani yako cry more neighbour
Hayakuhusu kenge wewe
Kama mwamzi kawaonea 2nawaruhusu Simba mechi ijayo apulize Ahamed Ally
Simba Tim kubwa tz tatzo uwonevu tu ila itafika mwisho za mwiz 40 itafika tu goal la mchongo mpira umetoka nje kabisa ata kipof anaona kayoko umeiyuwa simba leo ila simba ipo vizur
Pole sana ww
Nzuri
Awa sio simba ni nyumbu maana adi huluma poleni sana wanasimba😢😢
ASANTENI SANA YANGA MMETURAHISHA MMEFANYA WEEKAND IWE MURUAMAURUA
Yanga piga keleelee eeeeeeee ooh😊😊
Weweeeeeeeeeeee
Weweeeeeeeeeeee
O yooooooooo ok
Woyoooooooo
Na ya musinda nayo penart
سيمبا يريد حارس ويريد مهاجم
Jaman Kwangu Refa Nda Kaua Mechi ile Haikua Faulo Kabisa Sababu mchezaji wa yanga ndo Kaja vibaya
Ligi yakishamba
Dah 😢😢hili ndo jibu langu tu......nipe likes jamani
Yanga mwamuz kweli katbeba kias japo Simba wanakuja mda hauko mbali
💚💚💚💚💚
Mechi kubwa msimuweke mpenja kututangazia waga anapiga tu kelele wekeni hawa hawa combination ya maaaana
Umemaliza
nakubali kazi
Haahhahah cjui nacheka nini lkn kikosi chetu Cha simba bado hakijaingia kwenye mfumo😅
Utopolo wewe Kanye uko babako ndo hakuingia kwenye mfumo😂 Kama una D 2 ushaelewa
kipa naye kaurudisha mbira wanini na ilikua inatoka nje ama kweli hii ndio ile inasemwagwa siku ya kufa nyani miti yote huteleza😢😢😂😂
Anateleza nyani na upumbavu wake

Mwana nchi