- Видео 216
- Просмотров 485 535
Darajani 1905
Танзания
Добавлен 25 ноя 2017
Karibu Darajani1905, chaneli pekee inayokuletea habari na matukio yote ya klabu ya Chelsea kwa lugha ya kiswahili.
KIPARA KIMEOTA NYWELE. ENZO BILA USAJILI HALI NI NGUMU
KIPARA KIMEOTA NYWELE. ENZO BILA USAJILI HALI NI NGUMU
Просмотров: 912
Видео
SAKATA LA USAJILI | Dirisha la usajili la Januari
Просмотров 3,6 тыс.16 часов назад
Karibu Darajani1905, chaneli pekee inayokuletea habari za Chelsea kwa lugha ya Kiswahili! Link za magroup ya Whatsapp: bit.ly/3wKCryG. Link ya group la Telegram: bit.ly/2Vt3UYs
MGOMO UMEANZA NA MARESCA HANA SULUHISHO.....
Просмотров 4,7 тыс.День назад
Karibu Darajani1905, chaneli pekee inayokuletea habari za Chelsea kwa lugha ya Kiswahili! Link za magroup ya Whatsapp: bit.ly/3wKCryG. Link ya group la Telegram: bit.ly/2Vt3UYs
KWA KABUMBU HILI KOMBE ANALITAKA
Просмотров 6 тыс.Месяц назад
Karibu Darajani1905, chaneli pekee inayokuletea habari za Chelsea kwa lugha ya Kiswahili! Link za magroup ya Whatsapp: bit.ly/3wKCryG. Link ya group la Telegram: bit.ly/2Vt3UYs
CHELSEA IMERUDI NA EPL HAWAPO TEYARI
Просмотров 7 тыс.Месяц назад
Karibu Darajani1905, chaneli pekee inayokuletea habari za Chelsea kwa lugha ya Kiswahili! Link za magroup ya Whatsapp: bit.ly/3wKCryG. Link ya group la Telegram: bit.ly/2Vt3UYs
JAMBO LINALOTUFAFNYA TUSHINDWE SHINDA MECHI KUBWA
Просмотров 4,7 тыс.2 месяца назад
Karibu Darajani1905, chaneli pekee inayokuletea habari za Chelsea kwa lugha ya Kiswahili! Link za magroup ya Whatsapp: bit.ly/3wKCryG. Link ya group la Telegram: bit.ly/2Vt3UYs
LA FAMILIA WANADARAJANI VIDEO NI YENU
Просмотров 1,6 тыс.2 месяца назад
LA FAMILIA WANADARAJANI VIDEO NI YENU
MARESCA na PALMER MUUNGANO ULIOTENGENEZWA MBINGUNI: Jakson anufaika.
Просмотров 4,7 тыс.2 месяца назад
Karibu Darajani1905, chaneli pekee inayokuletea habari za Chelsea kwa lugha ya Kiswahili! Link za magroup ya Whatsapp: bit.ly/3wKCryG. Link ya group la Telegram: bit.ly/2Vt3UYs
Zipi ni Mbinu za Kocha Enzo Maresca ndani ya Chelsea? Na mchambuzi George Ambangile
Просмотров 7 тыс.3 месяца назад
Karibu sana Darajani 1905 Huyu hapa mchambuzi George Ambangile (@georgeambangile8189 ) ambaye ni mchambuzi wa soka wa @Wasafi_Media akiichambua mbinu za kocha Enzo Maresca ndani ya Chelsea na utofauti uliopo kati yake na kocha aliyepita, Mauricio Pochettino lakini pia anaitazama wapi Chelsea ya msimu huu. Karibu Darajani1905, chaneli pekee inayokuletea habari za Chelsea kwa lugha ya Kiswahili! ...
Chelsea ya msimu huu chini ya kocha Enzo Maresca, unaichambua vipi? Na mchambuzi Haatim Abdul
Просмотров 3,7 тыс.3 месяца назад
Karibu sana Darajani 1905 Huyu hapa mchambuzi @HaatimAbdulLatheef ambaye ni mchambuzi wa @Wasafi_Media akiichambua Chelsea na mwenendo wake ndani ya msimu huu ikiwa chini ya kocha Enzo Maresca. Karibu Darajani1905, chaneli pekee inayokuletea habari za Chelsea kwa lugha ya Kiswahili! Link za magroup ya Whatsapp: bit.ly/3wKCryG. Link ya group la Telegram: bit.ly/2Vt3UYs
Uchambuzi: Hivi ndivyo wachezaji walivyocheza kwenye ushindi wa mabao 4-2 (Player Ratings)
Просмотров 2,7 тыс.3 месяца назад
Karibu Darajani1905, chaneli pekee inayokuletea habari za Chelsea kwa lugha ya Kiswahili! Link za magroup ya Whatsapp: bit.ly/3wKCryG. Link ya group la Telegram: bit.ly/2Vt3UYs
SIFA ZA KOCHA BORA NI.... : TUKIREKEBISHA HAYA TUTAKUWA TISHIO
Просмотров 3,7 тыс.3 месяца назад
Karibu Darajani1905, chaneli pekee inayokuletea habari za Chelsea kwa lugha ya Kiswahili! Link za magroup ya Whatsapp: bit.ly/3wKCryG. Link ya group la Telegram: bit.ly/2Vt3UYs
#challenge: Taja wachezaji waliosajiliwa Chelsea🤣
Просмотров 3034 месяца назад
#challenge: Taja wachezaji waliosajiliwa Chelsea🤣
Vita Ndani ya Chelsea, Matajiri Washikiana Mapanga Nani ni Nani?
Просмотров 5 тыс.4 месяца назад
Karibu Darajani1905, chaneli pekee inayokuletea habari za Chelsea kwa lugha ya Kiswahili! Link za magroup ya Whatsapp: bit.ly/3wKCryG. Link ya group la Telegram: bit.ly/2Vt3UYs
CHELSEA YAZIDIWA AKILI: OSIMHENI ATISHIWA MAISHA: BILA £80M HUMPATI OSIMHEN
Просмотров 4,8 тыс.4 месяца назад
CHELSEA YAZIDIWA AKILI: OSIMHENI ATISHIWA MAISHA: BILA £80M HUMPATI OSIMHEN
SIRI KUBWA ILIYOJIFICHA USAJILI WA OSIMHENI: UPOLE NA UAMINIFU WAMPONZA
Просмотров 3,7 тыс.4 месяца назад
SIRI KUBWA ILIYOJIFICHA USAJILI WA OSIMHENI: UPOLE NA UAMINIFU WAMPONZA
ASANTE WANA DARAJANI: OSIMHEN SHIDA: ASERNAL WATUHESHIMU
Просмотров 6 тыс.4 месяца назад
ASANTE WANA DARAJANI: OSIMHEN SHIDA: ASERNAL WATUHESHIMU
ENZO ABORESHA MBINU ZAKE: Lazima upigwe na kitu kizito
Просмотров 5 тыс.4 месяца назад
ENZO ABORESHA MBINU ZAKE: Lazima upigwe na kitu kizito
JINSI CHELSEA ANAVYOKWEPA KIFUNGO: Maresca awamaliza waandishi na wapinzani
Просмотров 6 тыс.4 месяца назад
JINSI CHELSEA ANAVYOKWEPA KIFUNGO: Maresca awamaliza waandishi na wapinzani
WANA DARAJANI SAUTI ZENU ZIMESIKIKA KWA BOEHLY🤣
Просмотров 2,3 тыс.4 месяца назад
WANA DARAJANI SAUTI ZENU ZIMESIKIKA KWA BOEHLY🤣
NGOMA NGUMU: BOEHLY AKIMBIA UWANJANI: Mashabiki wajiandae kisaikolojia.
Просмотров 4,3 тыс.4 месяца назад
NGOMA NGUMU: BOEHLY AKIMBIA UWANJANI: Mashabiki wajiandae kisaikolojia.
MFUMO NA UCHEZAJI WA ENZO MARESCA:Inaitaji akili nyingi kujua jinsi ya kucheza.
Просмотров 2,9 тыс.4 месяца назад
MFUMO NA UCHEZAJI WA ENZO MARESCA:Inaitaji akili nyingi kujua jinsi ya kucheza.
SABABU ZA USAJILI WA PEDRO NETO:Wamiliki wabanwa kwenye engo🤣
Просмотров 4,2 тыс.4 месяца назад
SABABU ZA USAJILI WA PEDRO NETO:Wamiliki wabanwa kwenye engo🤣
SAKATA ZIMA LA GALAGHER:Zijue sababu za kujikuta mbuzi wa kafara kwenye fitina za usajili.
Просмотров 3,9 тыс.5 месяцев назад
SAKATA ZIMA LA GALAGHER:Zijue sababu za kujikuta mbuzi wa kafara kwenye fitina za usajili.
MBINU ZA MARESCA dhidi ya WREXHAM
Просмотров 2,1 тыс.5 месяцев назад
MBINU ZA MARESCA dhidi ya WREXHAM
UHUNI NYUMA YA KUFUKUZWA KWAO: CONSPIRACY ON THEIR DEPARTURE
Просмотров 1,6 тыс.5 месяцев назад
UHUNI NYUMA YA KUFUKUZWA KWAO: CONSPIRACY ON THEIR DEPARTURE
CHELSEA YA INGIZWA MKENGE: CHELSEA HAVE BEEN DECIEVED
Просмотров 5 тыс.7 месяцев назад
CHELSEA YA INGIZWA MKENGE: CHELSEA HAVE BEEN DECIEVED
Sesko,nkuku na palmer kambani game ya chelsea🤣
Просмотров 8217 месяцев назад
Sesko,nkuku na palmer kambani game ya chelsea🤣
NGOMAA NIII NGUMUU MNOOO
Rudisha Alizabalaga Rudisha Rudigar Rudisha Lukaku
Dah hii chelsea Yetu inafanya tunakosa alama kibao amabzo tungekuwa mbali sana sasa hivi
Kaka naikubali hiyo piga promo
Jackson sio striker wa kumtegemea atupeleke nchi ya ahadi
Hayo yote ni baada ya matokeo mabaya
Chelsea hawana mabeki wakati
Chelsea wasajili Lautaro au gyokeres au Conrad harder au sesko au vlahovic au osimhen
Naku fatilia 5/5
Kaka vipi mbn hujapendekeza Bek was Kati awe nani
Petrovich yule kipa yupo wapi?,kipa hakuna,beki ya Kati mzoefu hakuna,viongozi huu mzigo hawezi kuukwepa,pia Chelsea ilihitaji kocha mzoefu nasiyo huyu maresca,mm binafsi hapana
Kweli
Mi naona asa ivi tucheze 4-3-3 labda
Maresca apunguze IGO. Chelsea watafute namna ya kutowategemea wachezaje injury prone, Striker mwingine anahitajika majukumu ya kufunga ni makubwa sana kwa Jackson, akipata mtu wakumtua huo mzigo atakuwa bora zaidi
Big p weka mzikiiii hahahah
Tunakomalia kila siku tunataka strika lakini kiuhalisia tunahitaji goal kipa matured kule nyuma
Me kun kipindi nilisemaa kua mpiraa ni matukiooo inatubidiii kustahamiliaaa kivovoote vileee uooo nd mpiraa
100% bro
Huyu kocha anasababisha tufungwe Kila siku analichezesha lile kipa bovu sanchez na Kila siku anafanya makosa
Nahisi kuna watu wanamlazimisha,maana ana pochetino alianza nae akaja akamla bench
@darajani1905 nikwel
Ndio maana walishindwana na Tuchel,pocketing,hawa makocha hawapendi kuingiliwa taaluma yao@@darajani1905
Naona KOCHA kama ataendelea hivi, Milango wa kwaheri unamsubir
😂😂😂 naamin atabadilika
@@darajani1905 sio ya kucheka, ifike mda gem aanze nkuku japo mechi tano tumuangalie, mm namin nkuku hakos kisenge senge
Huyu KOCHA ni povu LA soda
😂😂😂😂😂 linaisha haraka au
@darajani1905 mimi nliazani kocha alivyoanza atakuwa na makombokombo ya Gadiola
Kosa kubwa siku ya jana ni substitute ya James kwa Lavia, Lakin watu wengi hawajlion hilo, isipokua wachache wenye kuujua mpira.
Lavia majeruhi hawez dakika 90
Upo sahihi baada ya lavia kutoka ni kama jamaa walipata nguvu ya kupenya sana kwenye kiungo chetu ila kocha alikuwa hana namna lavia tayari alikuwa ame panick na ameshakula njano so ilibidi atolewe tu
@@mohamedkhalifa6014👍 we nimekulewa, Hizo sababu nazikubali, yellow card na kwamba alikua ashapanic, sio huyu mchambuzi wetu eti anasem injury hawez dkk 90, kivip wakat alipata maandaliz Kw mchezo wa FA uliopita.
Ngoma ningumu kaka mimi nilisema Chelsea bado mukasema kwa mpira wa maresca lazima tutatoboa wapi hamna lilote ni joto tuu the blues
Hatari sana,lile soka lilitufumbaza😅
Ulivyo anzaa nikajua Leo ata plomo itakuwa aifai
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Jackson anakimbia kama kuku alie katwa kichwa
Dogo jirekebishe kwenye kutofautisha matumizi ya R na L unapozungumza na unapoandika kwenye kufikisha maoni yako kama umeamua kweli kua mchanbuzi …SAKATA LA USAJILI na SIO USAJIRI
Mi nakupongeza ila naitaka naomba unielekeze
Tuna viungo wengi maino wa nini sasa.jacko hawezi kutufikisha popote bora wanunue hata delap tu
Brother uko vizuri sana Mungu akubariki
Yani naumia sana chelsea akifungwa😂😂😂
nakubali fundi
Kocha ndio sababishi. Anafanya Sana rotation zisizo za msingi, za wachezaji ambao tayari wako kwenye fomu nzuri. Angalia mechi ya Ipswich, na rotation zisizo za msingi.
Nakukubali sana BIG UP
Mimi kiu yangu ni kupata beki mzungu katili mmoja na streka anayejua kutumia miguu yote like isaki Jackson anapata shida sana mpira unapokaa angle ya kushoto anafosi apige na mguu wa kulia
Kuhusu Chalobah kurud ,tyar confirmed hyo mkuu Maresca kasema anamuhitaji kweny kikosi chake
Alexander isack ndo anafiti kaka Chelsea aimuoni mpaka inazunguka
Mrudisheni Antonio Rudigar Muhogo Mchungu yule
Mwambie kwanza wako jacko ajifunze kutumia kushoto mpuuzi huyo
Chelsea atuna shida ya kiungo tunaviongo wengi maresca chiz anashindwa kuwatumia yeye anajua kugombana tu na wachezaji neto vega ni kama nemanja matic ugochuku kama obi mikel dar shida yetu namba9 tu
ANSELMINO ni bonge LA beki
Mabeki weusi hamna kitu ni mda wa kumpa namba ANSELMINO n Chalobah kurudi
Chelsea ina wachezaji wengi sana preseason watafika 50 wakirudi wote makipa tu wako 8
Ndio shida ya kununua hovyo wachezaj wanaoendana uwezo😂
TUNAKUPENDAA SANAA KAKA BIG P MUNGUU AKUEKEEEEEEE
AMEN BRO AMEN TENAAAAAA💙
MIMII SAIVI NI UCHAMBUZI NNAWOUSUBIRI KUTOKA KWAKO NI KWAMBA TAYARI CHELSEA KISHASAJILII MSHAMBULIAJE ANAYEJIELEWA NA BEKI MZOEFU
😂😂😂😂 ndugu hata mimi nasubiri usajili ila tusije wapa presha wakaleta wakina desasi wengine
Big up bro tukitaka tufanye uzuri wa msimu huu lazima tulekebishe meneo mawili tu beki wa kati mwenye uzoefu na forward matata mwenye nafasi tatu magoli mawili
Una maono mazuri ndugu upo sahihi 💯💯
@@darajani1905 pamoja bro🤛
Hayo yote ni kujaribu kutengeneza brand zenu uchwara za ulaya na za walala njaa za africa
Karibu sana ndugu bila support yako hatuwez enda mbali
Karibu sana darajani ipo siku uwe mwanafamilia wa darajani😂
Chelsea haina ushawishi kuigusa united ile leo kesho hata kesho kutwa bado tena sana
Man u kwa mvuto kwa sasa tunawazidi bn
Ukiona mchezaj ameenda man u sasa hivi jua hana pakwenda😅
Nakubali Kaka mkubwa💙💪🏽
Nakukubali sana ndugu,support yako ni kubwa
Kweli Leo umetu suprise😄👏👏
😂😂😂😂😂😂 mwenyewe nimeji suprise wakat na post
Bpi nactunakupenda pia sanaaa
Nakupenda sana ndugu,support yako ni kubwa
Hiyi Chelsea inaanza kutuumiza mechi Tatu hatujapa ushindi enzo afukuzwe
Hahahahahaha
Ndugu wamoto sana punguza kasi😂😂