TAZAMA PAUL MAKONDA ALIVYOMPIGIA SALUTI HAYATI DKT MAGUFULI WAKATI WA KUAGA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 23 мар 2021

Комментарии • 179

  • @winfridapeter969
    @winfridapeter969 3 года назад +9

    Pole makonda,najua alikupenda Sana 🙏

  • @Mamasaum-df9ri
    @Mamasaum-df9ri 7 месяцев назад +2

    Hongela sana mama huwa hukosei tumeomba sana hatimae imetimia mungu ni mwema pambana ndugu yangu fanya kazi

  • @EdwardSindayigaya
    @EdwardSindayigaya Год назад +3

    I LOVE PAUL MAKONDA WITH MY INTIRE HEART

  • @rosetembe3785
    @rosetembe3785 3 года назад +22

    Nimaombi yangu kwako mama Samia suluhu raisi wetu mpendwa husimuache mheshimiwa makonda,naomba umpe japo ukuu wa wilaya banafsi nitafurahi,japo me Ni muuza nyanya tu lkn napendaga Sana maandeleo ya wenzangu, Asante

    • @khadijamisayo7476
      @khadijamisayo7476 3 года назад +5

      hawawezi kumuacha, ni moja kati ya hazina kubwa ya ccm, ccm inaandaa vijana kwa muda mrefu

    • @myunaniniahmad6463
      @myunaniniahmad6463 3 года назад +1

      Inshaa allah, atampa. Na hisi hata magufuli asinge muacha alikua anamfikiria amuweke wapi, ndo mungu akamuita, na wote wanajua makonda ni jembe pia.

    • @babylonyNgwembe
      @babylonyNgwembe 3 года назад +2

      @@khadijamisayo7476 DADA ROSE KOFIA YA UKUU WA WILAYA NDOGO SANA KWA MAKONDA ANATAKIWA AWETEULIWE NA KUPEWA NAFASI YA UWAZIRI AMA NAIBU WAZIRI ILI AANZIE APP KUONYESHA KAZI YAKE MH.MAKONDA

    • @fransavinhonacmela827
      @fransavinhonacmela827 3 года назад +3

      Huyu anafaa #Uwaziri tena sio unaibu Kwani Anafaa kukaa katika sekta ya Ardhi #Lukuvi pumbavu sana mwizi tu. #Makonda anafaa Mr #Ayoo mwambie mama

    • @gregorymnzava5789
      @gregorymnzava5789 3 месяца назад

      Dua zko zilifika

  • @janemorris9696
    @janemorris9696 3 года назад +16

    Rest in peace magufuli kipenzi cha makonda na watanzania wote saluteee

  • @imanimussa6256
    @imanimussa6256 3 года назад +5

    Magufuli umeyafumbua macho ya tanzania na afrika kwa ujumla kiukweli tunaumia lkn umeshaifanya kaz uliutumwa na wananchi kutekeleza tu ndio juu yetu rest in peace shujaa wa kweli wa tanzania na afrika pia hakuna cku utakayosahaulika kamwe😭😭😭😭😭

  • @simonjoseph1775
    @simonjoseph1775 3 года назад +6

    IPO siku Paul Makonda utapaa kuiongoza nchi

  • @LucasLucas-sj6fg
    @LucasLucas-sj6fg 3 года назад +8

    Kamanda ...Makonda...

  • @joycekalembo2225
    @joycekalembo2225 3 года назад +1

    Jamani mm nahtaji kujua sound track ya nyimbo inayoanza ni ya nan au ametayarisha nan..dah ayo kajitahd sana yaan ukianza tu hako kamdundo kazuri sana ..big up millard ayo

    • @revrogermwakalukwa5503
      @revrogermwakalukwa5503 3 года назад

      Ni tenzi namba 40 nimesongea

    • @jeftariwa858
      @jeftariwa858 3 года назад

      Sio wimbo wote, nimemuelewa Joyce anamaanisha hako katrack kanachoanza mwanzo na kumalizikia mwishoni mwa clip. 🙏🏿😇
      Mi mwenyewe navutiwaga sana na baadhi ya sound tracks 😉
      Nitafute jeftariwa@yahoo.com

  • @Sifam634
    @Sifam634 3 года назад +4

    Makonda akipewa nafasi kwakuwa anaweza

    • @Meme-sr1gl
      @Meme-sr1gl 3 года назад

      Makonda inavyo semekana usalama lkn watanzania hatuna uhakika

  • @babafemie4576
    @babafemie4576 3 года назад +6

    Saluteee..

  • @tz7976
    @tz7976 3 года назад +5

    Ningekua ndo mimi rais SAMIA ningenyooka moja kwa moja kwa jina la MAKONDA ni makamu wangu wa rais daadeki mbonge moja la kijana mchapa kazi

  • @barikimwakajumba2627
    @barikimwakajumba2627 3 года назад +2

    Makonda kma ulivyomtabilia mama Samia rais wetu. Rais wetu mtu anaeweza vaa viatu vya JPM ni makonda. Mungu tuongoze tupate kiongoz mchapa kazi

  • @mwanahawashabani8240
    @mwanahawashabani8240 3 года назад +15

    Hata Mimi naunga mkono,mama tunaomba mfikirie Makonda,tusingojee MTU kafa ndo tunaona mazuri yake,yapo mazuri aloyafanya Makonda,Wqtanzania tupendane,tuvumiliane na tusameheane kwani hakuna mkamilifu tukumbuke hili.

    • @salomewandya7257
      @salomewandya7257 3 года назад +1

      Atapewa tu Makonda ni mchapa kazi

    • @jumashinyanga5420
      @jumashinyanga5420 3 года назад

      Hata mm naungana nawe makonda yuko vizuri sana

    • @abdulkarim242
      @abdulkarim242 3 года назад

      Sifa na tamaa zilimfanya akose wazfa magufuli alikua na upeo wakuchagua kiongoz na kiongoz hafai kua na sifa na tamaa na kuwadharau wengine

  • @fatumamroki2716
    @fatumamroki2716 3 года назад +9

    Natamani makonda awe makamu wa rais amini itakua hot

  • @merrykiwanga9320
    @merrykiwanga9320 3 года назад +3

    Inauma sana 😭😭😭😭😭😭

  • @meinhardallois3647
    @meinhardallois3647 3 года назад +12

    Makonda apewe umakamo wa Raisi Binafsi naamini wembe utakua ule ule.

    • @fransavinhonacmela827
      @fransavinhonacmela827 3 года назад +1

      Itapendeza sana Kwani ni mtu anaye jua kazi ni Nini #Amekuwa mtu wa kuigwa Tanzania nzima #Kupitia usemi wake wa #Kero za #Wanchi Tanzania nzima. Tena ikaigwa

  • @aboubakarahmad234
    @aboubakarahmad234 3 года назад +2

    Makonda hapendi wananchi waone w

  • @kudraahmad5670
    @kudraahmad5670 3 года назад +3

    Huyo ndo makonda Bwana

  • @salimuoppa3785
    @salimuoppa3785 3 года назад +3

    Pumzika kwa aman umefanya makuu kulingana na nchi ulivyoikuta

  • @samuelwange7643
    @samuelwange7643 3 года назад +14

    Uyu jamaa anafa kuwa naibu rais💯

    • @fransavinhonacmela827
      @fransavinhonacmela827 3 года назад +1

      Sema kaka sema mimi naona anafaa sekta ya #Waziri wa Ardhi

    • @IBENGM
      @IBENGM 3 года назад

      Anafaa Kwa vigezo gani alivyonavyo?

    • @samuelwange7643
      @samuelwange7643 3 года назад

      Uyu jamaa nijasiri sana

    • @afterfull-time1348
      @afterfull-time1348 3 года назад

      Huyu sio wa kukaa nje ya serikal kabisaa

    • @IBENGM
      @IBENGM 3 года назад

      @@samuelwange7643 Uwezo anao sema umakamu wa rais hapana aisee! Shida yake majivuno mengi na dharau..

  • @judyngowi391
    @judyngowi391 3 года назад +6

    Pole sana Makonda, Rais ajaye

    • @ThomasfrancisMvella
      @ThomasfrancisMvella 2 месяца назад

      Mzee magu umeotoka,,,,ila huku umetuachie jembe poul makonda....kwa nionavyo huyu n jeshibla mtu mmoja.....maana uthubutu alionao ukulinganishabna viongoz wenginwaliopo,,,,,inatufanya tukuone kwenye utendaje wake...rip magu....

  • @karimmkejina980
    @karimmkejina980 3 года назад +17

    Makonda ndie kijana aliekuwa anfanana na mgu kwa hapa kaz2 apewe hata uwaziri jaman dah ni jembe sana huyu

    • @onesmojustice2348
      @onesmojustice2348 3 года назад +1

      Unafikiri kwa nini jpm alimtumbua akiri kumkichwa

    • @salomewandya7257
      @salomewandya7257 3 года назад

      @@onesmojustice2348 Hakumtumbua alijitoa mwenyewe wakati anataka kugombea ubunge kigamboni

    • @onesmojustice2348
      @onesmojustice2348 3 года назад

      @@salomewandya7257 ni baada ya kugundua yuko hatarini.

    • @salomewandya7257
      @salomewandya7257 3 года назад +1

      @Ken FashIon Shangaa na wewe utasema alikuwepo🙄🙄🙄

  • @husseinshabani9522
    @husseinshabani9522 3 года назад +8

    Makonda Apewe Nafasi...Anaweza kuendeleza kazi Aliyoacha Mzee Wetu...

    • @Aman-ie7fr
      @Aman-ie7fr 3 года назад

      Tatizo umri mzee

    • @husseinshabani9522
      @husseinshabani9522 3 года назад +1

      @@Aman-ie7fr Sio Nafasi za juu sana..Apewe yoyote ile.Atunyooshe.

  • @maisaalawy4512
    @maisaalawy4512 3 года назад +1

    Nimefurahi sana.

  • @afterfull-time1348
    @afterfull-time1348 3 года назад +2

    Huyu jamaa sio wa kukaa nje ya utawala huu wa Awamu ya tano Mungu amuongoze mama samia amuteue kuwa makamu wa raisi ndo mambo yanyoke

  • @emanuelmwakaluo6299
    @emanuelmwakaluo6299 3 года назад +2

    Pumzika baba inauma

  • @zinabal-dubae3551
    @zinabal-dubae3551 3 года назад +2

    Atakua naibu wa raisi

  • @safiaothman1098
    @safiaothman1098 3 года назад +2

    Makonda awe Makamu wa Rais.

  • @kephamapogo5333
    @kephamapogo5333 7 месяцев назад

    Hapo tu unaweza kutambua Makonda ni nani

  • @kpetres2872
    @kpetres2872 3 года назад +5

    Makonda nakukubali. Samia turudishie Basi makonda wetu😢

    • @farijala1
      @farijala1 7 месяцев назад

      Mmerudishiwa sasa

  • @Worldunite
    @Worldunite 7 месяцев назад

    Huyu mwamba ninamkubali sana

  • @johngibson3089
    @johngibson3089 7 месяцев назад

    Hivi salute ya makonda ni ya jeshi gani? Mbwembwe zingine ni vituko vitupu!

  • @myself4128
    @myself4128 7 месяцев назад

    huwezi piga saluti bila Uniform unless wewe ni Mkuu kuliko unaemsalimia

  • @sweetmelody1191
    @sweetmelody1191 3 года назад +2

    Mimi ni mkenya lkn namukubali makonda tuombe wote apewe kiti cha vice president ao vipi watanzania

    • @abdulkarim242
      @abdulkarim242 3 года назад +1

      Nonsense

    • @sweetmelody1191
      @sweetmelody1191 3 года назад

      @@abdulkarim242 if its nonsense why does it both you i believe you have your space to comment hauhitaji kujibu comment yangu

    • @abdulkarim242
      @abdulkarim242 3 года назад

      @@sweetmelody1191 wew mkenya mambo ya Tanzania unayajulia wapi wakati nchii yenu imejaa corruption embu fataa ya nchii yako yakwetu achana nayo hayakuhusu

    • @elliotandrew3540
      @elliotandrew3540 3 года назад

      nakupenda mama plz njoo tuzae tulee watoto wetu

    • @fransavinhonacmela827
      @fransavinhonacmela827 3 года назад +1

      Kabisa anafaa kazi

  • @latifamkulazi8378
    @latifamkulazi8378 3 года назад +5

    Bado anamachungu ya kweli moyon😢

    • @fransavinhonacmela827
      @fransavinhonacmela827 3 года назад +1

      Alipendeza sana Kwani alikuwa Mchapa Kazi naamini mpaka sasa ni Mchapa kazi

  • @ThePHARESJ
    @ThePHARESJ 3 года назад

    Mbona Mimi sijioni hapo

  • @bernardsamizi7289
    @bernardsamizi7289 3 года назад +4

    Poleni sana Watanzania wenzangu. Mh Makonda ninakuombea uteuliwe uwe makamu wa rais .(UNA HOFU YA MUNGU) Hukuogopa kupambana na madawa ya kulevya Dar. Tuliona ulivyo kua unawasikiliza na kuwasaidia wanyonge wa Dar nikatamani uje kigoma Ulikuwa mwakilishi mzuri kwenye kamati ya katiba mpya ya wananchi. Nani kama makondaaaaaa?

    • @fransavinhonacmela827
      @fransavinhonacmela827 3 года назад +1

      Kabisa kabisa #Makonda mwanzoni siku mwelewa Ila nilimwelewa mwishoni, Kwani yeye na Mzee wetu #Hayati walifanana kabisa hakuna mtu aliye waelewa wote wa wili

    • @janethsamson9123
      @janethsamson9123 3 года назад

      Makonda tunampenda unaimani naye apewe tu nafasi hiyo

  • @omaryally198
    @omaryally198 3 года назад

    USM T

  • @babylonyNgwembe
    @babylonyNgwembe 3 года назад +9

    IKIMPENDEZA MH RAISI MAMA SAMIA SULUHU HASSAN TUNAOMBA AMTEUWE MY PAUL MAKONDA NA KUMPA NAFASI NZURI ILIKUSUDI AWEZE KUMSAIDIA KWNY KAZI NGUMU ILIYO MBELE YAKE KWA MAANA MH MAKONDA HAPEPESI MACHO KWNY KAZI NA ANA UWEZO MKUBWA WA KUFANYA KAZI BILA YA UWOGA WALA AIBU.

    • @francisnyaji5000
      @francisnyaji5000 3 года назад +1

      Haitokuja kutokea na hafai hata kidogo sahauni makonda kuja kuwa makamy wa raisi

    • @afterfull-time1348
      @afterfull-time1348 3 года назад

      @@francisnyaji5000 kwa mweny utimamu hajutii makonda kuwa makamu wa rais ila wale wanaotetea uhuru wa sehemu za Nyuma ndo wanapinga

    • @abdulkarim242
      @abdulkarim242 3 года назад

      @@afterfull-time1348 kiongozi hafai kua na tamaa na sifa za kuwakejeli wengine jamaa alikua na sifa sana na ukurupukaji mwingi na ata Mzee aliona alikua na uchu wa madaraka... Amewafanyia wapinzani vurugu na kejeli kisa ya cheo chake kitu ambacho ata viongozi wengine walikua wakishangazwa na anavyo fanya mambo yake

    • @afterfull-time1348
      @afterfull-time1348 3 года назад

      @@abdulkarim242 mashoga hawana nafas kweny hii nchi ya Baraka..iyo Tamaa unaijua ww ila timamu kama mm ananifaa

    • @abdulkarim242
      @abdulkarim242 3 года назад

      @@afterfull-time1348 We we na Magufuli nan aliyekua timam?

  • @fransavinhonacmela827
    @fransavinhonacmela827 3 года назад +5

    Kaka #Ayoo #Makonda ni Jeshi Amefukuza #Wauza Unga #mitaani. Sasa #Dar es salamu inavutia. mwambie Mh. Mama. Yetu DK. #Rais #samiaSulhu ampe #Makonda Uongozi wa juu. Kwani ni Mchapa kazi Mwadilifu #Anaweza Kazi. Huyo ni mtu ambaye anafaa kuwa Kama #Hayati wetu. Haogopi ghofu za Wapinzani wasio penda Maendeleo.
    #Kama unampenda Makonda like hapa. Tujuane

  • @hmanyinja
    @hmanyinja 3 года назад +2

    Innah lialh waina lilah rajoun!! wakati nakuwa nilijua salute lazima uwe ume vaa gwanda na ukivaa nguo za kawaida unatakiwa kubana mikono na kuinuka!! nitafuatilia kujua zaidi

    • @fransavinhonacmela827
      @fransavinhonacmela827 3 года назад +1

      Amekosea kidogo ilimpasa mkono wake usifike kichwani. Kwani Aliwahi kuwa Mkuu wa Mkoa. Kumbuka kuwa Alipigiwa saluti na Jeshi la Polisi isipokuwa #Saimon silo

    • @hassannahoda5399
      @hassannahoda5399 3 года назад

      hairuhusiwi kupiga salute na nguo za kiraia. hata uwe askar na cheo kikubwa kias gani, kama hujavaa gwanda hupigi salute kwa kunyanyua mkono. unachofanya ni kubana mikono na kunyanyuka kidogo

  • @upendomwamsojo9042
    @upendomwamsojo9042 3 года назад

    Salute yenyewe ya uoga hatari

    • @fransavinhonacmela827
      @fransavinhonacmela827 3 года назад +1

      Acha wewe Aliwahi kuwa mkuu wa Mkoa huyu. Ila amekosea kupiga salute Kwani alipaswa asifikishe mkono kichwani Kwani hakuvaa kofia

  • @nicholausmasese6337
    @nicholausmasese6337 3 года назад

    KWA NANAOJUA SALUTI YA MAKONDA IMEMUUMBUA KUWA NI MTU ASIYEJUA MAMBO (MBUMBUMBU) POLENI WANAOFURAHIA UMBUMBUMBU NI BORA APELEKWE AKAANZE UKURUTA ILI AKITOKA UKO AJUE UTARATIBU NI AIBU TUPU

    • @timothmwakakusyu4563
      @timothmwakakusyu4563 3 года назад

      We ndo mbumbumbu kabisa usiyejua maana, huyo siyo mwanajeshi kwamba kakosea kupiga saluti. Raia akipiga saluti ni mojawapo ya kuonesha heshima haina masharti yeyote kwa raia anapopiga saluti, Bwege wewe

  • @AbuwNibras926
    @AbuwNibras926 3 года назад

    Sifa za kijinga ili nikosa kisheria asikari awa kumuona au yupo juu ya sheria

  • @uvuvuvwevweonyetenyevwe121
    @uvuvuvwevweonyetenyevwe121 3 года назад +3

    salut bila kofia 🙄🙄

    • @babylonyNgwembe
      @babylonyNgwembe 3 года назад +4

      Usikalili ndg yng..ulitaka avae gwanda ama avae baraghashia ila salute ni heshima ya kutofautisha Mimi na wewe wengi wametoa heshima kwa kutumia itikadi za kidini lakin yeye kaguswa na matendo yake ya kishujaa hvyo akuwa na jinsi hatakama kwake ni mapenzi

    • @ombeningogo1464
      @ombeningogo1464 3 года назад +3

      @@babylonyNgwembe Umemjibu vizuri Sana Salute ni Heshima Kama heshima zingine sio lazima uwe na mavazi ya namna gani

    • @aizackkajika5086
      @aizackkajika5086 3 года назад +2

      @@ombeningogo1464 yap japo heshima hii hutolewa Na Mtu alievaa kofia,,ila bado tunamtaka makonda serikalini

    • @mkondekondem999
      @mkondekondem999 3 года назад +2

      Kwani hamjui Makonda ni Kamanda.Msaiadizi wa Rais ajae

    • @mkondekondem999
      @mkondekondem999 3 года назад +2

      Makonda ni Kamanda pia

  • @utambevilla9585
    @utambevilla9585 3 года назад +1

    Mnachekesha sana aisee yan mnaona kama iyo nafas niya mchezo mchezo kias icho adi apewe makonda!!!, aya ikitokea ameteuliwa jina likija Bungen tunamkataa kbs, afai nandio mana magu hakumpa tena nafas yoyote,

  • @pascalmsechu6874
    @pascalmsechu6874 3 года назад +2

    Nchi yetu inaazina ya vijana waadilifu wenye kufaa kufanya kaz na Mh Samia Makonda alishamaliza yake inatosha ..mambo ya kumpigia chepuo wakati alitukanaga bunge sio hata kidogo

    • @filbertnashon7160
      @filbertnashon7160 3 года назад

      Well said

    • @onesmojustice2348
      @onesmojustice2348 3 года назад

      Bora useme weye

    • @babylonyNgwembe
      @babylonyNgwembe 3 года назад +3

      HIZO NONGWA TU WANGAPI WAMETUKANA...WAMEHARIBU KINA NAPE ,NGEREJA,JANUARY NA WAKASAMEHEWA ITAKUWA MAKONDA ACHENI UNAFKI MNATAKA MPIGE DILI NA MUINGIZE MADAWA KIRAHISI,TZ KWELI VIJANA WAPO WENGI LAKIN MWENYE SIFA ANASTAHILI SIFA YAKE APEWE NA SIYO KUKANDAMIZWA NA YAO WENGINE PIA WAPEWE TU.

    • @fransavinhonacmela827
      @fransavinhonacmela827 3 года назад +1

      Unaonekana wewe ulikuwa kibaka au mwenzetu ulikuwa muuza Bangi? Kwani viongozi wangapi wanamaliza na baadaye wana rudishwa madarakani.

    • @pascalmsechu6874
      @pascalmsechu6874 3 года назад +2

      @@fransavinhonacmela827 Mbona hakuna kitu chochote jamaa alichofanya cha kufanya arudishwe mbona uyu wa sasa hv katulia na mambo yanaenda

  • @hemilehanogasengo4099
    @hemilehanogasengo4099 3 года назад +1

    Je yeye ni askari na inaruhusiwa kisheria? Tujuzwe

    • @francisnyaji5000
      @francisnyaji5000 3 года назад +1

      Haruhusiwi uwezi piga saluti ukiwa umevaa nguo za kiraia saluti inapigwa ukiwa ndani ya full uniform itakuwa kapiga kuu for funny for appriciation tuu bac ila angetia tuu ishara ya msalaba bac.

    • @hemilehanogasengo4099
      @hemilehanogasengo4099 3 года назад +1

      @@francisnyaji5000 Asante kwa hiyo

    • @isaaczakayo5054
      @isaaczakayo5054 3 года назад

      @@francisnyaji5000 Inaruhusiwa tu. Hakuna cha kumzuia.

    • @calvinlipendele2643
      @calvinlipendele2643 3 года назад

      Yeye siyo askari, hivyo sheria za jeshi hazimruhusu kufanya hivyo. Hata kama angekuwa askari haruhusiwi kupiga saluti akiwa na suti bali unafunga mikono na kuinua visigino juu kidogo. Hizo in hulka za hivyo tu, nadhani hata miezi mitatu ya JKT hajaipitia.

    • @utambevilla9585
      @utambevilla9585 3 года назад

      @@francisnyaji5000 ndio mjue yan uyu jamaa ni mtu wa kukulupuka kila siku akiwa sehemu lzm awe kituko

  • @nicksongerson1707
    @nicksongerson1707 3 года назад

    Kupiga saluti kwa kisheria inamhusu MTU yule tu aliyepo kwenye taasisi ya jeshi na akiwa na sare za taasisi husika .. Vinginevyo haina maana ni kujifurahisha tu au kuonyesha unajali na kukubali kitu kutoka moyoni .. Makonda hajafanya kosa kisheria ila moyo wake umemkubali kiongozi .. Angekuwa askari ni kosa kubwa..

  • @jumakapilima5674
    @jumakapilima5674 3 года назад

    Makonda anapiga saluti , mbona hajavaa sare?

    • @enocksilungwepondajr9707
      @enocksilungwepondajr9707 3 года назад

      Saluti ina maana gani.....?

    • @jumakapilima5674
      @jumakapilima5674 3 года назад

      @@enocksilungwepondajr9707 salute ya namna ile tumeizoea kuwa ni salute za kiaskari ambazo nazo zina utaratibu maalumu uliowekwa kisheria!!

    • @enocksilungwepondajr9707
      @enocksilungwepondajr9707 3 года назад

      @@jumakapilima5674 yaaaa nikweli ila kila mtu anaweza kufanya two wayz unaweza kukaza mikono kwa mbela au nyuma,kuinama au vyovyote vile bila kuvunja sheria ila hamna tatizo

    • @timothmwakakusyu4563
      @timothmwakakusyu4563 3 года назад +1

      Kwa askari anatakiwa apige saluti akiwa kwny full uniform yaani na kofia juu, raia hajawekewa katazo kisheria na pili makonda kapiga saluti ya majeshi ya kimarekani. Mwisho saluti ni heshima, raia akipiga saluti ni hulka tu

    • @enocksilungwepondajr9707
      @enocksilungwepondajr9707 3 года назад

      @@timothmwakakusyu4563 poa mkuu nimekuelewa !!!!!!!!
      Ila tusimuhukumu sana

  • @freduallughano2301
    @freduallughano2301 3 года назад +4

    Makonda hafai,mama samia usiwasikilize hao watakuponza.

    • @babylonyNgwembe
      @babylonyNgwembe 3 года назад +2

      AFAI KWA NINI TATIZO LA WANAFKI MTU MCHAPA KAZI HAWANTAKI WANATAKA MPIGAJI TU ILI MPATE NJIA RAHISI YA KUINGIZA MADAWA YA KULEVYA..FILE NI MTU MWENYE POWER KATIKA JAMII NDO MAANA ANAPIGWA MAWE NA WATU WENGI NA NYOTA YAKE KALI SANA PINDI AFANYAPO KITU CHOCHOTE WEITHER KIZURI AMA LAHA.

    • @benardgwakisa3530
      @benardgwakisa3530 3 года назад +1

      Wewe lichadema munaogopa nin

    • @fransavinhonacmela827
      @fransavinhonacmela827 3 года назад +1

      # Huyu anafaa Kwani Jiji la #Dar es salamu sasa linatakata kwa ubora wa Hari ya juu. Kupitia yeye. Turipiga usafi kila jumamosi lakini now ni shida #Makonda ni mwadirifu anajua Nini Madaraka. Nikitazama #stendi ya Daradara naona Fahari ya #Mchango wa Makonda dhidi ya #DrugsAbuse

    • @imeldakahyoza5291
      @imeldakahyoza5291 3 года назад

      Makonda jembe.
      Mungu akutunze

    • @afterfull-time1348
      @afterfull-time1348 3 года назад

      Makonda anastahili kabisaa mashoga msipinge tafadhal

  • @merrykiwanga9320
    @merrykiwanga9320 3 года назад +2

    Inauma sana 😭😭😭😭😭😭

    • @fransavinhonacmela827
      @fransavinhonacmela827 3 года назад +1

      Ni kweri Imemuuma sana Kwani kuondokewa na mtu wa karibu sana kabisa dash!!! Mimi mwenyewe inaniuma sana Ila huyu Jamaa pole sana