NANDY EXCLUSIVE: "RUGE ALINICHUMBIA NDOA INGEFUNGWA MARCH"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 12 май 2019

Комментарии • 1,4 тыс.

  • @veronicamkenda52
    @veronicamkenda52 5 лет назад +999

    She talk calmly, and she is so beautifully.... nani anakubaliana na mim☺

  • @eugenfredrick2328
    @eugenfredrick2328 5 лет назад +535

    KAMA UNA NISAPORT KUWA NANDY NI VERY BEAUTIFUL"GONGA LIKE 👇👇""

  • @elizabethrogath6902
    @elizabethrogath6902 5 лет назад +480

    Nilichogundua kwa Nandy ni mtulivu na unaakili sana nakupenda sana.

  • @noelamtesigwa6819
    @noelamtesigwa6819 5 лет назад +115

    Media zote tz wangekuwa wanafanya interviews kama millad tungefika Mbal. . So amazing, fantastic, delicious ..so 😙😙😙

  • @carolshiru4374
    @carolshiru4374 5 лет назад +768

    Kama unapenda interview za millard ayo nipee like kwende sawa

  • @janethjustin5256
    @janethjustin5256 5 лет назад +271

    illa Millard your the Best kwa kweli in the way you interview pop😘👏👏🔥🔥

    • @deboramatpapaztv
      @deboramatpapaztv 5 лет назад +6

      Yan utasema tu ukweli bila kupenda na eneo ni tulivu ndo maana

    • @janethjustin5256
      @janethjustin5256 5 лет назад +1

      sure🙌😘

    • @francisibrahim2206
      @francisibrahim2206 5 лет назад +4

      Nandy is the best sababu yuko open na anajibu maswali unaona kabisa ni majibu ya ukweli tupu na ndiye aliyemwongoza Milard aonekane ameuliza maswali bora kabisa!:

    • @lamecknkila8214
      @lamecknkila8214 5 лет назад +1

      God bless you nandera

    • @florangonyani4122
      @florangonyani4122 5 лет назад

      janeth justin

  • @hawatodos3133
    @hawatodos3133 5 лет назад +294

    Hakuna mtangazaji anae nivutia kama ww kaka huwa umetulia sana katika kazi yako mungu azidi kukuongoza

    • @cecymaro1374
      @cecymaro1374 5 лет назад

      Hawa Todos unaonaaeeee

    • @mwajejasson6995
      @mwajejasson6995 5 лет назад

      Nandi wewe bado mdogo kwa nn umeingia kwenye mambo makubwa usingeyaweza kabisa

    • @asuntandimbo5417
      @asuntandimbo5417 5 лет назад

      yani nandi nanamdogo wangu anakukubar kinoma naapa yukokubet kilasku ilimradi tyu apate ela yakuja kuinjoy nawwe atasku moja nayuko tayar ata akuonge milion 20 ,,,

    • @hassankihonde1275
      @hassankihonde1275 5 лет назад +1

      umeonaeeeee, yule chizi kwenye Amplifier anamuharibia sana

    • @aishakwizza1007
      @aishakwizza1007 4 года назад

      Kabisa

  • @shantaaswad9523
    @shantaaswad9523 5 лет назад +59

    So beautiful, very composed and l love her how she has handled her emotions and kept her tears inside, very strong woman, intelligent,may God continue giving you strength, RIP Ruge.
    I just love Tanzanians, Kenya we love you Nandy, watching from Oman
    Beautiful interview

    • @fadhiliibrahim9702
      @fadhiliibrahim9702 5 лет назад +3

      We love Kenyans too, I visited Nairobi last month and people were so warm to me knowing I'm Tanzanian, I love u guys

    • @hafizabubakar2840
      @hafizabubakar2840 5 лет назад +1

      Mzur ni mke wako wa ndoa na sio nandy nandy mbona wa kawaida sana njoon msumbiji mapoto muone watoto wazur miksa chotara ya mreno.

    • @jetuchaz7152
      @jetuchaz7152 Год назад +1

      Jmn nandy kazaliwa tareh Moja na mm waoooooooh nkupendae❣️❣️

  • @heriethkusigwa3996
    @heriethkusigwa3996 Год назад +9

    Am here again this 2022💫2dy She is Mrs William💋💋God is Soo Sweet ❣🙏🏽🙏🏽

  • @janethjustin5256
    @janethjustin5256 5 лет назад +47

    pole nandy I feel this hardship in your heart daaah pole upo na wakati Mungu pole but what nimeelewa your too strong👏👏

  • @hilalmahrazi2287
    @hilalmahrazi2287 5 лет назад +30

    Nandy nakupenda sana.
    Interview yako inaonyesha umekomaa zaidi ya umri wako.
    Pole sana

  • @mzenji
    @mzenji 5 лет назад +37

    Millard una kipaji kweli kweli ya kazi hii. Kwa ukweli unahitaji platform kubwa zaidi maana mahojiano yako huwa yametulia kabisa na hata mhojiwa anakuwa mwepesi wa kusema yaliyo moyoni. Kwa ukweli una mustaqabal mkubwa mbele yako. Hongera sana.

    • @gaspersamson4357
      @gaspersamson4357 3 года назад

      Nandy ndio man unamafanikio ukwel kitu kizur

  • @mwajabumunna6398
    @mwajabumunna6398 5 лет назад +30

    Najutia kuangalia hii entre view maana imeniliza nimekosa ujasir kabisa mic u ruge mic u my love Allah akuhifadhi unakostahili Kwa mapenz yako Kwa watu

  • @tabithamogire9670
    @tabithamogire9670 5 лет назад +150

    WOOW you're intelligent Great Woman .sorry for the loss God knows the best and has great plans for you Nandy.AND YOURE VOICE IS SOMETHING ELSE.....LOVE YOU GIRL

  • @MySafeSpaceKE
    @MySafeSpaceKE 5 лет назад +150

    I Love Nandy and this is Honesty on another Level Millard Ayo waeza mpata Jacky Mengi later this year so that she can have peace of mind Like Nandy

  • @ramadhannasibu7753
    @ramadhannasibu7753 5 лет назад +135

    Da! Pole sana sana NANDY 🙏🙏🙏
    ALLAH atakujalia mume bora mwengine mamy

  • @AfiSoul103
    @AfiSoul103 5 лет назад +17

    Jamani Nandy namuhisi ni msichana mpole na mwenye hekima kiukweli... Na Millard ayo nakukubali sana na sauti yako ya kipoolee😘😍

  • @AKH_TZ
    @AKH_TZ 5 лет назад +101

    Gonga like hapa kama unamkubali millard ,yuko powaa sn

  • @zennakailo8106
    @zennakailo8106 5 лет назад +126

    Km unamkubali #Nandy tupia like yako

  • @gallosstanslaus9751
    @gallosstanslaus9751 5 лет назад +69

    Nani anaangalia sasahivi? Gonga like hapa kama tupo pa1

  • @happynescharles1511
    @happynescharles1511 5 лет назад +105

    Nmeamin tuliozaliwa 92 especially mabint tuna akili xn za kutafuta maisha na pia nikagundua kwamba unapopata changamoto pale ndipo Mungu anakuongezea baraka ili ufanikiwe zaidi nmejifunza kitu pia

  • @saudatamiry1966
    @saudatamiry1966 5 лет назад +352

    Sijutiagi kumaliza bando langu kwajili ya Millard Ayo fundi mpk unakera

  • @gregorysondo3761
    @gregorysondo3761 5 лет назад +16

    Bless you Nandy! This is my first ever comment on RUclips... am sobbing at the moment. You touched my heart dear; bless you and stay strong! Wish you success... ps.. I previously sent him his warm greetings from his peers and friends he once lived with around San Francisco although I doubt Mr. Kusaga, Joseph remembered to pass those sincere messages and kind greetings to Ruge. Needless of it all: Be great, greater than what you think you capable of becoming. Do it all in remembrance of Mr Mutahaba, Ruge! (Apumzike kwa amani popote pale roho na moyo wake mwema ulipofikia) Mr. Sondo, Gregory

  • @hassanaloobaidan25
    @hassanaloobaidan25 5 лет назад +46

    Milad nimekupenda ukiambiwa no comment hulazimshi kama baadhi ya wanahabari wengine

    • @zuberimenalah3787
      @zuberimenalah3787 5 лет назад

      Hassan Aloobaidan

    • @janemwamba9093
      @janemwamba9093 4 года назад

      Huyu kaka ni mstaarabu sana yaan anavyoonekana kwa nje ndivyo alivyo hadi kwenye moyo saf sana broo

  • @erickkahindi2226
    @erickkahindi2226 5 лет назад +29

    m loving this interview from 254....Mombasa.. Kwakeli ni Interview ya ki utu uzima...both parties very composed...

  • @jumalove2631
    @jumalove2631 5 лет назад +286

    Entar view zako broo zimetulia mpka raha hamna vijembe vijembe kama wengine maswali yametulia gonga like kama unamkubali mirad

  • @carolinenjeri4707
    @carolinenjeri4707 5 лет назад +11

    You are a strong girl and God is taking you places, sad to lose the love of your life. I cried watching this interview. May Ruge Rest in Eternal Peace🙏

  • @yusuphally131
    @yusuphally131 5 лет назад +137

    Nandy n mzuriiiii kam unakubalian gonga like twende sawa

  • @wilonjahatua2067
    @wilonjahatua2067 5 лет назад +210

    Kama unamkubali nandy acha majungu na wivu gonga Like yako hapa

  • @cassanobrown9747
    @cassanobrown9747 5 лет назад +34

    Millard the genius...one of the best interview. Doing it simply like nothing is happening...

  • @djonetz2730
    @djonetz2730 5 лет назад +184

    Nandy nakupenda bureee kwa kusema ukwel na kupoteza kipenda roho chako polee sawa Dada jikaze utampata mwingine

  • @ranoxranduh9743
    @ranoxranduh9743 5 лет назад +8

    Pole nandy mungu atakupa mume mwengine locked from 254

  • @joelmakinga4220
    @joelmakinga4220 5 лет назад +309

    09/11/1992 waliosikia nandy kazaliwa tarehe 09 mwezi 11 mwaka 1992 gonga like hapa twende sawa.

  • @florakijole6675
    @florakijole6675 5 лет назад +38

    Mungu akulinde Sana. Hekima Na busara vimejaaa kwenye kichwa chako. Hongera interview Nzuri Sana.

  • @mshangapeter6566
    @mshangapeter6566 5 лет назад +10

    Moja ya interview bora sanaaa... Much love to u brother millard

  • @millicentowino2579
    @millicentowino2579 5 лет назад +7

    Nandy we love you....God loved Ruge more...how we wish the wedding took place, how we wished we saw the twins, and how we wished you stayed with Ruge for another 50 years...Keep making Ruge happy, Ruge is happy for you Gal wherever he is......keep shinning your name and Ruge's name...GOD BLESS YOU DEAR TOGETHER WITH YOUR FAMILY AND RUGES FAMILY

  • @mcguccitv3637
    @mcguccitv3637 5 лет назад +298

    If you like her voice from 254....gonga kidude cha like hapa

  • @MWANGUNYA
    @MWANGUNYA 5 лет назад +43

    You're so beautiful and intelligent Nandy, God will bless you with another amazing guy

  • @magrethelia1085
    @magrethelia1085 5 лет назад +305

    Jamani kudate na mtu mzima raha sanaaa.Rugu aliona ile video akapotezea na kumpa Nandy maneno matamu, imagine angekua ni kijana mwenzake pangechimbika bila jembe Mamaeeeeee

  • @ferouzmasoud4741
    @ferouzmasoud4741 5 лет назад +14

    Millard unajuwa sanaa kaka hongera sanaa broo

  • @agnesmapunda4412
    @agnesmapunda4412 5 лет назад +26

    Best interview, beautiful Nandy full of wisdom yatunze yt na uyaishi yt uliyachiwa na Ruge hope utafika mbali, sorry for the lost, Mung atakupa aliyemleta kwaajili ya maisha yk ya baadae

    • @ummymumbure3059
      @ummymumbure3059 4 года назад

      Yani babaako namkumbuka sn kwa malisa paleeee kwamtei uko vizuri my

  • @sharifahassan3455
    @sharifahassan3455 5 лет назад +11

    Kumbe nandi mpare jaman tunaotoka usangi gonga like hapa twende sawa

  • @hezronsolomon4714
    @hezronsolomon4714 5 лет назад +88

    Nandy hakika your a strong women god bless you

    • @johnmwandu2116
      @johnmwandu2116 5 лет назад +3

      Woman bhana, siyo women, tunalazmisha ngeli yanin wakat kilikuja kwa meli!?

    • @johnmwandu2116
      @johnmwandu2116 5 лет назад

      @@salma0000 tuwaambie tu ukweli, wanadhan ngeli ndio usomi, kumbe ni lugha ya kawaida tu km kimang'ati

  • @Rutabanzibwa
    @Rutabanzibwa 5 лет назад +4

    Nimeipenda sana hii interview! Nandy uko juu sana aisee, una busara sana, jasiri, mtulivu, daaah! Hongera sana!

  • @hoglamosetaura3573
    @hoglamosetaura3573 5 лет назад +22

    Pole sana jamani....I can't imagine what you might be going through.May God see you through.

  • @mwanasuleiman3479
    @mwanasuleiman3479 5 лет назад +31

    Wawooohh...she born 11/9/92...and myself I was born 11/09/98...ooohhh...nicee

  • @raymondkazungu6261
    @raymondkazungu6261 5 лет назад +3

    Nandy I love your personality, humble , respect n talent. and last bt not least the way u answering the questions, I respect you forever . Sio kama wakina flani wenye kupeperuka ka ndege angani

  • @lindambilinyi8579
    @lindambilinyi8579 Год назад +12

    Tunaoiludia hii interview baada ya nandy kuolewa na Billnass tujuane hpa😃😃😃😃

  • @dannytz5111
    @dannytz5111 5 лет назад +190

    Waoooooooo bonge la interview

    • @ramadhanimrisho5532
      @ramadhanimrisho5532 5 лет назад +5

      Pole sn Nandy tumeipenda story so Mungu amuweke pema boss Ruge!

    • @gracemkuki16
      @gracemkuki16 5 лет назад +2

      Nandi katulia sana ana akili za utu uzima

    • @dannytz5111
      @dannytz5111 5 лет назад +1

      Yes nandy ni mtt mzur na anae jua kujielezea kama mtu mzm mwwnye knowledge yake ...nice one

  • @ashahomari9014
    @ashahomari9014 5 лет назад +8

    There's something about this guy Millard.Damn!Boy,you have a Kenyan crush,good work!

  • @shivamyaakrammuhammad9906
    @shivamyaakrammuhammad9906 5 лет назад +8

    mtangazaji number one Tanzania kwa interview kari utangazaji mkari

  • @priscamlyuka5531
    @priscamlyuka5531 5 лет назад +14

    Namuona nandy jamani analia kwa mbali anajikaza sana duuuh

  • @reginafrancis120
    @reginafrancis120 5 лет назад +73

    Pole mumy utapata mume mwingne japo ataendelea kuishi moyoni mwako

  • @julianaelias4525
    @julianaelias4525 5 лет назад +20

    Sooo emotional......RUGE Rest In Peace.

  • @omarylazaroomarylazar8421
    @omarylazaroomarylazar8421 5 лет назад +19

    am True Nandy she's the best for the next time

  • @revokatusmathias5168
    @revokatusmathias5168 5 лет назад +42

    Akuna msanii ninae mpenda kama naddy, nakupend sanaaaa

  • @mussamsella8560
    @mussamsella8560 5 лет назад +78

    Nimependa hapo kwenye issue ya mababti...alipokupa deal kisha akakuuliza umepata sh ngapi ...kisha anakwambia kanunue mabati...that's the real life

  • @mattydesigns127
    @mattydesigns127 5 лет назад +37

    Mashallah binti anajua kujibu maswali,nimekupenda ungekuwa wifi etu dah Mungu akutie nguvu

  • @delphinacharles1304
    @delphinacharles1304 5 лет назад +108

    Kweli ulikuwa na haki ya kumpenda hata ningekuwa mm ningempenda kwa jinsi alivyokuwa anakushauri hasa kuhusu maisha pole sana najua maumivu unayoyapa japo unajitahidi kutabasamu

  • @subiraomar4771
    @subiraomar4771 5 лет назад +3

    Nakupenda nandy umenifanya niipende nyimbo ya nikumbushe uliimba kwa hisia sana siku ya msiba wa ruge mungu akuongoze vema uwe jasiri kama ruge mutahaba.

  • @happinessmtitu4485
    @happinessmtitu4485 5 лет назад +12

    Pole sana Nandy Kila jambo Mungu aloruhusu anasababu Pole sana.😭 Mungu analojibu la maisha yako!.

  • @wisdomuta1039
    @wisdomuta1039 5 лет назад +4

    Mungu ndiye ajuaye....pole sana Nandy....R.I.P legendary Ruge

  • @beckykipepe7742
    @beckykipepe7742 5 лет назад +5

    Best interview so far..all the way from +276

  • @deswilshire9930
    @deswilshire9930 5 лет назад +4

    All the way from southafrica Nandy uko poa sana

  • @revocatusrwakagera3742
    @revocatusrwakagera3742 5 лет назад +205

    Nandy is a wife material 😙😙😙

  • @jndaki8273
    @jndaki8273 5 лет назад +3

    Daaaahh boss ruge r i p uko uliko maana hiki kitu n konkiiii sana blessed

  • @juliuspetro6669
    @juliuspetro6669 5 лет назад

    Follow this link to message me on WhatsApp: wa.me/255654168126
    Kwa mahitaji ya kununua pikipik Aina yeyote ile Nicheki Bonyeza hapo juu ili kuagiza Used pia zipo👆🏻👆🏻👆🏻

  • @allani.tconsultants1934
    @allani.tconsultants1934 5 лет назад +3

    Una umakini saana katika mahojiano yako Milladayo...I like your calmness sensitivity and flow of your questions.... Keep it up

  • @NehemiahRotich
    @NehemiahRotich 5 лет назад +16

    This is why I always celebrate my love when she is alive ..

  • @cynthiawanza3977
    @cynthiawanza3977 3 года назад +4

    Professionalism+ passion= Millard ayo.. this guy is soo good at what he does!!?

  • @prosperkullaya6721
    @prosperkullaya6721 2 года назад +1

    Ur so beautiful unasalimiwa sana na mpare mwenzio.. Hongera sana

  • @joxiahmendez1325
    @joxiahmendez1325 5 лет назад +12

    Hivi hi interview aina part two?.. Mana daah is too emotional

  • @bethm6587
    @bethm6587 5 лет назад +15

    Mtangazaji Bora kabisa. Big up bro. Hauna kiherehere.maswali mature 🙏🙏

  • @mohamedsasma879
    @mohamedsasma879 4 года назад +5

    Nakupenda sana Handy kwa nyimbo zako na ukweli wako pia katika mambo mengi!bila kusahau kicheko chako!

  • @gracekamwela9411
    @gracekamwela9411 5 лет назад +2

    Nimekupenda nandy nimejifunza mengi kupitia majibu yako, thank you Millard

  • @mohammadswabir2092
    @mohammadswabir2092 5 лет назад +1

    Best interview. Napenda sana mwenye kuuliza masuali uhodari wake na upole kiasi ya kwamba kilimfanya pia Nandy awe mpole kujibu masuali.

  • @rahillhamidu2544
    @rahillhamidu2544 5 лет назад +3

    Great woman, beautiful humble nice voice

  • @bekatv1009
    @bekatv1009 5 лет назад +13

    +254 milla...you deserve to be a journalist...big up bro...nandy umeua urembo tu...

  • @lestermtweve5990
    @lestermtweve5990 5 лет назад +7

    Dope interview.... kali xn hii #millard

  • @husseinmohammed5921
    @husseinmohammed5921 5 лет назад +4

    This interview is a genius. Pokea salamu toka 254. I am sorry Nandy for the loss

  • @shabanimanyank8950
    @shabanimanyank8950 5 лет назад +10

    Millard mnafiki kwel,, tazama anavyomchimba nandy.....
    Hongera saana mtu wa nguvu. Unawajulia,, unampa time ajieleze pouwa... Nimependa interview...

  • @alafazegega7065
    @alafazegega7065 5 лет назад +3

    pole sana ndand unajibu vizuri sana

  • @Suppersportss
    @Suppersportss 5 лет назад +1

    kiukweli MI ni mtu wa kusomaga tu text.. na onaga kuandika ni kibarua flani sjui vipi... ila this interview imenichoma .nlikua na mtazamo tofauti kabisa kwa ruge.."ruge anawatumia sana wadada"lakini this interview has changed alot... nandy nakupenda buree kwa utulivu back busara yako... big up kwako Millard.. this is big and so calm.. big up

  • @lightnessurasa4928
    @lightnessurasa4928 5 лет назад +1

    Hii interview uchoki kuitazama nandy so beautiful,respect na humble women stay strong losing someone you love its real hurt

  • @rockyassey6089
    @rockyassey6089 5 лет назад +4

    broo uko poa na kazi yako hujawah kukosea🙏🏻🙏🏻

  • @simbascfans
    @simbascfans 5 лет назад +137

    😂😂😂😂 Rugeeeeeeeeee hakika watu wanakusema sn hapa Duniani. Nimegundua mtu akifa watu watasema kila kitu kizur ila ukiwa hai watakukana mno.

  • @nathaliefikiri5003
    @nathaliefikiri5003 5 лет назад +51

    Perfection of beauty, nandy the African princes

  • @geofreyedward3210
    @geofreyedward3210 5 лет назад +46

    Mzuri, mtulivu alistahil kuwa na ruge

  • @ellykabweelly5855
    @ellykabweelly5855 5 лет назад +3

    pole Sana Nandy
    ww Ni mwanamke jasiri Sana
    I love it

  • @zachariabernard9660
    @zachariabernard9660 5 лет назад +46

    Chema hakidumuu be strong Nand follow what he told you never fail R. I.P Ruge

  • @bahatirngulika4493
    @bahatirngulika4493 4 года назад +1

    Hii ndio inaitwa beauty with brain aiseee,big up nandy unajibu vizur sn na millard ayo sijawah jutia kuangalia interview zako💥

  • @jr_mkumbojr
    @jr_mkumbojr 5 лет назад

    Smart interview...#millardayo...thebrandofquality❤ much love #nandy#ripruge#millardayo

  • @zubywanyama1614
    @zubywanyama1614 5 лет назад +11

    Mrembo Sana ...❤️❤️❤️❤️

  • @BahiyaHussein
    @BahiyaHussein 5 лет назад +5

    NANDY 😍She’s Beautiful Ma’sha’Allah xx

  • @essiesamoa8492
    @essiesamoa8492 5 лет назад +2

    Nandi adi huruma unatia its not easy to loss a loved one especially mpenzi wako ambae alikua like everything kwako… kama mshauri ,,baba ,,kaka,, en futher more your LoVE… .may God olways see you through en continue being strong ..cz he's usually watching yoh steps cha muhimu ni kumuogopa Mungu nakufocus kwa job zako… you are a Princess who is loved by many… interview poa sana tulivu thou yakuelimisha pia… Mungu akusimamie kwrnye kazi zako… Bigup Mirad

  • @asiaally3105
    @asiaally3105 5 лет назад +2

    Hongera Kwa kaz yako kaka napenda cna kuangalia interview zako uko makini really love good job

  • @eliminatajohn3505
    @eliminatajohn3505 5 лет назад +12

    yani unajitahidi sana kuyajibu yote hayo Mimi mpaka hapo machoyangu yamenitoka mengi sana kwa ujasili wako nand pore sana

  • @saumuhassan6365
    @saumuhassan6365 5 лет назад +16

    Pole sana mpenzi, hata mimi pia napenda wimbo wako wa *HAZIPO* na ni ring tone kwenye cm yangu, NAKUPENDA SANA NANDY. 😍😍😍😘😘😘

  • @teresiakimath6991
    @teresiakimath6991 5 лет назад +3

    Nampenda sana huyu binti....wanaompenda tuungane nao hapa. Piga like za kutosha

  • @paulinekamau9633
    @paulinekamau9633 Год назад +3

    She is so adorable 🥰