MAPOROMOKO YA TOPE YAFUKIA SHULE NA NYUMBA 20 MBEYA

Поделиться
HTML-код

Комментарии • 92

  • @ashrona9884
    @ashrona9884 Месяц назад +12

    Ushauli wangu kwa taifa tumuombe allah msamha amekasilika

    • @kisoso890
      @kisoso890 Месяц назад

      Babu hiyo nchi inalaana mimi nilishaliona hili miaka mingi ila hiyo nchi imelaanika ni nchi inayokumbwa na maaafa kila mwaka

  • @agnesjohn9382
    @agnesjohn9382 Месяц назад +6

    Duu sijawahi ona hii jamani aise Mungu tunusuru waja wako pale tulipokosea tusamehe poleni sana

  • @user-od6xp4zi3l
    @user-od6xp4zi3l Месяц назад

    Poleni Sana

  • @monicakimario2910
    @monicakimario2910 Месяц назад

    Popeni sana wana Mbeya, Mungu awajaze na kila hitaji la moyo wenu

  • @user-qo2nf6vm7k
    @user-qo2nf6vm7k Месяц назад +3

    Tusipoiondoa ccm madarakani Mungu ataendelea kutuadhibu.

  • @rubeniflano
    @rubeniflano Месяц назад

    Mungu atunusuru nikwangu maeneo haya

  • @nyamizimpangule8640
    @nyamizimpangule8640 Месяц назад

    TUMSHUKURU MUNGU HAIKUWA SIKU YA MASOMO ,KUNGEKUWA NA WANAFUNZI DARASANI INGEKUWA MTIHANI MZITO EE M/MUNGU TUNUSURU😭😭🙏🏻

  • @user-lc6te2pe2l
    @user-lc6te2pe2l Месяц назад

    Mungu turehemu taifa hili la Tanzania

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 Месяц назад +1

    Subhana llah

  • @LiadiMohamed
    @LiadiMohamed Месяц назад

    Ukataji wa mitu na kilimo holela milimani ndio chanzo, mbeya imezungukwa na milima vipara,

  • @georgemwandonga
    @georgemwandonga Месяц назад

    Atali sana

  • @deborahmwaipopo833
    @deborahmwaipopo833 Месяц назад

    MUNGU Baba tusamehe sana pale tunapokosea. Ahsante pia hata kuwaokoa ndugu zetu, watoto wa Shule etc.
    Tunatubu na kujinyenyekesha kwako.
    Wana Mbeya wenzangu, ni muda sasa wa kuheshimu Nature. Tuache milima iwe milima.

  • @kisoso890
    @kisoso890 Месяц назад

    Babu hiyo nchi inalaana mimi nilishaliona hili miaka mingi ila hiyo nchi imelaanika ni nchi inayokumbwa na maaafa kila mwaka taifa linamatendo machafu sana watanzania ni wanafiki hawana upendo wa kweli wengi ni masnitch upendo wa usoni tu ndio maana allah anaiangamiza tanzania taratibu

  • @HellenMakori-ky4dm
    @HellenMakori-ky4dm Месяц назад +1

    Mungu mwema wana itezi tumepona japo watu wamepoteza makazi

  • @ESTERMWAKAPALILA
    @ESTERMWAKAPALILA Месяц назад

    Dah washukuriwe wanakijij Kwa kutuokolewa watoto wetu katika shule ya generation 🙏😭😭🙏🙏

  • @semerodgers6997
    @semerodgers6997 Месяц назад

    Umerepot vizuri sana

  • @BennyMahenge
    @BennyMahenge Месяц назад

    Poleni wana mbeya😮

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 Месяц назад

    Dahh sijawh ona hii. Mungu tusamehe pale tulipokosea

  • @ashirawaziri3195
    @ashirawaziri3195 Месяц назад

    Ee mungu mola wetu tusamehe sisi watanzania 😢😢😢yallabi

  • @FredaMwakalisa
    @FredaMwakalisa Месяц назад

    Mungu Asante kwa kuwaokoa wanangu cjui ningekuwa ktk Hali gani😢😢

  • @rehemayona2223
    @rehemayona2223 Месяц назад

    Kweli siku za mwisho zimefika mungu tuhulumie,🙏🙏

  • @Aishahamza-jk3uf
    @Aishahamza-jk3uf Месяц назад

    Polenisana nduguzetu mwenyezimungu awafanyie wepesi

  • @fatmamohammed9851
    @fatmamohammed9851 Месяц назад

    Mungu awasaidie

  • @user-od1qv6ez6n
    @user-od1qv6ez6n Месяц назад

    M, Mungu atunisulu 🙏

  • @Yangaza
    @Yangaza Месяц назад

    Diwani anafaa kuwa Bungeni

  • @kelyjames5452
    @kelyjames5452 Месяц назад

    Polenii sanaaa 😢😢😢😢Mungu waja wako tunusuru na majanga hayaa!!

  • @annamsemwa1946
    @annamsemwa1946 Месяц назад

    Mungu amekasirika. Turudi tufanye Toba ya kweli.

  • @jacksonlaizer7785
    @jacksonlaizer7785 Месяц назад

    Poleniwana mbea kwaathari mbaya ilio wapata

  • @user-yu2sl9ji6v
    @user-yu2sl9ji6v Месяц назад

    Tufanye toba ya kweli,, dhambi zimezidi

  • @MaryChahe
    @MaryChahe Месяц назад

    Mmmh mwenyezi Mungu atutetee hiii hali siyo poa daah

  • @ashachitemo7816
    @ashachitemo7816 Месяц назад

    Aalah atusamehe sana na atunusuru

  • @khadijanjama8721
    @khadijanjama8721 Месяц назад

    Poleni sana

  • @dayana5513story
    @dayana5513story Месяц назад

    Tanzania kuna jambo maombi yanaitajika

  • @ashrona9884
    @ashrona9884 Месяц назад +1

    Subhanallah

  • @neemakitashu2732
    @neemakitashu2732 Месяц назад

    Jamani poleni Sana wenzetu wanambeya

  • @aminitu3766
    @aminitu3766 Месяц назад

    Duh polen xna familia zilizoadhirka

  • @amosmselepete6293
    @amosmselepete6293 Месяц назад

    Mungu aturehemu hatujasahau hananga tena mbeya

  • @user-sj3wf5vz7l
    @user-sj3wf5vz7l Месяц назад

    Kulima mashamba milimani na kukata miti hovyo

  • @sabojanvierjaja2007
    @sabojanvierjaja2007 Месяц назад +1

    😢😢😢😢 Dha ni hatare sanpoleni sanna kwa waathirika wa janga hilo

  • @faustermathias3209
    @faustermathias3209 Месяц назад

    Yesu wangu tutetee 😭😭😭🙌🏼

  • @mchangweje
    @mchangweje Месяц назад +1

    Du pole sana

  • @MkisiStylish
    @MkisiStylish Месяц назад +1

    Hizi ardhi hizi si mlibeba udongo mkapeleka kwa mwamposa komboa ardhi sasa mbona kama imekua bomoa ardhi😂Nchi tumrudie Mungu wa kweli dhambi zimezidi tunapenda miuujiza kuliko kumpenda Mungu

  • @ashurajengela3926
    @ashurajengela3926 Месяц назад

    Tutubu zambi kila siku Mungu atusamehe 😢😢

  • @user-qo2nf6vm7k
    @user-qo2nf6vm7k Месяц назад

    Hii Ni laana ya kuongozwa na viongozi wanafiki, kila kukicha ni majanga tu.

  • @barakakusa7606
    @barakakusa7606 Месяц назад

    Mwamposa ombea hayo mafuriko yaishe😢

  • @MiriamAbdallah
    @MiriamAbdallah Месяц назад

    Poleni wana mbeya

  • @anamsangi2666
    @anamsangi2666 Месяц назад

    MUÑGU MFARIJI MKUU ,AWAPE WEPESI NDUGU ZETU HAWA NA KUWAAGU

  • @brothermultipurpose
    @brothermultipurpose Месяц назад +1

    HALI ZOTE HIZO ZINATOKA KWA ALLAH

  • @paulnovemysanga9607
    @paulnovemysanga9607 Месяц назад +1

    Hatari sana

  • @magdalenachuwa2884
    @magdalenachuwa2884 Месяц назад

    Sasa mlijenga shule chini ya mlima mnategemea nini

  • @laurentwilson-db4ir
    @laurentwilson-db4ir Месяц назад +1

    Poleni sana ndugu Zangu

  • @mariammohamed6762
    @mariammohamed6762 Месяц назад

    Kwa experience yangu Hanang yalianza matope Kisha maji ni vyema watu kuchukua tahadhari

  • @goodluckjames450
    @goodluckjames450 Месяц назад +1

    Mbona hatarii

  • @kesterkanyala7718
    @kesterkanyala7718 Месяц назад

    JAMANI ,JAMANI ..NI OMBI KWA WATANGANYIKA WOTE...TUKISHIRIKIANA NA WATANZANIA WENZETU.....TUOMBE " TOBA"...KWA MWENYEZI MUNGU....WETU WA KWELI
    -KWELI HALI ,INAZIDI KUWA MBAYA....
    -MAFURIKO ,MAPOROMOKO,MAZISHI ARUSHA,...MLIMA HANG...VITA VYA IRAN NA ISRAELI..ARDHI NGORONGORO
    - SAA YA TOBA NDIO SASA....

  • @noelbryson7840
    @noelbryson7840 Месяц назад

    HII NCHI INAENDELEA KUKUMBWA NA MAJANGA MENGI KIASI HIKI ? ..TUNAHITAJIKA KUSALI SANA😭

  • @japhetmininga5748
    @japhetmininga5748 Месяц назад +1

    Aiseee God help us😢

  • @gloriadiyami5864
    @gloriadiyami5864 Месяц назад

    Ukataji miti na ujenzi kupandisha milima ni hatari..

  • @hafidhimarijani4961
    @hafidhimarijani4961 Месяц назад

    Kuna sehemu tumejichanganya ila kuna watu hawatakubaliana na mimi.

  • @YashukraJuma
    @YashukraJuma Месяц назад

    Polen wahanga😂😂

  • @victorjames3730
    @victorjames3730 Месяц назад

    Diwani Hana heshima anasema wananchi tumewaswaga kwani wananchi ni mifugo

  • @TOUNDISELASSIE-xj8oy
    @TOUNDISELASSIE-xj8oy Месяц назад +1

    Haitajiki akili kubwa kutambua madhara yametokana na nini. Kawaida mizizi ndio inashikilia udongo uliorundikana, hasa kama udongo huo ni tifutifu ama kichanga. Ushauri wangu eneo hilo ipandwe miti yenye mizizi inayokwenda chini na inayosambaa ikiwa ardhini. Eneo hilo ipandwe ile miti ya Christmas.

    • @HellenMakori-ky4dm
      @HellenMakori-ky4dm Месяц назад

      Kabisa mwanzo walipanda miti mingi saizi walitoa yote na watu wamelima sana yaani tumepona kwakweli

    • @TOUNDISELASSIE-xj8oy
      @TOUNDISELASSIE-xj8oy Месяц назад

      Vizazi vilivyotangulia waliheshimu sana mazingira. Na kufuatilia tabia zake. Kizazi cha sasa tumelisau jambo hili.

  • @user-xk7vy4gb6g
    @user-xk7vy4gb6g Месяц назад

    @user hivi ww unaakili kweli?? Mungu na ccm wapi na wapi. Baada useme kuwa watu wanafirana kinyume na maumbile wanaume wanaoana mwenyewe kwa mwenyewe, Familia zinauana baba wanawaingilia mabint zao watoto wa kiume wanabaka mama zao Mungu atunusuru ww unasema ccm.

  • @wilsonjaphet5547
    @wilsonjaphet5547 Месяц назад +1

    Tanzania Kuna kitu Tumekosea MUNGU tumuombe atusaidie

    • @user-qo2nf6vm7k
      @user-qo2nf6vm7k Месяц назад

      Tatizo ni kuichagua ccm Mungu anatuadhibu

  • @israelkisaila8401
    @israelkisaila8401 Месяц назад

    Haloo,tope linavyotembea utadhani reli!😢

  • @thomassenga2526
    @thomassenga2526 Месяц назад

    Acheni kuvamia milima mtakwisha

  • @user-qt6kz5ks5j
    @user-qt6kz5ks5j Месяц назад

    kwanini mlime had mliman milima ibak kua milima isivamiwe kwanini porin uko milima haiporomok ije iporomoke kwenye makaz ya watu .tuache kufata milima

  • @Tumaini-mj4fs
    @Tumaini-mj4fs Месяц назад

    God save us

  • @jacklinehaule9784
    @jacklinehaule9784 Месяц назад

    Polen 😢

  • @boniimsokwa8627
    @boniimsokwa8627 Месяц назад

    wapande miti ya kutosha hapo

  • @dallasmusic6465
    @dallasmusic6465 Месяц назад

    Kuna namna nchi yetu imekubaliana na watu wa Giza kufanya kafara hzi hii Hali sio ya kawaida Tanzania 🇹🇿 Kila sku ni maafa tu

  • @NestymwampambaMwampamba
    @NestymwampambaMwampamba Месяц назад +2

    Jaman watu wamepona.?

  • @hildamponzi
    @hildamponzi Месяц назад

    Peleni sana

  • @robertigohe7477
    @robertigohe7477 Месяц назад

    All Tanzanians should repent

  • @edmundnkarangu134
    @edmundnkarangu134 Месяц назад

    😭😭😭🙏

  • @mariamngonyani2296
    @mariamngonyani2296 Месяц назад

    Poleni sana.

  • @anjelomsafi7133
    @anjelomsafi7133 Месяц назад

    Iloo tope ikinyesha Leo itez inafukiw 😢😢😢

  • @user-ii5cp1wr2x
    @user-ii5cp1wr2x Месяц назад

    Poleni sana

  • @WilibroadPatrick
    @WilibroadPatrick Месяц назад

    Poleni sana

  • @michaelndilima6210
    @michaelndilima6210 Месяц назад

    Poleni sana

  • @BardenBensonMwamfupe-dk3yg
    @BardenBensonMwamfupe-dk3yg Месяц назад

    Poleni sana