HAYA NDIO MAISHA HALISI YA MZEE SENGA // UTAJIRI WAKE UNATISHA // MAGARI YA KIFAHARI NA MJENGO....

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 9 фев 2025

Комментарии • 54

  • @Lillian-qt6gi
    @Lillian-qt6gi 3 месяца назад +3

    Tunasubiri films zako za mpya mzee wetu😍😍🔥🔥🔥. Mungu akupe maisha marefu na yenye furaha tele.

  • @barretobacca9754
    @barretobacca9754 10 месяцев назад +7

    Legend.

  • @gracewangai2725
    @gracewangai2725 3 месяца назад +4

    23:10 huyo mimi mwenyezi Mungu nijalie mali ya halali 🙏🙏

  • @AyubuDaudi-yt1gx
    @AyubuDaudi-yt1gx 9 месяцев назад +10

    Hata kama ana maisha ya kawaida ni ya kwake Mungu ampe maisha marefu

  • @Tumainijema-n7p
    @Tumainijema-n7p 9 месяцев назад +4

    Mzee nampenda sana MUNGU akupe maisha malefu

  • @Johnbinemungu
    @Johnbinemungu 5 месяцев назад +4

    Nakukubali Mzee uko vzr wano kudhalau nawao kuna wanao wadhalau binadam ndivyo tulivo

  • @FrancisRM-ex8vf
    @FrancisRM-ex8vf 5 месяцев назад +2

    Mzee kila anapokua ni comedian tu😂😂😂

  • @Libe-p2w
    @Libe-p2w 3 месяца назад +3

    Asante senga wasanii wasasa waige wosia wako,umesema kunawakat ulikuwa kwenye ajira ulikuwa nakaz gan?

  • @RahmaIddi-s2s
    @RahmaIddi-s2s 3 месяца назад +3

    Mzee senga ridhika na maisha alio kupangiya Mungu ndio hicho...kila mtu ataulizwa mali zake alizipata kwa njia gani?

  • @RomeoKirimwami
    @RomeoKirimwami 9 месяцев назад +2

    Mungu akupe maisha marefu mze senga❤

    • @RahmaIddi-s2s
      @RahmaIddi-s2s 3 месяца назад

      Hv mzee bwagu yupo jaman...yaan nmewamiss sanaaaaaaaaa wasanii wakongwe adi rahaaaaaa ❤❤❤❤

  • @barakajohn-oz4sk
    @barakajohn-oz4sk 9 месяцев назад +2

    pole mzee wangu

  • @FloraMpunza
    @FloraMpunza 3 месяца назад +1

    Safi kabisa mzee senga

  • @Nyanimzee
    @Nyanimzee 3 месяца назад +2

    Ila senga kuojiwa tuminacheka

  • @labunaabouna6122
    @labunaabouna6122 9 месяцев назад +2

    Kaongea vizuri sana

  • @kivatirokitojo657
    @kivatirokitojo657 9 месяцев назад +4

    😂😂mzee senga hataki kujitutumua ameshukuru na kuridhika na kidogo chake

  • @Nyanimzee
    @Nyanimzee 3 месяца назад +1

    Aaaanimecheka sana

  • @BarakaMsigwa-sc5zn
    @BarakaMsigwa-sc5zn 8 месяцев назад +2

    Moto juu ya moto

  • @michaelambangile3632
    @michaelambangile3632 9 месяцев назад +2

    Umenifurahisha kwa unayoyaita matusi.

  • @TibihikaGerad
    @TibihikaGerad 9 месяцев назад +14

    Acha ujinga mim napajua mpaka kwake unapitia njia ya kimara mtaa wa kwa Abas Kuna shule ya sant Joseph ana maisha ya kawaida sana

  • @Moïse-p6s
    @Moïse-p6s 9 месяцев назад +3

    Mwe! mwe! mwe! Kumbe mama beti😂😂😂😂

  • @ElisioVicente-ug4ov
    @ElisioVicente-ug4ov 9 месяцев назад +2

    Unazibitiwa mapato yako umekaa kimwa kkkk inachekesha sema tu muda umeenda msiwalaumu watu jemeni.

    • @theoldphilosopher3640
      @theoldphilosopher3640 9 месяцев назад

      Wakati ule hapakuwa na njia ilikua hata maduka ya Cd original hayauzi maana tulikuwa tunaburn tu ikaisha sasaivi ni flash hata Cd room hazisomi tena ..
      Cd ya 1500 wakati ule saivi unaupat mzigo kwa 100

  • @worldelectro2787
    @worldelectro2787 3 месяца назад

    Ndiyo maana, wanasema mafunzo ni mema, Leo youtube imebadili vyote, ilikuwa vema kuenda n'a wakati, youtube ilipoanza wengi waliona mchezo, lakini Leo cd zimekufa n'a flash disk

  • @7stianPius
    @7stianPius 3 месяца назад +1

    Tena pale patakua panaitwa matosa,kila siku tuko nae kibanda cha mka

  • @MbongoBoy-yg9tq
    @MbongoBoy-yg9tq 9 месяцев назад +2

    Mm hufurahishwanamatusiyake😂😂

  • @NzizaRobert-fu7ry
    @NzizaRobert-fu7ry 3 месяца назад +1

    ❤❤❤❤❤

  • @rashidhassan8156
    @rashidhassan8156 9 месяцев назад +2

    😂😂kama anagombea umiss

  • @shabannuru7809
    @shabannuru7809 9 месяцев назад +4

    Kiukweli kinasega wame😃🤡 20:46

  • @GerlasVayahi-sr7xx
    @GerlasVayahi-sr7xx 10 месяцев назад +5

    Mzee Senga

  • @Emanuel-jo1ho
    @Emanuel-jo1ho 9 месяцев назад +2

    Nimapito lazima upitie pole

  • @AgustinoAlfredy
    @AgustinoAlfredy 9 месяцев назад +1

    Chekinolisi haha😅😅

  • @amosikatembo
    @amosikatembo 9 месяцев назад +1

    ❤❤

  • @InaiyaIsack
    @InaiyaIsack 3 месяца назад +1

    Nikweli senga

  • @aminitu3766
    @aminitu3766 9 месяцев назад +1

    Uyu bwan mnyenyekevu

  • @makelelebahati5236
    @makelelebahati5236 9 месяцев назад +1

    Senga umeongea Jambo LA msingi SANA ,toa ushauri hata kama selekali hawataufata.

  • @Sisopotashiumz
    @Sisopotashiumz 9 месяцев назад +2

    Kwararupa wee!

  • @Saidy-mpoma
    @Saidy-mpoma 9 месяцев назад +1

    Matusi yako😂😂😂😂

  • @jacklinenelson35
    @jacklinenelson35 9 месяцев назад +2

    😂huyo rafiki yako yuko wapi siku hizi😂😂😂

  • @FaustineClement-gx9vv
    @FaustineClement-gx9vv 9 месяцев назад

    Ndo dunia yetu hii tulionayo

  • @nolascomashelle6838
    @nolascomashelle6838 9 месяцев назад +1

    Mwemwemwe kafalamondoo shokapu

  • @aishamfinanga3799
    @aishamfinanga3799 3 месяца назад +1

    Hahahaha

  • @EmanueliMichael-sf3ur
    @EmanueliMichael-sf3ur 9 месяцев назад

    Uwongo mtupu

  • @marrykigabimk
    @marrykigabimk 9 месяцев назад +2

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @furahaabonga6642
    @furahaabonga6642 9 месяцев назад

    Senga mnashindwa kukumbuka kitu kimoja kipindi mnaigiza technology ilikuwa aipo ila sas iv RUclips ndo ndo inafanya kazi

  • @Fahad-ew4fn
    @Fahad-ew4fn 9 месяцев назад +1

    Cheknoros hahahahaha 😆 🤣 😂

  • @JoelFortunatus-du8ww
    @JoelFortunatus-du8ww 9 месяцев назад +1

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣 TikTok gospal

  • @leonardsimbeye2035
    @leonardsimbeye2035 9 месяцев назад

    Kila jambo na majira yake. Kaeni na wajukuu zenu Sasa. Acheni kulalamika

  • @Saidy-mpoma
    @Saidy-mpoma 9 месяцев назад +1

    Checknoris 😅😂😅

  • @juliussebastian-ze7uc
    @juliussebastian-ze7uc 9 месяцев назад +1

  • @NasraMrisho-z4o
    @NasraMrisho-z4o 3 месяца назад +1