First day of 2024 I'm here, dear God, mguse kila anayehitaji msaada wako, mwaka huu usipite bila kutenda kwenye maisha ya yeyote anayekuomba baba, Tenda na kwangu Jehova, nakuangalia wewe tuu🙏
Im here to testify, finally Mungu amenionekania, nalitukuza jina la bwana, kabla January haijaisha, Mungu ametenda na kwangu, I pray for everyone's who need help from Jesus, Mungu akutokezee
I just found myself singing this song in the morning of 8th January 2024,I know God will do a miracle in my life,this year dear Lord i pray you do a miracle in my life in Jesus mighty name.Amen
This song reminds me 2019 when I was going through so much, depression both from marriage and family. The place I grew in and called home was to be demolished and there was foreplay in compensation to an extend of finding threats messages written on our gate to scare my mum.I would really cry singing this song and praying novena. My mum one day called me that she went to the bank and compensation money was deposited in her bank. This song will always be powerful to me because that was a miracle
2020 nilikuwa sina kitu nilikata tamaa kabisa nilipo kuwa naisikiliza nikiwa IRAQ 🇮🇶 namshukuru Jehova shalome ametenda muujiza kweli yani nimebarikiwa na sasa nimehamiya kwangu tena nilikuwa chokora ila kwa sasa ukiingiya kwangu geti kali naonekana wakishuwa😂😂😂 haleluya
Huyu ndiye yule Mungu wa yaliyoshindikana, yeye hawahi wala hachelewi anajibu kwa wakati wake ambao anaona yeye ni sahihi, congrats dear, Mungu aendelee kukubariki
God I am nothing before your face but when I listen to this song it reminds me about my past but I know this year 2023 God you will do miracles in my life without you am nothing God please do some to me in your Almighty name 🙏🙏🙏
Eeehh MUNGU nipo chini ya magoti yangu mbele Yako Kwa unyenyekevu nakulilia, nakuomba, nakusihi uyachunguze hali ya maisha yangu na unitendee tuu muujiza maana wewe ndo tumaini langu, subira yangu, tegemeo langu na tarajio langu loote ni wewe. Eeh MUNGU wangu naomba huu mwaka usiache upite bila kunitendea muujiza! Wow Halleluyah AMINA AMINA na AMINA 🙏🙏🙏
Eeeeh mungu tenda muhujiza rudisha kila kilichopotea fungua milango yote iloyofungwa navunja vunja nguvu zote za giza na mkataa shetani na kazi zake nazikataaa
Mungu wangu.. Nakuinulia macho yangu.. Ni wewe tu unaweza kushugulika na haja za watoto wangu... HAKIKA mwaka huu 2024 hautapita Bila miujiza ktk Familia yangu
Ee MUNGU kwa imani kupitia wimbo huu naomba ukanitendee muujiza kwenye uzao wangu nipate mapacha, nisaidie nipate kazi Mungu wangu, umuinue mume wangu kiuchumi, ninaamini ee Mungu hutoniacha ninaamini utanitendea Jehova niweze kushuhudia matendo yako ya ajabu Amen.
God do it for me I finish my study 😢 it's feels sad seeing your friends finishing there study while you struggling with fees everyday the pain is unbearable God please help me
Nitendee Baba kwaitaji yenye siezi semea apa nalia kila siku usiku na mchana myaka inakuwa mbili lakini naomba nitendee muujiza December 31,2024 🙏🙏nikumbuke Baba
Here in 2025 Mungu tenda muujiza Kwa maisha yangu❤
Ee Mungu tenda muujiza 2025 nione mkono wako baba yangu🙌🤌🏻🤌🏻
Kenyans in the house let's show some love to the Man of God
Done
TENDA MUJIZA BWANA🙏🏼🙏🏼
Tenda miujiza,, is my favourite song of Pstr Abiudi,, I know this year GOD will do it again
❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
Show our Love to God
Naitwa samwel Mungu nitendee jambo mwaka 2024.mke wangu ashike ujauzito wangu .mwakani anizalie mtotor.amen
Damu inenayo mema kuliko ya Abeli, ifunike uzazi wako❤.
Mungu ameshakutendea wimbo huu Una ushuuda mkubwa kwangu
He will emen
2025is my beautiful year🙏
Kaka sema amen Mungubamesikia kilio chako nitafte nikusaidie
First day of 2024 I'm here, dear God, mguse kila anayehitaji msaada wako, mwaka huu usipite bila kutenda kwenye maisha ya yeyote anayekuomba baba, Tenda na kwangu Jehova, nakuangalia wewe tuu🙏
Thank you so much
Im here to testify, finally Mungu amenionekania, nalitukuza jina la bwana, kabla January haijaisha, Mungu ametenda na kwangu, I pray for everyone's who need help from Jesus, Mungu akutokezee
Amen
Amen
Amen amen Happy
Mungu tenda muujiza wa kupata uzao wa watoto mwaka huu kwa jina la Yesu kwa wotr tunaosubiri bataka hii ee YESU.
January 2025 i will come with a testimony through this song
2024 where are you kama bado unaskiza
Niko ,still listening
Still listening 🎧 I pray God to bless me before the year ends
2024 Mwenyezi Mungu usiache Mwaka huu upite bila kutenda Miujiza Amen.
God 2025 I need your help and revive my spirit
This my song 2023.....najua Mungu atatenda muujiza Kwa maisha yangu.....💕💕💕💕🙏🙏🙏🙏
Amen. Hata mimi nitaleta ushuhuda. And i pray hio siku mtu alike nikumbuke siku ya leo Thursday, 9th March, 2023
Ndio Mungu atende miujiza🙏
@@tedytitus7205 0
@@piuswerema9619 uphhhyu
Me too siz
Who's still listening to this beautiful song 2024? Be blessed 🙌
Mungu nimengoja 2023 tangia mwanzo bwana tenda mwaka huu usiishe huu ni mwezi wa mwisho tenda nirudi hapa 2024 kutoa hushuuuda pia mimi mungu Amen
Yesu asikiye ombi lako
I just found myself singing this song in the morning of 8th January 2024,I know God will do a miracle in my life,this year dear Lord i pray you do a miracle in my life in Jesus mighty name.Amen
Jehovah 2024 isiishe bila kutenda muujiza
Mungu baba kwa Jina la Yesu nitendee miujiza mwaka 2024. Unijaze na furaha ushindi na mafanikio kwa Jina la Yesu amen
Mungu awena ww Kila uendp
Bado wimbo utàhudumu kizazi hata kizazi🙌🌓
Lord please remember me 2024,,do a miracle in my life
May He be with you 🙏 Amen
This song reminds me 2019 when I was going through so much, depression both from marriage and family. The place I grew in and called home was to be demolished and there was foreplay in compensation to an extend of finding threats messages written on our gate to scare my mum.I would really cry singing this song and praying novena. My mum one day called me that she went to the bank and compensation money was deposited in her bank. This song will always be powerful to me because that was a miracle
Amen dear
Amen
2020 nilikuwa sina kitu nilikata tamaa kabisa nilipo kuwa naisikiliza nikiwa IRAQ 🇮🇶 namshukuru Jehova shalome ametenda muujiza kweli yani nimebarikiwa na sasa nimehamiya kwangu tena nilikuwa chokora ila kwa sasa ukiingiya kwangu geti kali naonekana wakishuwa😂😂😂 haleluya
Ubarikiwe zaidi na mungu akuzidishie
Huyu ndiye yule Mungu wa yaliyoshindikana, yeye hawahi wala hachelewi anajibu kwa wakati wake ambao anaona yeye ni sahihi, congrats dear, Mungu aendelee kukubariki
Nyimbo zazamani hata iweje zinavutiya tu Mungu nime anza mwaka na family yangu mwaka huuu unikumbuke.amen 2024
YESU niko hapa usinipite Leo ni zamu yangu kwa jina la YESU KRISTO aliye hai Amina
Who's still listening to this beautiful song in 2023? Be blessed.
Kila mara nikiskia hii wimbo natokwa na machozi sana😢
God I am nothing before your face but when I listen to this song it reminds me about my past but I know this year 2023 God you will do miracles in my life without you am nothing God please do some to me in your Almighty name 🙏🙏🙏
Ameen
But the most important thing is when you go down with your knee don't forget to pray for the wicked once 🙏🙏🙏
God has done great thing I can never forget December 2017 date 22..Mungu alinitendea muujiza
Im trusting you lord for restoration i know you're restoring every thing lost in Jesus name 🇰🇪🇰🇪
Mungu wangu uketie mahali Pa juu nakuomba mwaka huu usipite mbila kutenda muhunaz 2023 na 2024 mungu naomba utenda
Eeehh MUNGU nipo chini ya magoti yangu mbele Yako Kwa unyenyekevu nakulilia, nakuomba, nakusihi uyachunguze hali ya maisha yangu na unitendee tuu muujiza maana wewe ndo tumaini langu, subira yangu, tegemeo langu na tarajio langu loote ni wewe.
Eeh MUNGU wangu naomba huu mwaka usiache upite bila kunitendea muujiza!
Wow Halleluyah AMINA AMINA na AMINA 🙏🙏🙏
Amen
Umetenda Mungu utukuzwe utendee na wengine Ameeeen.
Asante Yesu kwa mema yote uliyonitendea na kuniepusha na mabaya wewe Baba ni mlinzi na mkombozi wa maisha yangu UTABAKI KUWA MUNGU MILELE YOTE .
Am listening this song at 4 am 2023,asking God to turn around the table of my enemy ,and I believe he will before this year end
Eeeeh mungu tenda muhujiza rudisha kila kilichopotea fungua milango yote iloyofungwa navunja vunja nguvu zote za giza na mkataa shetani na kazi zake nazikataaa
Ntendee muijiza ee baba mwaka huu Ndo unaenda kuisha e baba tenda muijiza kwangu na famlya yangu kwa ujumla Amen❤❤❤❤
This year will be my year Amen.
Eeehh mungu uliye hai naomba nitendee na familia yngu, tuinue kiuchumi mme wng apate kazi nzuri napokea ktk jina la yesu Amen ❤
Naitwa natasha nataka huyumwaka 2025 ANIPEKAZI ZULI NATOKA BURUNDI LAKINI SAI NIKO KENYA
I enjoyed this song through out my pregnancy journey in 2011,I thank God my daughter is now turning 12 years
Nitende bwana huu mwaka uwe wangu wamuujiza Amen 🙏
TENDA MIUJIZA KWENYE MAISHA YANGU kabla ya huu (2024) mwaka kuisha, nahitaji viwango vingine Bwana 🙏
oooh Lord tenda baba muujiza kwa maisha yangu ❤❤❤
Mungu ni mwema kila wakati najua mwaka huu 2024 atatenda Muujiza kwangu❤
Being 29thJune 2024 Ooh God tenda miujiza in my life and to all whoever needs your miracle
Amen
Tenda mungu wangu nakuomba
Mungu ni mwema kila wakati najua mwaka huu 2024 atatenda Muujiza kwangu.
Nikumbuke huu mwaka Jehovah..niondolee hiki kikombe cha uchungu na machozi.
2024 it's my year Ee mwenyezi Mungu nitendee namimi
Tenda Mungu kwangu Mwaka huu wa 2025
Ewe Mwenyezimungu usiache mwaka huu 2024 upite bila kutenda muujiza wa baraka na afya njema Mimi na familia yangu.
Mungu tenda Muujiza niweze kutumiwa ticket yangu ya ndege niende kufanya kazi nchini Saudi Arabia,2024 Isipite bila tiket yangu.Amen 🙏🏽
Yesu tendee mujiza juu ya mtoto wangu 😭😭😭😭😭😭😭🙏
Bwana Yesu Kristo was Nazaret tenda miujiza kwenye maisha yetu 2024. Tukaushangaze ulimwengu.
Mungu naomba Tenda Muujiza 29 October 2024.
Dear lord 2024,tenda muujiza kwangu
Mungu tenda muujiza kwa ajili yangu nina mtihani wa mwezi wa sita na saba 2025 niupite, tenda muujiza, wewe ni mtetezi wangu, Amen
As we approach the end of 2023,naomba Mungu atendee familia yangu ,atulinde ,atupee afya njema,watoto wangu wakawe vichwa wala sio mkia in Jesus name.
The whole of 2019 COVID year I prayed and prayed and God finally delivered. I got a job during the most difficult time.
Glory be to God.
Tenda miujiza Kwa familia yangu, God deliver my husband from his sidhen Diana gatwiri she so evil father,my kids need their dad back🙏😭🧘
Mungu nakuomba usiache mwaka huu upite bila kunitendea muujiza.
Yes lord 2025 is the year of my blessing in Jesus name for my promotion
Me on this day 19th April ,2024 begging Gos to heal my son and restore his hearing and give him full speech
I shall come back to testify
Ameen,
Be blessed
Mungu wangu tenda muujiza🙏🙏🙏
Trust in the lord with all your heart and lean not on your own understanding...
In all your ways acknowledge him and he will make you paths straight
Tenda mujiza kwangu mwaka huu upite Bira kutenda miujiza ktk maish yangu unekana na kwangu Mungu wangu 🙏🙏🙏🙏
Much love from Kenya 🇰🇪
Mwenyez mungu naomba utende miujiza week hili napitia maumivu makubwa mnoo naomba mungu nisaidie mwanao
Asante Mungu kwa umbali huu nmefika ni muujiza kamili..walio na matatizo mbali mbali watendee kama kadri ya mapenzi yako..kwa jina la yesu..Amen
Mungu wangu.. Nakuinulia macho yangu.. Ni wewe tu unaweza kushugulika na haja za watoto wangu... HAKIKA mwaka huu 2024 hautapita Bila miujiza ktk Familia yangu
I like this song it strengthen my faith 🙏🙏🙏
I was very down yesterday and this is the song that dropped in my spirit. Yes Lord tenda muujiza
Mungu naomba mwaka uu usipite na mim nipate miujiza yangu😢🙏
Mungu usipite bila kutenda mujiza pa maisha yangu
Ameen
Amen Amen 🙏🙏🙏🙌 mungu nakuomba utende muujiza kwenye maisha yangu mibarikiwe sana kupitia jina la yesu 🙏
17:Feb.2024.may God remember anyone praying for a miracle in Jesus name.
Ee MUNGU kwa imani kupitia wimbo huu naomba ukanitendee muujiza kwenye uzao wangu nipate mapacha, nisaidie nipate kazi Mungu wangu, umuinue mume wangu kiuchumi, ninaamini ee Mungu hutoniacha ninaamini utanitendea Jehova niweze kushuhudia matendo yako ya ajabu Amen.
Ee mungu naomba mwaka 2024 usipite bila kutenda mujiza kwangu Ameeen🙏🙏
Praying for a miracle today Lord Jesus.... Send me help from your sunctuary Elohim
This be my song 2024 ,mungu tenda muujiza
Baba tenda muujiza
EE BABA NAKUOMBA TENDA MUUJIZA NA FUNGUA VIFUNGO VYETU TULIVYO FUNGWA WANAO HAPA DUNIANI UTUPE RIZKI ZETU NA UTUJALIE MWISHO MWEMA AMEN🙏🙏
God do it for me I finish my study 😢 it's feels sad seeing your friends finishing there study while you struggling with fees everyday the pain is unbearable God please help me
Nitendee Baba kwaitaji yenye siezi semea apa nalia kila siku usiku na mchana myaka inakuwa mbili lakini naomba nitendee muujiza December 31,2024 🙏🙏nikumbuke Baba
2024 nko hapa jehovah mungu nitendee kabla mwaka uishe🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Amen Amen Amen Amen Amen Amen and Amen. Asante baba kwaku nitendea mwaka huu. My inspiration song.
Kkkooiioo à Kintambo in use as tu eu
Mwaka huu usipite baba bila kutenda muujiza
Nina imani mwenyezi Mungu utanitendea miujiza kabla ya mwaka huu kuisha Amen 🙏🙏🙏🙏
Amen pokea🙏🙏
God did it to me last year September🙏🏽🙏🏽 and am expecting more grace and favour this year too🧎♀️🤲🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽
I like this song so much.. Thanks be to God always 🙏🙏🙏🙏
Mungu usiache mwakahuu upite bilakutenda miujiza Amen
Tenda muujiza 🙏2024....nakuitaaaa MUNGU
Asante Yesu kwa uwepo wako. Tunakutumainia daima
This is my prayer in the year 2024 in Jesus mighty name
Mwezi 10 tarehe 2 mwaka 2024 mungu atendee miujiza kwenye maisha yangu
Mungu tenda muujiza katika maisha yangu usiache mwaka upite bila kutenda muujiza wa kazi katika jina la yesu.Amen
Eeee mungu ndo tumeanza mwaka 2025 nakuomba tends muujiza mpe mama yangu afya Baba mponye mama yangu amina
Mungu nakuomba mwaka huu usipite bila kutenda mjiza
This year 2024, mungu nitendee muujiza
Tenda bwana
Tenda mungu.... Nipate kazi ya kudumu na kueleweka 2025 ikawe ya baraka kwangu
Kila siku muujiza, asante Bwana wa majeshi. Pokea sifa
Ukiwatendea wengine pia nami unitedee,,,mwaka usipite Baba yangu🙏🙏🙏
Dear Lord may you do a miracle for My deputy president Rigathi Gachagua and pastor Dorcas❤ in this tough season.
Mbaka sasa kupata nguvu ya kuandika ihi sms ni bado unatenda muujiza basi kila dakika yesu TENDA MUUJIZA❤
Tenda muujiza ndan yangu baba usiache mungu mwaka huu upite bila kutenda muujiza babaa🙏🙏🙏
Yesu tenda muujiza kwangu na familia yangu usiache mwaka huyu upite tuko hapa ❤