Nishike Mkono - Mch. Abiud Misholi (Official Music Video).

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 9 янв 2025

Комментарии • 323

  • @ErickMligoniniTena
    @ErickMligoniniTena Год назад +39

    2024 yesu nishike mkono nisizamee katika dhambi nitembee katika kusudi lako Amen

  • @nehemiakipchumba254
    @nehemiakipchumba254 Год назад +11

    Nishike mkono Bwana, twende nawe hadi mbinguni,bila wewe mimi siwezi,wewe ndiwe msaada wangu Baba 🙏🙏

  • @kimathiwalter3843
    @kimathiwalter3843 Год назад +3

    Usikae kimya ..call God👏

  • @pauline0kwisa515
    @pauline0kwisa515 2 года назад +25

    Napenda huu wimbo Sana ubarikiwe Sana PST

  • @Vanessakanari
    @Vanessakanari Год назад +2

    Nishike mkono Bwana hii mwaka inapoisha badilisha maisha yangu ondowa aibu kwangu lete heshima usiniwache nimebaki na wewe Mungu wangu niguze tena Baba that is my pray O LORD REMEMBER ME IN JESUS NAME AMEN

  • @rahabusanga1559
    @rahabusanga1559 19 дней назад

    hizi ndo nyimbo za gospels ambazo hazichujii zina nguvu ya Mungu ,huchoki kuisikiliza be blessed pastor Abiud

  • @husseinhashimu1590
    @husseinhashimu1590 2 месяца назад +6

    Mungu naomba nishike mkono nipate Approved ❤.29 October 2024

  • @gospelinternational1722
    @gospelinternational1722 Год назад +8

    Yesu nakuita nishike mkono,, nimekaa kimya,nimezama, naongea lakini hakuna anaye elewa, nirudishie nehema yako kwangu........

    • @Bella_rossa
      @Bella_rossa Год назад

      usichoke mwimbo wa Mch. Abiudi unakukumbusha usikae kimya lia na Mungu wangu piga kelele kama Petro alvopga kelele kuwa Yesu Nishike Mkono, Usiniache, Abebe Mizigo yako na Mungu akusaidie. Mungu yupo na akujibu.

    • @noreeneraymond3545
      @noreeneraymond3545 Год назад +1

      MUNGU NIMWEMA MWIMBO MZURI SAN

    • @noreeneraymond3545
      @noreeneraymond3545 Год назад

      AMIN

  • @ModestaMokeira-o1p
    @ModestaMokeira-o1p Год назад +7

    Mwaka huu Bwana nishike mkono uniongoze maana sitoweza bila wewe

  • @alphadaniel7378
    @alphadaniel7378 Год назад +2

    Niliribarikiwa kupitia kwa huu wimbo wimbo.., ubarikiwe sanaa mchungaji😅❤

  • @sharonlunyagi9629
    @sharonlunyagi9629 Год назад +14

    Amen amen am from tiktok mpaka huku mungu endelea kunishika mkono kwa maisha yangu n pia wengine

  • @jilliannyachae3264
    @jilliannyachae3264 2 года назад +3

    Nishike mkono bwana usinije nazama peke yangu kweli sitaweza.unionee huruma kama petero.uniondolee aibu kwa maisha yangu.ndio maombi yangu bwana wa mabwana

  • @saraaswile886
    @saraaswile886 8 часов назад

    Mungu nilipo fika maji yananishinda nguvu nishike mkono yesu.

  • @AgnesNyivaTV
    @AgnesNyivaTV Год назад +5

    Napenda huu wimbo sana,mungu ambariki hii hunduma sana👏

  • @kenyanhustler4104
    @kenyanhustler4104 Год назад +6

    Napenda maneno. Yaliyomo ndani ya hii nyimbo baraka tele

  • @ClarisShiaka
    @ClarisShiaka 4 месяца назад +2

    Mungu washike mkono wazazi waliyopoteza watoto wao kwenye moto shuleni 🙏 🙏

  • @jumamartine5230
    @jumamartine5230 2 года назад +2

    Ni kwl kabisa nishike mkono Bwana peke yangu siwezi Safari niliyo nayo Ni ya shida. Barikiwa na Bwana Mchungaji

  • @SamVenus
    @SamVenus 11 месяцев назад +8

    Im confused with Life but the moment i listen to this song i get a sense of direction..Nishike Mkono Bwana❤❤❤❤😢😢

    • @puritymisoi5714
      @puritymisoi5714 2 месяца назад

      In whatever situation you are in,I pray for you...may God intervene

    • @lamescopanga2174
      @lamescopanga2174 8 часов назад

      even me too,but I believe in him

  • @mosesndebesa450
    @mosesndebesa450 Год назад +14

    Who cannot be blessed by God's glory in this? Amen, Amen and Amen!!

  • @naomisikuku7162
    @naomisikuku7162 2 года назад +5

    yesu nishike mkono Hali imekuwa ngumu sana kwangu

  • @blessingsfavor6903
    @blessingsfavor6903 4 месяца назад +2

    Baba nishike mkono imekuwa ngumu but l trust and believe in your name God

  • @GraceKanini766
    @GraceKanini766 Месяц назад

    Mungu nishike mkono nimeshindwa kabisaa kikombe ni kikali kwangu 😭

  • @mosesgaitan-v8n
    @mosesgaitan-v8n 27 дней назад +1

    Nishike mkono yesu kwenye masomo

  • @nizigamaviolette-ig9dl
    @nizigamaviolette-ig9dl 2 месяца назад

    Amenaaaa namimisiwezi Bilahuyu Jehovah wimbo hui umenitowa machozi

  • @festofrank-z3m
    @festofrank-z3m 4 месяца назад +1

    Amen mtumishi ubarikiwe sana

  • @DavidNdayikengurukiye-b1w
    @DavidNdayikengurukiye-b1w 6 месяцев назад +2

    Amen amen amen namie naomba Yesu nishike mkononi pamoja nawapenzi wako amen amen

  • @ElyséeMuisha
    @ElyséeMuisha 4 месяца назад +1

    Toa Aibu yangu uni shike mkono Mungu wangu

  • @ChachaChonchorio
    @ChachaChonchorio 2 месяца назад

    Dr.chonchorio chacha,huu wimbo umenigusa sana

  • @nizigamaviolette-ig9dl
    @nizigamaviolette-ig9dl 2 месяца назад

    Mimipia mwakahuu usiishe Mungu bilakunitendea Mungu nangojawewe tu

  • @NAOMIMWASELE
    @NAOMIMWASELE 2 месяца назад +1

    My pastor abiud misholiii mbeya 🙌

  • @modestaulambale606
    @modestaulambale606 Год назад +1

    Aminaaaa na upends Sana HUU Wimbo , Mungu tulindiee Vizazi vyetu walinde wanetu

  • @NmNm-n5g
    @NmNm-n5g 2 месяца назад

    Bwana Yesu asifiwe Mungu nisamehee dhambi zangu nishike mkono nipereke mahali unaona kunanifaa Yesu nimejitoa nitumie Yesu Niko tayari kama sio wewe MUNGU sijui ningekuwa wapi nisaidie nisianguke kwa dhambi nitawale ee MUNGU

  • @alainmuhigirwa5151
    @alainmuhigirwa5151 9 дней назад

    Amen amina.
    Jina la Bwana Yesu Kristo libarikiwe

  • @MusaSalumu-s7i
    @MusaSalumu-s7i Месяц назад

    Nataka kabla ya mwaka huu kuisha heshima ya familia irudi ameen

  • @PurityMutie-z1g
    @PurityMutie-z1g 5 месяцев назад +2

    Baba naomba kizazi changu kibarikiwe

  • @marthamaina7782
    @marthamaina7782 Год назад +2

    Wewe ni wangu Bwana nishike mkono siezi bila wewe 🙏

  • @محمدمحمد-م6ض7خ
    @محمدمحمد-م6ض7خ Месяц назад

    It is midnight of 22nd November 2024 on my knees bleeding to you Lord to hold my kids, I and my husband,may you lead us into 2025,in Jesus name 🙏🙏

  • @Justinefurah
    @Justinefurah Месяц назад

    Yesu ni shike mukono ,bila wewe siezi baba usiniache bwana yesu.

  • @WavinyaMwilu
    @WavinyaMwilu 9 месяцев назад +1

    Amen ,, siwezi peke yangu nishike mkono Bwana Yesu. 24/3/2024

  • @saraaswile886
    @saraaswile886 8 часов назад

    Baba Mungu nishike mkono🙏🏼

  • @okangosarah06582
    @okangosarah06582 Год назад +1

    Huu wimbo hunijaza sana ki imani,,barikiwa sana mchungaji

  • @bernardchoge5894
    @bernardchoge5894 2 месяца назад

    Yesu nipiganie; safari imekua ngumu sana.

  • @danielmbithi-f6h
    @danielmbithi-f6h 2 месяца назад

    Mungu nitendee muujiza wa uponyaji wa muasho wa ngozi kabla mwisho wa mwisho wa mwaka kwa imani, mtumishi wa mungu barikiwa

  • @magrathmichael7475
    @magrathmichael7475 2 года назад +2

    Huu wimbo umenibariki Sana mchungaji barikiwa uzidi kufundisha jamii

  • @gideonmuia-h9n
    @gideonmuia-h9n 9 месяцев назад +1

    Abiud is a talented in music and he is called by God to spread the good news of Him. ❤

  • @jerdachaless
    @jerdachaless 2 месяца назад

    BWANA YESU nishikmkon nisizame kwenye dhamb nifate njia yako bab usiniache beba mizigo yang 🙏🙏

  • @SilasshijaMangu
    @SilasshijaMangu 10 месяцев назад +2

    Nkweli bila yesu cwez

  • @JanetJohn-c7v
    @JanetJohn-c7v 2 месяца назад

    Napenda huu Wimbo juu wanikusa roho angu mungu akubari misholi ❤🎉

  • @WashingtonOwino-jc7ep
    @WashingtonOwino-jc7ep 9 месяцев назад +1

    Amina Amina......so touching song

  • @perisiafrancis1686
    @perisiafrancis1686 2 года назад +4

    Nishike mkono Yesu, usiniache, 🙇🙏

  • @alphoncemuindi4126
    @alphoncemuindi4126 Год назад +1

    Barikiwa sana mtu wa mungu

  • @ChelaaPrincess-w8f
    @ChelaaPrincess-w8f 8 месяцев назад +2

    Mungu wangu nishike mkono this year pamoja n my family, mungu nibariki pia nipate bwana😔😔🙏🙏🙏

  • @MarthaNelima-o2u
    @MarthaNelima-o2u 9 месяцев назад +1

    Nishiko mkono bwana kwa kila jambo,siwezi bila wewe,God bless you mtumishi

  • @johnkichalomollelmollel9396
    @johnkichalomollelmollel9396 8 месяцев назад +1

    Nimefarijika sana abiud mungu wambinguni akutuze

  • @avlybecky7224
    @avlybecky7224 5 месяцев назад +1

    Mungu niokoe nisizame,nishike mkono mbila wewe siwezi bwana

  • @antonidule3397
    @antonidule3397 2 года назад +2

    Ubarikiwe mchungaji hakika huu wimbo wanibariki sana

  • @annekivuli11
    @annekivuli11 Год назад +1

    Amen 🙏🙌🙌🙌 nishike mkono bwan

  • @BartazaryHepelwa
    @BartazaryHepelwa 3 месяца назад

    Barikiwa sana Mpendwa Pastor Misholi Abihudi, Nyimbo zako zimekuwa Baraka mno katika maisha ya Watoto wa Mungu na Kanisa lake. Nakuombea

  • @DumaAtanasi
    @DumaAtanasi 3 месяца назад

    hua nijiuliza huyu mchungaji abiudi kwanini asjengewe sanamu pale mbeya

  • @meddykisegendo2042
    @meddykisegendo2042 2 года назад +1

    ubarikiwe mch kwa huduma nzuri

  • @erickochiengnyayal490
    @erickochiengnyayal490 3 месяца назад

    Amen..Nishike mkono bwana🙏🙏🙏🙏

  • @susanbwairisa1058
    @susanbwairisa1058 Год назад

    More blessings niskie mukono bwana

  • @amoskaloki2920
    @amoskaloki2920 Год назад +2

    Nishike mkono bwana,,,,,*10000000 I love this song

  • @AnastaciaApadeet
    @AnastaciaApadeet Год назад +2

    Be blessed Man of God am blessed indeed we God forever 😢😢

  • @shelyboyshely2928
    @shelyboyshely2928 8 месяцев назад +1

    Ameen ubarikiwe sana mtumishi wa mungu

  • @francisphilipo5749
    @francisphilipo5749 Год назад

    Oo yesu uliyeyashinda majaribu yote na ukafa na kufufuka baada ya CK tatu dam Yako iliyomwagika msalabani iniponye inisafishe na kunuondolea nguvu za Giza zinazonisumbua amen

  • @NyangusiLomitu
    @NyangusiLomitu 2 месяца назад

    Ubarikiwe sana past

  • @NyangusiLomitu
    @NyangusiLomitu 2 месяца назад

    Mungu anawesa kila jambo

  • @mecksonalex7684
    @mecksonalex7684 2 года назад +1

    Hiii nyimbo nikiskliza nafel kulia kwauhalisia uliopo kwenye maisha yetu ubalikiwee mtumish abiud

  • @BartazaryHepelwa
    @BartazaryHepelwa 3 месяца назад

    Mungu akutunze kwa ajili ya Utumishi wake

  • @beatricemwakiposa4011
    @beatricemwakiposa4011 5 месяцев назад

    2024 Nishike mkono Yesu ondoa msiba wangu YESU🙌🙌

  • @NeemaStanley-ci5hq
    @NeemaStanley-ci5hq 9 месяцев назад

    Unikumbuke na mm Bwana Yesu Kristo nisije nikazama hili ni ombi langu kwako daima

  • @EvaPino-rj3qf
    @EvaPino-rj3qf 8 месяцев назад +1

    Amen 🙏🙏🙏 bila ww swez bhna

  • @wambuastolla1247
    @wambuastolla1247 8 месяцев назад +1

    Amen wimbo umeningusa alleluja

  • @RubanguraMichel
    @RubanguraMichel 11 месяцев назад

    IMANA ibahe umugisha hano mu Rwanda Kigali indirimbo zanyu turazikurikira neza, Kandi ziradufasha, zigizwe namagambo meza yubugingo buhoraho, Amen 🙏🙏

  • @MercyChirry-u3l
    @MercyChirry-u3l Месяц назад

    Mungu naomba nikuone 🙏🙏🙏

  • @alicemuriithi7103
    @alicemuriithi7103 Год назад +6

    May the Lord receive glory and honour. Truly it's a great and powerful worship song. God bless you servant of God. Truly you have touched my heart. I love all your music. Baraka.

  • @lucysimbeye560
    @lucysimbeye560 8 месяцев назад +1

    Yesu nishike mkono maana peke yangu siwezi nakutegemea wewe bwana yesu

  • @MarthaSimiyu-py9qy
    @MarthaSimiyu-py9qy 6 месяцев назад

    Amen Amen naomba mungu anishike mkono Kwa kanzi yake ninaye mfanyia And God bless you pastor

  • @EvelineMurende
    @EvelineMurende Месяц назад

    Amen amen am blessed with Ur songs and am also happy to hear Ur sound❤
    I'm

  • @SaidismailySaidismailyvu-ic1id

    Wimbo Huu unaniweka katika uwepo wa bwana kweli mungu akubaliki abiudi

  • @BartazaryHepelwa
    @BartazaryHepelwa 3 месяца назад

    Hakika sisi peke yetu hatuwezi chochote bila Neema ya Mungu na mkono wake.

  • @TonnyKisaka
    @TonnyKisaka 14 дней назад

    Nishike mkono yesu Kwa kazi ya mikono yangu

  • @Digitek5300
    @Digitek5300 2 месяца назад

    Mimi napenda sana nyimbo zake ssna

  • @ChepkorirEdaah
    @ChepkorirEdaah Год назад

    Amen 🙏🙏 eeh mungu leta heshima kwangu na utoe aibu yangu

  • @Nelima-zp2kp
    @Nelima-zp2kp 7 месяцев назад

    Eee mungu wangu nishike mkono unitangulie pila wewe mm ziwezi ,nko inje ya Kenya 🇰🇪 usiniaje

  • @francisphilipo5749
    @francisphilipo5749 Год назад

    Mungu wangu niokoe na hali niliyonayo nizaliwe upya kwa dam yake yesu cristor inisafishe inioshe

  • @RuthMotiteNdurika
    @RuthMotiteNdurika 2 месяца назад

    Bwana niangalie niko hapa

  • @StephenKasolo
    @StephenKasolo 7 месяцев назад

    Nabii tembea kenya 🇰🇪

  • @burnsisack5254
    @burnsisack5254 9 месяцев назад +1

    Petero wa simoni,,,,such an amazing peace of work I love it

  • @musaliaeugene7975
    @musaliaeugene7975 6 месяцев назад

    Mtumishi wa mungu yaani napenda sana nyimbo zako zina upako karibu Kenya 🇰🇪🙏

  • @pamelachelagat7381
    @pamelachelagat7381 2 года назад +1

    Bila wewe bwana mimi siwezi maisha yangu yoote nakutegemea

  • @phibykavuka5267
    @phibykavuka5267 2 года назад +5

    God bless you be lifted ,powerful revelation

  • @FaustinaAngelo-t4x
    @FaustinaAngelo-t4x 11 месяцев назад

    Mungu akubaliki mtumishi nyimbo zako zinanibalik sanaaa🙏🙏🙏🙏

  • @gloiremuhimuzi4547
    @gloiremuhimuzi4547 Год назад

    Nishike mchono bwana usiniache bwana nyimbo zako zina nguvu kweli uwe nami baba nakuliliya nikiwa naima usiache bwana

  • @DorineeAdhiambo
    @DorineeAdhiambo Год назад +2

    I'm Doreen from Kenya I love this song glory to God

  • @emilywakesho
    @emilywakesho Год назад

    Nishike mkono bwana kwa haya ninayo pitia 😭😭bila ww siwezi ww ndie msaada wangu nko hapa nakuabudu

  • @NikolausMlawa
    @NikolausMlawa 8 месяцев назад +1

    Haya Mimi bwana yeSu nishike mkono na familia yangu nisiende vinginevyo niwe mmoja wa wtoto wako watii

  • @joelkembei4183
    @joelkembei4183 2 года назад

    Naomba ewe mwenyezi Mungu unishike mkono twende pamoja , Hali ngumu matumaini yangu ni kwako

  • @ANNAMPALI
    @ANNAMPALI 3 месяца назад

    Baba nishike mkono katika muujiza ulionitendea nisijivune bari nikusifu na kukuabudu siku zote za maisha yangu