Hakika nyimbo zako zimejaa uwepo Mungu!! huwa nikisikiliza tuu Mungu anaingilia kati kweny pito ninapita, Naomba Yesu nikumbuke katika hili pito napita, nakukimbilia wewe peke yako sina msaada mwngine
Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu, unavyotufariji na kututia moyo kwa nyimbo zako, kuna wimbo alikuwa unamalizia na chorus I asema Simama mwenyewe Bwana, niutafuta siuoni, nitaupataje.
Ee Bwana nirehemu ,nimekutenda maovu, usherati n,Baba niangalie,sina mwingine,ila wewe.Damu ya Yesu nitakase.Turn unto me Lord .my soul longs for your.You are my only saviour.Lord have Mercy,do not cast me out of your presence.
naomb MUNGU angalia maish yang yamejaa mateso nin mizigo adau wananiandama majarib kil kukicha naomb uniangalie bab iwe mwish wa mateso niliy pitia damu inifunike 😢😢😢
May the blood of JESUS cover my life, family, job house, Amen... i love this song so much,,, those who will be here some more years to come , know that Jesus is the only way,,,,,
Mimi apa mungu wangu nisaidie ata nikiwa kwenye magumu naomba unitie nguvu nikomboe familia yetu angalia baba maisha yangu yamekuwa yakutumia nguvu nyingi bila kufanikiwa naomba ukombozi wako naomba kibari cha mafanikio niweze kukomboa familia yetu
Nyimbo zako zanitia moyo mda mwingi niko down simama mwenyewe bwana inafungulia nyimbo zako kwangu akika mungu anaendelea kunifuta machozi ubarikiwe sana sometimes nataka nikunywe ata sumu nikizikiza tu najikuta nko na nguvu .
Kila anaesoma hapa damu ya Yesu ifike katoka Kila jambo
Kadri ninavyo endelea kusikiliza huu wimbo unanipa nguvu sana kila wakati amen 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
❤❤❤
9 years ago...hit 2023 ubarikiwe Sana mtumishi,, wapi like zenu
Ameen,
Praise to God
Mimi lazima siku moja nitakuja Tanzania nikuone tuu kwa machona uniombee mimi na familiar yangu
Lucky cause
Baba izi nyimbo zinafanya nakua mtulivu apa duniani kote''
Daaah nyimbo zako uwa zinavusha ktk majaribu, napokua ktk majaribu nikizisikiliza afu naomba nashangaa navuka bila tabu yeyote.
Comment yangu hii ya mwaka jana barikiwa Sana mtumish wa Mungu, Bado nabarikiwa baada ya maombi usiku huu
Damu ifunike 2025
Asante Mungu, napokea upako huo kwa jina la yesu 🙏🙏
Wimbo unanibarik San jaman🎉
Hakika we ni mtumish wa mungu,, unaimba vizur sana😊😊 barikiwa sana
Nyimbo zako zimajaa upako wa Roho Mtakatifu.
Zimegusa maisha yangu na nimepokea Baraka kupitia wimbo wako wa tenda miujiza
Oh Utukufu kwa Mungu
Nasema barikiwa mwana wa mungu song zako zinatenda miujiza sana
Nakukubal San @@mch.abiudmisholi
Mungu Roho Mtakatifu inuka uangaze kwangu,
maisha yangu yabadilike,
Sina Mungu mwingine ninayemtegemea, ni wewe tu.
my love for reggea...through this song i got saved and i left smoking bang ,,,i left the rasta community ,,im now a preacher of the word
Be blessed son of God!!
AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN
Amen, much love bro❤❤❤
My grace
how do you
Hakika nyimbo zako zimejaa uwepo Mungu!! huwa nikisikiliza tuu Mungu anaingilia kati kweny pito ninapita, Naomba Yesu nikumbuke katika hili pito napita, nakukimbilia wewe peke yako sina msaada mwngine
Mimi apa nisayidiye amen 🙏🙏🙏 and amen mungu nimukubuwa san Asante mungu wangu mungu awabarik 😁😁😁
Amen
Dear lord I'm here......
Pia mimi hapa namhitaji Mungu aniangalie
Uyu mtumishi ananitia moyo sana nyimbo zake mungu akupe umri mrefu🙏🏽💕
Mimi hapa mungu nisaidie ,nimechoshwa na mateso ,😢😢,maisha yamekuwa magumu ,nitie nguvu baba
Utavuka kwa jina la Yesu
Ogaaah! KATIKA JINA LA YESU MUNGU ATAKUPA KICHEKO
Daamu ifunike kila kitu hat taifa letu TZ 🇹🇿🇹🇿🇹🇿 AMENIIIIIIIII
AMENIIIIIIII
Mungu akubariki sana
Yesu usinipite wewe ndie kimbilio langu,mkono wako uwe juu yangu na juu ya familia yangu 🙏🙏
Who's there in 2024??
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu,Uzidi kutufariji kupitia nyimbo za kuabudu na za kusifu,Amina
Ameen ameen
Mwana wamungu ubarikiwe kwa nyimbo yetu nzuri sana ❤❤❤
Ooh lord i trust you in my love your our refugee ,ohh lord nimekukimbilia ni siaimbike dad ,i declare and decree prosperity in Jesus name 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Mimi hapa Mungu wangu nisaidie ,usiache Bwana nikaaibika...
Barikiwa sana Mtumishi
Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu, unavyotufariji na kututia moyo kwa nyimbo zako, kuna wimbo alikuwa unamalizia na chorus I asema Simama mwenyewe Bwana, niutafuta siuoni, nitaupataje.
❤❤❤❤❤❤❤❤❤¹
Wimbo unaitwa simama mwenyewe bwana
I love you babe
Blessed
Upalikiwe pastor wimbo huu umenifaliji sana na família yangu upalikiwe ameni
Mungu akubariki mtumishi was Mungu Na nyimbo zako ambayo inafariji nafsi yangu
Nikitingwa huu wimbo huwa nautumia sana asante kwa wimbo mzuri pastor Abiud nabarikiwa na huu wimbo kila siku niusikiapo
🎉🎉
Mungu akuzidishi abiud niliona mukono wa mungu katika nyimbo zako
Napenda Sana nyimbo zako mtumishi zinanibariki saana
Nimerudia tena, huu wimbo na nyimbo zote na mch. Abiud hua zina nguvu ya Mungu na miujiza pia, may God bless you
Kuna nguvu na baraka katika nyimbo hii watumishi wenzangu
Ee Bwana nirehemu ,nimekutenda maovu, usherati n,Baba niangalie,sina mwingine,ila wewe.Damu ya Yesu nitakase.Turn unto me Lord .my soul longs for your.You are my only saviour.Lord have Mercy,do not cast me out of your presence.
Yesu akuponye bancy.. geuka na Yesu atakurehemu
Nikisikliza wimbo huuu napata amani Mungu azidi kukupaka mafuta
Yesu tuangazie Dunia mzima tukujue wewe❤❤
Damu ifunike 2025 amen🙏🙏🙏
Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu nyimbo zako zinabariki sana na kufariji Amina
Unajua kuugusa Moyo wangu!
Kama sio MUNGU!! Sumlei na aseme sasa!!!
Well done nabi abiud misholi ever One of us we feel proud for you.thanks giving to our prophet ABIUD MISHOLI.
Wimbo mtamu kweli na kanisa kaketi kitako tuu
Mungu Akubariki Mwana wa Mungu Amen 🙏
Mimi hapa nisaidie Yesu Amina 🙏🙏🙏 ubarikiwe mtumishi wa Mungu
naomb MUNGU angalia maish yang yamejaa mateso nin mizigo adau wananiandama majarib kil kukicha naomb uniangalie bab iwe mwish wa mateso niliy pitia damu inifunike 😢😢😢
Yesu akutoe ulipo....
Baba niponye moyo,niangalie Baba,sina mwingine ila wewe ,usikumbuke uovu wangu rehema zako nazihitaji baba
Peter from Kenya nabarikiwa zanna
Bwana yesu asifiwe!! Asante mchungaji Kwa hii huduma..nimebarikiwa Sana.
Napenda sana huu wimbo
Mungu akubariki sana kwa Ujumbe wako kwa jamiii!!
Mungu ni mwema ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤sana
Mungu wa mbinguni akatunze
May our ALMIGHTY GOD BLESS YOU PROPHET ABIUD MISHOLI, may OUR ALMIGHTY GOD BLESS YOU MUCH.
Ɓ
Yesu okoa Dunia mzima .
Ameen
May the blood of JESUS cover my life, family, job house, Amen... i love this song so much,,, those who will be here some more years to come , know that Jesus is the only way,,,,,
Angalia baba Amina ubarikiwe mchungaji
Damu itufinike na tuangaze
Waaaah remembering this in abroad at the office Waaaah, God answers prayers
Nimemaliza maombi usiku huu, huu wimbo umenijia kichwan ndo nimeutafuta, wimbo mzuri unaonivusha, umenivusha mapito mengi sana.
Ameen ameen,
Uzidi kubarikiwa sana
@@mch.abiudmisholiOgaaah! MCHUNGAJI MUNGU azidi kukutunza
Mimi apa mungu wangu nisaidie ata nikiwa kwenye magumu naomba unitie nguvu nikomboe familia yetu angalia baba maisha yangu yamekuwa yakutumia nguvu nyingi bila kufanikiwa naomba ukombozi wako naomba kibari cha mafanikio niweze kukomboa familia yetu
Amen...
Powerful song God bless
Keep on reaching heartbroken souls,🙏 my morning lyric
Amen ninapo sikiza wimbo huu huwa nabarikiwa sana
Nyimbo zako zanitia moyo mda mwingi niko down simama mwenyewe bwana inafungulia nyimbo zako kwangu akika mungu anaendelea kunifuta machozi ubarikiwe sana sometimes nataka nikunywe ata sumu nikizikiza tu najikuta nko na nguvu .
Mungu akuonekania kwa lolote unalopitia,mungu anakipenda sana.
Wala husinywe sumu Yesu bado hajashindwa
Mungu akubaruki matumizi huo wimbo huwa unanibariki kila wakati
Ubarikiwe Sana Mchungaji Abihudi, Nyimbo zako zinanibariki Sana,
Nabarikiwa sana na nyimbo za injili Mchungaji much blessings listening from KENYA 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙏🙏
Unanibariki sanaaaa
DAMU YA YESU KRISTO MWANA WA MUNGU ALIYE HAI INENE MEMA kwenye maisha yangu na familia yangu
Naomba uniangalie babangu Mimi na family Yangu.Amen
Tunabarikiwa saana Yesu akutunze maisha mia
Uishi milele mtumishi wa MUNGU,nyimbo zako zina nifarijiyaka saaana
Aki hii wimbo inagusa Kila mtu barikiwa sana mtu WA mungu🎉🎉🎉🎉🎉
We always raise and shine with our prophet ABIUD MISHOLI, forever.
Tarehe 11/10/2024 bado nafuatilia nyimbo nzuri
I just love the song,mimi hapa usiniache mungu
Ameen mtumishi wa MUNGU. Endelea kubarikiwa na BWANA YESU.
Angalia bwana
Song touch my spirit
Hakika Mungu amejisazia watumishi kwenye kizazi hiki cha uharibifu Mungu akubariki sana Baba
Damu ya yesu ifunike familia yangu
Asanteni sana Watumishi wa Mungu
Amen❤❤❤
More blessings mutumishi wa mungu🙌🙌🧎♀️🧎♀️🤲🙏🙏
Barikiwa mtumishi wa Mungu Abiud.Napenda nyimbo zako👋
MUNGU wangu mm apa unibariki nipite mapito.
Asante yesu wangu
Can't get enough of this sweet song...God bless you so much pastor as you minister to his flock...Inspiring indeed
Mungu akui nue zaidi uende mbali kueneza injili
Amina Mtumishi Ubarikiwe saaana 🔥🔥🔥🔥
inuka mkaangaze wana wa Mungu mbarikiwe sana
Amina sana Mt umishi was mungu
Amina sana
Wimbo mzuri sana,,umejawa na baraka
❤❤nabalikiwa sana
AMEN
My song
I wish you richness and prosperity in your gospel songs,preachings and your family,very nice song,AMEN
Ameen
Mtumishi wa mungu yaani napenda sana nyimbo zako Zina upako wa kiajabu karibu Kenya 🙏🙏🇰🇪🇰🇪
The man who live through his work
Ubarikiwe sana wimbo mzuri sana
Amina