Kazi ya Mungu haina makosa🙏 alikujua hata kabla hajakutengeneza kwenye tumbo ya mamako. Wengine wana jinsia mbili na wengine hawana lol maajabu ya mwenyezi Mungu . 🤗🤗You are wonderfully made
Hiyo ni Baraka.wanawake Wengine wako na shida kubwa, wengine vipofu,wengine bila miguu na mikono,wengine wako na kila kitu lakini mungu akawaandikia hakuna kita fanya kazi. Mungu ana sababu yake. You are created special. Bibi wengi wa manabi wa mungu walikuwa hivyo hivyo. Kubali uko hivyo sababu mungu akupenda. Nitakuoa ,uwe bibi yangu kwa njia ya mungu.usi laumu mungu.,mambo za scientists zita kupoteza.wata kuharibu,hawaamini mungu.nipe nambari tuongeange.
Asante dada nilikuwasina majibu kwamtoto wangu ambae hatamiezimiwili hajafikisha yukokamawewe anasehemu yakukojolea tu yaani nitundu tu ambayo ninyembamba sana Mimi ni baba mtoto huyoanachokiongea nikweli Nahisi huyomtangazi nahisi haamini Nawala sijui kama anaelewa unachoongea daaa aisee nashukuru kwakupatamajibu ya mwanangu
Pole sister hebu aombewe msaada ende nchi za nje labda atafanikiwa kwa opresheni.Mungu atakusaidia wapo kama haokweli duniani doctor ataona kama inawezekana .badala kumhoji sana
Watangazaji hamjamtendea haki huyu mnayemhoji kwa sababu 1.Mmeuliza maswali mengi unprofessional, hasa mtangazaji wa kike. 2.Hamkujali kabisa ombi lake kwamba anatamani kuonana na viongozi na kupata ufadhili wa masomo..angalau kwa kulisisitiza na kuweka namba yake hewani,mlipopata mlichokitaka basi, this is not fair, be generous.
Dada anajitambu vizuri sana. Elimu ni tatizo kwa mtangazaji wa kike!!. Watangazaji ilipaswa wajielimishe japo kidogo kabla ya kumhoji huyu Dada. Then, interview ingekuwa inajazia elimu yao ndogo na wakati huo huo kutuelimisha wengine. Badala yake sasa unaona watangazaji wanashangaa tu na kuonekana kama wanamdhalilisha Dada.
Dada kwanza pole sana, ni mapenzi ya Mungu ila kama u amwamini Mungu anaweza, Mimi kuna dada mmoja ninamfahamu alikuwa na tatizo kama hilo ila Mungu alifanya muujiza siku asiyodhani aligongwa na gari lilimpitia juu yake hakufa wala hakupata mchubuko sehemu yoyote ila alipoinuka akajikuta amekuwa mzima aliolewa mwaka 1998 saizi ana watoto 5 mme wake alifariki mwaka jana,kwa Mungu inawezekana.
Pole Dada, naomba usimamie msimamo wako, unajitambua vyema Sana, ukikubali kuolewa na hao wanaotaka kulazimisha waweza lazimishwa na mengine yasiyofaa, kimaadiri yetu ya kitz
Hongera kwa ujasiri, Mungu anayosababu yakukufanya ulivyo. Ninawafahamu baadhi walio na hali yako. Mpe Mungu nafasi akuonyeshe kusudi la kukuumba hivi ulivyo.
Usiseme hongera ni kumpa pole na yy anatamani angekuwa na viungo vyote na sio hivyo alivyo,hata kama kuna maudhi ya wanaume,kama unaona vzr ivo alivyo kwa vile tatizo halipo kwako.
Usiseme hongera ni kumpa pole na yy anatamani angekuwa na viungo vyote na sio hivyo alivyo,hata kama kuna maudhi ya wanaume,kama unaona vzr ivo alivyo kwa vile tatizo halipo kwako.
Karibu dada. Yaani huo ni mshutuko tu kwa anaye kufanyia mahojiano. Kama hakika wewe ni mkristo,mtumaniye Mungu. Urithi wako ni kwa Mungu, asante dada usife moyo wala kutanganwa na walimwengu. Mungu awatetee wote 😘🙏
Poleni sana mwanangu. Na mimi nyumbani tuna mtoto wa shangazi yangu yuko hivyo alizaliwa hivyo kama huyo mdada wala wala asiwe na shida amshukuru Mungu tu
Pole dada ila Allah akupe maisha marefu sio rahisi kukubali hiyo hali but upo happy mno yn i like u baby girl good blessing you always❤️🙏🏼❤️🙏🏼 kujiamini ndio kila kitu 😍😘
Allahu akbar. Allah Ana uwezo wa kila kitu na hashindwi na chochote kile. Hata ulie katika jinsia ya kike au ya kiume anaweza kukubadilisha ghafla na ukawa km baby John. Huo ni uwezo wake. Na tusipende Sana kuuliza maswali ya ndani km kutaka kujua hadi utumbo wake ukoje nop utakuwa unajaribu kudadisi kazi ya Allah. Homgera Sana baby John na Allah Ana sababu zake kukuumba hivyo. Wala mtu asione labda Allah ameghafilika la hashaaa. Naamini qadari za Allah
Mtangazaji Wa kike unamaswali ambayo kiukweli unamfedhehesha Dada Wa watu. Yaan mnavyomuhoji as if tatizo ni dogo Sana'a. Dada Mwenyeenzi Mungu akutunze
Usikubali kuolewa na mtu wa kawaida atakulawiti Labda uolewe na mtu mwenye jinsiya kama yako awe kabezi tu upande wa kiume. Msabah gas kisima majongoo zanzibar.
The interviewer is very insensitive. She’s not tying to understand the situation at hand. I’m proud of baby, May God help her accept herself and make the right decision in life. I wish you well.
Dada wewe ni jasiri sana. Issue yakuolewa usijihusishe nayo kabisa maana haitakupa raha. Focus on your studies and become successful in life. God knows why it had to be this way.
Kabla hamjafanya mahojiano ya kisayansi muwe mnafanya research kwanza na muite wataalam wa mambo watoe ufafanuzi hapo hapo..maswali yenu very unprofessional, yanaweza muumiza muhusika.
Hongera sana baby musamba ila nikushauri atakae kubali kukuoa aandike mkataba asije kukunyanyasa na akija kukunyanyasa aape kufungwa maisha maana Kwa kukudai unyumba au kutaka mtoto toka kwako ahsante Kwa ujasiri wako mungu akubari Kwa kuwa tayari
Kwel Mungu ni Wa ajabu du hakika ndug mshukuru mungu jinsi ulivyoumbwa ila watangazaji wanahitaji semina juu ya mambo kama haya maana huyu mama naye maswali yake
Baby jikubali ingia jinsia moja nayo itakujia kwa Iman unapendeza Sana ukiwa dada lakn mungu hakuweka jinsia ya kike ukijkubal unaweza kuwa mama wa watoto uso wako n dada na sauti pia nakupenda Sana
Pole sana mwanangu alizaliwa hivyo alikua tundu la mkojo na haja kubwa hila mashavu yalikuwepo akiwa na wiki 2 tulimpeleka hospital wakampasua kumbe kulikua na ngozi imeziba wakamchana mpaka sasa yupo kama kawaida na kaolewa na ana mtoto
The interviewer is very unprofessional. It like she can't understand anything. Baby John congratulations for the courage 💖 I really love it. May your joy never cease.
Dada yangu hongera sana, Mungu anakupenda sana wewe huna shida yoyote Cha msingi kaa hivyohivyo kama ulivyo, na timiza majukumu Yako na kujenga taifa na mtegemee sana Mungu.
Hatuna la kusema sisi Binadamu tulieumbwa na Mwenyezi MUNGU.MUNGU ni Mwema siku zote yeye aliumbwa kwa Makusudi ya ke.Uumbaji wa Mungu una mibaraka yote.
Nna shangazi yangu yupo hvo na anamiaka 54 sasa, yaan hajawahi kuvunja ungo, hana nywele sehemu za siri (anavosema yeye) wala makwapani.. yupo ka mtoto mchanga, hana pa kufanyia mapenzi yeye ana pa kukojolea tu...hajaolewa mpka leo anasema hana hisia yaan yupo tu, hana matiti, ila ukimuona huwez jua mzurii sanaaa sahv ananlelea mwanangu tu yaan duuh ni ajabu ila kweli
Kiukweli mnaohoji hamjui kuhoji mnataaluma ila wagumu kuelewa hasa we mtangazaji mwanamke hamjui mmepanic au vipi mnarukiarukia maswali hampi nafasi yakujieleza hakuna kilichoeleweka sijui ndiyo mmechanganyikiwa na nyinyi yaani kunamengi yakujifunza ila mmefail kwenye kumuhoji
Mm kile najuwa ama nilisikia nyanyangu akisema mtoto wa kike akiwa hivo kuna vile hutengezwa awe mama wa kawaida bt nakushukuru Dada huwenda mungu alitaka ufanyie kazi yake.
This interviewer nkt... From the onset this lady said what she has as her private organ is neither female nor male, just 'something' to pass urine.... The man understands what lady baby is saying, the lady interviewer is all about questions that even lady Baby doesn't know how to answer. Lady interviewer please be sensitive to your interviewees please... Lady Baby it is well, God knows you and that is what matters, take heart and bravo for your courage.
bby my dear tumesoma wote lkn mpk tunamaliza ckuwah kujua km upo hivyo yaan siamin kbs na jinsi ulivyokuwa mchangamfu mwenye utani kiukwel Mungu akupiganie ktk hilo
Kazi ya Mungu haina makosa🙏 alikujua hata kabla hajakutengeneza kwenye tumbo ya mamako. Wengine wana jinsia mbili na wengine hawana lol maajabu ya mwenyezi Mungu . 🤗🤗You are wonderfully made
Hiyo ni Baraka.wanawake
Wengine wako na shida kubwa, wengine vipofu,wengine bila miguu na mikono,wengine wako na kila kitu lakini mungu akawaandikia hakuna kita fanya kazi.
Mungu ana sababu yake.
You are created special.
Bibi wengi wa manabi wa mungu walikuwa hivyo hivyo.
Kubali uko hivyo sababu mungu akupenda.
Nitakuoa ,uwe bibi yangu kwa njia ya mungu.usi laumu mungu.,mambo za scientists zita kupoteza.wata kuharibu,hawaamini mungu.nipe nambari tuongeange.
me huyo namuoa tena kwa ndoa kabisa
Takbiiiiir!! Allahu akbar! God above evrything and thats part of his works,Big respect to Almighty
Ameen
Amin🤲
𝙈𝙪𝙣𝙜𝙪 𝙣𝙞 𝙢𝙠𝙪𝙗𝙬𝙖 𝙠𝙪𝙡𝙞𝙠𝙤 𝙨𝙖𝙮𝙖𝙣𝙨𝙞
You are a lady, your voice can tell. Be strong you were created by God for his own glory. His grace and mercy is sufficient for you.
Hapo umeongea dada
Ameeen🙏🙏
Amen
Hakika
Then huku Kuna Nini...?
You are the most inspirational person I've ever seen. You also speak very well. Just a wonderful person.
😊😊😊😊😊😊😊
Mengine ni Kwa utukufu wa Mungu usijisumbue Kwa kuolewa au kumlekebisha Mungu kaa ivoivo na Mungu anapendezwa nawewe
Asante dada nilikuwasina majibu kwamtoto wangu ambae hatamiezimiwili hajafikisha yukokamawewe anasehemu yakukojolea tu yaani nitundu tu ambayo ninyembamba sana
Mimi ni baba mtoto huyoanachokiongea nikweli
Nahisi huyomtangazi nahisi haamini
Nawala sijui kama anaelewa unachoongea daaa aisee nashukuru kwakupatamajibu ya mwanangu
Mungu mwema ndugu yangu..
Mungu mwema ndugu yangu..
Isikupe shida zipo dawa inapasuliwa na anapata homoni
Mm mwenyew Nina ndugu yangu mwanae nae ana kitobo Cha haja kubwa na ndogo tu
Ni kwel wangu alizaliwa hivy lkn tulimfanyia upasuaji mapema
Mjasili sana dadangu,nimekupenda bure.Mungu akupe nguvu,uzima na uwezo wa kumtumikia yeye.
Pole sister hebu aombewe msaada ende nchi za nje labda atafanikiwa kwa opresheni.Mungu atakusaidia wapo kama haokweli duniani doctor ataona kama inawezekana .badala kumhoji sana
Watangazaji hamjamtendea haki huyu mnayemhoji kwa sababu
1.Mmeuliza maswali mengi unprofessional, hasa mtangazaji wa kike.
2.Hamkujali kabisa ombi lake kwamba anatamani kuonana na viongozi na kupata ufadhili wa masomo..angalau kwa kulisisitiza na kuweka namba yake hewani,mlipopata mlichokitaka basi, this is not fair, be generous.
We nawe mjuaji, ebu kaa huko na elimu YAKO isiyo na faida
huyo mtangazaji wa kike wallahy haelewi kabisaa
Dada anajitambu vizuri sana. Elimu ni tatizo kwa mtangazaji wa kike!!. Watangazaji ilipaswa wajielimishe japo kidogo kabla ya kumhoji huyu Dada. Then, interview ingekuwa inajazia elimu yao ndogo na wakati huo huo kutuelimisha wengine. Badala yake sasa unaona watangazaji wanashangaa tu na kuonekana kama wanamdhalilisha Dada.
sahihi kaka malehiwa wa ppm
@@soamesphares haswa huyu mtangazaji wa kike
Dada kwanza pole sana, ni mapenzi ya Mungu ila kama u amwamini Mungu anaweza, Mimi kuna dada mmoja ninamfahamu alikuwa na tatizo kama hilo ila Mungu alifanya muujiza siku asiyodhani aligongwa na gari lilimpitia juu yake hakufa wala hakupata mchubuko sehemu yoyote ila alipoinuka akajikuta amekuwa mzima aliolewa mwaka 1998 saizi ana watoto 5 mme wake alifariki mwaka jana,kwa Mungu inawezekana.
Pole Dada, naomba usimamie msimamo wako, unajitambua vyema Sana, ukikubali kuolewa na hao wanaotaka kulazimisha waweza lazimishwa na mengine yasiyofaa, kimaadiri yetu ya kitz
Pole Sana dada angu Kama unaweza eb toa namba tukusapoti
What I like she's very couregous ,Mungu anasababu KWA Kila kitu MUNGU MKUBWA AKILI ZAKE HAZICHUNGUZIKI
Doctor kasema! Lakini Mungu pia anasema.. Mungu bado ana spea nyingi tu, amini tu na utauona utukufu wake. In Jesus name
Ahsante Sana,mtoto wangu hujakosea kabisa kujitambulisha hivyo, pia shukurani Kwa waliokulea ,kwangu nakuona unasitahili uongozi
Siwezi vaa kiatu chako my dear ww zaidu ya strong zaidi ya jasili daah Allah akupe furaha zaidi ya hy ulio nayo
Kwakweli
Mungu akuinue ndug yetu umekua MTU wa pekee Tz
Jamn ndugu pole kwa hlo kam huna hisia usdanganyke kuolewa wanaume watakudanganya 2
Wapo watu wa aina yako ndugu pambana uwatee
Nimempenda huyu Dada Baby John anajielewa anadadavua kesi alionayo vyema.....Mungu ambariki na kumtunza najifunza mno nikiwa na msikiliza.
Mwenyeezimungu amekuepusha na dhambi za zinaa mdofowangu mungu akubariki akupe kukubali hali iliulipwe pepoyake
Huyu dada ni jasiri sana!Big up dada Mungu hatokuacha!
Hongera kwa ujasiri, Mungu anayosababu yakukufanya ulivyo. Ninawafahamu baadhi walio na hali yako. Mpe Mungu nafasi akuonyeshe kusudi la kukuumba hivi ulivyo.
Wewe Baby kuolewa sio kushinda maisha. Hongera mama hutapata mauzi ya wanaume.
Usiseme hongera ni kumpa pole na yy anatamani angekuwa na viungo vyote na sio hivyo alivyo,hata kama kuna maudhi ya wanaume,kama unaona vzr ivo alivyo kwa vile tatizo halipo kwako.
Usiseme hongera ni kumpa pole na yy anatamani angekuwa na viungo vyote na sio hivyo alivyo,hata kama kuna maudhi ya wanaume,kama unaona vzr ivo alivyo kwa vile tatizo halipo kwako.
Wapendeza sana bebi 💖 lakini ni maumbile ya mwenyezi mungu jikubali tu
God knows why, we can not question Him.Hongera for coming you are beautiful
14:54
She's so brave, intelligent and beautiful,, see way she talks Wow.. God make wonders, God favor your what u ask him.. I bless u Baby
Karibu dada.
Yaani huo ni mshutuko tu kwa anaye kufanyia mahojiano.
Kama hakika wewe ni mkristo,mtumaniye Mungu. Urithi wako ni kwa Mungu, asante dada usife moyo wala kutanganwa na walimwengu. Mungu awatetee wote 😘🙏
Pongezi dada kwa ujasiri hayo. Mungu akubariku sana na usidi kuendelea ku encourage watu kamawewe
Mtangazaj mwanamke sijui anakichwa gan. Naona haelew kabisa maelezo. Anakwaza sana kwakwel
Non mumuelewe mtangazaji jameni ni binaadamu naye alistuka kwa kweli nimaajabu ya Mwenyezi Mungu
@@dianemanirakiza4847𝙠𝙖𝙗𝙞𝙨𝙖 𝙝𝙖𝙩𝙖 𝙢𝙞𝙢𝙞 𝙣𝙞𝙢𝙚 𝙨𝙩𝙪𝙠𝙖
You're so beautiful, but thank God for how you are . Praise God. Our God can design any kind of creature. Don't worry
Live strong! You are created for the Glory of God.
Poleni sana mwanangu. Na mimi nyumbani tuna mtoto wa shangazi yangu yuko hivyo alizaliwa hivyo kama huyo mdada wala wala asiwe na shida amshukuru Mungu tu
IMENIUMA SANA 😭😭😭
Yaan dah
Tafuta kanisa la miracle revival Pentecostal church, Dar salama, utapata usaidisi wa maombi nawee utapata hajaa za moyoo wako
@@sinclairchippi5896 kwan kuna sehem hapo nmeuliza kanisa lenu?
@@mrjulius5840 tunataka huyu dada apate uponyaji wake, ama huamini Mungu anaweza fanya miujiza?
Congratulations,jipende jinsi ulivyo🎉🎉🎉❤❤❤🎉🎉🎉
She is very smart and strong girl. I wish asome udaktari.
Ushauri mzuri
Pole mamy kaz ya Mungu hain makoxa uwez jua mpango wa Mungu
Pole dada ila Allah akupe maisha marefu sio rahisi kukubali hiyo hali but upo happy mno yn i like u baby girl good blessing you always❤️🙏🏼❤️🙏🏼 kujiamini ndio kila kitu 😍😘
Mkuu nani kakwambia huyo ni mdada bhana
atiko mbogolo ww hy ni Dada ni vile jinsia zote shakuwa nazo ila body yk ni yakike ulitoa jinsia
Pole san dear sister kweli mungu ww niwajambu
Bibi baby pole mrembo nikazi ya Mungu aina makosa ❤❤❤
Huyo (Mdada )
Anajieleza Vizuri ila
Hao watangazaji Hapo Ni Wajumbe Hao
Wanamuuliza Maswali Yasiyoeleweka
kweli kabisa yani anajieleza vizuri sana na anaeleweka
Allahu akbar. Allah Ana uwezo wa kila kitu na hashindwi na chochote kile. Hata ulie katika jinsia ya kike au ya kiume anaweza kukubadilisha ghafla na ukawa km baby John. Huo ni uwezo wake. Na tusipende Sana kuuliza maswali ya ndani km kutaka kujua hadi utumbo wake ukoje nop utakuwa unajaribu kudadisi kazi ya Allah. Homgera Sana baby John na Allah Ana sababu zake kukuumba hivyo. Wala mtu asione labda Allah ameghafilika la hashaaa. Naamini qadari za Allah
Mtangazaji Wa kike unamaswali ambayo kiukweli unamfedhehesha Dada Wa watu. Yaan mnavyomuhoji as if tatizo ni dogo Sana'a. Dada Mwenyeenzi Mungu akutunze
Kabisa
Kweli Kabisa nafanya utani
Nyie acheni kudharirisha watu mtu kasema hana hicho kiungo unataka aolewe ili akahudumie vp unyumba acheni mawazo ya kishetani bwana
❤❤❤ kumbuka ya sio wenzakana kwa Mungu anawenza Yesu my dear.mwamini tu yeye anawenza yote.
❤❤❤ kumbuka yasiowenzakana Kwa mwanadamu lakini Kwa Mungu yanawenzekana my dear.
Usikubali kuolewa na mtu wa kawaida atakulawiti
Labda uolewe na mtu mwenye jinsiya kama yako awe kabezi tu upande wa kiume.
Msabah gas kisima majongoo zanzibar.
Wenimgumu sana mdada Hongera sana kwahatuayakuwa tambulisha wenzako
She is so beartiful❤
mungu akusimamie
Mtangazaji wa kike unaboa lkn muhusik yupo vzr san tn unaweza kbs kuwa kiongozi
Mmmh aisee mungu ni wapekee sana naomba niulize je anahisia ya kutenda tendo liwe la kike au kiume
The interviewer is very insensitive. She’s not tying to understand the situation at hand. I’m proud of baby, May God help her accept herself and make the right decision in life. I wish you well.
Disability is not inability,love your courage cutee soldier on.
Munglku AKUBARIKI SANA kwa mungu yote yanawezekana muone mtumishi wa mungu mwamposa KAWE KWENYE MAOMBII
Mungu atakusimamia, wewe ni jasiri, Mungu akushangaze, katika jina la Yesu
Mungu akusaidie dada baby. Nikweli inawezekana kumuoa. Kinacho sumbua ni mme kua mpole na kumpenda nakujadili nae. Hongera kwaujasili dada baby
Ww mtangazaji wakike unachosha!!! Mashwali yako hayanamantiki ya kitoto sana yaan ningekuwa karibu na ww nikuchape vbao huyo nibinadamu pungza maswali yanayozidi kuumiza moyo😭
Ukweli msumbufu anamchanganya
Kweli!
The questions are being asked for people who dont know or understand waweze kuelewa kwa ndani dah! ndio maana ya interview
Hahahaa...mhusika hajalalamika. Mbona hivo
Kuishi ni atake mungu, sayansi inafeli hapo, kuwa huna omon huwezi kuishi. Uhai uko kwa الله mungu tu.
Dada pole sana ,mungu atakupa ahera njemaa
I love the courage of this lady, mungu anakupenda na unapendeza sana
Hongera dada usjari mungu hua hakosei kubalitu matokeo akitokea wakukuoa kubalitu olewa
Pole Dada, jipe moyo hiyo ni kazi ya MUNGU haina makosa
Huenda kuna kitu kibaya alikuepusha kwa kukuumba hivo
Kwel kabisa, huenda kuna kitu aliepushiwa
You are a very brave person God will always pave a way for you, thanks for having the courage to educate us about this issue
Wewe Dada Mtangazaji ujui kuuliza maswali!!
Hongerasana kwa ujasiri ulionao hii ndiokuonyesha Mwenyezi Mungu yupo usijisikie unyonge weeks nibinaadam kamawengine
Dada wewe ni jasiri sana. Issue yakuolewa usijihusishe nayo kabisa maana haitakupa raha. Focus on your studies and become successful in life. God knows why it had to be this way.
Mungu anajua kazi yake. Na yupo juu ya sayansi.God is an artist.Amen kwanza anajipenda anajitambue Mungu amjalie.she is comfortable n brialliant
Kabla hamjafanya mahojiano ya kisayansi muwe mnafanya research kwanza na muite wataalam wa mambo watoe ufafanuzi hapo hapo..maswali yenu very unprofessional, yanaweza muumiza muhusika.
Yaani huyu mtangazaji anaboa sana..
I second you, this type of interviews should be conducted along a gender specialist for proper clarification.
Amenikwera Sana km sio taaluma yk
Mtangazaji wa kike ndiye aliye na hayo maswali ya kipuzi....
Mwanaume hata anaingilia kuokoa huyu dada Baby kujibu hayo maswali...
I absolutel agree with you Caren. The interviewer comes off as too naive and insensitive.
Hongera sana baby musamba ila nikushauri atakae kubali kukuoa aandike mkataba asije kukunyanyasa na akija kukunyanyasa aape kufungwa maisha maana Kwa kukudai unyumba au kutaka mtoto toka kwako ahsante Kwa ujasiri wako mungu akubari Kwa kuwa tayari
Strong Beautiful Woman. keep on keeping on. Thanks for representing the voiceless.
Kwel Mungu ni Wa ajabu du hakika ndug mshukuru mungu jinsi ulivyoumbwa ila watangazaji wanahitaji semina juu ya mambo kama haya maana huyu mama naye maswali yake
Mimi niko tayari kumuoa ninachotaka nikuishi kama mke na mume kwa mapenzi mkubwa hilo tendon la ndoa kwangu sio la wazima.
Baby jikubali ingia jinsia moja nayo itakujia kwa Iman unapendeza Sana ukiwa dada lakn mungu hakuweka jinsia ya kike ukijkubal unaweza kuwa mama wa watoto uso wako n dada na sauti pia nakupenda Sana
Subhannallah, uyu Dada jasiri, dah! Allah akuzidishie furaha.
Saum hassan nimekumic kweli nilkua nimeibiwa cm nikawasioni comment zakosasa naziona
Mungu akupatie ujasiri.
Aamin
Pole sana mwanangu alizaliwa hivyo alikua tundu la mkojo na haja kubwa hila mashavu yalikuwepo akiwa na wiki 2 tulimpeleka hospital wakampasua kumbe kulikua na ngozi imeziba wakamchana mpaka sasa yupo kama kawaida na kaolewa na ana mtoto
Amen
Sasa wako alikua nà uteras huyu hana
Mipango ya Mungu tu jamani, Mungu anaweza mfanyia njia pasipo nanjia
Babie kabae nimefurahi kukuona dada,, pokea Salam zangu tokea hapa Nairobi.
Tangu nimeanza kumsikia uyu Dada nimempenda sana amejikubali na anajiamini.nakupenda my love
Pole Dada yangu,trust God.
The interviewer is very unprofessional. It like she can't understand anything. Baby John congratulations for the courage 💖 I really love it. May your joy never cease.
Very true
You are very right, she can't differentiate between urethra and vagina.She so much boring.
Love uu sster...... Mungu n kila kituuu usikubalii kupotezwa na wanadamuu Mtumikiee yeye katika roho na kweliii na atajibu maombiiii🙏🙏
Maswali ya dada mtangazaji utadhani ya wajumbe...
😁😁😁😁
Hahahahahaha
Wew
Hahahahahahaaa
Wajumbe Si Watu Wazuri
😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣
Dada yangu hongera sana, Mungu anakupenda sana wewe huna shida yoyote Cha msingi kaa hivyohivyo kama ulivyo, na timiza majukumu Yako na kujenga taifa na mtegemee sana Mungu.
Hatuna la kusema sisi Binadamu tulieumbwa na Mwenyezi MUNGU.MUNGU ni Mwema siku zote yeye aliumbwa kwa Makusudi ya ke.Uumbaji wa Mungu una mibaraka yote.
Mungu anajuwa yote
Pole dada mitihani kuwa naimani mungu atakufungulia kwasababu anaweza kilakitu
Hii interview angeipata Salama Jabil Au Milady Dah Sijui Yaani..! nadhani huyu dada angeongea mengi Ambayo Yangefanya story yake iwe ya kusisimua Zaid
Kabsaaaaaaaaaaa
Said Banga'huyu dada alihojiwa na channel ya Millard Ayo alijieleza vzr sana na aliyekuwa akimhoj alikua vzr sana
Mbona ndio imeanzia kwa midady ayo
Nimekupenda sana mdada kwa kujitokeza na kujikubali,
Nna shangazi yangu yupo hvo na anamiaka 54 sasa, yaan hajawahi kuvunja ungo, hana nywele sehemu za siri (anavosema yeye) wala makwapani.. yupo ka mtoto mchanga, hana pa kufanyia mapenzi yeye ana pa kukojolea tu...hajaolewa mpka leo anasema hana hisia yaan yupo tu, hana matiti, ila ukimuona huwez jua mzurii sanaaa sahv ananlelea mwanangu tu yaan duuh ni ajabu ila kweli
Hello
Kwel hay Mambo yapo majumban
Rais Magufuli mteuwe uyu ili awe kielelezo na picha kwa wengine wenye hali Kama iyo hata Mimi ningekuwa rais ningemteuwa ktk nafasi yoyote ile
Kwa akili yako ya kikuma ungechagua
Huyu ni mwanamke sababu ni matiti na body
Hamjui kuhoji muliuliza swali zuri sana kua tumboni kwake kunann kabla ajatoa jibu mmeshauliza lingine
Kiukweli mnaohoji hamjui kuhoji mnataaluma ila wagumu kuelewa hasa we mtangazaji mwanamke hamjui mmepanic au vipi mnarukiarukia maswali hampi nafasi yakujieleza hakuna kilichoeleweka sijui ndiyo mmechanganyikiwa na nyinyi yaani kunamengi yakujifunza ila mmefail kwenye kumuhoji
Ayo tv wanajua kuoji watu kama hawa mimi wakinioji wanipe na pesa
Magreth Elisha kabisa hakuna walichohoji angekuwa Millard ayo tungejifunza mengi mno
Hongera dada 👏👏👏 wapendeza sana ❤🙏🙏🙏
Mtangazaji wa kike yuko vzr sana anachimbua ili mjue sio kana kwamba anataka aolewe
Hongera kwa ujasiri
Hakika yangu mm naweza ishi nae kwa upendo wa dhati kuhesimu uwazi wake alionao, kwanza nampenda hv tu alivyo hakika naongea haya ya moyo wangu
Pole nakupongeza kwa ujasili ,mungu ana makusudi yake umetoa mwanga kwa wengine
Mungu wangu jamani Mungu WA ajabu 😢YaaAllah msimamie ivyo ivyo azidi kuwa strong
Binafs naweza kumuoa bila shaka na maisha yataendelea
Mungu akupe Imani ya ushindi
Dada Mungu anaweza.tafuta watumishi wa Mungu wako wengi duniyanai anaweza mwenyezi Mungu
Dear lady you are so beautiful God bless you.
Huyu mtangazaji wa kike mbona anakazania huyo dada aolewe au kazoea kufirwa mtu kashakwambia hana kuma wala mboo wewe unakazania ndoa mpumbavu kweli clouds tafuteni Watangazaji wenye ueledi
😅😅😅😅😆
🤐🤐🤐
hahaha😂😂😂😂
😂😂😂
Dada umzur Sana na uckubal kuolewa watakuharibu .
Mm kile najuwa ama nilisikia nyanyangu akisema mtoto wa kike akiwa hivo kuna vile hutengezwa awe mama wa kawaida bt nakushukuru Dada huwenda mungu alitaka ufanyie kazi yake.
Pole dada Lkn kuna wanaume ambao wanaweza kukuoa kwani wapo ambao biological zao hazisimami
Mwanangu Ishi Tu Hivyo Hivyo Kama Mungu Alivyo Muita.Ahimidiwe Mungu Aliye Ziumba Mbingu Na N chi.
Very unprofessional nasty questions from mtangazaji wa kike. Baby John congratulations kwa ujasiri wako. Allah afunguwe njia ya malengo yako.
This interviewer nkt...
From the onset this lady said what she has as her private organ is neither female nor male, just 'something' to pass urine....
The man understands what lady baby is saying, the lady interviewer is all about questions that even lady Baby doesn't know how to answer.
Lady interviewer please be sensitive to your interviewees please...
Lady Baby it is well, God knows you and that is what matters, take heart and bravo for your courage.
Sijui yukoaje huyu
she just questions nonsense
Ww ni mwana mke uko na matiti ila pole sana tena shukuru mungu mwambie Asante maana yeye ndiye anaye huwa sababu
Huyu dada ana akili sana. Mungu ambariki
Baby kabae kaaa huyu mtu kaniumiza sana yaani machozi yana nitoka tu daa mungu ni muweza wa yote
Duh!! Pole sana.
Dah uyu dada lkn mzuri mmmh
Watangazaji endemi kwenye point. Msikilizeni zaidi
bby my dear tumesoma wote lkn mpk tunamaliza ckuwah kujua km upo hivyo yaan siamin kbs na jinsi ulivyokuwa mchangamfu mwenye utani kiukwel Mungu akupiganie ktk hilo
Ameen yarabill alamin insha'Allah Khair
Asanteniiii nyoote
Thuma ameen yote yawezekana kwa imani
@@babyjohnmusamba5760 hilo ni kusudi la Mungu! Mtukuze Mungu kwa uhai ulonao! Nakupenda kwa uchangamfu wako!
Naomba namba zake
Dada pole sana ila mungu ndie muweza wakilakitu ila na kupongeza kwa kujitolea wengine wamejificha
Hawa watantazaji wanacheke vipi sasa?huyu ni binadamu tu bwana..it takes courage for her kujitokeza na kujieleza...na inshallah atapata kura.
I don't like the way they are interviewing Nkt