TAZAMA SHANGWE LA SIKUKUU NA TANAPA NDANI YA MAGIC FM
HTML-код
- Опубликовано: 24 дек 2024
- Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) limesema Filamu za Tanzania The Royal Tour na Amazingi Tanzania zinazoonyesha uzuri na mandhari ya hifadhi na utajiri wa rasilimali za Tanzania zimechochea kwa asilimia kubwa watalii wa ndani na nje kutembelea hifadhi za Tanzania.
Wakizungumza katika kipindi cha Kurunzi la Vijana kinachoongozwa na Mtangazaji Nelson Munema katika kituo cha Radio Magic FM Kamishna Msaidizi wa Mamlaka ya Hifadhi nchini (TANAPA) Neema Mollel amesema hamasa hiyo imekuwa na hamasa kubwa na ndiyo maana TANAPA wameandaa 'Shangwe la sikukuu na TANAPA ili watalii wafurahie urithi wa kuvutia na maajabu ya vivutio vilivyopo nchini.
Nelson Munema