KAKA UNAJISIFIA SANA, HUNA PESA SIWEZI KUWA NA WEWE - HELLO MR. RIGHT
HTML-код
- Опубликовано: 29 дек 2023
- ►Instagram / stbongotv
►TikTok / stbongotv.tz
►Facebook / stbongotv
►Twitter / stbongotv
ST BONGO TV Channel 401 (Dish) 161 (Antena) on Startimes Decoder Развлечения
Hila Halia she is very beautiful Manshallah me nampenda alivyo
Kwanza bro. Nimekupenda Sana mkeo lzm atafurahi Sana kwa commedy zako,Wanaume wa hivi ndani hata ununi!! Subirini wapole wawachinje
😂😂😂😂😂
Uyu kaka ka dabukwa hata mm ningekukataa mwanaume hujatulia 😂
Tatizo broo anajikubali sana alafu anajiita hendsame mwanaume hasifiwi uhendsame anasifiwa uwajibikaji wake katk familia
Ila @hamisiismaili6342 katika maisha lazima ujikubalj kama ujikubali nani atakae kukubali bhna jiamin the way you are😊
Hahahaha jikubali kabla ujakubaliwa, ungoje kuambiwa handsome kwann?? Mwache amtukuze UINGU kwa kumpa uzuri.. Huyo fimilia anaiweza vzr..
He got self confident ❤❤❤❤
Huyo mshamba mmoja analeta comed kwenye
ishu serious... Bakhresa asemaje sasa...
Ljq😊lp
This guy is funny😊😊😊sema mzuri ni kama unalima miwa karibu na shule
Mwanaume anaejisifia n mzuri mbele ya watu huyo hana nyota😂😂😂😂
Handsome kakataliwa😂
Kitendo cha sigaa ya handsome ndo maana hata mzazi mwenzie kakimbia😂😂😂😂
Nakubali man show show
Jamaa anajisifia sana Yani Duh 😂😂😂😂
Wanaooa huku wamepotea njia hakuna mwanamke huku
Huyu mkaka mzuri lilomo limeponza
Kafeliiii tayariii😂😂😂
Huu ni Uhuni, atakaengia hapa kapotea..😢😢😢
Kwa manen hayo upat mwanamke
Sio kila mwanamke anapenda mwaume wa aina hii huyu mr right anamapepe sana alafu anajikubari sizani kama atapata mwanamke maana wanawake weng wanapenda wanaume wapole
Njooo mimi nimekupenda mwaya kwanza mcheshi sana
Wenye pesa hawasemagi, Glad uko sasa hihi hana hela kwanza ni marioo na ni tapeli, atakutapeli hadi na ukoo wako. Kodi na ada ya mtoto ikifika lazima atapeli mahali ndio maisha yasonge 😂😂😂 kaa mbali na hyo Mr. Handsome we got money😅
Huyu mshenzi msanii mwigiZaj😅
Well kila mtu na chaguo lake lkn jamaa anajisifia balaa sema hzo comedy kuna mabinti wanapenda😂😂
Dem gan anakubali izo swaga
Uyu dada ana hekima zake kabisa
Uyu jamaa mario 😂
Usijiangalia utajuta maishani
Nimemuona X wangu hapo 😂😂😂
Hahaaaa kamrudishe
Eliza ananisubria mimi ngoja nije mr right na namshukuru kwa kuwa amempangusa jamaa
Bro kazingua
Jamaaa akili hana😅😅😅
Luludiva umri unaenda kukaa uchi tu kuonyesha tatoo yako jmn
Mr tight. Yuko vizur
Ndio umeenda hapo kujisifia et unahela sikuiz hata sisi wanawake tunazo bro 😂
🎉 Fact anasifa sana
Hizo swaga za uyu jamaa hata mimi sipendi
Jamaa kazidisha unyamamwingi
Broo ulifeli kujiamini ulijiwa hao hawanatimamu mazoea yastejini kuvimba sana😊😊😊😊😊
Huyu kaka kama mlevi
Yuafanana na ex wangu mpaka sifa umbwa huo😅😅
😂😂huyu kaka anaboa afu anachrkesha
Unajikuta handsome alaf unakataliwa😂😂😂😂
Aho. ndo wale eat and run😂
Ndo muache kutuchamba wahaya eti tunajisifia 😂😂😂aya tuambie uyo ni mhaya😊
Hapo salsa wahaya wamewazoea
we got money
Wanaume wakusifia siwapendi😂😂😂😂
Mwnaume kuwa humble tuliza mapepe ongea kwa vituo kaaa😂😂
Kabisa 😂
Too much Is harmful 😂
HUNAJISIFIA SANA PESA SIO MAPENZI ONGEA KUUMPA WAKATI WAKE MWANAMKE 😂
Huyu kaka sifa ya kuwa mume siiioni😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂
Kwani huyu mishy haondoki tuu toka msimu wa tano uingie ye ni kuwasema vijana wa watu tuu ovyo ...dad unachagua saana utasimama mpak miguu iote matende munio wako😂😂
Hahahaha munio Tena yuuuu😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Hivi na hawa wadada waauja mnadani na wao wanachagua mmmh makubwa😂😂
Pesa siyo kila kitu.kaka siyo kweri kuwa wanaoenda hapo wote wanashida na hela pesa siyo kila kitu unaweza kuwa mzuri na ukawa na hela halafu watu wakakunawa vile vile
Hao wote ndio wale wanaofanya ngono mtandaoni
Waendesho show nao wanachangia ,visiki,kujiamini muhimu
Najua anaye ona comment yangu atanisapotii
Kuongea sana napo ni shida yaan duh
Mwanangu nimeshinda kukusikiliza kwaeli 😂
Mambo niaje mrembo
Majina ya yusufu wanapenda sifa halafu hawana lolote ndo kilichomponza😂😂😂😂
dah yussuf majisifu na sjuw kwann karibia wote wako hivo
Kolabo tena😅😅uyu mke wake itakuwa shida anajisifia sana😅
Mnawatafutia majini wanadamu..ndio changamoto inaanzia hapo..hamna wanawake hapo
😂😂😂
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏👍👍👍
The guys anajisifia sanaaaa😂😂 ila anajiamini
Huyu nimemkubali JAMAA anatakiwa ajiamini hivyo we awe mnyonge wakati anapesa anayoona inamtosha
Huyo kaka yuko so mwaa nampenda mwanaume aliechangamka Hao wadada wapuuzi tu
Hata mm siwezi kutaka Eliza uko mstarabu😂
Wema sepenfa sijawahi muona hapo😂😂😂😂
Mchiz Msengelema
dah! Gara B bhana anakwambia eti " kuna Mr. Right nyingine huwa inaendeleaga huko " 😂😂😂😂
😂
Uyo anataka boullet tu
Eliza ni mzee mr right
Mm asa Eliza simkubali anavo jipraudi sn nawakati hana lolote uyo kifupi haeleweki alivo
Sipendi mwanaum wa misifamisifa
Jaman uyu si yull namjuwa😅
Ys
Eliza mubaya anachagua chefuu
Sema mshkaj hajajibu swali !! Je mtoto hakirud shule anabaki na nan ?? Aache uhun
Mr right una miaka mingap.kama nmekuelewa ivi
Si mbaya ila akipata mwanamke mzuri atamrekebisha
😅😅😅😅
Sifa ndio kabisa mm binafsi pia sipendi huyo yusufu noo
Pumbavu😂😂
😂😂😂
😂😂😂😂😂
kijana wa hovyo
kwakweli ni shida sana
Eliza hapo umefanya vizuri anajisifia sana
Lulu anasugu nyie 😂😂😂
Ata mm pia nakaa na mtot wang wa Miaka mitano
Mimi nimevutiw na wewe kak
Galla B napenda kujiunga na nyie na mm nije apo nifanyej Ili niwapate
Nitafute broo niko siriaz
Eliza una udugu na ambaruti? Mnafanana sura na sauti saan
Mwanau.e kuongea sana ni tatizo kuongea mpaka unapitiliza yani eliza kama mm huyu atasumbua kwa anavyoonekana too over confdence yani kaharibu
Huku unaweza oa mchawi au mtu amekubuu sa ukaenda kuhanaika naye
Gala B, kuna dada mmoja nampenda sana hapo! Anaitwa Vicky, vipi unaweza niunganisha nae kaka
Mimi vicky
He😮
@@WinJimmy-kr2cg usishangae mama, Hakika nampenda sana!
Nenda mr ligt ukamchukue kaka
@@user-qz5yh1dl1n ahsante kwa ushari kaka
Hakuna pesa zabule pimbi nyie fanyen kazi
Mbwe mbwe zmekua nying kaka😂
Hakuna mume hapo ukijichanganya umepigwa😅
Hakuna mwanmke hapo, wezi hao
Anajisifia sana
Punguzen saut ya ako kamziki kipindi kivutie zaid!
Try to watch the Steve Harvey shows namely date our mom. We can be better. The girls should have the guiding questions earlier in advance. This is my poor advice
😂😂😂😂😂chiz xana mr right😂😂
kijana kaangushwa nasifa zakijinga sana too much of bruggings
Huyo kaka hajielew yaan anajisifia mwnyew anafkr wanawak cku iz wanapnd mtu mwny misifa ivo
😂😂😂😂