Vizuri sana lulu nimependa tabia uliyoyionsha kwa Mr right umemheshimu sana na kumjibu vizuri kweri wewe ni doctar hujaonyesha dharau kwake n'a hawo mabinti wanaokuja kutafuta wanaume waige tabia Yako mtu usipo mpende mheshimu una uheshimu upendo wake kwako ingawa hayitowezana dunia ni fupi tena maisha ni mzunguko nakupongeza Lulu Diva
Thang you lulu diva ndio maana nakukubaligi sana mungu akupe maisha marefu angekua mwingine angempiga huyo kijana makofi lakini wew msichana mwenye roho nzuri sana
Ni kipi hasua kilichomleta huyu kaka kwenye jukua? Baada ya kumtimua Glady kwa kumpotezea Mr, Right muda wake, mlimvumilia aje Mr. Right kwa kuwapotezea muda single ladies? Huyo naye alistahili kutimuliwa vilevile☹. Don't encourage such things in future.

ruclips.net/video/xEztKueVt30/видео.htmlsi=UtCsId9uc-QhDrLg
Weeeeeeee Nakubali Mrs Right kasema cha Rohoni Aiseee nakubaliiiiii saaaaana tunamtongoza Lulu Diva ❤
Thang you lulu diva ndio maana nakukubaligi sana mungu akupe maisha marefu angekua mwingine angempiga huyo kijana makofi lakini wew msichana mwenye roho nzuri sana
😂😂😂uyo lulu mwenyewe anasemaje😂😂nimecheka wallah😂😂😂😂
Bangi sio chai khaaa😂😂😂😂golden girl lulu diva, warembo wa kweny podium hajawaona heheheheheheheeee
Jaman sio yeye tatizo MOYO♥️♥️♥️
Thanks yes tuko pamoja Mimi Michael Arizona America
Mashalah lulu unawajuwilia watu heko dada Mungu akubariki sinachakusema
Nimecheka jmni 😂, golden girl lulu diva😂
Hivyo visichana hapo waige hekima ya LuluDiva, siyo mfupi, kabila, sura, sijui nguo, huna pesa n.k
Bro nimekupenda sana sana nice one
Why msiwe mnapost video full
Wow so painful the guy tried to show love🇧🇮🇿🇦
😂😂😂😂😂aisee Lulu umekutwa❤
Lulu kalelewa nawazazi wenyeheshima kutokana namajobu yake hayana kebei barikiwa da Lulu diva
Dada Aaliyah na Dada Lulu Diva mmependeza sana pamoja na MC GARA B LOL ❤
Ni mikwaju ya penati ndoto za mchana na kujichomoa betri
Nimekupenda diva❤❤❤❤❤❤
Kupitia historia yako tena luludiva kaz unayo😅😅😅😮😮😅😅😅
Nmependa majibu ya Lulu diva
Lulu diva Leo kayakanyaga kapendwa sana
😂😂😂😂😂😂😂😂😂tz tutafikaaa tumechokaa jmniii
Huyu ata alikuwa nje ya mada😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂 lulu wacha wapinge makofi
Mwanetu wa Singida katuwakilisha vema
Lulu umemjibu kwa hekima na busara sana
Garab why shemej mwiz and shemej mpigaj why??😅😅😅😅😅
mupata wakati mugumu mr right wengi ni vituko
Hii ni kubwa kuliko 😂😂😂😂
Waaahoo
Lulu diva mwenyew kampenda mr right sema tyu kunakauwoga hawezi kusema ukweli hapo😢
😅😅😅 kma stand-up comedy 😂
Lulu Diva mbona kama mkubwa kwako aisee..huyo ni mama yako ..unapenda kulelewa
Ananifeet
@@Green_Garnetyanakufanyaje?😂😂
@@subrynerysegerow1323 🤣🤣🤣,anamfeet🤣🤣🤣
Bangi sio chai😂😂😂
@@nahlahassan-fd6le we u afirw aisee
Daah! Kweli sio mchezo.😅😅😅😅
Tunataka full video
Alliya acha kuvaa uchii
Natamani na mm Nije hapo
mwamba kauwa anamtaka doctor mkal
Jamani 😢
😂😂😂 kumekucha
Anadhani luludiva ni toy la kubeba ty
Mwamba ana ujasiri huyu😅😅😅😅
Banae😂😂😂😂
Hujapendeza kwa kweli hiyo situ sijui,pajama,hapana kwa kweli halinakutoa
Sio mbaya kaonesha hisia zake.
Ni kipi hasua kilichomleta huyu kaka kwenye jukua? Baada ya kumtimua Glady kwa kumpotezea Mr, Right muda wake, mlimvumilia aje Mr. Right kwa kuwapotezea muda single ladies? Huyo naye alistahili kutimuliwa vilevile☹. Don't encourage such things in future.
Lulu Diva amependwa na mr Krish wa bongo
Duuu
😅😂😂😂😂 Kungwi kaogopa leo
😀😀😀😀😀
🤣🤣🤣🤣ila hii inchi kwakwel
Semaa kimeumanaaaaa😂😂
Kimeumana 😅😅
Alya kwanini unava vibaya? Binti waki Islam
Huna rangi na mguu wa kuonyesha..endelea kutulia
😂😂😂😂
😅😅😅
😂😂😂😂😂😢
Ah huyu muuni nimemkubali laana kafunguka ya moyoni arif maana hao apo kwa podium wanarusha stim
😂😂😂😂
Natamani na mm Nije hapo
Sio mbaya kaonesha hisia zake.