Lulu Diva: Mama alifariki nikiwa nimelala naye, walinicheka mtandaoni sijajenga, mjomba aliumia sana

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 13 янв 2025

Комментарии • 54

  • @allthingdranabeauty
    @allthingdranabeauty 2 года назад +24

    Mbona nyumban kwake pazuri tu watu wanahomcheka huyu dada awajawahi kuuguza hivi mama yko mgonjwa unapata wapi nguvu zakujenga nyumba bili za kulipa kila mahali hospital nk sio pesa ndogo ,ndugu wanakuangalia yan ukipata pesa yte inaishia kwenye kuuguza namwelewa sana huyu dada sio kaz ndogo na kam mama yke ananyumba why hapoteze pesa kujenga wakati anahuguza

  • @sharifaabdullah6825
    @sharifaabdullah6825 2 года назад +24

    Kuondokewa na mzazi yanahitaji' subra mungu awafanyie wepesi wazazi wetu waliotangulia mbele za haki Amiin

  • @zulfaissa7814
    @zulfaissa7814 2 года назад +2

    Pole sn ndugu yangu mwenyezi mungu akujalie subra yadhati moyon mwako pia endelea kumuombea dua sn kwaallah ampe hatima njema pepon naamuondoshee naadhabu ya kabrii

  • @njeringugi7939
    @njeringugi7939 2 года назад +17

    Lulu ukivaa official unapendeza sana kushinda zile zakutafutia ugali🥰🥰🥰🥰

  • @njeringugi7939
    @njeringugi7939 2 года назад +9

    Nampenda sana lulu 🥰🥰🥰🥰

  • @Whitefab001
    @Whitefab001 2 года назад +5

    Nice interview mashaa Allah

  • @abbyhabiba8062
    @abbyhabiba8062 2 года назад +1

    May Allah keep strong my darling lulu...kupoteza mzazi yeyeto siyo rahisi kabisa..

  • @زوهرها
    @زوهرها Год назад

    Pole sana Lulu Mungu akuimarishe maana wewe ni bint wa mfano wa kuigwa nakupenda sana Lulu wangu

  • @MamyIclam
    @MamyIclam 2 месяца назад

    Jamani nakupenda divana namiss uwe dada angu

  • @elizabethhonere2931
    @elizabethhonere2931 2 года назад +5

    😭😭😭😭😭pole sana nayajua haya maumivu mama yangu pia kafua amemaliza anataka kuanika akakosa nguvu akaanguka ijumaa kesho yake akafariki hata sikumuuguza. Naumiaaaaa ndio kamaliza mwezi na siku kudhas tu kaburini. Pole sana

  • @zabibumwilelo853
    @zabibumwilelo853 2 года назад +3

    Yani mm nampendaga sana lulu cause she’s very positive as young lady

  • @sharon6674
    @sharon6674 2 года назад +2

    Pole sana Lulu❤. May God comfort you.

  • @juliaayieta2578
    @juliaayieta2578 2 года назад +3

    Mungu akutie nguvu 🙏🏾

  • @junelatifa2618
    @junelatifa2618 2 года назад +2

    Pole sana diva

  • @angelageofrey9756
    @angelageofrey9756 2 года назад +1

    Jamani Lulu pole❤️ubarikiwe

  • @ashurakiswamba7085
    @ashurakiswamba7085 2 года назад +1

    Mashaallah ❤️ umependeza

  • @fatumamahoiga3978
    @fatumamahoiga3978 Год назад

    Pole lulu

  • @violetoloo445
    @violetoloo445 2 года назад +3

    Acceptance heals every wound that time can't.....All the wounds will eventually heal and will only leave some patches of fading scars.

  • @jamilarashidrashid5418
    @jamilarashidrashid5418 2 года назад

    Pole sana lulu unanikumbusha siku nikiondoka wanangu watakuwa hali kama hii Pole sana umepata radhi za mamako shukuru una radhi ya mamako

    • @batulimabewa6953
      @batulimabewa6953 2 года назад

      Acha dada mimi mwenyewe nakaaga nawaza cku nikifa watoto wangu watakavyokuwa wanyonge

  • @stellamwitta8119
    @stellamwitta8119 2 года назад

    Pole kipenz

  • @hawashamasi9115
    @hawashamasi9115 2 года назад +1

    Interview nzure

  • @saimonmaiko679
    @saimonmaiko679 2 года назад +1

    noma xna brod

  • @lucymathias9045
    @lucymathias9045 Год назад

    💔💔

  • @barakahamisi574
    @barakahamisi574 Год назад

    Jamani kiukwel maumivi yakuondokewa na Mama Rest in peace My Hero ni miaka 7 lakini nimeshindwa kuamini mpk leo

  • @zaudatmakula3454
    @zaudatmakula3454 2 года назад +1

    😍😍😍😍Lulu

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 2 года назад +1

    Lulu vipi hapo kwa mtangazaji hata juice inakuwaje hapo.

  • @kebibasherry3117
    @kebibasherry3117 2 года назад

    Nampenda sana lulu mrembo❤️😘😘👋

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 2 года назад +1

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌️✌️

  • @blueberrypotatogames7950
    @blueberrypotatogames7950 Год назад

    Mngu atakusaidia upate unacho itaji kama sip wewe njo umepana mama yako kama wanafa massa wengine

  • @falsafatv7789
    @falsafatv7789 2 года назад +1

    First to comment

  • @rajabdibwa6415
    @rajabdibwa6415 2 года назад +1

    Jamaa hata maji ya kunywa pia hapewi?

  • @gresitimoth1099
    @gresitimoth1099 2 года назад

    Mgeni apewe maji

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 Год назад

    Sasa kwanini hukujenga kwenu wakati una pesa