Aibu/Sababu za luludiva kumkana mume wake

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 янв 2025

Комментарии • 85

  • @catherinekanono4298
    @catherinekanono4298 10 месяцев назад

    Huyu sura mbaya heri lavalava ghai luludiva karogea nini kichwa box hehe😂😂

  • @abuibra
    @abuibra Год назад +7

    Unazungumza fikra zako sio kweli mwanaume lazima awe na wanawake zaidi ya mmoja.

  • @neemaloy889
    @neemaloy889 Год назад +1

    Mungu akupe hekima

  • @PhilomenaSteven-tq2tx
    @PhilomenaSteven-tq2tx Год назад

    Ntakuja Khan unitibu 😅😅😅😅😅

  • @PhilomenaSteven-tq2tx
    @PhilomenaSteven-tq2tx Год назад

    Napenda sauti yko

  • @mademamasano8734
    @mademamasano8734 Год назад +3

    Ni handsome hatari

  • @vanessalaizer4363
    @vanessalaizer4363 Год назад +10

    Sasa kwa umri huo bado unaongelea kutongoza wanawake akati ulitakiwa uwe na familia na unaheshimika kama baba! Mtu mzima ovyooo huyu sijapenda kauli zake

    • @antybabybintrashid2333
      @antybabybintrashid2333 Год назад

      kama mungu hajataka hata ufanye nn atapata mtu but hamtaish so don't blame him he is very cool bahat tu Kwa Allah haijasimama

  • @hyacintagugu7
    @hyacintagugu7 Год назад

    Rafiki ni uumbaji wa Mungu huo.

  • @vailethmwashibanda2514
    @vailethmwashibanda2514 Год назад +9

    Mwanamke akikukana mbele za watu hakupendi kaka

  • @Thebaddest255
    @Thebaddest255 Год назад +4

    Mtu mzima hovyo

  • @fetychina3273
    @fetychina3273 Год назад +2

    🤣😅🤣😅eti ananipa miuno kitandani

  • @happinesskitali164
    @happinesskitali164 Год назад

    Mwili mkubwa kichwani box

  • @aishaibrahim5607
    @aishaibrahim5607 Год назад +10

    Mpeni nmb zngu mi napenda watu wazima kama hawa

    • @serafinamalecela4728
      @serafinamalecela4728 Год назад

      Njoo nikupe

    • @sagboison6297
      @sagboison6297 Год назад

      Mmmmh wewe dada unapenda watu wazima Ili iweje

    • @aishaibrahim5607
      @aishaibrahim5607 Год назад +1

      @@sagboison6297 aka si ndo moyo wangu unapenda kwanz uyu nae anautuuzima gn naona kama mtt wa for1 tu kwangu hakuna mwanaume mkubwa

    • @mihambomahona8129
      @mihambomahona8129 Год назад

      Sula zingine nizakukutana gizan Mana Kama miaka 32 unasula ngumu hivyo mi was 34 nakuzid

    • @aishaibrahim5607
      @aishaibrahim5607 Год назад

      @@mihambomahona8129 mmmh kijana waovyo ww

  • @aysherkitoi5507
    @aysherkitoi5507 Год назад +5

    Upuuzi mtupu huyo diva anakukana yeye nae ana nini mpk akukane kakauka mpk miguu

  • @fetychina3273
    @fetychina3273 Год назад +3

    Jibu wameoana🤣🤣

  • @wardaridhwankassim4774
    @wardaridhwankassim4774 Год назад +1

    Diidaaa km maswal yanakigugumiz😂😂 Goosebumps ipo high level

  • @penuelmichael1240
    @penuelmichael1240 Год назад +2

    Mshamba huyu 😏😏😏

  • @joycelaizer4600
    @joycelaizer4600 Год назад +1

    Aisee

  • @rizikiabdalla2501
    @rizikiabdalla2501 Год назад +22

    Kwahiyo kaka unamiaka 32 heeee sura ishaelekea akhera hiyo mhh nyie watu wa siku hizi waongoooo

    • @raybby9291
      @raybby9291 Год назад +2

      Weee niache mie 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @khalsasalim7930
      @khalsasalim7930 Год назад +1

      Chips zege hizo 😂

    • @rosehaule6765
      @rosehaule6765 Год назад +8

      Jamani uenda alipata shida usiseme hivyo ujafa ujaumbika unaona kabisa kama alivyo hapo anyone kana uenda alipata tattoo tuombeane tu na kumshukuru Mungu

    • @mrs2918
      @mrs2918 Год назад

      yes huo ndio umri wake

    • @habibahabiba7128
      @habibahabiba7128 Год назад +4

      Chunusi tu zimemuharibu

  • @zakiamseka9698
    @zakiamseka9698 Год назад +5

    Tuliosoma Cuba tumeelewa

  • @rizoibrahimovich605
    @rizoibrahimovich605 Год назад +1

    Lizee hili buaaana

  • @mwanajumamwinyi2665
    @mwanajumamwinyi2665 Год назад +2

    Maybe vile ana mashavu ndio hamtaki😂😂😂😂😂

  • @cdeleo9336
    @cdeleo9336 Год назад +1

    Mmh lulu diva i hope ni uongo maana mmh

  • @salmatanza8133
    @salmatanza8133 Год назад +17

    Huyu jamaa nilikuwa unajua sauti yake tu na baada ya sauti nilimtengeneza mtu kwenye mawazo yangu sasa Leo naona vitu viwili tofauti bora nibak na saut

  • @missminnatz
    @missminnatz Год назад +2

    Ila wanaume wa aina hii wapo yaan sik amekutongoza ukamkataa yaan itakuw ndio chambo atatangaza anakukula 😂😂😂 sjui anakufanyaje yaan wanaumiaga sana. Af wanajipooza kwa watu kwa uongo ili aonekane naye anapita na wew khaaa😂😂nahs kabisa huy alimtongz af lulu hajamkubal basi inamuuma maskin lulu ebu njoo mskie mwindaji huku.

    • @Mery-st4nu
      @Mery-st4nu Год назад

      Aisee imenikuta hii nilitongonzwa nikamkatalia mtu asisambaze kanishadet nae aisee niliumia

  • @Legends_Interviews
    @Legends_Interviews Год назад +2

    Mkewe bana😂

  • @jumanne1189
    @jumanne1189 Год назад +1

    😂😂😂nimecheka sana jamaa namjua vzr tu ila daaah nimuongo sana kwann il ujulikane ndio udanganye

  • @mahbibabdulkarim8632
    @mahbibabdulkarim8632 Год назад

    Huyu kaka anamtaka tu huyo dada hana lolote

  • @hidayakassim5724
    @hidayakassim5724 Год назад

    Mimi hapa

  • @ireneshao7950
    @ireneshao7950 Год назад +1

    Mpumbavu huyu uswahili mwingi na ujinga libaba lizima

  • @hassanbakari4525
    @hassanbakari4525 Год назад +2

    Ana saut ya kutangaza ila Apunguze ujinga,miuno ya uzazi ndio nin 😄

  • @aika3024
    @aika3024 Год назад

    Kumbe uyu ndio Dini😅, anaekaaga na Wanjara🧐

  • @glorianikiza3940
    @glorianikiza3940 Год назад +2

    Wakwanza leo

  • @lucysekete193
    @lucysekete193 Год назад +1

    Anamshika Huyu dada kimapenzi

  • @rehemarwanda6039
    @rehemarwanda6039 Год назад

    There u are Khan....Men suffering