#LIVE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 сен 2024
  • Ujumbe: Usiku wa manane
    Andiko: Mathayo 13:25
    Pastor: Innocent Mashauri
    Mathayo 13:25
    lakini watu walipolala, akaja adui yake akapanda magugu katikati ya ngano, akaenda zake.
    SADAKA YAKO YA KUCHANGIA INJILI IFIKE MBALI ZAIDI:
    M-PESA +255 758 708804 INNOCENT MASHAURI
    CRDB ACC: 0152523574100 INNOCENT LEONARD MASHAURI

Комментарии • 58

  • @agnesspaul1866
    @agnesspaul1866 Месяц назад

    ❤❤❤❤ Asanteeee Muñgu kwaajili ya mtumishi wako najiungamanisha Mimi na watoto wangu katikati ya hii mazabahu utupngoze katika yote

  • @ArinaitweFatuma
    @ArinaitweFatuma Месяц назад

    Naungamanisha watoto wangu Amen 🙏🙏🙏🙏 Amen napokea uponyaji wangu

  • @ChikuHimali-y3r
    @ChikuHimali-y3r 22 дня назад

    Mtumishi namshukuru sana mungu ibada ya Jana damu ya yesu imefungua vifungo kwangu. Mpaka. Sasa bado mwili wangu unauma

  • @nicodemianarose5216
    @nicodemianarose5216 Месяц назад

    Mungu wangu namuungamanisha mwanangu pamoja familia yangu namaombi ya mwezi huu wa saba

  • @RuthAmojong-sm4kl
    @RuthAmojong-sm4kl Месяц назад

    Wa mungu wa amani aniepushe mimi na uzao wangu kutokana na kila hila.

  • @annahmutune4866
    @annahmutune4866 Месяц назад

    Mungu naomba usinipite unapozuru wengine...nikumbuke kwetu ni Mimi bread winner 🙏🙏🙏

  • @annefidelis6931
    @annefidelis6931 Месяц назад +1

    Bwana Yesu naomba ulinzi wako kwa uzao wangu watoto wangu mimi wajukuu mkwe amen

  • @NdayishimiyeAgnes-of2tn
    @NdayishimiyeAgnes-of2tn Месяц назад +1

    Natamani kwenye huu mfungo nitoke na ushuhuda ee Mungu😢😢

  • @barakayamo6996
    @barakayamo6996 Месяц назад

    Yesu nawaweka mikononi mwako watoto wangu wote na Wana wa wanangu na mke wangu na ndugu zangu wote wa tumbo moja na Mimi nami pia najiweka mikononi mwako turehemu baba ata uzee wetu bariki Kila kazi ya mikono yangu na wote niliowaandika hapa baba katika jina la yesu kristo Amen.

  • @sofiaoman5901
    @sofiaoman5901 Месяц назад

    Asante sana mtuishi kwa somo zuri mimebarkiwa sana

  • @Trucillah-be5ke
    @Trucillah-be5ke Месяц назад

    Naomba damu ya yesu juu ya maisha ya familia yangu

  • @ArakazaEric
    @ArakazaEric Месяц назад

    Yesu ,tawala maisha yangu maana nimeishiwa na akili yangu❤

  • @NdayishimiyeAgnes-of2tn
    @NdayishimiyeAgnes-of2tn Месяц назад +1

    Ni kweli mtumishi leo nimetamani sana kuingia ibadani lakini nimejikuta napata magumu usiku huu bila hata mim kujua,nimekuja kuingia mwishoni kbs unamalizia,ila nikawa nimesikiliza tena baada ya ibada,namuomba Mungu anifanyie wepesi😢katika maisha haya magumu sana ninayopitia

  • @valentinanduku8718
    @valentinanduku8718 Месяц назад

    damu ya Yesu kwa maisha yangu

  • @mariamjumaa-e6u
    @mariamjumaa-e6u Месяц назад

    Tawala bwana yesu katika maisha yangu

  • @annefidelis6931
    @annefidelis6931 Месяц назад

    Asante Bwana kwa neema hii ya kukutana na maombi haha amen

  • @angelbarthon
    @angelbarthon Месяц назад

    Mungu tengeneza kesho yangu

  • @happyngonde2923
    @happyngonde2923 Месяц назад +2

    Mungu wangu nikumbuke katikati ya usiku huu kwa Reehema zako na huruma zako😢

  • @madamtedyjoseph9175
    @madamtedyjoseph9175 Месяц назад

    Najikonekt Najikonekt nikohapa bwana usinipite, nitembelee bwana Yesu nitembelee bwana Yesu,

  • @nicki1885
    @nicki1885 Месяц назад

    Thank you Jesus kwa kunipa nafasi to view this lesson

  • @neemakarisa1496
    @neemakarisa1496 Месяц назад

    Oooh Asante.Amen Amen 🙏

  • @SalmaAgaanda
    @SalmaAgaanda Месяц назад

    Amina mungu namie usinipite uendelee kunipigania naomba unitendeee muujiza baba nifungulie milango yangu imefungwa baba naomba unitumikishe gisi unavyopenda asante mungu nifungulieee mema baba milango yabaraka naitaji msada wako amen

  • @DorothyChilembo
    @DorothyChilembo Месяц назад

    Damu ya Yesu inanena mema katika maisha yangu maisha ya wanangu kwenye biashara yangu kwenye family yangu 🙏🙏🙏

  • @mimahgerald6708
    @mimahgerald6708 Месяц назад

    Bwna yesu naomba unilinde juu ya ndoto zote mbaya adui anazoleta kila nilalapo naomba ulinzi wako

  • @KulwaMichael-mm3xd
    @KulwaMichael-mm3xd Месяц назад +6

    Namuungamanisha mke wangu Neema katika madhabahu hii ya Siri za bible anipende mm pia asahau yote yaliyo pita

    • @NdayishimiyeAgnes-of2tn
      @NdayishimiyeAgnes-of2tn Месяц назад

      Kweli😢hata mimi mchumba wangu kashindwa kusahau yalopita,Mungu atufanyie wepesi

  • @SYDEYLINET
    @SYDEYLINET Месяц назад

    HALLELUJAH BABA nifunike kwa damu yako pamoja na watoto wangu nanyunyiza DAMU YA YESU KRISTO KATIKA KILA LANGO LA NDOTO,BWANA naomba sadaka naomba kazi MUNGU WANGU USINIPITE 🙇‍♀️🙇‍♀️🙇‍♀️🙇‍♀️🧎🏻‍♀️🧎🏻‍♀️🧎🏻‍♀️🧎🏻‍♀️🧎🏻‍♀️🧎🏻‍♀️🙏🙏🙏🙏

  • @JosephinaLeonard
    @JosephinaLeonard Месяц назад

    Amina,Asante Yesu🙏

  • @KulwaMichael-mm3xd
    @KulwaMichael-mm3xd Месяц назад

    Mungu nitendee miujiza katka usiku huu

  • @nicki1885
    @nicki1885 Месяц назад

    I know this Maombi will take me to my breakthrough

  • @Princesscareen
    @Princesscareen Месяц назад

    Yaani mungu azidi kumtumia mtumishi wa mungu ujumbe huu wangu wote daaah muache yesu aitwe yesu alelluya alelluya BWANA yesu apewe sifa jina LA yesu lisifiweeeee

  • @alindaalinda4897
    @alindaalinda4897 Месяц назад +2

    Mungu niponye

  • @Evansserede-uw4tb
    @Evansserede-uw4tb Месяц назад

    Tawala maisha yangu Yesu

  • @EvansMahateKisanya-jw3xn
    @EvansMahateKisanya-jw3xn Месяц назад

    Amen amen amen

  • @annefidelis6931
    @annefidelis6931 Месяц назад

    Mungu tulinde mama yangu na familia yangu yote ktk jina la Yesu

  • @yvetteasabwa3152
    @yvetteasabwa3152 Месяц назад

    Damu ya Yesu inipiganie na kilanguvu zagiza zinazo pambana na maisha yangu na watoto wangu

  • @Stellastella-yi5vu
    @Stellastella-yi5vu Месяц назад

    Asante Mungu

  • @annefidelis6931
    @annefidelis6931 Месяц назад

    Damu ya Yesu pigana na vita zote zinazopigana na mimi watoto wangu wajukuu zangu mkwe wangu kwa damu yako Yesu

  • @annefidelis6931
    @annefidelis6931 Месяц назад

    Mungu naweka mikononi mwako shughuli ya sendoff Mungu hiyo safari uliianzisha wewe na utaimaliza wewe onekana Bwana hiyo tarehe amen

  • @MarieMakiwa
    @MarieMakiwa Месяц назад

    Ee bwana usinipite baba unihone mungu wangu nahomba unihone

  • @KulwaMichael-mm3xd
    @KulwaMichael-mm3xd Месяц назад

    Tawala bwana yesu juu ya maisha yangu nauchumba wangu pia mungu unipehela ili nifunge ndoa yangu kwa pia kwakuwa neema ana mimba ya mtu mwingine naomba hiyo mimba hata itoke bila dawa ili tufiche aibu maana tutaaibika sana maana tunahitaji kufunga ndoa mwezi wa tisa

  • @oman798
    @oman798 Месяц назад

    AMINA

  • @happyngonde2923
    @happyngonde2923 Месяц назад

    Namunganisha mme wangu gibo na hii madhabahu ya siri za biblia arudi kwangu usiku huu🙏🙏

  • @JULIETHJUSTINIANI
    @JULIETHJUSTINIANI Месяц назад

    Mungu naomba akutane na Mimi aniponye uvimbe uliopo tumbon uyeyuke, nakataa operation Kwa jina la Yesu kristo

  • @JaneNkata-tq5oi
    @JaneNkata-tq5oi Месяц назад

    Kama mimi mtumishi huyu baba alichukukua jina langu akaweka kwenye quraan.Napambana sana mtumishi hii nyumba.Mauzauza mengi.Sema mimi namuweka Mungu mbele.

  • @annefidelis6931
    @annefidelis6931 Месяц назад

    DAMU YA YESU FUTA MAHALI POPOTE JINA LANGU YA WATOTO NA WAJUKUU ZANGU NA MKWE WANGU LIMEANDIKWA NA ADUI KWA AJILI YA UHARIBIFU AMEN

  • @annefidelis6931
    @annefidelis6931 Месяц назад

    Siku ya ndoa naiweke mikononi mwako pia Bwana katende kwa mapenzi yako Mungu wetu

  • @lusilusi8687
    @lusilusi8687 Месяц назад

    🙏🙏🙏🙌

  • @EddaAivan
    @EddaAivan Месяц назад

    Namuweka mikononi mwako mtoto wangu Nancy wadogo zangu na wazazi wangu turehemu baba😢

  • @sophianelson7986
    @sophianelson7986 Месяц назад

    Sophia ❤

  • @KulwaMichael-mm3xd
    @KulwaMichael-mm3xd Месяц назад

    Bwana usinipite usiku huu naomba unishike mkono wako mm bila ww siwez nitete juu ya wokovu wangu

  • @beatusdaniel
    @beatusdaniel Месяц назад

    Ee mwenyez mung namushukur San Kwa hiii hatua nilipofikia nakuona tayar kweny maombi yangu nina amani tele jamn nitie nguvu nimalize mfungo huu salam

  • @ElizaMulawa
    @ElizaMulawa Месяц назад

    Mithari 20.27

  • @donathajasson6401
    @donathajasson6401 Месяц назад

    vikoba na mi hezo ya kupeana pesa hiyo pesa unaweza kuitolea sadaka au ndio haifai

  • @tabithampinga4606
    @tabithampinga4606 Месяц назад

    Usinipite mwokozi

  • @annefidelis6931
    @annefidelis6931 Месяц назад

    Wale waliotoa ahadi za michango wasitulie mpaka watoe hizo pesa dear God

  • @WinfridaMakina
    @WinfridaMakina Месяц назад

    EE MUNGU NISAMEHE MNO NAANZA NA WW