My brother and friend Aggrey Mwanry udumu milele wewe ni wa pekee utakumbukwa sana kwa utumishi wako uliotukuka mkoani Tabora (Toronto) you are the icon of Tabora your legacy will never die
Ooh my God! BOSS WANGU! Mh A. D J MWANRI, UNA KIPAJI KIKUBWA MNOOOO. MUNGU WA MBINGUNI AKUPE MAISHA MAREFU SANA. BARIIKIWA SANA Dr. ELIONA KIMARO ..NATAMBUA NATAMBUA VEMA WATUMISHI WA MUNGU NA SERIKALI.
MH. AGREY MWANRI Hakika huduma yako inahitajika kwenye Taifa hili serikalini tunakuhitaji bado ila shetani anavuruga lakini simama kwenye nafasi yako maana watu wasafi ni hazina na MUNGU atakutumia popote hakika nakuona kwenye mioyo ya WATANZANIA
Hongera sana my brother A.D MWANRI Mungu akubariki sana yaan we ni kiongozi hodari
Dr Kimaro, tunakupenda saaana, Bwana Yesu akutunze , barikiwa saana
My brother and friend Aggrey Mwanry udumu milele wewe ni wa pekee utakumbukwa sana kwa utumishi wako uliotukuka mkoani Tabora (Toronto) you are the icon of Tabora your legacy will never die
Ooh my God! BOSS WANGU! Mh A. D J MWANRI, UNA KIPAJI KIKUBWA MNOOOO. MUNGU WA MBINGUNI AKUPE MAISHA MAREFU SANA. BARIIKIWA SANA Dr. ELIONA KIMARO ..NATAMBUA NATAMBUA VEMA WATUMISHI WA MUNGU NA SERIKALI.
Ni baraka kubwa kuwa na bosi aliyejawa na neno hv. Yani Mungu amwinue
HONGERA SANA MCHUNGAJI KIMARO
Mungu wambinguni alieziumba mbingu na nchi amtunze yeye na nafamilia yake Amen.
Nampenda kutoka moyoni huyu mzee mungu wa mbinguni amtumze
Mheshimiwa sana Mwanri nakuunga sana,unafaa sana kiongozi mkubwa.Uwe Waziri maisha
Aggrey mwandi utukufu idumu ndani ya familia🙏🙏
Mwanri wewe ni kiongozi pendwa mungu akupe maisha marefu amen
Nimetokwa na machozi baadae ya kumuona baba angu nampenda sana cjui mama Samia hujui mtu wa maana huyu
Keshastaafu Uku wa Mkoa so hawezi kua tena Mkuu wa Mkoa wala Wilaya
Du huyu mkuu wa mkoa mstafu ananeema ya mungu sana Yani nilitamani andelee mungu akutie nguvu unakipaji Cha utumishi Cha Hali ya juu sana,
Barikiwa sana sana Mtumishi wa Mungu!
Ubarikiwe mtumishi
Anakitu kikubwa Sana huyu Mchungaji kimaro Mheshimiwa Mwanri nakuelewaga Sana mtumishi
Amina sana leo nimefurahi sana kumwona mzee wangu mchapa kazi huyu
Mungu akubari muinjilisti Mwanry
Amen Mungu wa Mbinguni endelea kumlinda na kumtumia huyu mzee
asante mtumishi , Huu ujumbe ulikuwa wangu asilimia mia, Asante kwa neema ya mungu, neema ya Mungu inafanya kazi kwenye udhaifu, 2Wakorinto 12:7-> 10
Mungu akuinue zaidi baba.
Barikiwa sana watumishi wa Bwana
Ukimtumikia kwa ukweli wa moyo utabaki kijana. Hongera Mh Mwanri
Jamani uyu mzee ananguvu ya ushawishi sana: watu wanamna hii wanafaa sana.
MUNGU akubariki Sana baba Mwanri, umesema maneno ya kutia moyo.
Karibu Toronto babu tumekukumbuka
Mzee wangu mungu akupe maisha we ni mtu ktk watu ubarikiwe sanaaaa
Baba Mwandri God bless you
Mungu ambariki Rev kimaro .. na Mungu akutunze Mh mwanri na familia yako
Mungu akubariki baba wa TORONTO
I met him while I was in Tabora..so strong and inspiring, Live long mzee😊
Mwanri Mungu akulinde sana
Jamani Mbunge wangu wa zamani wa jimbo la Siha we love you so Much Dady🌹🌹🌹🌹
Amina mtumishi Mwanri. Mungu Akubariki.
Atukuzwe Mungu milele
Mwanri is the real legacy for all public servants
God blesssing you Mh Agrey Mwandri tafuta wasiha hapo tukamalizie lile kanisa letu la Usharika wa Evaeny Baba 🙏🙏🙏🙏🙏
Amina mh. mwanri Mungu akutunze...
Kornelio sio koronolio otherwise umefit kwenye utumishi
Hongereni
Amina.
Atukuzwe Yesu kristo.
🙏🏾🤲🏽
Utukufu ni Mungu kupitia Utumishi wake
Mhe; Mwanri naomba uteuliwe na mama Samia, kwasababu bado unao utumishi mkubwa kwa Watanzania
Mchungaji Angrey
Mbunge wa Siha ajaye
Siha sango karibu
Mchungaji Kimaro ni Baba yangu yeye ni mbegu iliyohai
Mtumishi
Mzee wa Kaz yaan nilimuelewa yaan
🤲🏽🙏🏾
Sukuma ndani nimefurahi nlipomwona
Amen sana
Apewe Sifa YESU
Amina Amina
Mzee watoronto 😂 kweli ukiwa na neema yamungu hata kuhubiri wala hutumii nguvu
Mzeee mchungaji kabisa huyu mbinay
Alipewa uinjilisti wa heshima na kanisa so Ni muinjilist
Amen!
Amina
Anasauti ya kitumishi
Ni mtumishi pia
@@sebastianmwantuge5597 Ameen asante ubarikiwe sana kwa kunielewesha
Sukuma ndani😂
🙏🙏🙏
🙏🙏💪💪💪🤝🤝🤝
Huyo saivi ndo ilitakiwa awe rais
👏👏👏👏
Hili jamaa nalielewa tangu hata akiwa waziri ananipa furaha sana
🎉🎉🎉🎉🎉
Rudi siha kwenye ubunge wako baado unanafasi
Matendo ya mitume 10:1_5
MH. AGREY MWANRI Hakika huduma yako inahitajika kwenye Taifa hili serikalini tunakuhitaji bado ila shetani anavuruga lakini simama kwenye nafasi yako maana watu wasafi ni hazina na MUNGU atakutumia popote hakika nakuona kwenye mioyo ya WATANZANIA
Utukufu ni Mungu kupitia Utumishi wake
Amen 🙏
🙏🏾🤲🏽
🙏🙏🙏🙏
Amen 🙏