JIFUNZE KUOMBEA NDOTO UNAZOZIOTA KILA SIKU // DAY 7

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 9 янв 2025

Комментарии • 300

  • @JoramMrisho
    @JoramMrisho 2 месяца назад

    Hakika Neno la MUNGU ni Taa 🙏🙏 kupitia mafundisho haya naona kuona Eee MUNGU Asante Kwa kuni unganisha na madhabahu ya siri ya Biblia 🙏🙏🙏 MUNGU Baba yangu zidi kumpaka mafuta mabichi huyu mtumishi wako ili akazidi kuachilia mafundisho Yako na wakazidi kupona na wengine 🙏🙏🙏🙏👋👋

  • @NellyKombe
    @NellyKombe 25 дней назад

    Asante mtumishi ninaomba MUNGU nisaidie nicwe na ukristo wa kawaida

  • @JoramMrisho
    @JoramMrisho 2 месяца назад

    Ameen 🙏🙏 Ameen 🙏 nitafanya Bidii ili nimujue YESU KRISTO

  • @kiraemanueli1997
    @kiraemanueli1997 Год назад +4

    YESU ni rafiki yangu mwema 🌹💯♥️ ,,,,,,,, mtumishi ubarikiwe sana

  • @kizadorcas3321
    @kizadorcas3321 28 дней назад

    Amen Mungu kwetu ni kimbilio tena ni nguvu na ni msaada upatikanao wajati wetu wa mateso Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu

  • @abigaelmwadena2262
    @abigaelmwadena2262 Год назад +2

    Amenamen barikikwa sana mutumishi wa Mungu kwa mahubiri yananisongoze sehemu nyingin hakia ahimidiwe Yesu🎉

  • @judithnjunwa6668
    @judithnjunwa6668 Год назад +4

    Napokea nguvu ya MUNGU ya utajiri kwa jina la YESU KRISTO

  • @TygaNsabimana-gn4vi
    @TygaNsabimana-gn4vi Год назад +1

    Amen mtumishi wamungu unatusayidiya sana kiroho na imani

  • @sabinaleonce8243
    @sabinaleonce8243 2 года назад +1

    Amina

  • @philipopaulolutema19
    @philipopaulolutema19 8 месяцев назад +3

    Hallelujah Ubarikiwe Sana mtumishi wa KRISTO YESU, Napokea BARAKA na Ukurasa mpya WA maisha yangu, na familia YANGU katika Jina la Yesu, AMEN.

  • @rachelwilliam3585
    @rachelwilliam3585 Год назад +2

    Amen 🙏🏾 Mungu alinitoa huko kama Yakobo na kunipa hatma harisi ya maisha Asante Mungu kwa wema na hekima yako kuu

  • @FaithDoha
    @FaithDoha Год назад +1

    Amen amen mtumishi wa Mungu kwa mafundisho na maombi ambayo yapenipa mzizimko wa hatua ingine katika kiroho be blessed 🙏

  • @RehemaKatana-gc1mz
    @RehemaKatana-gc1mz Год назад +2

    Wah Sina usemiii...Yani the way I feel since I meant this channel. Kweli Mungu nimwaminifu hawezi muacha aliye wake apoteee Mungu akubarki sana mtumishi 😢🙏🙏

  • @adelasumaili8149
    @adelasumaili8149 2 года назад +4

    Ameeena sana tena sana mungu aku bariki sana 🥰🙏🙏🙏🙌🙌🙌🙌🙌

  • @JumaAugusto-du5bu
    @JumaAugusto-du5bu 2 месяца назад

    Asante kwa mafunzo mazuri kwenye ngufu za mungu

  • @UmutesiSipha
    @UmutesiSipha Месяц назад

    Mungu akubariki baba mimi umenijenga sana kiroho

  • @rumariletimba7585
    @rumariletimba7585 Год назад +1

    Amen , Mungu wangu nisaidie tu ,niurumie nipe bidii ili niweze kukutafuta wewe Baba yangu

  • @FatumaKashindi
    @FatumaKashindi 4 месяца назад

    Mungu tu hawabariki

  • @terrymc5593
    @terrymc5593 10 месяцев назад +2

    Naskiliza Leo tarehe9/03/2024 nimebarikiwa sana ameni

  • @nolimittvonline6822
    @nolimittvonline6822 Год назад +1

    Hallelujah hallelujah atukuzwe mwokozi yesu

  • @ReginaMinde
    @ReginaMinde 3 месяца назад

    Bwana yesu asifiwe mimi naota nyoto niko gizan mbele shimo refu

  • @gracedamas5883
    @gracedamas5883 Год назад

    Ameni 🙏 Ameni Pastor
    Ubarikiwe Sana mtumishi naenderea kujifunza
    Naamin Mungu atabadirisha historya ya maisha yangu

  • @sofiaoman5901
    @sofiaoman5901 5 месяцев назад

    Amina mtumishi wa Mungu ili somo linahusana na maisha yangu mm mwanaume ameondoka nyumban ee Mungu nipe imaniAmina

  • @AgnesHillary-js4hd
    @AgnesHillary-js4hd Год назад +1

    Mungu ni mwema Sanaa

  • @MariaMjeni-rh6sy
    @MariaMjeni-rh6sy 2 месяца назад

    Amen 🙏🙏🙏🙏 and amen 🤲🤲🤲🤲

  • @kushokaleonard3385
    @kushokaleonard3385 Год назад +1

    Uje Roho mtakatifu kiongozi kwa ndogo hii hakika Mungu baba anatupenda.

  • @winfridaadam7951
    @winfridaadam7951 2 года назад +1

    Ameeeen 🙏🙏🙏Mungu akubariki sanaaaa Kwa mfundishoo mazur sanaa 🌹

  • @beatricemarwa6731
    @beatricemarwa6731 Год назад +1

    Bwana naomba unirejrshre tena Roho akae nami, aseme nami. Bwana nisamehe saana kwa ndoto ulizonilete hapo nyuma nikazipuuzia, ehe Baba nisaidie nini cha kufanya ehe Baba. Baba natamani mabadiliko, natamani kuwa nami ehe Baba. Naomba nikupendeze wewe Mungu wangu. Nipe hamu ya kusoma Neno lako ehe Baba.

    • @CarvasMbinga
      @CarvasMbinga 10 месяцев назад

      Eee Mungu wangu na Baba yangu na ukanisaidie nikasimame imara katika kukutegemea wewe uketiye mahali pa juu pa kiti cha enzi.

  • @lidyanapegwa8154
    @lidyanapegwa8154 Месяц назад +1

    Asante Pastor Innocent

  • @happpyfuraha
    @happpyfuraha 2 года назад +2

    Amen mtmish kw ujumbe Mimi hua siombia ndoto lakin leo nimejifunza kitu ubarikiwa xana kwa ujumbe wa leo

  • @AsiaMohammed-gp3bf
    @AsiaMohammed-gp3bf Год назад +1

    Amen nmejifunza k2 kupitia madhabahu hii mbarikiwe mungu azidi kuwalinda mzidi kutufunguwa zaid

  • @ScolastikaNathan
    @ScolastikaNathan Год назад

    Amina mtumishi kwa maombi haya ubarikiwe sana

  • @LilianNyangusi
    @LilianNyangusi Год назад +1

    Amen 🙏 0:50

  • @sauud2some471
    @sauud2some471 Год назад +1

    Nambarikiwa sana❤❤

  • @rosekisuke
    @rosekisuke Год назад

    Mtumisho mungu akubaliki sana nadenda sana mafidoso Yako mungu akupe guvu sana ❤🙏🙏

  • @mariamshaaban4507
    @mariamshaaban4507 2 года назад +3

    AMEN AMEN BARIKIWA MTUMISHI WA MUNGU

  • @jemamdendemi9636
    @jemamdendemi9636 2 года назад +2

    Amen amen mtumishi wa Mungu

  • @SamuelIrakoze-cv4fg
    @SamuelIrakoze-cv4fg 5 месяцев назад

    amen amen !!mungu ukubaliki mchangaji !!

  • @agnesmgina2232
    @agnesmgina2232 2 года назад +1

    Kwakweli mungu ni mwaminifu kwetu

  • @jescajulius-ps1uz
    @jescajulius-ps1uz Год назад +1

    Amen ubatikiwesana🙏🙏🙏🙏🙏

  • @jamesmbale2067
    @jamesmbale2067 2 года назад +2

    Amina mtu ya Mungu ubarikiwe katika jina la yesu christon

  • @Christina-dz7ff
    @Christina-dz7ff 6 месяцев назад

    Ameen ameeeen🙏🙏🙏

  • @JoelMuriti
    @JoelMuriti 5 месяцев назад

    Niombee mtumishi wa Mungu nimefungwa kwa maroho marehemu za wafu na ndoto za wafu kwenye simo ya umasikini uliokithiri sana maishani mwangu, niko Kenya 🇰🇪

  • @gracekiloms2953
    @gracekiloms2953 2 года назад +4

    Amen hakika madhabahu hii imenifungua sana ubarikiwe sana mtumishi kwa mafundisho mazur

  • @devothahaule6665
    @devothahaule6665 Год назад

    Asante Kwa jina la YESU napokea Kwa jina ya YESU Amen

  • @greacembwnwilibati8197
    @greacembwnwilibati8197 Год назад

    Amen amen mungu ni mwema Wakati wote 🙏🙏🙏🙏 asante mungu Kwa Neema yako Amen 🙏🙏

  • @dainesykalinga7133
    @dainesykalinga7133 2 года назад +2

    Ameen Ameen Amen Barikiwa Sana Ee Mungu sema neno na maisha yangu katika mfungo huu , nivushe Bwana , niheshimishe Bwana Katika Jina la Yesu Kristo🙏🙏🙏🙏🙏🙏.

  • @FatumaKashindi
    @FatumaKashindi 4 месяца назад

    Amina Amina nakupenda sana mungu wangu usiniache baba yangu nisaidiye mana nakuitaji sana katika maisha yangu natamani sana nikuhone yesu wangu kupitiya mazabahu ya SIRI ZA BIBILIA natamani nikuhone yesu natamani huwe mbele yangu yesu wangu uwemsaanda tosha katika maisha yangu mimi mungu wangu AMINA AMINA 🙏🙏🙏

  • @SevAl-p9k
    @SevAl-p9k 9 месяцев назад

    Amen naomba roho mtakatifu anipe ufahamu na utambuzi,aondoe roho inayonisaulsha ninapo OTA mungu nasaidie🙏🙏

  • @gracedamas5883
    @gracedamas5883 Год назад +1

    Ameni
    Mungu naomba unikomboe kutoka kwenye ndoto ya kuota niko choon
    Mungu naomba unikomboe kutoka kwenye mikosi na balaa

  • @GloryMsofe-gr3st
    @GloryMsofe-gr3st Год назад +1

    Nakemea ndoto ya shule Kwa jina la Yesu🙏🙏

  • @spiritualawakeninggrowing
    @spiritualawakeninggrowing 4 месяца назад

    Amen, and I receive all the blessings

  • @JudithNafuna-b7g
    @JudithNafuna-b7g Год назад +1

    Emen 🙏 thank you God 🙏🙏 hallelujah hallelujah 🔥🔥

  • @NatashaCharles-gv3qb
    @NatashaCharles-gv3qb 6 месяцев назад

    Asante mtumishi niombee sana

  • @scolardamian6145
    @scolardamian6145 2 года назад +1

    Ameni bar ikiwa sana mtumishi wetu

  • @happyeliezamwimbwa236
    @happyeliezamwimbwa236 2 года назад +1

    Asante Yesu 🙏

  • @EstherKengelemanjale
    @EstherKengelemanjale 6 месяцев назад

    Amina mtumishi mungu akutumie sawa na mpenz yake

  • @judithnjunwa6668
    @judithnjunwa6668 Год назад +1

    Napokea ripoti ya ushindi kwa jina la YESU KRISTO

  • @CatherineMusyimi-c9o
    @CatherineMusyimi-c9o 6 месяцев назад

    Ameen

  • @FrankRafael-u1f
    @FrankRafael-u1f 5 месяцев назад +1

    Amen mtumishi

  • @goddaughter8312
    @goddaughter8312 Год назад +2

    hallelujah 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻

  • @kayugajuma7878
    @kayugajuma7878 2 года назад +1

    Mungu aendelee kukubariki sana mtumishi wa mungu hakika nimejifunza kuombea ndoto

  • @emmahbooooo
    @emmahbooooo 2 года назад +2

    Amen amen amen 👏

  • @marrypower
    @marrypower 2 года назад +1

    God bless you Baba ubarikiwe sn nimebarkiwa sn

  • @fanicenyangwono9736
    @fanicenyangwono9736 Год назад +1

    Bwana naomba uende nasi

  • @LeoniaKoloseni
    @LeoniaKoloseni 4 месяца назад

    🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
    Amina

  • @elizabethsangu224
    @elizabethsangu224 2 года назад +1

    Amina Amina Asante mungu Asante baba sielewi hata nimshukulu mungu vip Asante baba wambinguni mbaliki sana mtumishi wako ulie Tupa endeleya baba kumfunuliya yalio mengi sana Mimi jamani Sjuwi nisemeje ulinipenda mungu wangu ukanionyesha madhabahu hii nli Anza kama utani kumbe ndiyo ulinipenda hivi baba Asante kwakuni onesha madhabahu hii mbaliki mtumishi kwajina la yesu Asante mungu wangu Sina chakusema sielewi niseme vp baba wambinguni Amina baba naomba unibalik Asante baba wambinguni

  • @jrkessy3011
    @jrkessy3011 2 года назад +1

    Ameen 🙏 mtumishi wa mungu..madhabao ya Siri za Biblia🙏

    • @agnessmapolu5003
      @agnessmapolu5003 2 года назад +1

      Amen mtumishi wa mngu Leo madhabahu siri ya bibilia imezungumzia maisha yangu kabisa ninaimani clã kitu kitakwenda kuisha kupitia madhabahu hii

  • @perisriziki2299
    @perisriziki2299 2 года назад +1

    Bwana yesu asifiwe pastor mm huwa na shida ya kuota ndoto baadaye sizikimbuki huwa nasumbuka saana natamani nizikumbuke bt zapotea kabisa

    • @sirizabiblia5276
      @sirizabiblia5276  2 года назад

      Ni tatizo hilo kiroho,omba Mungu akupe kibali ili uwe unakumbuka na unachukua hatua

  • @monicalaizer7596
    @monicalaizer7596 Год назад +2

    Asante Kwa kunifunulia

  • @aidaandrea-bp1tq
    @aidaandrea-bp1tq Год назад

    Mchungaji akulinde mafundisho yko yananifundisha sana! Nina changamoto nying sana me cjui kuomba nahitaj msaada wako mchungaji! Biashara zangu haziendi mchungaji!

  • @JolleetNiaze
    @JolleetNiaze 4 месяца назад

    Amen🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @bilhamuthoni2389
    @bilhamuthoni2389 2 года назад +1

    Amen Amen Amen uyo ni Mimi mungu nisaidie

  • @ruthmakami7158
    @ruthmakami7158 2 года назад +1

    Amen and Amen mtumishi kwa mafundisho na maombi

  • @ruthtorahabublessedlady9222
    @ruthtorahabublessedlady9222 2 года назад +1

    Amina mtumishi, anauliza kama Mtu Ana tatizo la kulishwa usingizini, kufanya ngono na kufungwa kwa usinzi

  • @irenedaffi7179
    @irenedaffi7179 2 года назад +2

    Ameeen ameen baba umenena sawa sawa kbsaaa

  • @shalletnguma3375
    @shalletnguma3375 2 года назад +2

    Amen and amen.Mungu ni muaminifu.asante mtumishi.Mungu akutunze

    • @suzanalucasemanuel7006
      @suzanalucasemanuel7006 2 года назад

      Amen 🙏🙏

    • @maryhokororo
      @maryhokororo 2 года назад +1

      Ni kweli mtumishi naota Mara nyingi naenda safari ambazo sifiki ninakokwenda mara naamka. Asante napona.

  • @harrietkemiyondo4171
    @harrietkemiyondo4171 Год назад +1

    Amiiiiiina amiina 🙏 thank you Jesus

  • @Carokilunda
    @Carokilunda Год назад +2

    amina ninebariwa sana

  • @neemakitano5894
    @neemakitano5894 Год назад

    Amen amen mtumishi naomba unisaidiee naota Mara kwa Mara mme wangu kafunga ndoa namwanamke wakislamu mkoa anaetokea huyo mwanamke nimtu wa tangaa namaranyine nikaota Tena mme wangu anamkee amelala naee kitandani naukiangalia upande wandoa nauchumi nimbaya naomba nisaidiee

  • @HusnaSharifu
    @HusnaSharifu 7 месяцев назад

    Sahihi mtumishi mambo yangu mengi yanaharibika na kufanikiwa kupitia ndoto asante Sana mtumishi

  • @julietliru835
    @julietliru835 2 года назад +3

    Mimi namshukuru Mungu nimepokea nguvu za kuomba vikwazo viliinuka vya kuzuia maombi ya mfungo lakini nilisimama kwa neema ya Bwana .Amen

  • @marymaria6544
    @marymaria6544 Год назад +1

    Pia mm nashukuru Kwa kupata ufahamu Wa kuombea ndoto ubarikiwe mtumishi

  • @juliajulia6772
    @juliajulia6772 Год назад

    Amen yesu christo ni mwema siku zote

  • @nahlahaljahlan9014
    @nahlahaljahlan9014 2 года назад +1

    Amen 🙏🙏 mungu akubarik kwamafundisho

  • @diananaswa4842
    @diananaswa4842 Год назад

    Amen mtumishi wa bwana....nmepokea kwa iman
    Ubarkiwe sana

  • @estaraberd1245
    @estaraberd1245 2 года назад +3

    Ameen Mungu awe pamoja nasi sote, kwa nyakati zote, Ameen🙏🙏

  • @jeannekatembe6396
    @jeannekatembe6396 2 года назад +1

    Asante sana kwa kuendelea kutuelimisha Mungu akubariki.

  • @OmanOman-yn2zj
    @OmanOman-yn2zj 2 года назад +11

    Ameen ameeen ubarikiwe sana dady 🙏🙏🙏 me namshukuru sana sana MUNGU kunikutanisha na madhabahu za siri za bibilia tangia nimeanza kukufuatilia nimepona na mengi sana tena sana yaan MUNGU💪 huyu atukuzwe milele💪💃💃 azidi kukutunza na akupe nguvu zaidi mtumishi wa MUNGU🙏🙏🙏🙏

    • @marykisiangani2470
      @marykisiangani2470 2 года назад +1

      Amen amen, mungu nikumbuke katika Maisha yangu watoto wangu pamoja na familia niliyo zaliwa ndani,nikumbuke kwa kazi yangu na katika kila hitaji ninalo hitaji kwako usiniache mungu wangu

    • @pispitebtz8267
      @pispitebtz8267 8 месяцев назад

      Najihisi Kama nimeguswa sana katika maisha yangu vitu vingi nilikua sijui katika biblia na ndoto,mungu ni mwema sana

    • @pispitebtz8267
      @pispitebtz8267 8 месяцев назад

      Barikiwa sana mtumishi wa mungu

  • @lusilusi8687
    @lusilusi8687 2 года назад +1

    Ameen mtumishi Mungu akubariki sana, Mungu nisaidie nikuelewe na uzitimize ndoto zangu

  • @neemakarisa1496
    @neemakarisa1496 Год назад

    Nikweli ndoto Zina haribu maisha yetu,Mungu ananena nasi Kwa ndoto lakini tunashindwa kuelewa,tuwe I mara katika ulimwengu wa roho,sheta halali ana pigana nasi...Eeee Mwenyezi Mungu utusaidie.ubarikiwe mtumishi wamungu, Amen 🙏❤️🌹

  • @odiliamwavua
    @odiliamwavua 5 месяцев назад

    Niombee mtumishi Niko na vita vikali ,Niko kenya

  • @yusterlucass
    @yusterlucass Год назад

    Mungu asante kwakunikutanisha na mazabahii maana unamaana yako kubwa

  • @yasintKobelo
    @yasintKobelo Год назад

    Ubarikiwe sana 🙏🙏🙏

  • @suzananombo4156
    @suzananombo4156 2 года назад +2

    Amen , Amen, Amen....Hakika MUNGU anaweza...Barikiwa mtumishi,

  • @KogaDenha-yy8lt
    @KogaDenha-yy8lt Год назад

    Amina mtumishi wa mungu ubarikiwe Kwa mafundisho mazuri

  • @eunie2107
    @eunie2107 2 года назад +3

    Amen Amen Amen 🙏..ubarikiwe sana mtumishi wa MUNGU

    • @fourgmobile1969
      @fourgmobile1969 2 года назад

      Ameeeen Ameeeen mtumishi,nimebarikiwa,baba asante,kwa maana umenikutanisha na hapa uimitiwe ,yehova,barikiwa saana mtumishi wa mungu nimetoka mbali kwa mafundisho yako,nanyenyekea, mungu wa mbingu unifunze wanielewa yehova

  • @fatumasandra6375
    @fatumasandra6375 Год назад

    Ndiyo kabisa sio huongo

  • @leahwainaina4396
    @leahwainaina4396 2 года назад +2

    Amen Amen Amen Amen.

  • @LucyMwaipasi-s4o
    @LucyMwaipasi-s4o Год назад

    Ameeni mtumishi