MAOMBI YA VITA YA MKOMBOZI WA FAMILIA // MBINU ZA KUPAMBANA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 24 янв 2025

Комментарии • 211

  • @NaomiBahat-bz6ri
    @NaomiBahat-bz6ri 7 месяцев назад +3

    Yesu kristo naomba unisaidie niweze kukujua zaidi mimi familia yangu inanitegemea rakini sina kazi sina chochote. Ira naamini Mungu atanitendea na atanisaidia niweze kupata kazi kwa jina la yesu kristo amen

  • @zamoyonandrew7239
    @zamoyonandrew7239 7 месяцев назад +2

    ❤️ MUNGU nisaidie nkujue zaidi Kuna muda nakuwa na hofu na mashaka bwana nipe maelekezo juu famly yangu 🙏🙏

  • @leontinebinlydi9459
    @leontinebinlydi9459 Месяц назад

    Amina Amina Amina Amina Amina Amina Amina Amina Amina Amina Amina Amina Amina Amina Amina Amina Amina Amina Amina Amina Amina Amina Amina Amina Amina Amina Amina Amina

  • @anastanciaomusula3738
    @anastanciaomusula3738 2 года назад +9

    Amen, baba mungu ninaomba uingie ndani ya moyo wangu ili nisije nikabadilika wakati utakapo nibariki. Nizidi kukaa kwako na kuisikiza sauti yako. Asante mtumishi wa mungu Kwa neno la maarifa na maombi barikiwa sana

  • @tatunyasulu8627
    @tatunyasulu8627 2 года назад +6

    Bwana nisaidie, usiniache nakuhitaji Sana, sina mwingine zaidi yako.Tembea na mimi, tawala maisha yangu, uniinue na Uzao wangu,familia kwa ujumla🙏🙏

  • @CandyKenya-y1b
    @CandyKenya-y1b Год назад

    Asante kwakumponya baba kifo kilichokua kimeandaliwa na wachawi baba🙏🙏🙏🙏🙏

  • @CandyKenya-y1b
    @CandyKenya-y1b Год назад

    Asante bwana yesu kwakuningua asante kwakunirudishia nyota angu ilikua imeibiwa asante kwairudisha kwadamu ya yesu🙏🙏🔥🔥

  • @humblenyabuto1230
    @humblenyabuto1230 Год назад +1

    Amen barikiwa mtumishi🙏🙏

  • @ruthmosesmasanja6502
    @ruthmosesmasanja6502 Год назад +1

    Amen mtumishi wa Mungu, maarifa haya niyashike

  • @emmahmaclean1175
    @emmahmaclean1175 Год назад +1

    Mungu naomba uendelee kunilinda na kunibariki kila iitwapo leo amina

  • @jacobmhozya2121
    @jacobmhozya2121 3 месяца назад

    Mungu nisaidie nikujue Zaid kuna muda nakua na hofu kubwa sana pia Mungu nakuomba nipate mume mwema Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @fanicenyangwono9736
    @fanicenyangwono9736 Год назад +1

    Amen mtumishi wa MUNGU umenirekebisha kweli asante kwa BWANA

  • @dativaoscar2723
    @dativaoscar2723 2 года назад +1

    Ameen asante mchungaji kwa mafundisho ya leo Mungu na akawe ndani yangu nami ndani yake nisije nikabadilika bali niendelee kukua kiroho 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @elizabethsangu224
    @elizabethsangu224 2 года назад +1

    Amina🙏

  • @JohnCharles4252-wc3lv
    @JohnCharles4252-wc3lv Год назад +1

    Mungu naomba unipe roho wako mtakatifu .niwe hodari katika maisha yangu ya uokovu amen.

  • @CandyKenya-y1b
    @CandyKenya-y1b Год назад

    Asante mungu wangu asante bwana yesu🔥🔥🔥🔥🔥

  • @margaretmachocho
    @margaretmachocho Год назад +1

    Amen naomba mungu zidi kiniongoza katika neno lako

  • @MwaduduFatma
    @MwaduduFatma Год назад +1

    Ameen Ameen Ameen...Asante Mungu maan imenilenga kabsaaa Ukaniongoze Jehovah kwa Kila kitu....Mtumishi wa Mungu uzidi kubarikiwa sanaaaaa

  • @CandyKenya-y1b
    @CandyKenya-y1b Год назад

    Asante kwakumponya mama angu pia kwadamu ya yesu 🔥🔥🔥🔥

  • @naomingugi8451
    @naomingugi8451 2 года назад +1

    Mungu naomba unitie nguvu za maombi yuya watoto wangu🙏niko mwisho sasa naomba unitie nguvu tena

  • @carorubi3179
    @carorubi3179 2 года назад +2

    Mungu wetu ulie juu twakuomba utusaidie tpate kpita katika safari hii yamateso tuongoze mungu wangu ulie juu mbingun tusamehe ss wako sefu Amen and Amen 🙏 Asante Sana mtumishi wamungu ubarkie

  • @gracedamas5883
    @gracedamas5883 Год назад +1

    Mungu wajua peke yangu siwezi
    Nakuitaji wewe peke yako mala nyingi nimekua nikiishia njiani kwa kila jambo
    Hadi wokovu ninaishia njiani
    Bwana wewe ndie Shahid wa maisha yangu
    Naomba unikomboe mm Grace na familiar yangu 🙏

  • @King-px7xu
    @King-px7xu Год назад +1

    Amen nichindaniye baba ofo initikamo

  • @NifaBaziry
    @NifaBaziry 3 дня назад

    Ubarikiwe sana mtumish. Toka nimeanza kufatilia maombi nimekuw kiloho naweza amka usiku na kuoMba mwenye. Kabla siwez kabisa. amina amina amina tena❤

  • @leilaadamraymond7344
    @leilaadamraymond7344 Год назад +1

    amen. asante yesu sifa kwa yesu.

  • @leonardobulalu
    @leonardobulalu Год назад +2

    Mungu akaniongoze kuikomboa familia yangu na tumbo la mama angu likawekwe huru kila kilichofunga ktk familia yangu kikakombolewe kupitia madhabahu huu Kwa jina la Yesu Kristo

  • @johnkenga1189
    @johnkenga1189 2 года назад +1

    Amen mchungaji mungu akubariki sana na azidi kukulinda

  • @renfridakomba7499
    @renfridakomba7499 2 года назад +1

    Amina

  • @LydiaNasimiyu-h1n
    @LydiaNasimiyu-h1n 10 месяцев назад

    Ameeeeeen ameeeeeen ameeeeeen pstr barikiwa sana ❤❤

  • @azizalaobaid7520
    @azizalaobaid7520 2 года назад +1

    Mtakatifu wa watakatifu naomba ukae ndani yangu nami ndani yako siku sote.ñitabarikiwa daima AMEN

  • @annaaugen5245
    @annaaugen5245 Год назад +1

    AMINA

  • @mwasikaflora1374
    @mwasikaflora1374 Год назад

    Amina mtumishi napokea kwajina la yesu kristo

  • @CandyKenya-y1b
    @CandyKenya-y1b Год назад

    Na watoto zetu wakomboe uwalinde kwadamu ya yesuuuuuuuuuu 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @prettyalecky6914
    @prettyalecky6914 2 года назад +1

    AMEEN,, Asante YESU kwa sababu ww n mwema 🙏🙏🙏

  • @alexmollel-dd5lb
    @alexmollel-dd5lb Год назад +1

    naomba Mungu aitawale rosho yangu usibadilike kumtumikia aitawale rosho yangu namini atafungua rosho yangu nabariki nawewe mutumishi wa Mungu

  • @SalumDigale
    @SalumDigale Год назад

    Asante yesu kwakua umejibu na kutende katika maisha yangu saahii

  • @miriamisaya3878
    @miriamisaya3878 2 года назад +1

    AMEEEN mtumishi barikiwa sana

  • @CandyKenya-y1b
    @CandyKenya-y1b Год назад

    Asante mungu wangu saidia ndugu zangu wote mahali popote walipo kwadamu ya yesu

  • @ohmbeauty
    @ohmbeauty 4 месяца назад

    Mungu nijalie baraka weka taa zako kwenye jina langu lionekane ninapotuma maombi ya kazi naomba nipate kazi niweze kusaidia familia yangu🙏sikio lako si zito unatujalia tuyaombayo. Amina.

  • @NaumiBaya-wr7ri
    @NaumiBaya-wr7ri Год назад +1

    Mungu miwema amen

  • @platinimuntumoy5156
    @platinimuntumoy5156 2 года назад +1

    Amen Amen Amen Asante mutumishi mungu akubariki

  • @janehabakuki4564
    @janehabakuki4564 Год назад +1

    Amen mtumishi nimegushwa nane limezidi kuniinua kiimani

  • @AbdenegoMasha
    @AbdenegoMasha Год назад +1

    Amina MUNGU Aikomboe familia yangu kuondokana na vitisho vyakila namna kwa kila mwovu adui

  • @kakajaymoe8713
    @kakajaymoe8713 2 года назад +2

    Kwanza mimi ua napitia matatizo mengi sana mtumishi hadi nahisi kutata tamaa maradhi kilamara mambo yangu hayaendi vizuri..niombee sana mtumishi

  • @dilurai4204
    @dilurai4204 2 года назад +4

    Amen Mungu atutangulie mbele yetu

  • @edgerubayi5448
    @edgerubayi5448 2 года назад +2

    Amen baba katika jina la yesu naomba unijalie katika nafsi yangu nisiwe vugu vugu kiroho

  • @tabithalucy9700
    @tabithalucy9700 2 года назад +1

    Amen mungu zidi kuwa pamoja nami

  • @happyeliezamwimbwa236
    @happyeliezamwimbwa236 2 года назад +5

    Ee Mungu naomba unipe uhodari na Moyo wa ushujaa mwingi bila nguvu yako sitaweza 🙏

  • @sofiaoman5901
    @sofiaoman5901 2 года назад +1

    Amen Mungu akubarikimtumishi

  • @marianamaemba6134
    @marianamaemba6134 2 года назад +1

    Yani mungu Akupee maisha marefu unaguza roho za watu wengi sana,,,nilikua chini sana Asante kwa kuniinua tena🙏

  • @michaelicastor3685
    @michaelicastor3685 2 года назад +1

    Mtumshi wa mungu mungu akutie nguvu sana kwajina la yesu endelea kutufuza

  • @arozynyagem8238
    @arozynyagem8238 2 года назад +1

    Barikiwa sana mungu akujalie siku hii ya leo

  • @joannanekesa7758
    @joannanekesa7758 2 года назад +1

    AMEN AMEN atukuzwe MUNGU WETU MILELE 🙏🙏👏👏

  • @gracekunambi7438
    @gracekunambi7438 2 года назад +2

    Amen, ninapokea maarifa ya kimungu, juu ya vita ya mkombozi wa familia aisee najiona ni mimi kabisa kupitia hili Somo. Mungu anisaidie nivuke nilipokwamishwa 🙏

  • @elishaathumanathuman16
    @elishaathumanathuman16 11 месяцев назад

    Amen Amen ubarikiwe mtumishi wamungu

  • @marypanwark8132
    @marypanwark8132 2 года назад +1

    Amen nitie nguvu Yehova...

  • @abelubamba7409
    @abelubamba7409 Год назад

    Mungu uwe pamoja nami,wewe ndiye msaada wangu kabisa nyakati zote za shida maishani mwangu na familia yangu

  • @SalomeMpemba
    @SalomeMpemba 7 месяцев назад

    Nabalikiwa san mutumishi asate🎉🎉

  • @LetcialAlphonce
    @LetcialAlphonce Год назад +1

    I need you my redeemer💪💪

  • @UmugwanezaDivine-f3g
    @UmugwanezaDivine-f3g Год назад

    Amina Mungu akubaliki sana maombi yako amenitimiza moyoni

  • @catherinesamwel1909
    @catherinesamwel1909 2 года назад +1

    Asante Mungu

  • @evelyneabassi291
    @evelyneabassi291 2 года назад +2

    Amina mwenyez mungu anisaidie katika kipindi hiki kigumu cha ugonjwa unaomsumbua Sana baba yangu aweze kupona maana ndugu wote wamejitenga na kuniacha mwenyewe

  • @lawrenceopiyo1697
    @lawrenceopiyo1697 2 года назад +1

    Amen Amen Amen

  • @irenedaffi7179
    @irenedaffi7179 2 года назад +1

    Amen na 🙏

  • @michaelicastor3685
    @michaelicastor3685 2 года назад +1

    Nimejifunza sana kupitia wewe ata kwamaombi we we ndo mwarim wangu

  • @julietliru835
    @julietliru835 2 года назад +1

    Amen mtumishi wa Mungu na Mungu akuzidishiye kibali ,afya na uzima uzidi kutufunza barikiwa sana.🙏

  • @elishaathumanathuman16
    @elishaathumanathuman16 11 месяцев назад

    Amen MUNGU tusaidie na utusimsmie

  • @CandyKenya-y1b
    @CandyKenya-y1b Год назад

    Hallelujah hallelujah hallelujah 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @NeemaMbena-u1e
    @NeemaMbena-u1e 3 месяца назад

    Amen mtumishi mungu akubariki ee mungu naomba nisaidie nikawe kiongozi wa familia yangu ikue kwa kukujua ww naomba ukanipatie kazi biashara ukaniinue kwa viwango vya juu niweze kukutolea sadaka baba

  • @bahuzetulizo8464
    @bahuzetulizo8464 8 месяцев назад

    Amina 👏

  • @josephsaid9032
    @josephsaid9032 2 года назад +1

    Mungu anijalie Mimi na familiar yang pamoja na wale wanao hitaj neema za Mungu kushinda Vita na maoteo ya shetani🙏🙏🙏

  • @judithnjunwa6668
    @judithnjunwa6668 Год назад +1

    Iam Joshua in my lovely family,,,,,I should pray for m y family 🎉

  • @celinaduka3346
    @celinaduka3346 2 года назад +4

    Amen Mtumishi Mungu azidi kukupa kibali Cha kutuelekeza katika njia zake ,,Mungu anisaidie nitende mema yake na anibariki kwa kila ninalolifanya

  • @mercychesang9749
    @mercychesang9749 2 года назад +1

    Amen 🙏🙏 eeeh mungu niseidie na hufahamu 🙏🙏🙏🙏

  • @veronicahowendi1366
    @veronicahowendi1366 2 года назад +1

    Amen, mungu nipe hekima na maarifa hapa duniani jinsi ya kulinda jamli yangu na watoto wangu.

  • @MarcelBlessing-ef7rz
    @MarcelBlessing-ef7rz 10 месяцев назад

    Mungu naomba uniongoze na unifungulie kazi ya kunifadha nishimamishe zaidi familia yangu,uongoze kaka na dada yangu kwa kila gisi wanavyo jitowa ajili ya famille

  • @ryoaishodo309
    @ryoaishodo309 2 года назад

    Amen bwana yesu napokea maombi haya nasema Asante nimebarikiwa sana sana mimi na familia yangu Amina

  • @Esha-ev5mh
    @Esha-ev5mh Год назад +1

    Bwana anisaidie na mahitaji family yngu

  • @jacklinenasongo515
    @jacklinenasongo515 2 года назад +1

    Amen nashukuru mutumishi

  • @fatima2062
    @fatima2062 2 года назад +1

    Amen 🙏 🙏 🙏 Asante sana mungu

  • @jeannekatembe6396
    @jeannekatembe6396 2 года назад +1

    Eee Mungu usitupite unapo tendeya wengine nasi neema yako na fazili zako ziwe nasisi in JESUS name.

  • @nyotajonathan4138
    @nyotajonathan4138 2 года назад +1

    Amen mtumishi Mungu atangulie.

  • @frazylazier2389
    @frazylazier2389 2 года назад +1

    asanti sana mtumish wa mungu

  • @fredrickwandera7792
    @fredrickwandera7792 2 года назад +3

    Mungu nipe nguvu zaidi na neema yako itoshe Kwa maisha yangu na familia yangu

  • @mosesmaganga1548
    @mosesmaganga1548 2 года назад +1

    EMEN🙏🙏🙏

  • @joycejnyagorena4592
    @joycejnyagorena4592 Год назад

    Amen, Mungu tusaidie na utusimamie

  • @CrizeIhojo-vr6iz
    @CrizeIhojo-vr6iz Год назад +1

    Ameni

  • @DosianaLulakuze-bv7fg
    @DosianaLulakuze-bv7fg 6 месяцев назад

    Mungu wangu nakuhitaji nakuhitaji jehova

  • @faithsoitan4080
    @faithsoitan4080 4 месяца назад

    Amen mungu akubariki sana kwa haya mafutisho

  • @perisriziki2299
    @perisriziki2299 2 года назад +1

    God bless you too much 🙏 ❤

  • @MarcelBlessing-ef7rz
    @MarcelBlessing-ef7rz 10 месяцев назад

    Eeh Mungu unitangulie niwe na maarifa ya kutorudishwa nyuma na hofu ya adui Anae tufadha tusiimarishwe ashindwe kbx.

  • @magrethjohn4929
    @magrethjohn4929 2 года назад +5

    🙏🙏🙏 na Mungu pamoja awe nasi

  • @jacklinenasongo515
    @jacklinenasongo515 2 года назад +1

    Ohh my god hata Mimi nimepitia vita kwa muda murefu Sana kanisani Mimi sikaliki vita ni Kali kwangu hata watu wangu wa karibu hawanitaki kweli nashukuru kwa hii ujumbe wa Leo

  • @judithenock2640
    @judithenock2640 2 года назад +1

    Ameeeen 💪

  • @judithnjunwa6668
    @judithnjunwa6668 Год назад +1

    Nipe neema yako MUNGU ya kuwa jasiri kwa ajili ya family yangu

  • @cutejoy7686
    @cutejoy7686 Год назад

    Amen Eee Mungu nisaidie kufanya mapenzi Yako nisienende kwa akili zangu ila zako Eee Bwana nisaidie.

  • @GloryMsofe-gr3st
    @GloryMsofe-gr3st Год назад

    Mungu wangu kumbuka familia yangu🙏🙏

  • @abelubamba7409
    @abelubamba7409 Год назад

    Nateseka sana,ninapigwa sana na shetani,niombeeni

  • @DorisZephania-ci8ym
    @DorisZephania-ci8ym 8 месяцев назад

    Nikiziungama dhambi zangu wewe ni mwaminifu sana, nihurumie Mungu Muumba Mbingu na Nchi

  • @agathemichelle238
    @agathemichelle238 2 года назад +2

    Mungu azidi kutupigania nakutushindia🙏🙏🙏