WAUMINI WABAKI HOI KANISANI/PADRE KAMUGISHA AKITOA MAFUNDISHO YA NDOA/SHUHUDIA ALICHOKIFANYA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 29 дек 2024

Комментарии • 74

  • @donatimichael4957
    @donatimichael4957 3 года назад +16

    Huyu ni Padre katika Mapadre na wachungaji wachache sana hapa Duniani wanaotoa mafundisho yaliyokwenda shule na yanayogusa maisha halisi ya Mwanadamu.Barikiwa sana Father.God bless you for positive delivery everyday

    • @audifansisafari5587
      @audifansisafari5587 11 месяцев назад

      Wewe unaelewa kweli padre kati ya mapandre na wachungaji wachache inamaana wachungaji wanahubiri kuliko mapdre acha kuongea usichokuwa na uelewa

  • @Irene-qt5zq
    @Irene-qt5zq 2 года назад +1

    Father Mungu akubariki sana somo lako limenigusa sana kuanzia leo sijikatai tenaaaaaaaaa!!! Amina baba

  • @yohanaikaya6218
    @yohanaikaya6218 3 года назад +4

    Padre hongera sana kwa kuifanya vyema kazi uliyo tumwa kuifanya nimeipenda jap9 nakuomba uwashauri na mapadre wengine ktk parokia zao wafanye mafundisho haya japo Mara moja kwa mwezi waamini wanapotea kwa likosa mahubiri ya kina kama haya.

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 3 года назад +8

    Kwelikweli Abraham alijichanganya na ndo vijana wa Leo wamejikuta wakijiua kwa kuacha au kuachwa. Neema ya mwenzake isikufanye ujikatae, zamu IPO tu. Asante sana Padre somo makini saaana.

  • @sasinematinda9273
    @sasinematinda9273 3 года назад +9

    Mafundisho Mazuri sana Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu Fr. kamugisha Hakika Mungu Amekiweka Kipaji maalum kwako Unagusa maisha yetu moja kwa moja Barikiwa sana!

  • @mhongoleadriano3695
    @mhongoleadriano3695 3 года назад +16

    Kwa kweli baba padri umekuwa baraka kwangu Mungu akulinde

  • @DianaNichombe
    @DianaNichombe 3 месяца назад

    Mungu akubariki kila uchwaoo, Asante kwa mafundisho mazurii mnooo

  • @asseyester9681
    @asseyester9681 3 года назад +9

    ASANTE YESU KWA MAFUNDISHO MAZURI SN. MUNGU MBARIKI PADR KAMUNGISHA UZIDI KUMPA MAFUNUO NA MARIFAA. AMINA

  • @tumainkomba3968
    @tumainkomba3968 3 года назад +7

    Ubarikiwe sana kwa mafundisho mazuri.MUNGU akujalie maisha marefu na azidi kukufunulia zaidi.

  • @generosakinemo5490
    @generosakinemo5490 3 года назад +1

    Amina, baba ubarikiwe. Kwa mafundisho haya imani yangu inaongezeka. Natamani Mungu ainue wahubiri wengi katika kanisa. Nafurahi kumpata fr Saba mwingine. Asante Yesu sofa kwako Yesu.

  • @janethmmari6968
    @janethmmari6968 4 месяца назад

    Mafundisho yako yamenibariki sana,umegusa maeneo muhimu ndoa zitapona,ubarikiwe

  • @sethnyoka6362
    @sethnyoka6362 3 года назад +9

    Namkubali Sana Pd.Kamugisha,ni mbeba maono

  • @antoniagalashi6937
    @antoniagalashi6937 Год назад

    Asante baba kwa ujumbe huu, wengi tunajikataa,

  • @stratonmaembe5650
    @stratonmaembe5650 3 года назад +2

    Anatumia talanta ayopewa na mungu . Hongera father

  • @Winfridankalupia-t8d
    @Winfridankalupia-t8d 4 месяца назад

    Shukrani sana 🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @yamechachale458
    @yamechachale458 3 года назад +2

    Nakupenda padri

  • @coletashirima2193
    @coletashirima2193 3 года назад +2

    Nakupenda fr Kamugisha nmeelewa sana

  • @petermsafiri7037
    @petermsafiri7037 3 года назад +1

    Yupo vizuri Sana kimahubiri

  • @agripinamacha4126
    @agripinamacha4126 3 года назад +4

    Nabarikiwa sn!!! Fr. Mungu AKUTUNZE

    • @henrybonaventure7216
      @henrybonaventure7216 3 года назад

      Asante Mungu kwa kutuletea bana km huyu tunakuomba utuongee wengine km hawa ili kondoo wako tupate wachungaji.Amina.

  • @theresianyangachi6432
    @theresianyangachi6432 3 года назад +5

    Asanteeee father🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @dafrosamsonge2007
    @dafrosamsonge2007 2 года назад +2

    Kbs Father Kamugisha

  • @michaelvincentmhagama337
    @michaelvincentmhagama337 3 года назад +4

    Ninamshukuru Mungu, nakushukuru pia.

    • @marcianowanjala2889
      @marcianowanjala2889 3 года назад +1

      Father mafunzo mazuri, umeniguza, pia umenijenga Sana, ubarikiwe sana🙏

  • @tumsifusomi953
    @tumsifusomi953 3 года назад +1

    Hongera Sana father kwa mafundisho, ubarikiwe

  • @friminmosha6164
    @friminmosha6164 Год назад +1

    Mafundisho yake nayakubali Ana upeo mkubwa Mungu ambariki zaidi.karibu kwetu utufundishe mafundisho Kama hayo

  • @joachimjoachim2528
    @joachimjoachim2528 3 года назад +1

    Ahsante Sana Father Kamugisha.....

  • @brigitapeter5304
    @brigitapeter5304 3 года назад +4

    Hongera sana kwa mahubiri uko vizuri,

  • @lucyburetta5831
    @lucyburetta5831 Год назад

    Barikiwa sana mtumishi wa mungu. Nimeguswa sana na mahubiri yako. Mungu akubariki sana.

    • @rabinjuma6682
      @rabinjuma6682 8 месяцев назад

      Father Kamugisha hongera sn Mwenyezi Mungu akubariki sn akutunze siku zote za maisha yako

  • @nyotabentv1408
    @nyotabentv1408 3 года назад +5

    Mafundisho yako nimeyakubali sana nakukalibisha palokia ya runge NGARA palokia ya MURUSAGAMBA

  • @jointgeneraltraders362
    @jointgeneraltraders362 3 года назад +1

    Mafundisho mazuri sana father

  • @FIFO28
    @FIFO28 3 года назад +3

    Nilikuwa nadharaugi kuangalia video za mafunzo ya kanisa kila ninapoyaona lakini leo kwa mara ya kwanza nimejifunza kitu kizuri sana mimi na mke wangu.... Mungu awabariki sana. Ntakuwa mfuatiliaji sana. Naomba kama mtaweza mutuwekee clip fupi za mafunzo mbalimbali ya kiroho na kimaisha

  • @paslidahouna5405
    @paslidahouna5405 3 года назад +1

    padri kamugisha yuko na kipaji cha kweli kwa mafunzo ya familia kwa jumla mungu akuzidishie kipaji hiki

  • @bethwinfred4400
    @bethwinfred4400 3 месяца назад

    Barikiwa sana

  • @manfredmtitu6061
    @manfredmtitu6061 Год назад

    Asante, AMEN

  • @tumainimnzava320
    @tumainimnzava320 3 года назад +8

    Somo hili ni Tamu sana sana linabariki mno

  • @JohnPaschal-dt2rp
    @JohnPaschal-dt2rp 3 месяца назад

    Amina❤❤❤❤

  • @audifansisafari5587
    @audifansisafari5587 11 месяцев назад

    Safi sana baba

  • @magdalenadeusi760
    @magdalenadeusi760 11 месяцев назад

    Padir. Ukosawa. Mwezi. Huu. Ukibabaika. Utaeda. Hata. Jia. Nyengine. Kube. Nikuvumiria. Tuu. Harihii. Ubarokiwe. Kabisa. Nimeripeda. Hiro. Somo. Amina

  • @augustinogarani1704
    @augustinogarani1704 3 года назад +2

    AMINA 🔥🔥🔥

  • @pasilisajerono7409
    @pasilisajerono7409 3 года назад +2

    OGod strengthen faith of Padre kamugisha to countiue in is mission.

  • @Methodkihanga
    @Methodkihanga 4 месяца назад

    Amina sana

  • @philemongomwa3728
    @philemongomwa3728 3 года назад +1

    Mungu akutunze padre

  • @yamechachale458
    @yamechachale458 3 года назад +1

    Safi sana baba paroko

  • @GodelivaKato
    @GodelivaKato Год назад

    Asante

  • @agnesskungu8503
    @agnesskungu8503 3 года назад +3

    Amina

  • @vincentmunyao4911
    @vincentmunyao4911 3 года назад

    Nabarikiwa Kila wakati

  • @happinessmtui8571
    @happinessmtui8571 3 года назад +4

    Naweza kupata mawasiliano ya Padri tafadhali

  • @Winfridankalupia-t8d
    @Winfridankalupia-t8d 4 месяца назад

    👏👏👏👏👏👏👏👏👏

  • @cyliviambanga196
    @cyliviambanga196 3 года назад

    Asante baba

  • @pauloalfayo1868
    @pauloalfayo1868 3 года назад +3

    Mmi mwangelkana Ila wewe padri😆😆😆😆😆😆😆😆😆

  • @enocklutema9423
    @enocklutema9423 3 года назад

    napenda sana mahubiri yako

  • @farajafidelis4430
    @farajafidelis4430 3 года назад +1

    🙏🙏🙏

  • @magdalenadeusi760
    @magdalenadeusi760 11 месяцев назад

    Asate. Yesu. Kwa. Mafudisho. Mema. Nitayafata. Hayo.

  • @matridakilumile6679
    @matridakilumile6679 3 года назад +2

    Ameni makanisa yetu yameamka sasa mafundisho kamahaya tulikuwa tunayasikia kwa wenzetu

    • @audifansisafari5587
      @audifansisafari5587 11 месяцев назад

      Wewe ndiyo ulikuwa unasikika Kwa wenzako kutoka na ulikuweka akili zako

  • @dominicblass4319
    @dominicblass4319 Год назад

    Tyk baba, utume mwema.

  • @magdalenadeusi760
    @magdalenadeusi760 11 месяцев назад

    Wivu. Kiasi. Somo. Hiro. Rimeingia. Mungu. Anipunguzie. Wivu. Niwe. Mukamirivu

  • @AshaBay-xg7wp
    @AshaBay-xg7wp 8 месяцев назад

    Tunda la kanisa hili tunajivunia wewe padre wetu

  • @franciskajessy4468
    @franciskajessy4468 3 года назад

    Wewe unanifariji sana

  • @christinakilegu2483
    @christinakilegu2483 3 года назад +2

    Ukonjemasana mtuwamungu.

  • @levinamuimbura7470
    @levinamuimbura7470 2 года назад

    Niwa bukoba

  • @theobartkingamkono5087
    @theobartkingamkono5087 2 года назад

    Hivi ni wa parokia gani jimbo lipi niambieni

  • @vincentongoi9106
    @vincentongoi9106 3 года назад +4

    Amina