Asante sana padre , Mungu akulinde uishi miaka mingi uendelee kutuelimisha , maana tulishakwama vingi kupitia kipindi chako tumejifunza na kuelimika pakubwa tukajikubali baba padre hongera sana ukishajikubali hakishindikan kitu . Barikiwa kw hayo
Amina Baba Pd. Kamugisha kwa mafundisho mazuri, hakika nabarikiwa sana na mafundisho yako Mungu azidi kukupa afya njema ili uzidi kutulisha neno la Bwana.
Najisikia machozi kunitoka Kwa kuguswa na mafundisho yanayochoma moyo. Namshukuru Baba wa mbinguni kwa zawadi ya MTUMISHI wake kwetu ili tupate moyo mpya wa matumaini.
Akika MJNGU analo kusudi kubwa la kukuumba, Ili ndilo kusudi arisi la wewe kuletwa Duniani: Naungana na watu wote Pande zote za Dunia kukuombea baraka na fanaka za MUNGU zizidi kukuminikia . Maana wewe unayo nia ya Kristu sababu wewe ni mwana wa Kristu songa mbele uskata tamaa Maana mbele mbele yako kuna nulu hakuna jambo litakalo shindikana MUNGU yu pamoja nawe;
Unaweza kuandikaa neno la kumpa faraja Padre Kamugisha hapa kwenye Comment
Nakushukuru baba endrea hivyo
Asante-father-Kamgisha-mafundisho-unayotoa-ni-elimu-kwa-Dunianzima
Fr uje nakwetu uponye roho zetuuu mwee
Am inspired by your message, thank you and be blessed
Mungu mwema akutunze Baba
Asante kututia moyo katika hatua mbalimbali za maisha ubarikiwe sana Fr
Ai father, wewe ni nyota kweli, am blessed and changed, be blessed, mungu akuongeze nguvu ya kuhubiri injili milele.
Ubarikiwe sana fr, mungu akupe maisha marefu Sana.
Barikiwa Sana Fr Kamugisha, nabarikiwa Sana na chakula hiki Cha kiroho, huwa nafarijika Sana ninaposikiliza mahubiri yako.
Asante sana padre , Mungu akulinde uishi miaka mingi uendelee kutuelimisha , maana tulishakwama vingi kupitia kipindi chako tumejifunza na kuelimika pakubwa tukajikubali baba padre hongera sana ukishajikubali hakishindikan kitu . Barikiwa kw hayo
Thank you Fr.
I am really blessed, to have listen to you .
Watching from Omaha Nebraska USA.
Be blessed.
Mungu Baba akujaze neema yake, maana injili Yako ni dawa inayo ponya Roho yangu na kuimarisha Imani yangu.
Asante mtumishi wa Mungu unafungua pale palipo fungwa
Mungu azidi kukutumia mtumishi wa Mungu nimebarikiwa sana na mahubiri yako
Asante kwa mahubili yako Mungu azidi kukuinua padre Kamgisha
Tunakupenda, tunafuatilia mahubiri yako, na tunabarikiwa.
Amen 🙏🙏🙏
Ubarikiwe baba ❤️
Father barikiwa sana na MUNGU .kazi yako ni njema sana .
Aaa Padre umenipa nguvu,umenijaza ufahamu.Hakika Mungu akutangulie ktk utumishi.Amen
Mungu azidi kukupa nguvu na kutufundiaha zaidi ya hapo ubarikiwe sana nakuelewa sana baba na umenipa nguvu ktk jina la Yesu . Amen 🙏
Barikiwa Baba yetu.Mungu Azidi kukulinda uendelee kutufungua ufahamu wa akili zetu.
Ubarikiwe sana mtumishi wa MUNGU aliyehai
Amina barikiwa sana father
Barikiwa sana baba mchungaji,umenifanya niwe na aman ya moyo
Thank you Rev.Fr.fir your sermon today.Am taking action today to apply for my stay in Europe. Thank you
Mahubiri yako Pd. Kamugisha yanatia faraja. Mwenyezi Mungu akubariki daima.
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu.
Mwenyezi mungu akulinde azidi kukupaa hekima na maarifa jina la bwana litukuzwe
Asante sana Fr. Kamugisha, mafundisho mazuri sana.
Neno hili sijawahi kuchoka kusikiliza. Asante father K
Amina Baba Pd. Kamugisha kwa mafundisho mazuri, hakika nabarikiwa sana na mafundisho yako
Mungu azidi kukupa afya njema ili uzidi kutulisha neno la Bwana.
Thank you so much Fr. Kamugisha. It's a preach that heals for sure!. Bless you! Please consolidate this onto your book.
Hongera sana Mtumishi Mwenyezi MUNGU akubariki sana.
Aminaa barikiwa sana father tena God bless you 🙏🙏🙏
Barikiwa baba, mungu akutunze
Ubarikiwe padre kwa somo zuri limenipa nguvu yakushinda
Hongera sana Baba kwakweli maneno yako ni yenye busara
Amina. Mimi ni NYOTA
Safii sanaa baba ,,, ahsantee kwa mahubir yako
Uko vizuri Baba love you
Ahsante Sana, Abraham Lincoln
sita sitasita tena ubarikiwe sana fr.kamugisha
Mwenyezi Mungu humtunia mtukama atakavyo aendelea kukufany sauti yake duniani amina
Asante pd.kamugisha kwa mafundisho mazury mno
Ubarikiwe baba
Mimi Ni msabato ila sichoki kukusikiliza nabarikiwa sana kwa ujumbe wako, mpaka watu wananishangaa kwa kukusikiliza kila siku
Good job baba
Mungu akubariki father
Barikiwe sana Padri wa Mungu 🙏❤️❤️
Mungu mwema aendelee kukulinda baba
Nimekubali waitu kasinge
Hongera sana Padri Kwa mafundisho mazuri
Nimebarikiwa kwa mahubiri yako mtumishi!!
Asante sana baba hakika unatuponya
Amina sana,Mungu akulinde Baba
Amina
Baba kamugisha upo vizuri sana
Barikiwe Sana mtumishi
barikiwa xna bb paroko nimepata nguvu mpya hakika
Amen 🙏🙏
Hakika wewe Ni padre wa tofauti sana, unafundisha vizuri sana
Ujamjua pAdre shukrani ww parokia ya karoli lwanga yombodovya Dar es salaam.nimoto wakuoteambali mahubr yk hutak amalize
Ujamjua pAdre shukrani ww parokia ya karoli lwanga yombodovya Dar es salaam.nimoto wakuoteambali mahubr yk hutak amalize
Ubarikiwe. Saaàaana
Padre KAMUGISHA WA BUKOBA 🏊🏊🚴🤾🤸🤳🙏🗣️🗣️🗣️
nakupenda sana padre..........unajua kutufundisha Mungu akpe nguvu
Barikiwa baba ýetu
Be blessed
Ni zawadi kutoka kwa Mungy tumshukuru Mungu na atufunulie wengi
Barikiwa Baba
What a preacher, Kamugisha si uje Kenya uwasaindie wahubiri wetu they only think of usipotoa hutabalikiwa na saa hiyo huna kitu kwa mfuko
Maneno yako wananijenga Barikiwa
Padre mbarikiwa huwa unanibariki saana sichoki kukusikiliza Mahubiri yako yanabariki wengi ninahakika.
Amen
Mungu akukumbuke father Kamugisha.
Kweli baba
Somo Zuri Padre Kamugisha
Amina baba baroko
Najisikia machozi kunitoka Kwa kuguswa na mafundisho yanayochoma moyo. Namshukuru Baba wa mbinguni kwa zawadi ya MTUMISHI wake kwetu ili tupate moyo mpya wa matumaini.
Amina Kuhani mkuu
Barikiwa sana baba
Mwenyezi Mungu azidi kuimarisha Afya yako Baba ili uzidi kutulisha neno la Mungu.ubarikiwe Mtumishi.Amna.
Wahaya ndivyo wali vyo Wasomi JAMANI
Naomba kupata namba za mtumishi kamugisha
Hongera Padre
Father Kamugisha ,
Mungu mwenyezi azidi kukupa hekima, ujasiri, na maarifa.
Akika MJNGU analo kusudi kubwa la kukuumba, Ili ndilo kusudi arisi la wewe kuletwa Duniani:
Naungana na watu wote Pande zote za Dunia kukuombea baraka na fanaka za MUNGU zizidi kukuminikia . Maana wewe unayo nia ya Kristu sababu wewe ni mwana wa Kristu songa mbele uskata tamaa Maana mbele mbele yako kuna nulu hakuna jambo litakalo shindikana MUNGU yu pamoja nawe;
Fadha nakupigia saluti kwa neno
Long life
Leo sijajutia mb zangu ubarikiwe Padri
Yani toka siku nilipo pata kipande cha mahubiri yake niliama kuangalia vitu vingine nikaamia kusikiliza kila siku yani nisipo msikiliza sijisikii raha
Sichoki mafundisho yako hakika unastahili pongezi
Kabisa mbona Alina watu siku hizi watu hawasali wamemsahau mungu kabisa wako bize na starehe za dunia
Hakika Mungu ni mwema, Asante Sana kwa mafundisho mazuri Mungu azidi kukutunza.
Dr father Kamugisha Ni Mhubiri wa Kimataifa. Tunashukuru kwa walio mkuza, mlea Tunafaidi Sana Mafundisho yake. Let The Almighty God Bless Him.
@@kainibachungege3430 Asante mahuburi mazuri
Mbona hamsali, kweli mahubiri haya mazuri kwa watu wachache hivyo. Tubadilike wapendwa.
Nimebarikiwa na mahubiri yako pd ubarikiwe
Hakika
WW NI KAMANDA ISHI MIAKA MINGI
Ulimushaija wamani
Barikiwa baba, mungu akutunze
Be blessed