Breez Online Tv
Breez Online Tv
  • Видео 2 075
  • Просмотров 9 831 129

Видео

Alichokisema Askofu MUSOMBA mbele ya Raisi SAMIA na Viongozi wengine Ibada ya kumuaga Dkt Ndugulile
Просмотров 18 тыс.12 часов назад
Homilia ya Askofu Stephen Lameck Musomba kwenye Ibada ya Kumuombea Hayati Daktari Faustine Ndugulile#kanisakatoliki #kanisakatoliki #news #breezonlinetv #love #baloziwaamani #automobile #automobile #kanisa
Mbwembwe za Mwalimu Baraka akiimba Wimbo wa katikati mbele ya Askofu mkuu Parokia ya Matosa.
Просмотров 89821 час назад
Misa takatifu ya kumbukumbu ya kutabarukiwa kwa kanisa Mtakatifu Monika Matosa Jimbo kuu la Dar Es Salaam. #kanisakatoliki #news #breezonlinetv #baloziwaamani #africa #africa #music
Askofu RUWAI'CH-Maaskofu Hatutoi TAMKO kwa KUKURUPUKA/Kanisa Katoliki HATUFURAHISHWI n yanayoendelea
Просмотров 6 тыс.21 час назад
#news #kanisakatoliki #breezonlinetv #baloziwaamani #africa #love
Askofu Mkuu RUWAI'CH atoa ONYO Kanisa kutumika kwa Mambo ya HOVYO baada ya kuwekwa Wakfu/Haiwezekani
Просмотров 6 тыс.21 час назад
Misa takatifu ya kumbukumbu ya kutabarukiwa kwa kanisa Mtakatifu Monika Matosa Jimbo kuu la Dar Es Salaam. #kanisakatoliki #news #breezonlinetv #baloziwaamani #africa #africa #music
BREAKING NEWS: Baraza la Maaskofu katoliki Tanzania TEC Linatoa TAMKO Uchaguzi wa Serikali za Mtaa
Просмотров 2,9 тыс.21 день назад
CREDIT: Kanisa Katoliki Tanzania. #news #kanisa #breezonlinetv #kanisakatoliki #baloziwaamani #africa #love
Katibu Mkuu TEC: "Mamlaka za Familia zisiingiliwe/Familia ziwezeshwe"
Просмотров 750Месяц назад
Warsha ya Waumini walei Jimbo kuu la Dar Es Salaam. #breezonlinetv #love #kanisa #kanisakatoliki #daressalaam #news #baloziwaamani
REC: IBADA YA MISA TAKATIFU WARSHA YA WAUMINI WALEI JIMBO KUU LA DSM 2024
Просмотров 224Месяц назад
Warsha ya Waumini walei Jimbo kuu la Dar Es Salaam. #breezonlinetv #love #kanisa #kanisakatoliki #daressalaam #news #baloziwaamani
Tamko SYNOD YA MAASKOFU: Mengi yazungumzwa/Mahusiano ya Jinsia Moja HAPANA/Mashemasi wa KIKE Bado.
Просмотров 9 тыс.Месяц назад
Askofu Flavian Kasala wa Jimbo katoliki la Geita ambaye ni Miongoni mwa wajumbe walioshiriki kwenye mkutano wa Synod akizungumza na waandishi wa Habari makao makuu ya Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania TEC. #breezonlinetv #love #kanisa #kanisakatoliki #daressalaam #baloziwaamani
Katibu mkuu TEC:Maagizo ya Serikali yasikutenganishe na Mungu/Yesu aliishi kwenye mazingira ya siasa
Просмотров 475Месяц назад
Warsha ya Waumini walei Jimbo kuu la Dar Es Salaam. #breezonlinetv #love #kanisa #kanisakatoliki #daressalaam #news #baloziwaamani
Padre Dkt KITIMA Akemea UCHAWA "Mnapomfanya MKUBWA yeyote kuwa MUNGU Mnaiua Nchi yenu.
Просмотров 9 тыс.Месяц назад
Warsha ya Waumini walei Jimbo kuu la Dar Es Salaam. #breezonlinetv #love #kanisa #kanisakatoliki #daressalaam #news #baloziwaamani
A-Z Mafundisho ya Padre KIKUDO/shangwe Zatawala Warsha ya Walei DSM/Wazazi msiwachokoze watoto wenu.
Просмотров 827Месяц назад
Warsha ya Waumini walei Jimbo kuu la Dar Es Salaam. #breezonlinetv #love #kanisa #kanisakatoliki #daressalaam #news #baloziwaamani
Tazama Maandamano Misa takatifu ya Warsha ya waumini walei jimbo kuu la Dar Es Salaam 2024
Просмотров 174Месяц назад
Tazama Maandamano Misa takatifu ya Warsha ya waumini walei jimbo kuu la Dar Es Salaam 2024
Katibu Mkuu TEC Awasha moto Warsha ya Walei DSM/Awataka wakatoliki kuacha UOGA/Atumia katiba kufund.
Просмотров 9 тыс.Месяц назад
Katibu Mkuu TEC Awasha moto Warsha ya Walei DSM/Awataka wakatoliki kuacha UOGA/Atumia katiba kufund.
IMEBAINIKA:Tabia za Wazazi wa kileo chanzo cha Kizazi kisicho na MAADILI/wengi waikimbia Ndoa Kisa?.
Просмотров 127Месяц назад
IMEBAINIKA:Tabia za Wazazi wa kileo chanzo cha Kizazi kisicho na MAADILI/wengi waikimbia Ndoa Kisa?.
HALI NI MBAYA:Vijana wa Kiume wanakufa sana/wengine wanakuwa Wasichana/Tumewekeza zaidi kwa Wanawake
Просмотров 727Месяц назад
HALI NI MBAYA:Vijana wa Kiume wanakufa sana/wengine wanakuwa Wasichana/Tumewekeza zaidi kwa Wanawake
Ngonjera za Utoto Mtakatifu zawaacha WAZAZI mdomo wazi/Wagusia mambo makubwa/Shangwe zatawala.
Просмотров 143Месяц назад
Ngonjera za Utoto Mtakatifu zawaacha WAZAZI mdomo wazi/Wagusia mambo makubwa/Shangwe zatawala.
Uwezo mkubwa wa Sister Doreen, Mkuu wa Shirika la Dada Wadogo UWAKA DAY/agusia Watekaji na Mauaji Tz
Просмотров 6 тыс.Месяц назад
Uwezo mkubwa wa Sister Doreen, Mkuu wa Shirika la Dada Wadogo UWAKA DAY/agusia Watekaji na Mauaji Tz
Uwaka DSM Watoa MILIONI 400+ kwa Masista wa Dada wadogo-Visiga/Gumzo lageukia Vijana wa Kiume.
Просмотров 1,1 тыс.Месяц назад
Uwaka DSM Watoa MILIONI 400 kwa Masista wa Dada wadogo-Visiga/Gumzo lageukia Vijana wa Kiume.
Homilia ya Padri Vincent Mpwaj Ibada ya Kipaimara Parokia ya Bikira Maria Imakulatha Goba-Matosa
Просмотров 163Месяц назад
Homilia ya Padri Vincent Mpwaj Ibada ya Kipaimara Parokia ya Bikira Maria Imakulatha Goba-Matosa
Padri Mpwaji Chancellor wa Jimbo Kuu Katoliki la DSM Atoa Kipaimara kwa watoto 119 Goba-Matosa/.
Просмотров 338Месяц назад
Padri Mpwaji Chancellor wa Jimbo Kuu Katoliki la DSM Atoa Kipaimara kwa watoto 119 Goba-Matosa/.
Huzuni ya Askofu Mchamungu kwa Vijana wa KIUME Homilia Ibada ya UWAKA kuwezesha Dada Wdogo VISIGA
Просмотров 332Месяц назад
Huzuni ya Askofu Mchamungu kwa Vijana wa KIUME Homilia Ibada ya UWAKA kuwezesha Dada Wdogo VISIGA
Maandamano Misa takatifu ya Kipaimara parokia ya Bikira Maria Imakulatha Goba Jimbo kuu la DSM
Просмотров 150Месяц назад
Maandamano Misa takatifu ya Kipaimara parokia ya Bikira Maria Imakulatha Goba Jimbo kuu la DSM
MAUAJI:Mtumishi wa Radio Maria aliyepigwa RISASI Azikwa/Wahusika watiwa nguvuni/Usalama ni mdogo.
Просмотров 6162 месяца назад
MAUAJI:Mtumishi wa Radio Maria aliyepigwa RISASI Azikwa/Wahusika watiwa nguvuni/Usalama ni mdogo.
Hili hapa Kaburi la Pamoja lililoko KIBEHO Wamezikwa watu elfu 30 hapa/Idadi kubwa hawakupatikana.
Просмотров 5732 месяца назад
Hili hapa Kaburi la Pamoja lililoko KIBEHO Wamezikwa watu elfu 30 hapa/Idadi kubwa hawakupatikana.
Baraza la Maaskofu katoliki TEC Latoa KAULI/Mauaji na Kutekwa kwa Raia/Latuma ujumbe kwa Viongozi.
Просмотров 8 тыс.2 месяца назад
Baraza la Maaskofu katoliki TEC Latoa KAULI/Mauaji na Kutekwa kwa Raia/Latuma ujumbe kwa Viongozi.
Shuhudia Kilichotokea Maandamano ya Ekaristi Takatifu kuelekea Msimbazi/DSM yasimama kwa Muda.
Просмотров 2,9 тыс.2 месяца назад
Shuhudia Kilichotokea Maandamano ya Ekaristi Takatifu kuelekea Msimbazi/DSM yasimama kwa Muda.
Homilia Kardinal RUGAMBWA/Aweka wazi mambo haya muhimu-Uhusiano Ekaristi takatifu na Bikira Maria.
Просмотров 6742 месяца назад
Homilia Kardinal RUGAMBWA/Aweka wazi mambo haya muhimu-Uhusiano Ekaristi takatifu na Bikira Maria.
Padre Dkt Mosha awasha moto Kongamano la 5 la Elaristi takatifu)Agusia maswala haya muhimu.
Просмотров 6882 месяца назад
Padre Dkt Mosha awasha moto Kongamano la 5 la Elaristi takatifu)Agusia maswala haya muhimu.
Kama wewe ni Mkatoliki Usipitwe na Mafundisho haya ya Ask:MASONDOLE kwenye Kongamano la 5 la Ekarist
Просмотров 5452 месяца назад
Kama wewe ni Mkatoliki Usipitwe na Mafundisho haya ya Ask:MASONDOLE kwenye Kongamano la 5 la Ekarist

Комментарии

  • @geraldkinawiro9698
    @geraldkinawiro9698 7 часов назад

    Asante kwa mafundisho mazuri ya Mama Maria.....

  • @marieconnect6389
    @marieconnect6389 14 часов назад

    Kwani kila alichofanya Magu kilikuwa kibaya? Na kila kizuri alichofanya hakizungumzwi....why? Au nyie hamuoni chochote kizuri alichofanya? Kwa nini? Mbona wazalendo wote waliona? Kwa kumbukumbu tunajua pia kuwa watu wengi sana waliopiga kura waliamua kuchagua MAENDELEO badala ya "wapinga maendeloe" Huo ndio ukweli ulio wazi lakini unaoumiza wengi. Magu alikoga nyoyo za wazalendo wengi ambao ndio wapiga kura kutokana na ufanisi wa kazi zake na maono yake juu ya taifa, hivyo watu wengi walimwamini na kumpigia kura. Huo ndio ukweli hata kama hamuutaki kwa sababu zinginezo. Magu alipendwa na kuaminika mno kwa watanzani Wazalendo wa kawaida na chini ambao ndio wengi sana. Ukubwa wa mikutano yake ni ushahidi tosha kuwa aliipendwa mno tena sana. Mazishi yake yanajisemea yenyewe....haiawahi kutokea.... Ni historia ya kipekee. Au hilo nalo mnabisha? Magu alijaa mioyoni mwa wanyonge na wapenda haki hasa wazalendo. Africa nzima alisikika nakusifika kwa ushupavu na umahiri na uzalendo kwa nchi yake na Africa akawa somo kubwa kwa wazalendo wa mataifa mengine. Wazalendo ni wanapenda na wanatumikia nchi zao Ile mafisadi wanatumia nchi kutumikia tu mambo yao

  • @marieconnect6389
    @marieconnect6389 14 часов назад

    Wapinzani walikuwa wanapinga kila kitu kizuri anachofanya Magu hadi tunajiuliza wanataka nini? Akijenga barabara wanapinga, alinunua Vifaa cha mahospitali wanapinga, akinunu ndege wanapinga, akipambana na ufisadi na.madawa kulevya wanampinga vikali, akizuia matumizi mabaya ya pesa za uma wanamsema, kupambana na mikataba mibovu ya kimataifa ya kinyonyaji wao wanashirikiana na mabeberu kumpiga vita asiweze. Sasa tutashindwa tueweje....walitaka nini hasa hao wapinzani na watu wao? Tulijjiuliza walitaka kujazana bungeni ili wakapinge kila kitu cha maendeleo? Wazalendo waliliona hilo wakaamua kuchagua kwa uzalendo na siyo ushabiki wa vyama. Hicho ndicho kilichotokea kwenye uchaguzi wa 2020. Watu walielewa wakachagua maendeleo kwa wingi.

  • @marieconnect6389
    @marieconnect6389 15 часов назад

    Sipingi maoni yako kama binadamu unayo haki ya kuwa na maoni tofauti. Lakini si lazima maoni yako yakubalike na kila mtu sababu watu tunaangalia mambo kwa jicho tofauti.....na huo ndio ubinadamu. Magufuli wengine tulimtizama kwa jicho tofauti, kuliko mapungufu, tuliona zaidi uzalendo, upambanaji, upigaji vita mtandao mkumbwa, mgumu na mzito wa madawa ya kulevya, upambanaji mkali na mafisadi walionyonya na kufanya taifa kuwa masikini, ujambazi ulitokweka, uzembe maofisini uliondoka, heshima ilionekana kwa kila raia wote hata wa hali ya chini, mashule na mahispitali kuimarishwa kwa kiwango cha juu cha kushangaza, viwanda vilianza kujengwa, nchi ulipanda uchumi wa kati kimataifa kwa muda mfupi na katika mazingira magumu ya covid, wanyonge walipata haki zao mahakamani, Ujenzi wa miundombinu kuanzia mabarabara, airports, maji umeme, reli, ndege nk. YOTE HAYO HAMUYAONI? SERIOUSLY? Mbona hamuyasemi na kumsifia kwa hayo? Mnakazania tu kumshusha heshima na legacy yake.....WHY? Sorry mimi ni mkatoliki wala sijawahi kutoka wala kuyumba, lakini kwa kukazania tu kumpobda magu kila nafasi mnayopata kwa kweli unatupa tabu tulio wengi kuelewa mitizamo yako. Mpeni Magu sifa na heshima kwa kazi ngumu aliyowafanyia wazalendo wa taifa hili kisha mkosoe mapungufu yake, hapo tutawaelewa. Otherwise ntapata tabu sana kukuelewa....Sorry

  • @marieconnect6389
    @marieconnect6389 16 часов назад

    Pamoja na kuwa uchaguzi na uteuzi ni jambo muhimu sana kama vjnajengwa kwa ajili ya maendeleo na ustawi wa taifa. Na ili kupata matokeo mazuri, inahitajika ushupavu, ubunifu, maono na mbinu za ziada zikiongozwa na uzalendo, uwezo wa kusimamia haki, uwezo wa kupinga maovu hasa yanayohatarisha usalama na uchumi na usatawi wa watu, uwezo wa kutetea bila woga maslahi ya Taifa, kuweka taifa lako mbele na siyo maslahi binafsi....kama alivyofanya Dkt Magufuli. Sifa hizo zote alikuwa nazo Marehemu Magu...nani asiyejua? Nani hakuona? Basi mnyonge mnyongeni lakini sifa yake mpeni. Mtu wa watu alitupambania kwa nguvu zake zote hadi pumzi yake ya nwisho. Big respect for that. He was a true son of Africa. He is a legend. Hilo kamwe halitafitika mioyoni mwetu hata iweje hata msemeje. Kuna kikazi kitaona na.kitamuenzi na kujifunza maana ya uzalendo toka kwake. Naamini hata vitaandikwa. Malawi wameshaandika wakazindua wakasema vitatumika kwenye vyuo na kusambaza Africa. Huo ndio uzalendo siyo kukosoa tu na kuua legacy ya mtu mzuri

  • @marieconnect6389
    @marieconnect6389 16 часов назад

    Pampja na mapungufu ya marehemu Magufuli yako mengi sana makubwa na ya manufaa makubwa sana sana kwa taifa hili. Muendesha nchi kwa uadilifu kwa manufaa ya taifa haliishii kwenye uchaguzi tu. Kuna mambo mengi sana yanahusika ili kujenga uchumi wa nchi. Itakuwa so hali kuangalia tu yake mapungufu na kusahau mambo makubwa aliyofanya kwa taifa hili huku alijua anahatarisha maisha yake pia. Na alikuwa akirudia mara kwa mara kuwa tumuombee uhai wake. Alisema wazi pia kuwa vita ya kiuchimi ni ngumu na mbaya. Lakini hakuacha wala kuogopa kupigania taifa lake. Uzalendo namba moja. Hebu tuwe wazalendo angalau tumshukuru na kumsifia kwa hayo. Haikuwa kazi rahisi hata kidogo kupambana na ufisadi, wizi, ujambazi, uhuni, uzembe maofisini, rushwa, madawa ya kulevya, kukusanya kodi, mikataba ya kimataifa yenye tija kwa taifa, kupandisha uchumi wa nchi, kutuaminisha kwa kutufumbua macho ya kuona kuwa sisi siyo masikini, kujenga mabarabara na mahospitali na mashule kwa kiwango cha juu, kujali watu wa hali za chini nk. Yote hayo hauyasemi najiuliza kwani ulikuwa na chuki binafsi naye? Maana haingii akilini kwamba hukuyaina hayo.

  • @marieconnect6389
    @marieconnect6389 16 часов назад

    Padre inakuwaje huwa huoni wala.kuyasema mambo mazuri aliyoyafanya marehemu Magu? Kwani ulikuwa na chuki binafsi? Haiwezekani kwamba hujaona. Sababu kwa welewa wetu Magu alifanya mambo makubwa mazuri yakukumbukwa yenye faida kubwa sana kwenye taifa hili. Hatuwezi kusahau hata iweje. Marehemu pamoja na mapungufu yake kama binadamu alikuwa na uzalendo wa hali ya juu sana tena sana kwa taifa lake. Alikuwa tayari hata kufa kwa kulitumikia taifa lake katika mazingira changamoto toka ndani na nje ya taifa. Tunamsifu kutokana na mafanikio makubwa kwa faifa kwa muda mfupi aliotumikia. Haikuwa kazi rahisi hata kidogo kufanya yale aliyofanya lakini alisimama kikakamavu akijua risk kubwa iliyokuwa mbele yake. Tunamsifu sana kwa hilo

  • @marieconnect6389
    @marieconnect6389 16 часов назад

    Padre kwa welewa wangu nadhani huwezi kutoka katavi ukanunue ardhi pemba kama ulivyosena.... haiwezekani. kisheria haikubaliki wabara (watanganyika) wakanunue ardhi Zanzibar. Kama nakosea nisaidieni kunielimisha.

  • @prorwega
    @prorwega День назад

    Ni lini baba atanyoa ndevu?

  • @bonifacerobert2960
    @bonifacerobert2960 2 дня назад

    KATIBA MPYA NA TUME HURU YA UCHAGUZI TU.

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 2 дня назад

    Unafiki ulimuua Yesu Kirsto.Judas Iskariot alimuua Yesu kwa ajili ya unafiki😢😢

  • @DeograsiaNziku-d7q
    @DeograsiaNziku-d7q 2 дня назад

    Amina mtumishi👏

  • @MATHIASMwasongwe
    @MATHIASMwasongwe 2 дня назад

    Asante baba asikofu

  • @beatricenangale5439
    @beatricenangale5439 2 дня назад

    Ahsante Sana Baba, Hotuba hii ni fundisho kubwa la kufanyia utekelezaji katika maisha ya wanadamu, ni kwamba anatuasa kuwa twapaswa tuishije. Ahsante Sana Baba askofu kwa kutuweka Sawa.

  • @IvoFransis
    @IvoFransis 2 дня назад

    Amina

  • @EricUbalijoro-x1l
    @EricUbalijoro-x1l 2 дня назад

    Amen baba Askofu umeongea maneno mazuri yenye faraja na mafundisho sisi binaadamu si lolote tuishi kwa wema

  • @bishopprofvictorchisanga2009
    @bishopprofvictorchisanga2009 3 дня назад

    Hongera sana Askofu. Wakati huu nchi haieleweki; na maneno unayoyasema yanatupa faraja. Uzuri, hata wakorofi wanasikia.

  • @econmirajifacts5411
    @econmirajifacts5411 3 дня назад

    Huna lolote wewe nenda huko kawafundishe watu jinsi ya kumuabudu mungu sio siasa kama hapana mtoke huko mje kwenye siasa nyie ndio mnaleta machafuko kwa maneno yenu.

  • @GasparMfoi
    @GasparMfoi 3 дня назад

    Amina baba mlezi wa rohozetu

  • @emmanuelmziray1073
    @emmanuelmziray1073 3 дня назад

    Mzee Kibao Soka Mbise Mlai

  • @DaudSuday-v5c
    @DaudSuday-v5c 3 дня назад

    Baba hao washibisha matumbo hawezi kukuelewa

    • @rosetreffert4179
      @rosetreffert4179 3 дня назад

      Yaani 😂

    • @rosetreffert4179
      @rosetreffert4179 3 дня назад

      Imeziba masikio 😢naona inaona ndio maana yanaangalia chini,,somo nzuri Sana

    • @EricUbalijoro-x1l
      @EricUbalijoro-x1l 2 дня назад

      Jinsi wanavyotesa watu kwa kuwateka na kuwauwa utadhani wataishi milele badilikeni enyi watawala kuna mauti

  • @gatimakonge8678
    @gatimakonge8678 3 дня назад

    Ahsante sana Tulia atavuna alichopanda

  • @JeremiahKaliwa-h1w
    @JeremiahKaliwa-h1w 3 дня назад

    Wambie watekaji nao siku moja watalala mauti wasitambe kwakuonea na kuwa wenzao watalipa

  • @grecevitariss6363
    @grecevitariss6363 3 дня назад

    Mwenyezi MUNGU akulinde dada tulia,ukovizuri.

  • @dicksonkilupa2258
    @dicksonkilupa2258 3 дня назад

    BINADAMU YAANI KUFA KAMA MNYAMA INAUMA SANA! YAANI UNAIBA, UNAUA, UNAJILIMBIKIZIA MALI , UNAKULA MAISHA KISHA UNAKUFA KIRAHISI NA HUNA FAIDA NA YOTE ULIYOYATAABIKIA NA KISHA KUMBE HUKUTUBIA DHAMBI ZAKO UNASHANGAA UKO MIKONONI MWA SHETANI MOTONI! INAKERA SANA.

  • @joanesphocus1152
    @joanesphocus1152 4 дня назад

    Ama kweli Baba, asante kwa neno, limeingia ukweli

  • @jangalaalexbubehi7658
    @jangalaalexbubehi7658 4 дня назад

    Na mamiwani yao utafikiri ni wao tu ndo wanaostahili kuishi.🙄🙄

  • @johnmtagwamba5345
    @johnmtagwamba5345 4 дня назад

    watekaji ujumbe umewafikia

  • @christopherkichai7799
    @christopherkichai7799 4 дня назад

    Nae aunde chama chake. Mbona kanisani huruhusiwi kuulizs swali. Pope akitoa amri kuna padri au askofu atapinga.?

  • @ThomasLuhanga-d3r
    @ThomasLuhanga-d3r 4 дня назад

    Kweli?

  • @andrewassey5108
    @andrewassey5108 4 дня назад

    Unafiki ni dhambi!!!!!!!!!!!!!!!!

  • @JeremiajMasolwa
    @JeremiajMasolwa 4 дня назад

    Point of correction....mhashamu Henry mchamungu sio musomba

  • @andrewassey5108
    @andrewassey5108 4 дня назад

    Baba askofu Msonda umemtendea haki marahemu Faustin Ndugulile. Wapo binadamu Tanzania wanaojiona wao ni tofauti na wengine kwa sababu tu wanayo nafasi ya kuiba pesa za watanzania bila kuulizwa. Asante sana baba umemheshimisha Mungu wetu.

  • @BoscoSwedi
    @BoscoSwedi 4 дня назад

    Amina

  • @vedastinasottery2161
    @vedastinasottery2161 4 дня назад

    Vizuri sana kwa maneno yaliyotulia RIP..

  • @communitytv590
    @communitytv590 4 дня назад

    Amina Baba Askofu.

  • @augustinemukandara9341
    @augustinemukandara9341 4 дня назад

    HONGERA sana bxaba Askofu kwa homilia nzuri iliyosheheni mafunzo ya kutosha na maonyo ya kutosha!!! Walikuwapo wote wamesikia wote!!!! ingawa niliona baadhi yao wapo kimwili tu!!! Tunaamini ujumbe umefika!!..message sent and delivered

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 4 дня назад

    HEKO MTUMISHI WA MUNGU UMETUKUMBUSHA MAISHA YA KUISHI HAPA DUNIANI..TUWE NA MWISHO MWEMA

  • @AnociathaChuwa-cb5nk
    @AnociathaChuwa-cb5nk 4 дня назад

    WAAMBIE HAO MAFISADI WAUAJI WAKANDAMIZAJ WAONEVU WAPENDA MADARAKA WATAWALA WA MABAVU WAMWAGAJI DAMU WAAMBIE SIKU YAO IKIFIKA MABAVU YAO MADARAKA YAO MAJESHI YAO MASILAHA YAO MALI ZAO HAZITAWAOKOA!!! WAAMBIE WAACHE UOVU WAACHE UTAWALA WA MABAVU

  • @PhilipoMwita-b2x
    @PhilipoMwita-b2x 4 дня назад

    Kama ndugulile alikua mtu muungwana kwann alikua kimy hakemei utekaji leo mnampaka mafuta

  • @martinmwasubila8762
    @martinmwasubila8762 4 дня назад

    Apumzike kwa amani mbinguni ndg yetu Faustine Ndungulile...Tunasafirije hapa duniani!!

  • @StephanoGwelino
    @StephanoGwelino 4 дня назад

    Hata waliotekwa na kuuawa na wao pia wanaumia hivyo hivyo

  • @paschalsafari9747
    @paschalsafari9747 4 дня назад

    Amina

  • @ShedrackFaustin
    @ShedrackFaustin 4 дня назад

    Masikini tulia, hana amani yani ata sura yake inaonesha shida kubwa sana moyoni mwake

    • @romanilyimo
      @romanilyimo 4 дня назад

      Kweli kabisa 😂😂😂😂

    • @EricUbalijoro-x1l
      @EricUbalijoro-x1l 2 дня назад

      Badilikeni watawala mtende haki sio kutesa watu

    • @bonifacerobert2960
      @bonifacerobert2960 2 дня назад

      Wewe Tulia unafanya nini? Wewe ni mnafiki sana. Kwani Mzee Warioba anaushindaje uchawa? Wewe unashindwaje na uchawa? Uchawa hadi misinani?

  • @kissajohn8676
    @kissajohn8676 4 дня назад

    Kwakweli ameniuma sana duuu! Mungu ampuzishe Kwa amani

  • @Carolina-sm5zt
    @Carolina-sm5zt 5 дней назад

    Mungu ampumzishe kwa Amani Kiongozi wetu mwenye msimamo

  • @VicentMauka
    @VicentMauka 5 дней назад

    Duuh MUNGU awasamehe tu

  • @richiemitindo9159
    @richiemitindo9159 5 дней назад

    KILA MWENYE HEKIMA ATAKEMEA MAOVU BABA TIMIZA WAJIBU.

  • @NereyMsangi
    @NereyMsangi 5 дней назад

    Umeandaa wangapi wakukulilia

  • @ChrisantJohn-d3l
    @ChrisantJohn-d3l 5 дней назад

    🙏🙏🙏