Hakuna kitu kinanipaga shida Kama kuona Kuna Mambo ya Kuna maovu na kiufisadi yanatendeka nchini kwa wazi kabisa alafu kanisa na viongozi wa kanisa wanakaa kimya.. Kiukweli ikiwa dini na viongozi wa dini wangesimama ktk haki na kuwaongiza waumini wao kujua haki zao na kusimamia haki zao,Mambo ya kiufisadi yasingeshamiri ktk nchi
BWANA YESU KRISTO Asifiwe sana na Ubarikiwe Sana Sana. Tatizo uliloongea ni KWELI kabisa siyo UONGO KABISA, nimemsikia Askofu KITIME vizuri sana sana, kaongea maneno ya mtu aliye tumwa na BWANA WETU YESU KRISTO. Wakristo kwa pamoja tusibaguane kwa sababu ya IMANI, tukiishi kwa UPENDO wa BWANA YESU KRISTO. Heshima YAKE BWANA MUNGU WETU itatujia juu yetu. Nchi imefikia pabaya sana sana, na watumishi wake KRISTO YESU hawafanyi lolote. Kuokoka siyo DHAMANA ya KUWAONA WATU WENGINE NI WENYE DHAMBI, hapana hapana! Sote mbele YAKE yeye aliye tuokoa tuko sawasawa KABISA. Nataka mpendwa nikuhakikishie BWANA MUNGU WETU atatuletea tena ROHO ya ELIYA, naam ROHO ya YEHU mwana wa NIMSHI Shika NENO hili --LAZIMA INJILI IHUBIRIWE KWA LAZIMA NA WATU WA LAZIMA WATAHUBIRI INJILI KWA LAZIMA --utamsikia na utamwona kwa macho yako. Siku hiyo UIKUMBUKE yakuwa uliambiwa. Saa inakuja na sasa IPO. @peter
Miaki na miaka tumetawaliwa na mahubiri ya ajabu sana ,umaskini unaongozeka rasilimali zinaisha ufisadi umetawala Kila mahali ,hakuna anae kemea , wengi wao utawasikia wanatuambia, pokea baraka,pokea kibali n.k. Kutoka wapi , kama mnashindwa kumkemea alae? Anapo inuka Mtumishi wa Mungu kama huyu anakemea .watokea pope nakutoa maneno ya hovyoo
😂😂😂nimecheka kwa sauti,lakini huo ni ukweli kwani wengi ni waoga kupambana na uovu maana kwakweli ukitenda kama Mungu anavyotaka huko watakuua sababu wengi wanaingia ktk siasa ili kufanya kunyume na Mungu
Huyu bwana watu watampongeza lkn maneno yake ni ya hatari halafu yanagongana au yanapingana mfano anasema Kuna dini nyingi na watu wakubali kuwa lazima kuwe na Imani tofauti halaf anasema Kuna watu wanawaudhi Kwa kusema yesu sio Mungu,yeye anaesema hivyo ndio Imani yake IPO hivyo na kitabu Cha dini yake ndio kinasema hivyo,nyinyi kama kitabu chenu kinasema hivyo kuwa yesu ni Mungu na ndio Imani yenu Iko hivyo Sasa nani kawaudhi? Nyinyi semeni ni Mungu Kwa Imani na kitabu chenu na wengine watasema sio Mungu Kwa kitabu na Imani Yao shida Iko wapi?kwahiyo nyinyi mnataka mseme ni Mungu na wengine wazuiwe kusema sio Mungu kwani dini Iko Moja?halaf anasema wao katoliki Wana haki kushiriki siasa na kuweka watu wake na kesho Kiongozi wa Bakwata atasimama na waislam Wana haki ya kushiriki siasa na kuweka watu wao na dini na jumuia nyingine watasema hivyo tunaenda wapi?
Wewe saidy mbila ni nani unatumia lugha mbaya sana kwa kiongozi wa imani unahitaji matatizo tafakari njia zako wamakonde wana usemi wao yatakukuta mambo fikiria kabla ya kuongea watu wa kisheria wapo wanasoma comment
Asante sana Fr kwa mafundisho mazuri ya kutujenga
Hongera Sanaa Baba. Mungu akulinde!!
Hongera sana baba kitima wewe ni mtetezi wa haki kwa wote si wakristo tu.
Hongera sana Padre Kitima
Hongera sana sana baba
Hawa ndio viongozi tunaowahitaji,Asante sana padri kwa mafundisho mema ya kiroho.
mungu akubaliki sana mzee
Wakristo tupambanie haki kila mkatoliki alazimishwe kuwa mtu wa haki anataka hataki haki ni lazima itendeke
Umepanda Bei uko sawa kabisa
Hongera sana, Fr. Kitima. Elimu kama ilipaswa kufundishwa kila Dominica na kila Kanisa ili kukuza uelewa wa mambo.
ukweli unauma
Hakuna kitu kinanipaga shida Kama kuona Kuna Mambo ya Kuna maovu na kiufisadi yanatendeka nchini kwa wazi kabisa alafu kanisa na viongozi wa kanisa wanakaa kimya.. Kiukweli ikiwa dini na viongozi wa dini wangesimama ktk haki na kuwaongiza waumini wao kujua haki zao na kusimamia haki zao,Mambo ya kiufisadi yasingeshamiri ktk nchi
BWANA YESU KRISTO Asifiwe sana na Ubarikiwe Sana Sana. Tatizo uliloongea ni KWELI kabisa siyo UONGO KABISA, nimemsikia Askofu KITIME vizuri sana sana, kaongea maneno ya mtu aliye tumwa na BWANA WETU YESU KRISTO. Wakristo kwa pamoja tusibaguane kwa sababu ya IMANI, tukiishi kwa UPENDO wa BWANA YESU KRISTO. Heshima YAKE BWANA MUNGU WETU itatujia juu yetu. Nchi imefikia pabaya sana sana, na watumishi wake KRISTO YESU hawafanyi lolote. Kuokoka siyo DHAMANA ya KUWAONA WATU WENGINE NI WENYE DHAMBI, hapana hapana! Sote mbele YAKE yeye aliye tuokoa tuko sawasawa KABISA. Nataka mpendwa nikuhakikishie BWANA MUNGU WETU atatuletea tena ROHO ya ELIYA, naam ROHO ya YEHU mwana wa NIMSHI Shika NENO hili --LAZIMA INJILI IHUBIRIWE KWA LAZIMA NA WATU WA LAZIMA WATAHUBIRI INJILI KWA LAZIMA --utamsikia na utamwona kwa macho yako. Siku hiyo UIKUMBUKE yakuwa uliambiwa. Saa inakuja na sasa IPO. @peter
Miaki na miaka tumetawaliwa na mahubiri ya ajabu sana ,umaskini unaongozeka rasilimali zinaisha ufisadi umetawala Kila mahali ,hakuna anae kemea , wengi wao utawasikia wanatuambia, pokea baraka,pokea kibali n.k. Kutoka wapi , kama mnashindwa kumkemea alae? Anapo inuka Mtumishi wa Mungu kama huyu anakemea .watokea pope nakutoa maneno ya hovyoo
Kiukweli huku nje watu wananyanyasika sana hata hamu ya kufanya biashara haipo
😂😂😂nimecheka kwa sauti,lakini huo ni ukweli kwani wengi ni waoga kupambana na uovu maana kwakweli ukitenda kama Mungu anavyotaka huko watakuua sababu wengi wanaingia ktk siasa ili kufanya kunyume na Mungu
Huyu bwana watu watampongeza lkn maneno yake ni ya hatari halafu yanagongana au yanapingana mfano anasema Kuna dini nyingi na watu wakubali kuwa lazima kuwe na Imani tofauti halaf anasema Kuna watu wanawaudhi Kwa kusema yesu sio Mungu,yeye anaesema hivyo ndio Imani yake IPO hivyo na kitabu Cha dini yake ndio kinasema hivyo,nyinyi kama kitabu chenu kinasema hivyo kuwa yesu ni Mungu na ndio Imani yenu Iko hivyo Sasa nani kawaudhi? Nyinyi semeni ni Mungu Kwa Imani na kitabu chenu na wengine watasema sio Mungu Kwa kitabu na Imani Yao shida Iko wapi?kwahiyo nyinyi mnataka mseme ni Mungu na wengine wazuiwe kusema sio Mungu kwani dini Iko Moja?halaf anasema wao katoliki Wana haki kushiriki siasa na kuweka watu wake na kesho Kiongozi wa Bakwata atasimama na waislam Wana haki ya kushiriki siasa na kuweka watu wao na dini na jumuia nyingine watasema hivyo tunaenda wapi?
Baba unatafuta matusi na kudhalaurisha kanisa katoriki Kwa watu hubiri ya.mungu acha kuhubir.masengenyo
Kwani kakosea wapi maana maneno ni yake ni 2rue 2pu
Ndyo mtazamo wako ulpo ishia
Wewe Telezia,Teleezea huko achana na mtumishi wa Mungu.

Huna akili wew mpuuz, Kwan hapo umeona anahubiri nini?
Scott Han
Wewe saidy mbila ni nani unatumia lugha mbaya sana kwa kiongozi wa imani unahitaji matatizo tafakari njia zako wamakonde wana usemi wao yatakukuta mambo fikiria kabla ya kuongea watu wa kisheria wapo wanasoma comment
Kuchukua fomu ugombee ubunge naona siasa imekuingia kuliko mambo ya kanisa
Heri wewe umeona
Mimi natamani akachukue ya urais kabsa ubunge unamshusha adhi
@STEVENKAJUMBA unadhani siasa ni Sawa na porojo za madhabahuni,,
Mungu ndiyo mkuu wa siasa zote na lazima akemee maovu.
@elishakayagwa9371 Mungu hahusiki na siasa za ujanjaujanja, kwahiyo usimsingizie,,,
Hyo ni msege shoga hyoo kitima
Mwenyezi Mungu akusamehe
Acha kutukana watumishi, unadhani sisi hatujui hiyo lugha unayoitumia? ACHA!
Wewe msenge
Wewe ndio said kumi tu kunduchi yako kubwa sana
Mungu akusamehe kwani hujui utendalo
Hivi Kuna uchawa Mkubwa duniani zaidi ya uchawa wa kumuita mtu au mwanadamu Baba Mtakatifu?
Bora kumuita mtakatifu kuliko yule alimuita magu mh mungu
Wewe akili yako ndogo kama punje ya mtama achana na mambo usiyoyajuwa
Usilolijua pamoja na ujazo mkubwa wa chuki moyoni mwako ni sawa na usiku wa giza
Mtateseka sana mwaka huu we stand with Samia for Presidency 2025
Kwani weye unateseka ukiwa wapi Ndugu mtazamaji😅😅😅😅
Ndo elimu yako ilipoishia ndugu yangu sasa achana kujiaabisha Kwa wenye kuelewa
@@NemesKwekas Mtateseka sana mwaka huu washenzi nyie Samia for Presidency 2025
@@NemesKwekas mtateseka sana mwaka huu Samia for Presidency 2025
@@RevocatusMchau-mp2mg Samia for Presidency 2025
Chkua fom ugombee Romani katorik shez wewe
Mpumbavu wewe una akili unaleta matusi kwenye mabo ya msingi .
Chawa wa chedema msenge lema hyo Samia ooonyeee
Wengine hawasikilizi wanaangalia udini
Oye maanake nini?
Yani mtu akiwa tofauti na mawazo ya ccm ni chadema acha uchawa .
Utauumia sana utamuona rais Samia anatesa tu ukome
Akili finyu
Opo unamwona kma kitima lakini nyuma yake kunawatu .
Na wewe unaendelea kusagika na umaskini
Scott Han