Baraza la Maaskofu katoliki TEC Latoa KAULI/Mauaji na Kutekwa kwa Raia/Latuma ujumbe kwa Viongozi.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 ноя 2024

Комментарии • 11

  • @josephkidima-nc3di
    @josephkidima-nc3di Месяц назад

    Mungu awabariki Sana watumishi WA Mungu Kwa kongamano la tano la kanisa katoliki

  • @JossphLugoma
    @JossphLugoma Месяц назад +1

    Mungu atuonyeshe mwanga katika giza hili lililoigubika nchi yetu, nina imani kwa nguvu ya damu ya yesu tutashinda huu ushetani!!!

  • @cath-ef7wd
    @cath-ef7wd Месяц назад

    Na watu walikuwa wanaokotwa kwenye mifuko.Kimyaaaaa

  • @RESTITUTAMOLLED-mp3pp
    @RESTITUTAMOLLED-mp3pp Месяц назад

    hongera sana

  • @brother_majesty
    @brother_majesty Месяц назад

    Muwe serious...shauri yenu

  • @DeoTesha-l8z
    @DeoTesha-l8z Месяц назад +1

    Hongera katoliki

  • @beatriceTarimo-i4m
    @beatriceTarimo-i4m 11 дней назад

    Baba Tumsifu YESU KRISTU?naomba kuuliza kwa nini baadhi ya Mababa Padre wanalazimisha waumini kumpokea Yesu wa Ekarist mkononi?

  • @joeljoseph785
    @joeljoseph785 Месяц назад

    #👏👏👏

  • @saltechnologiesco.ltd.2377
    @saltechnologiesco.ltd.2377 Месяц назад

    Wakati wa mjomba kwanini hawakutoa hili TAMKO?

  • @daudimaembe3360
    @daudimaembe3360 Месяц назад +1

    Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania huwa wanazungumza kwa upole na unyenyekevu kutokana na maadili ya kazi ya kitume wanayoifanya.Jambo la msingi ni kutafakari kwa makini ule ujumbe walioutoa na kuufanyia kazi.

  • @RemyLeonard-t5c
    @RemyLeonard-t5c Месяц назад

    Pongea
    Sans