Best of Father Kamugisha-Mkusanyiko wa Mafundisho yake yaliyowagusa wengi/Hii ni zawadi yake kwako.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 31 дек 2024

Комментарии • 16

  • @josephkibasa3725
    @josephkibasa3725 Год назад +2

    Baba unanibariki sana kila Mara nikisikiliza maneno yako mungu akubariki sana

  • @BernardBahatiMallya
    @BernardBahatiMallya Год назад

    Baba Mungu azidi kukutia mafuta yake. Nimepata maambukizi MENGI kutoka kwako. Mungu aendelee kukuongezea maisha yako.

  • @philiponjalika5769
    @philiponjalika5769 2 года назад +6

    Nimebarikiwa sana baba padre

  • @gasperurassa6440
    @gasperurassa6440 8 месяцев назад

    Mungu anatupenda sana sana tunashukuru sana

  • @AroycePankaras
    @AroycePankaras 7 месяцев назад

    nimeelewasasa baada yakufundiswa. kumbe ukatoliki nawakatoki sisinimti wamatunda ndomaana wasiokuwa wakatoliki, wanapenda kutulushia mawe.

  • @zakiamahanga3336
    @zakiamahanga3336 2 года назад +3

    Mafundisho ya baraka sana

  • @DeniceDamian
    @DeniceDamian Год назад +1

    Baba kwakwel unajua sana sisi vijana tunasema unaupiga mwingi

  • @cordulastephano4652
    @cordulastephano4652 8 месяцев назад

    Safi sana

  • @joelmapunda8026
    @joelmapunda8026 2 года назад +1

    Unajua kunifuhisha barikiwa

  • @khamismtoma4902
    @khamismtoma4902 2 года назад +3

    Nabarikiwa Sana baba

  • @bettymungai9799
    @bettymungai9799 2 года назад

    Good teaching..God bless father

  • @julianamwagike994
    @julianamwagike994 2 года назад

    Please naomba number ya huyu father

  • @khamismtoma4902
    @khamismtoma4902 2 года назад +5

    Nabarikiwa Sana baba