Mchungaji napenda sana mahubiri yako yananijenga kweli.. barikiwa sana 🙏🙏 siku zote na mungu azidi kukupa nguvu na kibaki popote uendapo kwa ajili ya neno lake,,, Karibu Kenya feel free pst
Wajibu ni WANGU kuwa na amani na wote. Huu ujumbe nimeupata mia Kwa Mia. Asante sana Mchungaji. Zambia tunakupata poa. Na hapo umesema ukweli kabisa. Juu, sisi tunaofikiria eti tu wazima,tunawezaje kweli kuchukua MFANO WA MUNGU ? ASANTE SANA KWA UJUMBE HUU. AMANI IDUMU KOTE KOTE ❤❤❤❤❤
Maashaallah wewe ni zaydi ya mwalimuu Allah akubaariki mafunzo haya sio ya wakristotuu bali niyakila anyeitwa mtuu.....nashuku muhubirii kwaneno mujarrabu....nakushudia nikiwa dodoma ....
Amen umenibariki mchungaji
MUNGU akutie nguvu mchungaji neema ya MUNGU naomba iendelee kuwa nawe amina.
Ni kweli Baba yangu MUNGU Akukumbatie uweze kutusaidia zaidi Baba
Ahimidiwe mungu wetu aliyekuumba na kukuweka tanzania Kwan ni upendeleo mkubwa Sana kuwa na watumishi Wa mungu kama wewe
Mchungaji mungu awe nawe milele
Asante sana mchungaji kwa mafunzo
Mungu akuzidishiye maisha marefu
Mungu akubarik na kukutunza. Uishi milele
Ubarikiwe sana mtumishi wa mungu,maneno unayo yasema ni yaukweli kabisaa.
Mchungaji napenda sana mahubiri yako yananijenga kweli.. barikiwa sana 🙏🙏 siku zote na mungu azidi kukupa nguvu na kibaki popote uendapo kwa ajili ya neno lake,,, Karibu Kenya feel free pst
Mimi ndiye kicaaa😂😂😂😂😂😂😂, maisha marefu baba mucungaji lovly from DRC 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
May the lord strengthen you
Duh mchungaji kama uliona vile 🇹🇿
Hahshaahaaa! Big up sana pastor uko vizuri sana. Mungu akubariki.
Muchungaji , Mungu AKUBARIKI kabisa kwa mahubiri Yako zaidi yale ya Ku jijuwa n'a kujuwa kuishi n'a wengine.
Mungu akubariki sana baba mchungajiiii
Wajibu ni WANGU kuwa na amani na wote. Huu ujumbe nimeupata mia Kwa Mia.
Asante sana Mchungaji.
Zambia tunakupata poa.
Na hapo umesema ukweli kabisa. Juu, sisi tunaofikiria eti tu wazima,tunawezaje kweli kuchukua MFANO WA MUNGU ?
ASANTE SANA KWA UJUMBE HUU.
AMANI IDUMU KOTE KOTE ❤❤❤❤❤
Napenda mahubiri yako
Barikiwa sana mpendwa wetu
Ameen mtumishi wa Mungu nimepata kitu ktk hutba yako hii nimejifunza kitu Allah Ibariq 🎉🎉🎉🎉🎉
😄😄😄 jamani MUNGU akuweke sana
God bless you pastor you all advice me❤❤❤❤❤
Mungu akubariki mchungaji nakuskiza nikiwa saudi arabiaa napenda san mahubiri yananitengeneza kiimani
Ubarikiwe mtumishi kwa neno zuri lenye mafundisho yenye kujenga
Pasyy keep it up.. tuma no ya sadaka
Mchungaji Mgogo hongera sana kwa mafundisho mazuri sana.Hakika kiumbe bin Adam ni pasua kichwa.
Wow mafudisho mazuri
Mungu. Akubariki. Sana
Nashukuru mchungaji kwaneno ili kuna sehemu ilinigusa merci beaucoup 🇨🇩
Pastor. For sure You were called
Mungu akubariki xaaaaaan mchungaji
Amen Mgogo bali Tunaomba ikiweze kana tupe numberi yako yasimu tukitaka kukupigia iwe raisi
Asante,
mungu akubariki mchungaji kunielimisha kiumbe hiki binadamu hakiko serious mungu nipe hekima
pastor unayo yasema ni kweli kabisa.
Mchungaji we ni ginious wa mafundisho hongera sna yaani unatudaidia sna ubarikiwe amina
May God Bless you,l feel nourished by your preaching and teaching.
Mtu wa mungu ubarikiwe nlikuuzia matunda kitengela mungu akuzidishie miaka
Mutumishi wa Mungu ubarikiwe sana,nayapenda sana mafundisho Yako.From🇧🇮
God bless your work
Maashaallah wewe ni zaydi ya mwalimuu Allah akubaariki mafunzo haya sio ya wakristotuu bali niyakila anyeitwa mtuu.....nashuku muhubirii kwaneno mujarrabu....nakushudia nikiwa dodoma ....
Napenda sana mahubiri yako muchungaji.
Nitarekebisha yaani nimefurahi sanaaaa❤
MUNGU. Akutie nguvu zaidi
Mungu akutie nguvu mchungaji
Muchungaji mungu akubariki sana nnile tu Sina uwezo wakukualika Kuja kwetu church ningekualika
Ubarikiwe
Maulana akutie nguvu mchungaji
Hakika mwenyezi Mungu akulinde sana mchungaji
Mungu azidi ku kubariki Mtumishi
😂😂😂😂 nipe hela au naomba waaaaa kwnya never disappoint 😅😅😅
Amen mutumishi
Yaani pastor kwakweli Mungu tu akutunze Kwa sababu unaongea kweli kabisa, unatuponya na mengi sana.
God be near you
I love preaching of pst Daniel Mgogo❤
Amen mchunaji mungu akupaliki.
Ahsante kwaneno mungu akutie nguvu
Hearing u from Kenya thika road..We umeitwa kweli,,Huna sarakasi kama hizi za Kenya..😅😅😅😂😂..
Ukweli mtupu, Neno La Bwana Mungu lizidi kuhimidiwa milele
Pastor be blzz I love the way you preach
Hakika Baba najifunza mengi kutoka kwako natamani ningekualika kusema na familia yangujamani sjui nikupataje Baba tafathali
Very nice dr😢
Mungu awe pamoja nasi
Pastor good job
Amen Amen Amen God bless you Pastor.
Nakupenda ❤❤❤ pastor wangu
Kabisa mtumishi wa MUNGU!!
🇰🇪 hello any Kenya
God bless you pastor amen
MuNgu akubaliki pasta nipenambaliyako naminipasteur innocent
Ubarikiwe mchungaji
😂😂😂😂😂 aaa mtumishi GOD BLESS YOU...mimi kichaa wangu anasumbua sio mchezo
😂😂😂😂 mchugaji hapo sawa🎉🎉🎉
Asante sana mchungaji ❤❤
Meeeen, ukweli pst
Amen 🙏
😂😂😂😂😂Amen Ubarikiwe Pastor Daniel
Amen amen God bless you
Mungu akutunze pastor
Amen barikiwa
Areruya🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Safi San
Amen 🙏🏾 Pastor Daniel Mgogo
😂😂😂😂😂😂
😊😊🤗🤗 amazing 👌
😂😂😂😂😂 Amen mchungaji barikiwa sana
Na tanzania ville vile wanainchi woti (fanya fujo uone)
mchungaji katika maombi naumwa
🎉Amen
Amen❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Amen 🙏🏽
Amen 🙏🏻 😂😂😂😂sooo true 😢😢😢😢
Pastor Mgogo MUNGU AZIDI KUKUTUNZA mtumishi 😂😂😂😂
Âme amena amena😂😂😂❤❤
Amei
Pastor mugogo mungu akupe hekima nekipata namba ya simu natafurahi sana asante
Kweli kabisa 🎉🎉🎉🎉
AMEN
Word
Kweli amen amen amen 😂😂😂😂
😮😮
Aneniii
❤❤❤