Fr. Nakumba unisaidie. Kuna mama alianza kuninyima amani ya Roho na mwili tangu siku ya harusi yangu mbele ya altare(madhabahu) mpaka leo hii bado miezi mwezi mmoja na siku 20 nitimize miaka 33. Mimi nimejitahidi kusamehe lakini wapi. Nikawa naweka novena bado mama haniachi. Ktk kufunga na kusali Mungu alinipa nguvu kama ya simba nikawa simwogopi tena. Nikimsalimia anasema shetani ashindwe. Akiwa na watu ananidhalilisha. Wazee waliotangulia ktk boma walimshindwa. Mimi ni mdogo wake mbali.Sijui watu wanamwogopa kumwambia ukweli au vipi.Kwa familia naonekana kama inzii.Mimi ni mkatoliki. Padri hiki kidonda cha kurudiarudia nikiondoe na nini. Hata siku moja nilienda kuungama nikajiuliza naungama nini? Ikabidi nimweleze padri dhambi yangu kuu ni hasira. Mama huyu ameniwekea mipaka kwa majirani. Padri nisaidie kufanya novena.
Honger ubalikiwe padr kamugisha tunaitaji maubili yaukweli kama aya wote mapadr waige mfano kutoka kwako maubili yamazoea atutak tunaitaj maubili kama aya AMINA
Kamgisha unajua kufundisha unanikumbusha katekista mmoja alikuwa ledio malia asubuhi nimemsahau jina yaaani,tukipata mapadrii kama 20 hivi hapa Tanzania tutakuwa tumemjua mungu vyema, hongera Sana!!
Padre huyu hakika najivunia kuwa mkristu mkatoliki. Mungu na apewe sifa. Mafundisho yake ktk imani yanajenga kwa imani zote. Mungu na atupatie wengi wa namna hii 🙏
unajivunia kuwa mkatoliki!!!!!!! jivunie kuwa mkristo. ungejua Roman Catholic ni nini. soma ufunuo sura ya 17. inazungumzia Babeli Mkuu , kahaba na mama wa makahaba ndiyo Roman catholic
Usituletee mafundisho yako ya kishetani kutoka kwa nabii wako muongo Ellen G.white....ukumbuke.kuwa hii ni safu ya wakristo wakatoliki na watu wenye mapenzi mema....wewe msabato umetoka wapi humu ?
Ee Mwenyezi Mungu Tusaidiye tuweze kuwasamee wanao tukosea kala mara 🙏 Hakika msamaa siyo jambo raisi ila kwaneema ya Mungu tutaweza kuwasamee wanao tukosea ili nasi tupokee neema yamsamaha kutoka mbinguni 🙏🙏 Mungu akubariki Sana Baba you're My favorite Padri in Tz❤❤
Honger sana padli mapadli wote waige jinsi unavyo ubili mapadli wengi awajui kuhubili nasisi tunacho itaji kwa sasa ni maubili ubalikiwe padr kwa maubili, mapdr wajifnz kutokwa kwako wahache hibada ya mazoea ubarkiwe padr kamugisha
Mungu anisamehe kwa wale niliowahukumu licha ya kuniomba msamaha,neno hili limenitia ujasiri kuwa hata uumizwe vipi huna budi kusamehe..Asanta Father Kamugisha
Nakushukuru Mungu akubariki sana ndugu yangu. Nimejifunza vitu vingi sana maana Msamaha ni neema kwasababu watu wengi wanapenda kushikiriakinyongo sana.Asante sana
Dada Beatrice Mushi, nasema asante sana kwa mwongozo wako. Baada ya miaka 21 iliyopita niliugua sana,na nikaombewa na padri kutoka Uganda. Ili maombezi yale yaniponyeshe aliniambia nisamehe kwa yale yaliyokua yananipa uchungu. Nilijaribu kumwomba Mungu anisamehe hata ile ya kuiba sukari(utotoni). Hapo ikawa hakuna shida.inapofika kusamehe yule aliyekua ananisababisha kuacha laana,nikawa ninasahau kusamehe ile laana. Ilibidi padri aniulize ni nani huyu anaekusababisha uache laana kali hivyo? Sikumwambia ni nani ila nilisali palepale na kumwachia Mungu yote.Kisha nilipoteza fahamu, nilipozinduka nilikuta masista na linyama lililokua kwenye ndoo. Ndipo niliposimama nikasikia mwili wangu ni mwepesi. Sasa naona shida imeanza kwa staili nyingine. Life style. Ktk sala nilizombiwa nisali mojawapo ni zaburi 35. Dada naomba uniombee kwani naona anataka niteseke uzeeni, lakini Muumba wangu ananipenda. Ukiona mtu ameingia kwenye mtandao si mchezo
@@philipomrumbi2168 kila kanisa linautaratibu wake wa kuabudu nahuwezi hukum kwa hilo,na maana ya kuabudu sanamu siyo hiyo maana yake kuwa na njia mbili huku una mwamini Mungu umpandemwingine unaenda kwa waganga kupigiwa lamuli hiyo ndiyo sanamu
Sikuwahi kufikilia siku kujazwa Imani kama hii leo"nimekusikiliza father nikiwa na msiba wa Mzee wetu jpm,lakini umenitia moyo na nimelia kwa Imani kubwa father,barikiwa Sana!!
Fr. Nakumba unisaidie. Kuna mama alianza kuninyima amani ya Roho na mwili tangu siku ya harusi yangu mbele ya altare(madhabahu) mpaka leo hii bado miezi mwezi mmoja na siku 20 nitimize miaka 33. Mimi nimejitahidi kusamehe lakini wapi. Nikawa naweka novena bado mama haniachi. Ktk kufunga na kusali Mungu alinipa nguvu kama ya simba nikawa simwogopi tena. Nikimsalimia anasema shetani ashindwe. Akiwa na watu ananidhalilisha. Wazee waliotangulia ktk boma walimshindwa. Mimi ni mdogo wake mbali.Sijui watu wanamwogopa kumwambia ukweli au vipi.Kwa familia naonekana kama inzii.Mimi ni mkatoliki. Padri hiki kidonda cha kurudiarudia nikiondoe na nini. Hata siku moja nilienda kuungama nikajiuliza naungama nini? Ikabidi nimweleze padri dhambi yangu kuu ni hasira. Mama huyu ameniwekea mipaka kwa majirani. Padri nisaidie kufanya novena.
Jamani nimejifunza sana kwenye haya mafundisho ya fr,Kamugisha, sijui Kama nitasahau. Asante sana baba!
Fr Mungu akutie nguvu kwa mafundisho mazuri kusmehe ni mtihani kwel
Baba nimepokea mayo munoo Niko Dares salaam
Hakika mm mwenyewe kumsamehe mtu ni mitihan Sana hasa akinikosea
samehe tena
Honger ubalikiwe padr kamugisha tunaitaji maubili yaukweli kama aya wote mapadr waige mfano kutoka kwako maubili yamazoea atutak tunaitaj maubili kama aya AMINA
Kabisa ndugu yangu , unajua muda mwingine wanahitaji kulishwa neno washibe tofauti na hapo wataenda kutafuta sehemu nyingine
Padre huu nibaraka kutoka kwa mungu yupo vzr sana karibu kwetu tunduma nmelipokea neno la mungu Amina
Baba umeniongezea imani marambili kwa mahubili na mafundisho ya kiimani juu yetu wanadam juu yamaisha yahapa duniani Amina sana
Kamgisha unajua kufundisha unanikumbusha katekista mmoja alikuwa ledio malia asubuhi nimemsahau jina yaaani,tukipata mapadrii kama 20 hivi hapa Tanzania tutakuwa tumemjua mungu vyema, hongera Sana!!
Padre huyu hakika najivunia kuwa mkristu mkatoliki. Mungu na apewe sifa.
Mafundisho yake ktk imani yanajenga kwa imani zote. Mungu na atupatie wengi wa namna hii 🙏
unajivunia kuwa mkatoliki!!!!!!! jivunie kuwa mkristo. ungejua Roman Catholic ni nini. soma ufunuo sura ya 17. inazungumzia Babeli Mkuu , kahaba na mama wa makahaba ndiyo Roman catholic
Usituletee mafundisho yako ya kishetani kutoka kwa nabii wako muongo Ellen G.white....ukumbuke.kuwa hii ni safu ya wakristo wakatoliki na watu wenye mapenzi mema....wewe msabato umetoka wapi humu ?
Ubarikiwe sana ni mapadri wachache wanaoweza kufundisha hivi hakika una kipaji cha ualimu.
Mungu akubariki na kukulinda ili uweze kutufunulia Neno la Mungu kwa kina. Amen
Asante yesu kwa ajili ya father kamugisha
Ee Mwenyezi Mungu Tusaidiye tuweze kuwasamee wanao tukosea kala mara 🙏 Hakika msamaa siyo jambo raisi ila kwaneema ya Mungu tutaweza kuwasamee wanao tukosea ili nasi tupokee neema yamsamaha kutoka mbinguni 🙏🙏 Mungu akubariki Sana Baba you're My favorite Padri in Tz❤❤
Asante mungu kwa karama hii mungu akulinde akupe afya njema uendelee kutufundisha
Honger sana padli mapadli wote waige jinsi unavyo ubili mapadli wengi awajui kuhubili nasisi tunacho itaji kwa sasa ni maubili ubalikiwe padr kwa maubili, mapdr wajifnz kutokwa kwako wahache hibada ya mazoea ubarkiwe padr kamugisha
Vyema sana
Kweli kabisa
Kweri padre hyu anakarama ya mahubir mwenyezi Mungu amweke maisha. Marefu
Ubarikiwe fr kamugisha kwa ujumbe mzuri wenye kutufundisha
Fr Faustin mungu aendelee kukubariki! Neno la Mungu liendelee!!🙏🏻🙏🏻
Padri Kamugisha mafundisho yako yameshehene wokovu Mungu akubariki sana
Amina
"Njoo uone waungwana tunavyokula" . Nimejifunza. Msamaha ni kijipenda.
Mungu mwema aendelee kukulinda baba
Nimeguswa Sana na mafundisho Aya ,barikiwa Sana Padre dkt kamugisha
Mungu akutunze kwa karama yako kubwa na uponyaji
Unanifaliji sana, ila wewe fadher wewe ni mtaalam sana, na ni msomi, mzuri sana, mungu aendelee kukupa afya njema, nakupenda sana.
Mungu anisamehe kwa wale niliowahukumu licha ya kuniomba msamaha,neno hili limenitia ujasiri kuwa hata uumizwe vipi huna budi kusamehe..Asanta Father Kamugisha
Mungu naomba unipekibali. Niweze kusamehe
Nimebarikiwa mno,
Mungu akutunze padre
Huyu lazima atakuja kuwa Bishop,ni Genius father, yuko vizuri hiwezi choka kumsikiliza,kumbe Dada unachungulia hata ulikotoka tuko vizuri sana.
Mambo sio rahisi kana unavyodhani , we sikiliza mahubiri tu , lakini usimpe hiyo nafasi kwani uaskofu huwa hautolewi kupitia kura za wananchi
Tumwombee Fr Mungu amwngezee jukwaa/platform.
Mungu akubariki father kamugisha mungu tusaidie tupate mapadre wengi Kama huyu
Usijali wapo wengi we endelea kuwafuatilia
Amen in the mighty name of Jesus
hakika padre upo vinzuri sana nimejifunza kuwa msamaha pia ni kisasi isipo kuwa nikisasi kilicho bora.
Mungu akupiganie fr. Kamugisha unatutia nguvu kwa neno la msamaha barikiwe
Hongera Pandri kwa mafundisho mazuri
Aminaa barikiwa sana father Kamgusha
Asante Fr kwa mahubiri mazuri nabarikiwa sana na mahubiri yako.
Mungu aendelee kukutumia baba🙏🙏🙏
Mwl wangu was Homiletics, Tangaza. Kweli bado unatetea Doctorate yako. God bless.
Ooh lord Jesus spread this fire to all catholic church be blessed FR very powerful summon.
Amebarikiwa kwa kunibariki
Baba yang wakiroho hakika ,,nafunguliwa kwa maneno yako. God blec at all. 😍
Nimekuelewa sana baba padre kwa mafundisho yako
Mungu akukumbuke katika kila kazi yako ..Kweli nimejifunza kitu
Baba Dr kamgisha Mungu akujaze hekima ya juu uzidi kuitenda kazi ya Mungu.
L
.m
Mungu akubariki fr.umenijaza neno la Mungu moyoni mwangu ahsante sana
Padre, Mungu azidi kukuinua. Mimi umenikumbusha mengi. Nawasamehe wengi niliokuwa nimewabeba
Asante Fr mafundisho yako yanifariji Mungu akubariki
Asante Sana Padre, Mungu akulinde na kukubariki ,tuendelee kulishwa neno la Mungu.
Parabens padre pela sua umilia tusamehe tusamehe tusamehe
Watu wachache wataangalia hii video ya muhimu sana
Ongera
Very powerful msg. Barikiwa.
Amen mtumishi wa MUNGU Ubarikiwe sana
Mungu akubarik natangaza msamaha kuanzia Leo kwa yeyoyte Alie nikosea pokeaaaaa manukatoo ulienikosea
Mungu akuinue zaidi baba yetu wa Kiroho,uzidi kutushibisha zaidi ya haya,barikiwa sana
Nakushukuru Sana kwa homilia nzuri ya kitume, nimepata kiini cha msingi wa msamaha na Taifa zake.
Asante tumesiskia ubarikiwe sana
Amina, nimefarijika sana kuskia neno Tamu kama hili Mungu akubariki Baba
Mungu,akubariki kwa mafundisho haya,uponya moyo na nafsi
Asante baba kuanzia leo ntasamee walionikosea Na Mwenyez Mungu unihurumie na kunibariki kila ninachokiomba unipatie ameniii
Amina.nakuomba father ututembelee Arusha
Nimejifunza namna ya msamaha asante baba parde nimekuwa mwepesi sana baada ya kusikia somo lako baba good bless you 🙏
Lord give us the grace to forgive those who have caused us pain.
Nakushukuru Mungu akubariki sana ndugu yangu. Nimejifunza vitu vingi sana maana Msamaha ni neema kwasababu watu wengi wanapenda kushikiriakinyongo sana.Asante sana
Asante padri mafundisho yako wanagusa sana. Mungu akulinde
Hakika mtumishi umenena"wakusikia tusikie,barikiwa Sana👍🙏🙏
Mungu akupe maisha marefu unatufundisha sana tena baba
Padre mungu akuzidishie baraka kisha pia na akujarie moyo Safi ..
Padre mungu akubariki Sana hakika neno limefika
Amina
Huyo father Ana speech mzuri , anafikiria sana falsafa yake na thiologia yake anaitendea kazi
Msamaha kutoka juu ni neema,, kutoka kwa mwenzako ni ukalimu,, kutoka kwangu ni hekima,, waw good teaching
Amina baba .ubarikiwe baba
God bless you fr Kamusinga
Blessed saaana Fr.MUNGU aubariki utume wako
Ubarikiwe xnaa baba
Fr Mungu akumbaliki sana sana,,,your really amazing
Mungu wetu akulinde akujalie afya njema tuendelee kulishwa hekima hizi
Baba paroko kwakweli uko sawa mtumishi wa mungu na mungu akubariki ameeeeeeeeen
Asante Sana padri
Mungu abariki kazi zako njema Fr.Dr.Kamugisha.
Amina Amina father!! Nimebarikiwa mno
Kusamehe ni kupotesa kumbukumbu
Kusamehe ni KUTAKASA kumbukumbu
Mungu akutunze fr. Umetutibu wengi
Mungu akubariki
Asante sana,father
MUNGU akubariki kwa neno zuriii
Amen kusamehe kunatakasa kumbukumbu
Fr.naomba uniombee niweze kusamehe kabisa kumbukumbu zangu zirudi na maumivu ya roho yanitoke kabisa.asante Sana fr.
Barikiwa SANA MTUMISHI wa Mungu
Asante baba kwa neno
I like Fr Kamugisha👍
Hongera father
Wonderful sermon bblessed askofu
Ubarikiwe padri
Amina ubarikiwe mtumishi
amina mungu akutunze na siku zako zipate kuongezeke ili uenderee kulihubir neno lqke ameeni!
Kazi ni njema mtumishi Mungu akubariki mno
Be blessed Fr Kamugisha
I really wanted this aki nimefeel like niko church,,
New one from him ✨✨✨✨☀️
ruclips.net/video/aNUV9SJDFkc/видео.html
Amina mtumishi wa Mungu.
Asante Fr
Nimebalikiwa Sana Mungu akuinue
Ebaba mungu nakuomba uonekane katikamapito haya ninayo yapitia ofisi hii apa fungua njia
Forgive your enemies Amen burning gospels Fr May God bless you forever watching from 🇰🇪🇰🇪
ruclips.net/video/aNUV9SJDFkc/видео.html
Kataa kujikataa amen🙏🙏🙏🙏
Wow wonderful. ...
Dada Beatrice Mushi, nasema asante sana kwa mwongozo wako. Baada ya miaka 21 iliyopita niliugua sana,na nikaombewa na padri kutoka Uganda. Ili maombezi yale yaniponyeshe aliniambia nisamehe kwa yale yaliyokua yananipa uchungu. Nilijaribu kumwomba Mungu anisamehe hata ile ya kuiba sukari(utotoni). Hapo ikawa hakuna shida.inapofika kusamehe yule aliyekua ananisababisha kuacha laana,nikawa ninasahau kusamehe ile laana. Ilibidi padri aniulize ni nani huyu anaekusababisha uache laana kali hivyo? Sikumwambia ni nani ila nilisali palepale na kumwachia Mungu yote.Kisha nilipoteza fahamu, nilipozinduka nilikuta masista na linyama lililokua kwenye ndoo. Ndipo niliposimama nikasikia mwili wangu ni mwepesi. Sasa naona shida imeanza kwa staili nyingine. Life style. Ktk sala nilizombiwa nisali mojawapo ni zaburi 35. Dada naomba uniombee kwani naona anataka niteseke uzeeni, lakini Muumba wangu ananipenda. Ukiona mtu ameingia kwenye mtandao si mchezo
Barikiwa
Mungu akubariki sana mtumishi
Ujumbe mzuri sana tatizo ni hizo sanamu ambazo biblia imekataza,hapo ufahamu umefungwa yamebakia mapokeo ya wanadamu.
@@philipomrumbi2168 kila kanisa linautaratibu wake wa kuabudu nahuwezi hukum kwa hilo,na maana ya kuabudu sanamu siyo hiyo maana yake kuwa na njia mbili huku una mwamini Mungu umpandemwingine unaenda kwa waganga kupigiwa lamuli hiyo ndiyo sanamu
Mungu awe nawe baba
Sikuwahi kufikilia siku kujazwa Imani kama hii leo"nimekusikiliza father nikiwa na msiba wa Mzee wetu jpm,lakini umenitia moyo na nimelia kwa Imani kubwa father,barikiwa Sana!!
Pole ndg mimi pia nahuzunika na kifo cha baba wetu jpm Mwenyez Mungu amlaze mahal pema peponi amen
HATA mimi pia
Tumuache alale pema peponi.RIP .
Ubalikiwe paloko wangu umenifungulia njia mpya ya maisha
Asante Baba!
Sijawahi sikiliza mahubiri ya wakatoriki ila hapa baba France nimekuelewaa
Asante Baba Padre