Asante kwa somo zuri na linaloeleweka mchungaji Mbaga, umeweka bayana mambo ya pande zote mbili, kama kila mmoja atachukua jukumu lake misongo ndani ya ndoa itapungua.Mungu akuongezee hekima na busara, Amen.
Asante sana mtumishi kwa mafundisho mazuri haya,mungu ndiye msaada wa karibu sana katika ndoa,Ee mungu mwenyezi nisaidie nikutambue siku zote katika ndoa yangu
Pastor ni NOKWI AMOS CHACHA, nashukuru Kwa mahubiri hata ya ndoa ,tuombee ili tupate wake wema na busara ( hekima) njema ya kuwatunza kutoka Kwa Mungu.Barikiwa.
Tanzania ikipata watumishi wa namna hii wakufundisha na kuondoa ujinga kwa jamii, Tanzania tutafika mbali mbali mno. Najivunia Pastor Mmbaga japo mimi ni sio Msabato!
Somo zuri, japo nadhani linaleta maana endapo litafundishwa kwa pande mbili zikiwa mahali tofauti. Yaani Mke aone mume anamletea korosho kwa utashi wake ila si kwa sababu alifundishwa. Kadhalika kwa wanawake.
PASTOR MMBAGA HILI SOMO AKILI YAKO SIKU HIYO ILIKUWA IKO JUU SANA MNO USIMWACHE MUNGU ATAKUPA VITU VINGI SANA BARIKIWA MTUMISHI HAPO BAADAE UWE PRESIDENT WETU UNION
Pole saana! Zilianza kwa ku kariri kichwani,waka anza kutumia mawe,kisha ngozi za wanyama,baadae majni na magome ya miti! Karatasi ni maendeleo ya kutoka kwenye magome ya miti! Biblia ya kwanza kuchapwa kwenye karatasi ilikuwa 1445!! KWA HIYO KITAKATIFU SIO KARATASI,NI NENO!
Sijaoleka but niko sure nikioleka ndoa yangu itasimama,, na shukuru Mungu nimepatana na Somo la uyu pastor b4 nioleke🙏🙏pst barikiwa sana.
Good sermon..kwa hakika pastor umenijenga sana kwa Imani yangu
Asante kwa somo zuri na linaloeleweka mchungaji Mbaga, umeweka bayana mambo ya pande zote mbili, kama kila mmoja atachukua jukumu lake misongo ndani ya ndoa itapungua.Mungu akuongezee hekima na busara, Amen.
Amen Pastor, nimependa sana haya mahubiri. Yamenigusa sana
Asante pasta kwa somo nzuri,mungu akubari kwa kazi analo lifanya 🙏🙏
Barikiwa mchungaji umenibariki na mimi, nina ndoa ya miaka sita naelekea saba umenipa nguvu mpya. Mungu akubariki sana sana.
. Mungu akubariki mwalimu muchungajji uishi namungu
Akubariki saaaaaaaaana mungu
Akueneze ulimwenguni pote hatamwisho. Waulimwengu.
Amen Amen powerful teachings barikiwa pastor
Asante sana Pr kwa sharing hii,ninukweli mtupu. Mimi ni namiaka 43 naowa ndio ndio maana nimesema umesema ukweli. Mungu akubariki
Kabisaaaa
Asante sana mtumishi kwa mafundisho mazuri haya,mungu ndiye msaada wa karibu sana katika ndoa,Ee mungu mwenyezi nisaidie nikutambue siku zote katika ndoa yangu
Pastor ni NOKWI AMOS CHACHA, nashukuru Kwa mahubiri hata ya ndoa ,tuombee ili tupate wake wema na busara ( hekima) njema ya kuwatunza kutoka Kwa Mungu.Barikiwa.
Mungu akubariki sana pastor 🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽amen
Amina PR Mungu kubariki kwa somo hili
Thanks for the power full message
Mchungaji MUNGU atumie zaidi AMEN
Thanks PR for the sermon be blessed
Asante kwa mafundisho mazuri. Nashukuru sana.
Amen barikiwa pastor
Barikiwa pastor
Mchungaji ndo leo nakusikiza ,umenitolea streets zote MUNGU akubariki, 🙏
Amen
@@MahubiriPrMmbaga I miss
Morning inaki n
Naomba nambayako umenipaafya kiasi ila Nina maumivu Sana
Mungu akutendee muujiza
+255 755 932 283
Congratulations pastor
Tafuta msaada, msaada gani? Pastor anasema JIONGEZE, Mtumishi wa Mungu huyu mahubiri yake haya yako so clear,
Amina mtu wa Mungu,umenipa furaha,
Tanzania ikipata watumishi wa namna hii wakufundisha na kuondoa ujinga kwa jamii, Tanzania tutafika mbali mbali mno. Najivunia Pastor Mmbaga japo mimi ni sio Msabato!
Amen
Karibu Sana Sabato, afya, mahusiano na biblia, inafundishwa kwa weledi. Proud of you Pasta, Mungu aendelee kukutimia.
Na huu ndiyo muda wa wewe kuwa msabato
Ameeen
😂😂😂😂uyu pastor amesomea shule wapi ya kusoma akili za watu jaman 😂😂😂😂?
Aminaa mchungjiii kwaa somo zuriii,
Amina sana mtumishi wa Mungu
Somo zuri, japo nadhani linaleta maana endapo litafundishwa kwa pande mbili zikiwa mahali tofauti. Yaani Mke aone mume anamletea korosho kwa utashi wake ila si kwa sababu alifundishwa. Kadhalika kwa wanawake.
Amina mtumishi wa Mungu unanibatiki sana.
Mungu atuhurumie kwa haya ndoa za siku hizi ni ndoana pr 😭😭😭😭😭
Hakuna anayejitoa ndiyo maana
Mungu asimamie kaz iendelee
Kuna wanawake wengine hapa kenya hawakupigi kwa mto, ila aweza kukukata kwa upanga
Asante saana,Sasa Tumejua Ndoa ni Kujitoa
Amina Mtumishi wa MUNGU nimejifunza,sio upendo pekee unaondesha ndoa.Niko Kenya kupokea mahubiri, tubarikiwe
Amina pastor
Amina Ni SOMO zuri
Waiting
Nakupata Sana pasta nmePata kitu kipya hata mm nakalbia kufnga ndoa mwez wa 6 Asante mungu nimwema
Kila la heri OESMO Elias.
Asante sana brdget
Amen mchungali
Kabisaa mchungaji
Kwa kweli kuzima data ni dawa nzuri.
Wariosomea Sheria nikweli
Amen 🙏🏾 Amen!!!
PASTOR MMBAGA HILI SOMO AKILI YAKO SIKU HIYO ILIKUWA IKO JUU SANA MNO USIMWACHE MUNGU ATAKUPA VITU VINGI SANA BARIKIWA MTUMISHI HAPO BAADAE UWE PRESIDENT WETU UNION
Akiwa president Nani atatulisha neno ? KAZI itakuwa mingi
@@dorcusmusombi3646 NIMEKUELEWA BARIKIWA SANA DORCAS TUMUOMBEE MCHUNGAJI WETU HAZINA YETU HIYO
Ila Mtumishi mambo hayo yanataka Roho Mtakatifu kuyamuda. Vinginevyo huwezi. Ila nashukuru sina stress
Nimejifunza kitu
Amen 🙏🙏
Sasa pastor hapo kwenye kutii unatii inakuwaje upande wakuabudu km hutaki kuabudu anachokiamini napo ni kosa
Amen
Amine
Bwana nyie mlio tuedia afu mnaongea mambo haya husiani mnatuchanganya
Aminaa
🤚🤚
Shalom
Amen pastor
🙏🙏🤝
Amina
Ubarikiwe.somo zuri.
Mungu akubaliki muchungaji
Asante Sana muchungaji kwamaubili yako uponyaji upon
Naomba uniombee muchungaji nashindwa kuomba Niki taka kuomba mwau unakuja
Ameeeeeeeen Ameeeeeeeen
Waandishi Wa Biblia Wakorofi naanza kuelewa kwa nini Wazungu hawasali
Sasa Biblia zimehamia kwenye Tablet??Watumishi mnatupoteza
Ameeeeeen
Pole saana! Zilianza kwa ku kariri kichwani,waka anza kutumia mawe,kisha ngozi za wanyama,baadae majni na magome ya miti! Karatasi ni maendeleo ya kutoka kwenye magome ya miti! Biblia ya kwanza kuchapwa kwenye karatasi ilikuwa 1445!! KWA HIYO KITAKATIFU SIO KARATASI,NI NENO!
@@MahubiriPrMmbaga hata hvo Kuna ubaya Gani biblia kua kwenye tablet
Kuna ubaya Gani biblia kua kwenye tablet
Hawa ndo wanajua 666 ni sim za mkononi na tablets😁, na kwamba siku moja hetani atakuja kuzifuta biblia zote za kwenye sim dah,
Amen
Amina
Amen 🙏🙏