MATESO YANAPO KUSIBU

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 17 дек 2024

Комментарии • 155

  • @jeromejoseph9127
    @jeromejoseph9127 2 года назад +15

    Leo pasta, umeongea namimi asilimia 100.100% ombi langu kwako MUNGU akutie nguvu kwakila unachopitia pia. Akupe nguvu ya kushinda zaidi na zaidi. Kwa jina la Yesu.🙏🏼❤️

  • @mwimamachumu6771
    @mwimamachumu6771 2 года назад +5

    Amina Pastor Bwana akubariki kwa neno la uzima tunapata nguvu za kisonga mbele

  • @Grace-ts2rf
    @Grace-ts2rf 2 года назад +5

    I love Ps D. MMBAGA
    He preaches the good news of Jesus Christ.

  • @eugenianafutal9748
    @eugenianafutal9748 2 года назад +1

    Amina mcungaji unaniponyakiroho Yesu mwenyewealigeukwa narafikiyake wakribu sembuse mimi umeniponyakirohonilikata tamaakabisa kumpenda mtuasiyekupenda pagumuu barikiwasaaana mungukutunze mchungaji .

  • @dianarobert7953
    @dianarobert7953 2 года назад +2

    Huu ubongo sio wa kawaida kabsa,unajua kugusa maisha asilia tunayoishi.Mungu akutunze tuu pastor,ndilo ombi Langu kila siku,masomo yko yanaponya moyo wangu kila siku.ubarikiwe Sana.

  • @doricapeter545
    @doricapeter545 Год назад

    Hakika nimekuelewa na nimenenepa ghafra na kujiona ninafaa na mungu yuko pamoja nami, barikiwa mtumish

  • @estherchege9074
    @estherchege9074 5 месяцев назад

    Amen navumilia hadi asubuhi kupambazuke..halleluyah

  • @estherkahindo2994
    @estherkahindo2994 Год назад

    Amina papa pasteur, mungu aendeleye kukupa hakili na hekima

  • @Loyce-e9s
    @Loyce-e9s Год назад

    Ahsante sana somo lina mwaka tayari lakini nimeliona leo katika wakati sahihi na nikiwa katika kukata tamaa na kuliacha kanisa mungu akubariki sana pr

  • @blessedtumaini516
    @blessedtumaini516 2 года назад

    Asante Mungu Baba umesikia kilio changu umenijaza nguvu na utakuwa nami daima hata ukamilifu wa dahari kwa jina la Yesu Kristo Amina.

  • @josetteirutingabo3621
    @josetteirutingabo3621 Год назад

    Asante sana muchungaji.mungu akubariki sana

  • @rosemarymallya4458
    @rosemarymallya4458 Год назад

    Kweli 📌💯MUNGU ANAWEZA KUGEUZA USIKU MMOJA UKAWA MCHANA KWA MAISHA YA MTU YYTE🔥🔥Job:yote kujifunza💪💪
    I RECEIVE THIS🤲🔥🤲🔥IJMN🙏🙏🙏

  • @carolinemwugusi8945
    @carolinemwugusi8945 2 года назад +4

    Asante sana Pastor mahubiri yako yamenikuza kiroho kabisa najiona naelekea mahali pazuri mahubiri ya Leo yamenijenga,yamenionya nashukuru Mungu kunena nami kupitia mtumishi wake barikiwa sana Mungu akutende mema na jamii yako usipungukiwe🙏

  • @loicemlongo8557
    @loicemlongo8557 23 дня назад

    Mungu akuongezee hekma na ufahamu mchungaji mmbaga

  • @BericKakule
    @BericKakule Год назад

    Yaani mungu muzuri kwetu mpaka yeye huturudiliya ,asante kwa mahubiri pasta

  • @raelsarange638
    @raelsarange638 2 года назад +3

    I'm blessed pastor and I thank God always for your being there for us help innocent soul like you have done to me glory and honor be to God 🙏🙏

  • @ElvinaLuvuno-d7u
    @ElvinaLuvuno-d7u Год назад

    Pastor Amen nikama umepiga picha ya maisha yangu niko na changamoto nyingi ela ninamuamini Bwana wa Majeshi unapoomba niombee boma yangu shetani amevamia kila kitu ela ninaamini nono laleo na maombi Mungu atanifungua❤🙏

  • @luciashayo9896
    @luciashayo9896 Год назад

    Pasta yehova mungu wetu akutunze na kukulinda siku zote za maisha yako chini ya jua

  • @rovenancewafula532
    @rovenancewafula532 2 года назад +3

    powerful sermon pastor may God bless you

  • @esthersimiyu2276
    @esthersimiyu2276 2 года назад

    Amina 🙏🙏

  • @rigarikemz
    @rigarikemz Год назад

    congratulations p.r mungu hakusaidie zaidi unapoendelea na kupeana neno la bwana

  • @simonmuhune1697
    @simonmuhune1697 Год назад

    Pasta, ninashukuru Mungu kwa kutumia kwa hali, isio ya kawaida, kweli Roho wa Mungu anafanya kazi kweli ndani mwako ❤

  • @mginitabitha7814
    @mginitabitha7814 2 года назад +1

    Ubarikiwe sana mchungaji,somo hili limenijenga Sana kumtegemea Mungu zaidi ya chochote.

  • @estherchege9074
    @estherchege9074 5 месяцев назад

    Hallelujah .. amen

  • @magrethbisaku3032
    @magrethbisaku3032 2 года назад +1

    Pasta kweli Ili somo kimenijenga kweli Mungu mwenyewe hamuongelei vzr iweje mm na mm Ninan asantee Kwa somo nzr

  • @ErishamaPetro-nf4lo
    @ErishamaPetro-nf4lo Год назад +1

    Pasta umenigusa sana siku moja niritaka kumuuwa mkee,na nikanunuwa na kisu,nikakiweka Musegeni,rakin chaajabu niripotoka ndani nikakuta kire kisu hakipo nikakitafuta nikakikosa,namda huo ulikuwa Ndo mda wakumuua,rakini sikuJuwa ariekitoa kire kisu chamaajabu yure mwanamke Mungu aritengeneza mbinu yakuachananae mpaka leo huyo mwanamke nirishaachananae.jina RABWANA ritukuzwe,niko huru maana sjamuuwa.naomba maombi yako mtumishi.uenderee kuniombea.

  • @estherchege9074
    @estherchege9074 5 месяцев назад

    Amen...

  • @annamuyengi5170
    @annamuyengi5170 17 дней назад

    Asante Mungu kwa huyu mchungaji ananigusa na kunibariki sana

  • @dorcasrhobi8211
    @dorcasrhobi8211 2 года назад

    Amen ubarikiwe pst

  • @MildredShinali
    @MildredShinali Год назад

    Amen nimebarikiwa Kwa neno

  • @doricapeter545
    @doricapeter545 Год назад

    Nimebarikiwa nakupokea uponyaj wa kipekeee pasta😢😢😢😢 nimelia kwa uchunguu, nishike mkono bwana, napia kajidhihilishe wewe mbele ya huyu pasta kwamaa sio yeye bali ni wewe mungu wa mbinguni

  • @TeleziaSimbeye-fm3zw
    @TeleziaSimbeye-fm3zw Год назад

    Mungu akubariki sana mchungaji

  • @lilianmugyabuso8908
    @lilianmugyabuso8908 2 года назад +1

    Mchungaji umeongea na mimi ibada ya leo yote ni yangu, Mungu Anisaidie kuwa na mwisho mzuri, ni kweli kuna wakati napita mapito mengi mazito na magumu na kukata tamaa, lakini kwa ibada hii nimetiwa nguvu na natubu na naanza na Bwana Yesu Tena Na Mungu Anisaidie sana!Mungu akutunze mtumishi wa Mungu

    • @damamwelu4321
      @damamwelu4321 2 года назад

      Mchungaji nikependa kuuliza kufuka unaweza kutuma maji pekee

  • @BarnabasJonas-nv4ig
    @BarnabasJonas-nv4ig Год назад

    Ombi hili likawe langu AMEN

  • @elizabethgodfreytondo3052
    @elizabethgodfreytondo3052 2 года назад +1

    Pastor tunamshukuru Mungu kwa ajili yako,Mungu aendelee kukutumia Shambani mwake

  • @pendonyakiha9051
    @pendonyakiha9051 2 года назад

    Mchungaji Bwana adumu kukutumia. Bwana ameongea nami kupitia wewe. Pokea sifa Bwana. Ahsante. Nisaidie kubaki nawe hadi mwisho.

  • @elishalidya4044
    @elishalidya4044 2 года назад +1

    AMENA KUBWA

    • @jamesjefwa4462
      @jamesjefwa4462 Месяц назад

      Napenda sana haya mahubir, napenda nije uniombee niwe huru pia bibi yangu arudi

  • @elizabethnaftali8921
    @elizabethnaftali8921 2 года назад +1

    Ubarikiwe sana pastor mbaga

  • @nampee66
    @nampee66 2 года назад

    Yaani nimebarikiwa sana. Asante Yesu kwa kuwezesha sisi tulisikilize neno lako kwa urahisi hivi.

    • @christinamichael1772
      @christinamichael1772 2 года назад

      Amina Pastor Mungu akubariki sana maana umenisaidia sana. Mungu akulinde na kila mipango wa adui

  • @mugaboj.baptitse3277
    @mugaboj.baptitse3277 2 года назад

    Nashukuru sana pastor Mungu azidi kukubariki

    • @JulithaIshengoma
      @JulithaIshengoma Год назад

      Umesema nami Mtumishi was Mungu/mteule was Mungu.

  • @Trusingod1234
    @Trusingod1234 9 месяцев назад

    Mungu akuongezeye siku zakuishi ila wendeleye kutulisha

  • @suzanaagustinookelo4953
    @suzanaagustinookelo4953 2 года назад

    Anajisaidiyaaa dama anavyo dai na ata akulii vizuri Mungu msaidiee

  • @gelardjames2595
    @gelardjames2595 Год назад

    Barikiw pastor Mmbaga....

  • @BarnabasJonas-nv4ig
    @BarnabasJonas-nv4ig Год назад

    AMINA

  • @lovenessmarecha9065
    @lovenessmarecha9065 2 года назад

    Barikiwa sana pastor mmbaga nabarikiwa sana na mahubiri yako

  • @eustina837
    @eustina837 2 года назад

    Nshukur Mungu pastor tangu nianze kusikiza mahubir nabata nguvu zaidi nikirudi kenya niko naushuhuda wakutosha kwa Mungu anayo nitendea

  • @chrismtavangu8438
    @chrismtavangu8438 2 года назад

    Asante sana Mchungaji somo limenibariki na limenigusa. Naamini yote ni kwa Utukufu wa Mungu. Bari,iwa

  • @laridistrict4710
    @laridistrict4710 Год назад

    its well in JESUS .UMEONEA NIKAHISI NI SASA UNANIONGELESHA NA YESU AMEKUTUMA NAOMBA NEEMA YA KUMNGONJA BWANA MAANA NIMEELEWA SIO MUNGU ANAHUSIKA BALI NI ADUI AMESHIDWA KWA JINA LA YESU...NIOMBEE

  • @miss_mshana5872
    @miss_mshana5872 2 года назад +6

    Barikiwa sana Pastor Mbaga, Kuna vipengelee naona unaongea na Mimi kabisa, Mungu akutunze

    • @kwambokakwamboka8382
      @kwambokakwamboka8382 2 года назад

      God bless pastor,nimejifunza something big from this sermon,I watch from Saudi Arabia🙏🙏

  • @salamam8721
    @salamam8721 2 года назад +1

    Baba nilitaka acha unyumba sababu ya matatizo ila na shukuru Mungu sana kwaneno ili

  • @dilurai4204
    @dilurai4204 Год назад

    Amen and Amen be blessed pastor

  • @hellenratemo2813
    @hellenratemo2813 2 года назад

    Amen am soo blessed nice courageous and powerful message God bless you pastor

  • @johnbitati4680
    @johnbitati4680 2 года назад +1

    Asanti kwammahubiri nime yasikia leo yamenisaidia nirikuwa mbari mungu akubariki uzidi kuniombea niko canada

  • @ngodozimalulu6766
    @ngodozimalulu6766 Год назад

    Hearts speak with hearts

  • @josephineogise4485
    @josephineogise4485 2 года назад +1

    Amen I am Blessed

  • @maombijofre2302
    @maombijofre2302 Год назад

    AMEN 🙏🙏🙏

  • @veronicawilsonmbwambo1054
    @veronicawilsonmbwambo1054 9 месяцев назад

    Barikiwa sana mchungaji

  • @IreneOwino-dn2ul
    @IreneOwino-dn2ul 8 месяцев назад

    mimi napenda mahubiri ya pr mmbaga sana ni na nifarigi sana

  • @edithaetanga760
    @edithaetanga760 2 года назад

    Nabarikiwa Sana'a pastor naposikiliza mahubiri yako

  • @MaureenBusee2024
    @MaureenBusee2024 Год назад

    Nimebarikiwa sana…Somo limenigusa na kunipa nguvu mpya🙏🏽

  • @joycemaxmillian4909
    @joycemaxmillian4909 2 года назад

    Pastor ombi langu Mungu akutunze na aendelee kukutumia

  • @saphinacuthbet1343
    @saphinacuthbet1343 2 года назад

    Barikiwa Sana Mchungaji Mmbaga.Umenibariki Sana na somo hili

  • @julianaisakwisa8697
    @julianaisakwisa8697 2 года назад

    Aminaaa

  • @MN-hi8ll
    @MN-hi8ll 2 года назад

    Amina

  • @hekimamwashambi6143
    @hekimamwashambi6143 2 года назад

    God bless you pastor.unanibariki from Mombasa kenya

  • @mwitamwita4500
    @mwitamwita4500 2 года назад +1

    Amen sana mtu wa mungu mafundisho matamu sana

  • @messagerkambale5830
    @messagerkambale5830 2 года назад

    Mungu aku bariki,

  • @rosemarylihawa6547
    @rosemarylihawa6547 2 года назад

    Powerful message be blessed Pastor

  • @MN-hi8ll
    @MN-hi8ll 2 года назад

    Mungu akubariki Mchungaji

  • @salamam8721
    @salamam8721 2 года назад

    Amen and amen

  • @amnamax8676
    @amnamax8676 2 года назад

    Hallelujah,blessings pastor

  • @alineriziki6756
    @alineriziki6756 2 года назад

    Ubarikiwe sana na Bwana Mungu

  • @sifagubandja1589
    @sifagubandja1589 2 года назад

    Ameeeeen

  • @mbarikiwambarikiwa6479
    @mbarikiwambarikiwa6479 2 года назад

    Barikiwa sn mtumishi.

  • @petermbwambo5353
    @petermbwambo5353 2 года назад +1

    MUNGU AKUBARIKI SANA PASTOR MMBAGA

  • @Promessemashauri
    @Promessemashauri Год назад

    Nashukuru pasta kwa mahubiri

  • @JulithaIshengoma
    @JulithaIshengoma Год назад

  • @joychan5859
    @joychan5859 2 года назад

    May God bless you ,may His will be done now and forever Amina

  • @jeanneriziki638
    @jeanneriziki638 2 года назад

    Amen.MUNGU atusaidiye

  • @rovenancewafula532
    @rovenancewafula532 2 года назад

    hallelujah hallelujah hallelujah

  • @funakoshtadash6163
    @funakoshtadash6163 2 года назад

    Bwana akubariki sana Mchungaji, umekuwa Mbaraka kwetu

  • @MN-hi8ll
    @MN-hi8ll 2 года назад

    Amina. Kufunga ndiyo kabisa

  • @sarahezekiel3301
    @sarahezekiel3301 2 года назад +1

    Spoke into my heart

  • @khaldn7409
    @khaldn7409 2 года назад

    Amina mchungaji

  • @MrKichinda
    @MrKichinda 2 года назад

    Barikiwa pastor

  • @timothykyalo3497
    @timothykyalo3497 Год назад

    Nakufuatilia kwa makini ni Israel 😢

  • @denisebasheka1047
    @denisebasheka1047 Год назад

    asante sana,lakini mutu anawezaje kuongeya na pastor in private

  • @sostentiltai9431
    @sostentiltai9431 2 года назад

    Hello pastor nakufuatilia Kila mara kutoka Kenya nipe namba zako za simu

  • @jacksonngusi4122
    @jacksonngusi4122 2 года назад

    Ahsante Mchungaji umenipa nguvu

  • @liberataelisha9786
    @liberataelisha9786 2 года назад

    Ubarikiwe kabisa 🤣🤣🤣🤣🤣mchungaji nimekuelewa.....napitia mengi na mimi sielewi nashindaje sina formula pia

  • @namsamson3443
    @namsamson3443 2 года назад

    Amen amen and amen

  • @floraa4928
    @floraa4928 2 года назад

    Jaman huyu baba mungu amtunzee

  • @Conjethamtende-vc8pu
    @Conjethamtende-vc8pu Год назад

    Pasta naumwa naomba uniombee

  • @lucknesschiragwile954
    @lucknesschiragwile954 2 года назад

    Nabarikiwa sana kutoka arusha

  • @Eunice-h2q
    @Eunice-h2q Год назад +1

    Pasta ombea msichana wangu mungu amfungue kuroka minyororo ya umalaya na ampe mume

  • @DickisoniNgendamenya
    @DickisoniNgendamenya 4 месяца назад

    Mngu akubaliki

  • @neemaramadhan2411
    @neemaramadhan2411 2 года назад

    Nasisi wa mitandaoni tunatamani tumjue mkeo jmn

  • @MaggieG276
    @MaggieG276 2 года назад

    Mafundisho ya Baraka.

  • @bahatishomari290
    @bahatishomari290 2 года назад +1

    Maneno haya ya mwisho kwangu ni dhahabu:Eti Mungu haangalii uhai wangu wa miaka michache ya sasa;bali anauona uzima wa milele kuwa jambo kubwa hivyo anaachilia hili kwa ajili ya uzima wangu wa kiroho! MUNGU akubariki sana Mchungaji na akukumbuke pia!Mwisho wangu utakuwa mkubwa kuliko mwanzo wangu;nahitaji nguvu ya kumalizia miezi iliyobakia. Ninakutukuza usiku na mchana MUNGU MWEZA YOTE maana siku zote wewe ni Mwenye haki. Nitakusifu kwa moyo mnyoofu ninapoendelea kuzichunguza hukumu zako za uadilifu!(Zaburi 119:7)🙏🙏🙏

  • @fazilabahati1562
    @fazilabahati1562 2 года назад

    Amen🙏🏿