Dah! MAGUFULI HOI, Mchungaji MGOGO Amvunja MBAVU Balaa "TUMEKUELEWA"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 30 окт 2024

Комментарии • 83

  • @kalumbugideon4159
    @kalumbugideon4159 3 года назад +5

    Rais wetu wa Tanzania yetu ni Yeye John Pombe Joseph Magufuli safiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii Sanaaaaaaa Rais wetu wa Tanzania

  • @bukurur.jeandedieu6688
    @bukurur.jeandedieu6688 4 года назад +6

    Raïs wetu wa afrika baba Magufuli ana eleweka vizuri. Ame chaguliwa na Mungu pekee ili alete tumaini kwa Afrika nzima.

    • @amonimlele9459
      @amonimlele9459 4 года назад +1

      Kweli kabisa

    • @FrankMwamlenga
      @FrankMwamlenga 2 месяца назад

      😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊

    • @FrankMwamlenga
      @FrankMwamlenga 2 месяца назад

  • @magretyshoo9306
    @magretyshoo9306 3 года назад +4

    Ni kweli tumemwelewa Musa wetu atupeleke Kaanani nchi ya Ahadi ya asali na maziwa.

    • @shukuranikibona5893
      @shukuranikibona5893 3 года назад

      Ulimwita Musa,kweli katuacha katikati ya safari,but Mungu ni mkubwa atapa Yoshua atufikishe Kanaani!!!

  • @marioofans5147
    @marioofans5147 5 лет назад +42

    like zenu hapa wagogo wenzangu

  • @mako331
    @mako331 5 лет назад +6

    Safi sana mchungaji, hebu hawa chadema wasikie hayo, yani ukisikia wanavyoongea utadhani hawaishi Tanzania, piga kazi mkuu na uchaguzi ujao watashangaa

  • @ireneochieng435
    @ireneochieng435 3 года назад +3

    R. I. P Magufuli. We loved you but God loved you most. Love from Kenya.

  • @roviykamage5423
    @roviykamage5423 5 лет назад +15

    Raisi sisi wenye macho tumeona tanzania ya viwango vya juu juu juu kabisa tumemekuelewa sna

  • @roselynenyanda1757
    @roselynenyanda1757 3 года назад +1

    Dah...life

  • @damianmakala2913
    @damianmakala2913 5 лет назад +11

    Tumekuelewa tena sana tu ! Hata wale wanaokupinga wamekuelewa sema wanaogopa kusema tumekuelewa hadharan wanaogopa kupoteza wafuasi wachaaache walio nao ambao nao wamekuelewa pia wanaogopa kusema wanaweza wakafukuzwa na kunyang'anywa tonge walilonalo kwa kusema ukwel ila wanabaki nayo moyon !

  • @danfordmwangesile9043
    @danfordmwangesile9043 5 лет назад +7

    Mgogo nakuelewa sana mchungaji

  • @alfankyombo2399
    @alfankyombo2399 3 года назад +3

    Alfan KYOMBO

  • @godiebaa6994
    @godiebaa6994 5 лет назад +5

    Nimeipenda faslafa yako ya ujenzi dhidi ya uumbaji. Umeihusianisha vema sana

  • @fabiankyando1189
    @fabiankyando1189 5 лет назад +8

    Ukweli humweka mtu huru, Tumekuelewa Rais wetu mpendwa

  • @binurusm8886
    @binurusm8886 5 лет назад +5

    Hee !! kumbe hata Biblia ina Milango kama Msahafu, Kweli sisi sote ni Wamoja, ila basi tu, asante Mchungaji Mgogo Leo umetuzindua wengi, Mungu akubariki Mtumishi wa Mungu, Aamina.

  • @rahimaaaaa8699
    @rahimaaaaa8699 5 лет назад +9

    Safi.Mgogo

  • @imatobosso9483
    @imatobosso9483 3 года назад +1

    Afadhali walimuenzi rais alipokuwa hai.

  • @kalungikingalu9694
    @kalungikingalu9694 4 года назад +2

    Nakukubali sana mchungaji

  • @shukrankifyasi1500
    @shukrankifyasi1500 4 года назад +3

    Pamoja sanaa

  • @DolikasiYusufu
    @DolikasiYusufu 4 месяца назад

    Nakunda samchungaj unsemakweli

  • @eliyawilliammagesamarwa8413
    @eliyawilliammagesamarwa8413 5 лет назад +5

    Tunakuhelewa Sana rais

  • @joahkimmkilila4145
    @joahkimmkilila4145 4 года назад +2

    tuna mkubali Rais wetu

  • @jomwenomkali6626
    @jomwenomkali6626 4 года назад +2

    Ongera mwamba

  • @hosrsmkubna8361
    @hosrsmkubna8361 5 лет назад +2

    Ubarikiw

  • @godenlusekelo1794
    @godenlusekelo1794 4 года назад +3

    Kweli huyu andendekisye

  • @spirianjohn810
    @spirianjohn810 4 года назад +5

    Add a public comment...mungu aifanye ncji ytu iwe ya aman

  • @reginacharles1913
    @reginacharles1913 3 года назад +1

    WaTz tumekuelewa

  • @josephmlela9757
    @josephmlela9757 4 года назад +2

    sawa mch tumeelewa

  • @hamisikaisi461
    @hamisikaisi461 5 лет назад +3

    tumekuelewaaa babaaa

  • @amminamour5187
    @amminamour5187 3 года назад +1

    Buy

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 3 года назад +2

    Tumekuelewa

  • @benichanga6750
    @benichanga6750 3 года назад +1

    Maneno meng sana wewe

  • @lamecktheonest225
    @lamecktheonest225 5 лет назад +4

    Tumekuelewa,,, walioweka pamba masiko watazitoa tu

  • @raymondphillipo4485
    @raymondphillipo4485 2 года назад

    R.I.P

  • @maggykavata9439
    @maggykavata9439 3 года назад +1

    baba tumekuelwa

  • @pamphilherman2913
    @pamphilherman2913 4 года назад +1

    Good mgogo

  • @williamuphilipo7447
    @williamuphilipo7447 5 лет назад +1

    Safiii...

  • @baracklukas8830
    @baracklukas8830 3 года назад

    Ubalikiwe

  • @mariamwakabuta1034
    @mariamwakabuta1034 4 года назад +3

    Wateja wako?

  • @zumbeshauri8114
    @zumbeshauri8114 5 лет назад +2

    umeeleweka mgogo

  • @jumapjuma3020
    @jumapjuma3020 3 года назад

    RIP

  • @baltazaraxwesso8675
    @baltazaraxwesso8675 4 года назад +2

    Tony kapola

  • @anthonyfaru9908
    @anthonyfaru9908 5 лет назад +6

    WATU wakiw bize kumpa presha jamaa anazidi kutabsamu tuuuu

  • @harounmtaki3814
    @harounmtaki3814 3 года назад

    R.i.p rais wetu leo 17 ume2acha namajonzi

  • @florachogo5537
    @florachogo5537 5 лет назад +1

    Raisi tumekuelewa

  • @alfredlimu308
    @alfredlimu308 5 лет назад +1

    Tumemuelewa sana tu

  • @jomwenomkali6626
    @jomwenomkali6626 4 года назад +3

    Uncler magu we ni mwamba ndo mana kijana wako nimekupa surprise ya wimbo. RUclips. Andika Jomweno.momba.tazama kazi yako baba.

  • @lwitikomwakibete7525
    @lwitikomwakibete7525 5 лет назад +5

    Piga makofi

  • @tabufredmakunga8436
    @tabufredmakunga8436 3 года назад

    Niyeye eee

  • @samsongabriel8733
    @samsongabriel8733 3 года назад +1

    Wachungaji mmeshachanganyikiwa badala ya kufanya kazi ya mungu mnafanya siasa.ajabu sana

  • @badenbensoni7516
    @badenbensoni7516 5 лет назад +2

    Amen

  • @hilalisaidseif8483
    @hilalisaidseif8483 5 лет назад +1

    Wateja wake hahahaha

  • @togetherchristiansmedia3437
    @togetherchristiansmedia3437 4 года назад +3

    Hahahahaha

  • @mozejcs9160
    @mozejcs9160 5 лет назад +7

    Ongea ukwel km ww ni mtumish wa mungu, na sio njaa!
    Ongea pia na khs ukabila, ukanda, undugu ulioshamili serokalin' na pia maendeleo yanayopelekwa kwa upendeleo bila kubalance siasa za chuki na ajue kwa sisi wote ni watanzania na nchi ni yetu sote sio ya kabila au kikundi cha watu! Na pia ajue kwa sifa anazopewa ni tofauti kabisa na uhalisia

    • @nicholouskuyenga7607
      @nicholouskuyenga7607 5 лет назад +1

      Pole sana

    • @wosoro07
      @wosoro07 5 лет назад +1

      moze jcs kayaongee wewe sio mpaka akusemee!

    • @douglasjackson373
      @douglasjackson373 5 лет назад

      moze jcs
      -Daah ww jamaa ni mzima kweli? Anyway ni maoni yako:

    • @mozejcs9160
      @mozejcs9160 5 лет назад

      Tatizo wakubwa mmekaa jikon hamtaki kujua ukwel wa mambo yanavyokwenda! Nyny mnalipwa kwa kusifiA kila kitu sisi wananchi ndo tunaumia!

    • @esperanceruziga1990
      @esperanceruziga1990 4 года назад

      Mchungaji ana njaa. Moze sio Raisi ndo ana mlisha kila siku

  • @sharifaabdullah6825
    @sharifaabdullah6825 5 лет назад +4

    Tumekuelews

  • @alfankyombo2399
    @alfankyombo2399 3 года назад +1

    Alfan KYOMBO

  • @hurumagideon8335
    @hurumagideon8335 4 года назад +1

    Tumekuelewa