Jamani mwenyezi mungu amemnusuru huyu mtoto , hebu muwekeni sehemu nzuri ya utulivu kalale ,sio mikononi mwa watu tu . Kumbukeni hakana mama yake kwa kumnyonyesha , maradhi ni rahisi kumpata. Mwenyezi mungu amtunze.
Innalilah wainnailayhi rajighun Tunakuomba Allah umpokelee matendo yake mema na pale alipokosea msamehe yarrabi nasi utujaaliye mwisho mwema Amiin yarrabi
Ila mtoto bado mchanga, watu wasipokezane kama mpira.mlaze kwenye tenga la watoto lenye net watu wamwone ndani ya tent kwenye net. Sijuhi nimeeleweka!!!
@@OfficialA83640sio imani ni kuepuka maradhi madogo madogo kumbuka huyo bado mdogo mtu anatoka huko na magonjwa yake anakuja kumhemea mtoto na au ana mapafum uko ampe mtoto mafua hapana sio sawa ki afya kwan ww hukuambia na madokta ulipo jifungua ??
Yaan me mwenyewe nimeshangaa afu anavyojieleza kila mstari anatia mm ndo kaka kaka jmn anasema watoto hawana mtu mwengine zaidi yangu unazan huyo mume wa marehem anajiskiaje jmn dahh 😢
@@EddahBure-te7ftkama umesikiliza kwa makin apo ni pa mwanamke yaan yy marehemu alijenga mwenyewe baadae ndio akampata mme na marehemu anawatoto wawili ambao uyo sio baba yao
Mungu wewe ni WA miujiza nakuomba sana umkuze mtoto huyo mpe hekima na maarifa akue akujue wewe MUNGU Amina
Yote n mipango ya Mungu😢 Pumzika kwa amani kipenz.... Malaika wa Mungu ukue vyema mwanangu
Maashaallah mlikua mnapendana ivyo ndivyo inavyatakiwa waislam kupendana hasandugu.nimependa sana
Alhamdulillah Alakulhall Mungu anajua nini chakumfanyia mtoto huyu ktk maisha yake
M/mungu amfanyie wepesi mtoto Nuru, akue kwenye maadi mema na afya njema.
🥹🥹🥹 Mwenyezi Mungu awatie nguvu wafiwa na ampe afya njema mtoto. Amina.
Mungu atamuongoza inshaallah
Poleni sana wafiwa
Pole kaka wa marehemu na mume na marehemu allah amkuze mtoto awe mtoto mwema , kwa mama innalillah wainan lillah rajoun
امين يارب
Allahuma Aameen Yaarb Alaameen 🤲
"Allah" andika kwa herufi kubwa Shukran Shukran
Jamani mwenyezi mungu amemnusuru huyu mtoto , hebu muwekeni sehemu nzuri ya utulivu kalale ,sio mikononi mwa watu tu . Kumbukeni hakana mama yake kwa kumnyonyesha , maradhi ni rahisi kumpata. Mwenyezi mungu amtunze.
Mwenyezi mungu ni mwema amfanyie wepes inshallah akupe mtoto wetu jamani
Mungu ni mwema sana
Sasa msindikizaji nae anaendaje hospital na mtoto mchanga wa miezi mi3 tena kwenye boda boda jaman msichezee uhai Subhannallah Allah amrehem😢😢😢
Poleni sana mume na ndugu wa marehemu
Asalam aleykum.tunaomba namba za cm tuchangie maziwa ya mtoto. Na mtoto apewe jina la sharifa
😭😭😭😊😊😊😊😊😊Mungu atabaki kuwa 😊😊mungu
Innalilahi wainailihi rajiun Allah amkuze vyema mtoto inshallah
Aki babangu pole mungu akupe subra Leo na kesho
Mungu amtunze ampe Arya njema na maisha marefu mtoto huyu
Tumshukuru Mungu sana na ninaomba MUNGU amkuze AMINA
Allah amrehemu
Mungu asaidie nauyo daa jamni itakua lami iyo ime mchuna iyo ngzo daaa poleni jamni 😭😭
Allahu akibarr😭inalillahi wainailahi.rajuun. Allah awape subra. Inaumiza ila Allah mkubwa mtalipwa kwasubra lnshaallah😢🤲
Inalilah waina ilah rajiun polen sana ndugu zetu 😭
Allahuakbar
Yaani serikali hii!!!!
Iko kimyaaa!
Where are you waziri wa afya.
Kwanini serikali isisaidie hiki kichanga.
Wapo busy kujilimbikizia mimali wabinafsi mno
Innalilah wainnailayhi rajighun Tunakuomba Allah umpokelee matendo yake mema na pale alipokosea msamehe yarrabi nasi utujaaliye mwisho mwema
Amiin yarrabi
Tehamam ni nini jamani waislam? Pia pole sana wafiwa na mungu awatie nguvu na kumlinda mtoto akue vyema
Yaani kitu kidogo raisi la kumuomba mungu amkuze mtto na mama mungu qmlqze mahali pema peponi
Yani sijui rais anahusikaje apo kaanza vizuri tu mwisho anaanza uchawa
Alitaka kusema rahisi nafikiri@@simbamtoto7530
Polen wafiwa
Mama gwajima aingilie kati hili uyu mtoto alelewe na serikali
Watanzania tumtunze mtoto huyo kwa chochote wizara ya afya msaada naye aendelee kupata tabasamu
Wizara ipi kwa nchi ipi ?umewaskia hata Ustawi wa jamii yenyewe?
Kila nikiandika nafuta, ila kanikera kumtaja mama samia hapo, sasa kaingiaje , upuuzi tu KMMK
Mmepeleka Nini zaidi ya content...,waandishi lkn
Exactly
Nyie mnataka kuchelewesha msaada tu, hadi iyo account ipatikane ni lini tajeni namba watu wachangie nyie mwatafuta mbwembwe mtaachwa mjutie mda mlio upoteza
Yaani badala aseme wenye mimba wawezeshwe isafiri ana msifia Samia😢😢😢
Nchi hii imekuwa ya kishamba sana Raisi kafanywa Mungu haikuwahi kuwa hivi na inazidi kuwa ya ajabu
Ila mtoto bado mchanga, watu wasipokezane kama mpira.mlaze kwenye tenga la watoto lenye net watu wamwone ndani ya tent kwenye net. Sijuhi nimeeleweka!!!
Acheni imani zenu za kishrk
@@OfficialA83640nawe Kwan hapo kaongea kipi kinachohusiana na ushirikina
Hatun kiteng wal neti kit mkon iman tyu hiz
@@OfficialA83640sio imani ni kuepuka maradhi madogo madogo kumbuka huyo bado mdogo mtu anatoka huko na magonjwa yake anakuja kumhemea mtoto na au ana mapafum uko ampe mtoto mafua hapana sio sawa ki afya kwan ww hukuambia na madokta ulipo jifungua ??
@@EddahBure-te7ft👍👍 ni hakika
Kaka usiingize hili suala kisiasa wewe acha usaidiwe ukitia fitna utabaki mwenyewe. Tafuta ubinaadamu na sio siasa izo waachie wanasiasa .Usimtie mtoto kisiasa
Polen sana
Fateni ushauri huu mzur
Shemegi kasema la maana
Wewe muislam mavazi ya kikafiri vipi? Badirikeni kuiga tamaduni za kupotosha.
Siku ya msiba alitoa Aya za Qur,an na vazi lake la kidini ila leo kajiachia km sio yy
Hapa patakuwa na shida kaka atataka kukaa hapo na shemegi akae hapo
Yaan me mwenyewe nimeshangaa afu anavyojieleza kila mstari anatia mm ndo kaka kaka jmn anasema watoto hawana mtu mwengine zaidi yangu unazan huyo mume wa marehem anajiskiaje jmn dahh 😢
@@EddahBure-te7ftkama umesikiliza kwa makin apo ni pa mwanamke yaan yy marehemu alijenga mwenyewe baadae ndio akampata mme na marehemu anawatoto wawili ambao uyo sio baba yao
Iyo nyumba ni ya mwanamke kwaiyo hata akikaa uyo kaka ni sawa tu @@EddahBure-te7ft
Hvi boda na yule msindikizaji mbona hawaongelewi kama walinusurika au la!
Wameongelewa mama sindikizaji kanyofoka nyama ya mguu yoote, yuko hospital mtt kapona, dereva wa bodaboda kavunjika mguu pia