MKASA wa KWELI - ATOA SOMO kwa WANAOABUDU SHETANI BADALA ya MWENYEZI MUNGU - ASIMULIA YALIYOMKUTA...

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 фев 2025
  • MKASA wa KWELI - ATOA SOMO kwa WANAOABUDU SHETANI BADALA ya MWENYEZI MUNGU - ASIMULIA YALIYOMKUTA...
    #HARDTALK #HARDTALK #HARDTALK #HARDTALK #HARDTALK #HARDTALK #HARDTALK #HARDTALK #HARDTALK #HARDTALK
    JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.....
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Комментарии • 104

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  3 месяца назад +5

    JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...

  • @paulabelleghe451
    @paulabelleghe451 Месяц назад +1

    iko very immotional nakumbuka majini yaliwavaa kak na dada yangu chjabu wakiombewa wanataja jina la baba wanamuona juu nlkua maogopa sana

  • @kelvinnyonyi9082
    @kelvinnyonyi9082 3 месяца назад +1

    Kuwa mtumishi wa Mungu unahitaji nguvu za Mungu, watumishi wanaanza huduma pasipo nguvu, na nguvu ikiwepo basi ni hafifu.

  • @Sidrasidra636
    @Sidrasidra636 3 месяца назад +5

    Duh! Acheni uongo!

  • @Yumiya-i8y
    @Yumiya-i8y 3 месяца назад +2

    Hii inawezekana na kupona unaweza kupona kwa nguvu za Mungu Au unaweza kupewa mume aliyetoka kwa majini bila kujuwa ndiyo majini yanatulia.Hivyo haya mambo yanahitaji hekima ya Mungu kweli kweli.

  • @basilisamsaka8469
    @basilisamsaka8469 3 месяца назад +1

    Mambo haya yapo sana tunayaona kanisani watu wanafunguliwa sana kwa jina la YESU

  • @YESESudjonga
    @YESESudjonga 3 месяца назад

    Story nzuri sana

  • @kisakim5660
    @kisakim5660 3 месяца назад +23

    Mbona kama msimuliaji katunga story 😢😢😢😢😢 au nimimi tu ndio nashindwa kuamini

    • @Dastanga
      @Dastanga 3 месяца назад

      😂😂😂😂

    • @charlestangawizi9191
      @charlestangawizi9191 3 месяца назад +1

      upo sawa, hawa wanatuchezea akili

    • @OmariKidamali
      @OmariKidamali 3 месяца назад +1

      Drama hakuna Chochote cha ukweli anacho ongea😅😅😅halafu anachekacheka haoneshi seriousness

    • @basilisamsaka8469
      @basilisamsaka8469 3 месяца назад

      Jamn ni kweli kabisa msikatae

    • @basilisamsaka8469
      @basilisamsaka8469 3 месяца назад +1

      Sema km hujawahi kukutana na mauzauza

  • @eunicegerminus193
    @eunicegerminus193 3 месяца назад +5

    Binafs cjaona uwongo wake ila kwa7bu wabongo tumezoea kudanganywa kuna watu tumekutana na majambo tukicmulia mtazani pingu😂😂😂mkumbuke pia kuna wengine hawajui kujieleza

  • @BimHamdi
    @BimHamdi 3 месяца назад +2

    Sura ya nandy kwa mbaali

  • @eliassolomon1149
    @eliassolomon1149 3 месяца назад +3

    Hapa tumepigwa madam...huyu mpeleke kwa lamata wakaandike story.

  • @maryamabdallah3140
    @maryamabdallah3140 3 месяца назад

    Zumaridi 😊

  • @joycemuhoja4729
    @joycemuhoja4729 3 месяца назад +1

    Mwanzo sijaona

  • @geraldadolf4928
    @geraldadolf4928 3 месяца назад +3

    Uongo

  • @FrenkMushi-i7f
    @FrenkMushi-i7f 3 месяца назад +1

    Ni atariii lakini ni salama😂😂😂😂😂😂

  • @emmanuelmwesongo7177
    @emmanuelmwesongo7177 3 месяца назад +4

    Inawezekana story yako ni ya kweli dada angu ila the way una present unaonekana muongo haupo serious
    Jifunze kuongea au kupangilia maneno yako

  • @queentanitah1346
    @queentanitah1346 3 месяца назад +2

    Lilly hivi unakuwa unazihakikisha hizi simulizi kabla ya kuruka? Namaanisha unachokirusha unakuwa na uhakika nacho?

  • @magretangel5242
    @magretangel5242 3 месяца назад +1

    Uongo.

  • @SajeedaBilal-hg2ph
    @SajeedaBilal-hg2ph Месяц назад

    Da Lily,usituletee watu wenye story za uongo,we utolewe na jini na anajua unaenda kusema mambo yao wanakuua au wanakufanya chochote kile

  • @revocatusbusia
    @revocatusbusia 3 месяца назад +4

    Huyo n muongo

  • @JihaadIsmail
    @JihaadIsmail 3 месяца назад +1

    Acha uwongoo

  • @RudiaKassanda
    @RudiaKassanda Месяц назад

    Nina kijana wangu anasema kuwa maisha yake yote anaona giza tu , anabaki kuvuta sigara tu

  • @mariamalmas5994
    @mariamalmas5994 3 месяца назад +1

    Yani hata anavyo adisiya haoneshi uhalisiya 😅 kama ni kweli

  • @Montana12-v2c
    @Montana12-v2c 3 месяца назад +1

    Hivi Nani aliiwaambia jini ni nyoka 😂😂😂😂😂😂

  • @joycemashika
    @joycemashika Месяц назад

    Huyu dada muongo aiseee kwanza anakisirani alikuja officen kwangu akawa anahudumiwa na kijana wangu dada Ana dharau sjui anajikutanani aloo

  • @RevinaLucas
    @RevinaLucas 3 месяца назад +2

    Wengi mnasema huyu dada katunga stori sio kweli namjua vizur na huo ndo ukweli 💯

    • @rubigeorge8410
      @rubigeorge8410 2 месяца назад

      Huyo prophet muulize mm na taka niende jaman

  • @neemalambo9790
    @neemalambo9790 2 месяца назад

    Jamani mbona sijasikia chanzo cha hii story kama inaendelea tu, ilikuwaje dada akawa lwa shetani

  • @maryamsuleiman6340
    @maryamsuleiman6340 3 месяца назад +1

    Mambo yamaajabu yapo ktk Dunia hii ,mimi nimeshaona kw macho yangu kabisa ,mtt wangu wakumzaa akiwa upande mmoja wa uso wake nimtu wakutisha sana ,najicho lake 1 km mtu aliepata ajali hilo jicho linaning'inia tena nikubwa,nilipiga yowe kubwa ,alikuepo namumewe ,aliniuliza vp ila sikuwaambia pale ,nasikuyapili nilienda nae Hospital ,mana alikua natatizo lahilo jicho ,niliporudi nikaswali mwenyewe chumbani nikaombea sana hizo dawa ,kishaniliwapa wakatumie ,nakilichofuata ,alienda mkwewe wakike nakuziona naalisema hutapona ,ila kilichotokea hilotatizo lilirudi kwake aaliumwa nae macho naalishindikana matibabu ,naalipofuka macho ,hadi umauti ulimkuta akiwa kipofu ,ttz huyo mama alikua anafuga Majini ,nashida ilianza pale alipokua hakutimizia Marini yake adazao ,nawalivamia harusi ya mtt wake alipokuja kumuoa mwanangu ,nikisa kirefu mtangazaji

  • @HellenMahumi
    @HellenMahumi 3 месяца назад

    Lily naomba uwaji kuileta hii simulizi ili wengi tufunguliwe

  • @GraceMarine-vo9hu
    @GraceMarine-vo9hu 3 месяца назад +1

    Kwanza mwanzo wahii ukowapi? Maana naona kama imeanzia katikati, nahayo majini yalimpataje mara mengine yanaishi na mama yake ilikuwaje wakapata majini? Nayalitoka wapi? Na baada yahuyo mtu kumwita nakumwambia zuena toka huko akatoka watu wakaanza kumshangaa nakumuuliza unamjua huyu, watu hao walikuwa wapi na walitoka wapi? Unamjua huyu nani?

  • @ZawadianaMwangosi-is2jm
    @ZawadianaMwangosi-is2jm 3 месяца назад

    Mwanzo wa story ni upi? Mbona sielewi aliingiaje ktk hayo maisha mwanzo kabisa

  • @rosemarymwakitwange6257
    @rosemarymwakitwange6257 2 месяца назад

    Huyu bado hajafunguliws kujua Mungu wa kweli ni wa Ibrahim, isack na Jacob ukishasikia haya ya Mungu wa Baba yangu wa kiroho ujue ni boya

  • @salomepangani7969
    @salomepangani7969 3 месяца назад +1

    Halafu jitahidi kuweka spelling zako vizuri (sio Ilinga ni Iringa) ila hiyo story mmh moja haikai mbili inakataa😮

    • @narknark4249
      @narknark4249 3 месяца назад

      Not spelling it's called pronunciation

    • @rosemahenge9071
      @rosemahenge9071 3 месяца назад

      Spelling kwani anaandika jamani si anaongea🤣🤣

    • @Yana_queen1
      @Yana_queen1 3 месяца назад

      @@narknark4249ht spelling ni sawa..eg can you spell IRINGA?!

    • @upendolyimo688
      @upendolyimo688 Месяц назад

      ​@@rosemahenge9071haha😂😂😂

  • @Sheymoviestore_09
    @Sheymoviestore_09 3 месяца назад

    Yani niling'atwa na nyoka mimi😅😅😅😅upuuzi mtupu

  • @JokhaSaid-e1c
    @JokhaSaid-e1c 3 месяца назад +1

    Nandi kapimeni dna na huyu mdada

  • @ifmknowledgepower7333
    @ifmknowledgepower7333 3 месяца назад

    Hii story mbona naona ni tunzi tungo tu 😂😂Shetani hana NGUVU kiwango hicho cha kumteteresha mtu mwenye MUNGU mwombaji Bwana.

  • @Yana_queen1
    @Yana_queen1 3 месяца назад +4

    Mungu wa prophet Simon ??! Ndo nini sasa….

    • @maryjosephat2885
      @maryjosephat2885 3 месяца назад

      Itakuwa kila mtu ana Mungu wake humu duniani

    • @azzaalmalki41
      @azzaalmalki41 2 месяца назад

      ​@@maryjosephat2885Wewe huna Mungu ndugu yangu

    • @marianabenangodi5522
      @marianabenangodi5522 2 месяца назад

      Mbona we ukitaka kuanguka una sema mungu wangu.😂. Na Simon nae ana wake

  • @vickysteven1172
    @vickysteven1172 3 месяца назад

    Ila kama uhalisia haupo😂

  • @Montana12-v2c
    @Montana12-v2c 3 месяца назад

    Ulale na nyoka uende kazini alafu urudi nyumbani 😂😂😂😂😂😂😂

  • @rosemahenge9071
    @rosemahenge9071 3 месяца назад

    Dada Lilian naomba kuuliza,kuna siku nililala mida kama ya alfajiri hivi nikajisikia kama nakambwa ile najaribu kulia kuomba msaada sauti haikutoka mana nilikabwa sana,lakini nikawa nasikia nje watu wanaongea (WAPITA NJIA ) nikawa nasema Mungu wangu kimoyo moyo muda kile kitu kikaniachia je,hii hali huwa inasababishwa na nini? Na ilishanitokea zaidi ya x2

    • @upendochiwa25
      @upendochiwa25 3 месяца назад

      Kilichokuwa kinafanyika ni maono kwamba ni ualisia

  • @ChristinaLumato
    @ChristinaLumato 3 месяца назад

    Mmmmmh

  • @BabaFarzan-ml4er
    @BabaFarzan-ml4er 3 месяца назад

    😅😅😅 Lamata unamuona director mwenzio
    😂😂😂

  • @tatuaamuuinyi9633
    @tatuaamuuinyi9633 19 дней назад

    Huyu dada zuu simuamini hata kidogo

  • @ManaseMoleli
    @ManaseMoleli 3 месяца назад +4

    Tulioko rohoni tumemuelewaYesu atusaidie

  • @Sarah-g9v4w
    @Sarah-g9v4w 3 месяца назад +2

    Yaani hao wanaomtokea wanaongea nae kisoft soft hivyo? Kwamba unaenda tena kutusema sema, halafu unawambia niacheni bwana na wao wanaondoka? 😂😂😂😂

    • @FrenkMushi-i7f
      @FrenkMushi-i7f 3 месяца назад +1

      😂😂😂😂😂😂 ni atar na lakini salama

    • @margarethndyamkama5537
      @margarethndyamkama5537 3 месяца назад +1

      😂😂😂😂

    • @Yumiya-i8y
      @Yumiya-i8y 3 месяца назад

      Hiki anachosena huyu dada ni kweli kabisa .Kwani Ibilisi yupo na anatenda kazi kabisa .

    • @lilianjoseph5290
      @lilianjoseph5290 3 месяца назад

      😂😂😂😂😂

    • @jadetoto
      @jadetoto 3 месяца назад

      Nimechekaaaa bwana kuna nguvu ya Mungu iliingilia kati wakawa hawana nguvu

  • @emmymgonto4110
    @emmymgonto4110 3 месяца назад

    Hata sielewi kitu

  • @Montana12-v2c
    @Montana12-v2c 3 месяца назад

    Sio kweli muongo mkubwa huyu dada

  • @kulthumsaif2856
    @kulthumsaif2856 3 месяца назад

    Uwongo ulio wazi 😂

  • @Rose-ue2ho
    @Rose-ue2ho 3 месяца назад +2

    Sijuwi nisadiki au nisisadiki🤔

  • @kanankirannko6174
    @kanankirannko6174 3 месяца назад

    Wala hadanganyi

  • @HafidhAli-b6e
    @HafidhAli-b6e 3 месяца назад +1

    Uongo matupu Malaya wahed

  • @leahbrian3167
    @leahbrian3167 3 месяца назад

    watu wa iringa wana hiyo shida

  • @philemonmagesa5548
    @philemonmagesa5548 3 месяца назад

    Huyu dada muongo yani kujitafutia umaarufu Kwa lazima ww unanini mpaka uandamwe hvyo

  • @sleeprelaxation8431
    @sleeprelaxation8431 3 месяца назад +1

  • @catherineangaufoo2530
    @catherineangaufoo2530 3 месяца назад

    Mmmmmh...my dear kama nakuelewa lakini inakataaa. Haya ni mambo ya rohoni lakini mmmmmh

    • @jeremiakalekezi2301
      @jeremiakalekezi2301 3 месяца назад

      24:08 Mimi Nimehubri Injili Mambo Hayo Jisha Kutana Nayo Ila Kwa Huyu Dada Kunamahala Ananogesha Sitor Kwanza Amesema Mme Alienda Kutowa Mahali Bila Talifa Kwatamaduni Zawatanzani Hilo Haliwezekeni Pili Ndoa Ili Ifungwe Zipo Siku 21 Za Tangazo La Ndoa Kishelia Tatu Huwezi Kufunga Ndoa Na Mtu Ambae Hajabatizwa Kwa Maji Mengi Kama Mulokole Au Kama Hajaokoka Hailuhusiwi Kufunga Ndoa Mwisho Ndoa Lazima Ishelekewe Na Wazazi Wa Pande Mbili Hapo Amesema Alisafiri Kutoka Ilinga Kuja Kufunga Ndoa Dar
      Nini Nimegundgua Huyu Anamtangaza Nabii Wake Ili Jamii Iamini Ndio Ananguvu Kuliko Makanisa Yote Jambo Ambalo Ni Uongoo Mkubwa Nakama Amebadilika Kwanini Aongee Na Majini Tena Wakati Ameisha Kuwa Mtu Mwingine Mwenye Akili Ajiwe Namna Ya Kuchanganua Maneno Haya

  • @paulabelleghe451
    @paulabelleghe451 Месяц назад

    huyu dada sio muongo kunawatu wanaongea kwa style hii mi enyewe nikiongea utasema natania

  • @Deedlr4767
    @Deedlr4767 3 месяца назад

    Mh😂

  • @Solohseleh
    @Solohseleh 3 месяца назад

    yaan ukitaka Chanel yako idumu na kupata views wengi achana na story za kujitungia na uongo maana wat wakisha aanza kujua huto pata watu maana watakuwa wanajua vipindi vyako ni zauongo. alafu wana 🚶🚶🚶🚶🚶🚶

  • @denismugisha2
    @denismugisha2 3 месяца назад

    Ushuhuda wa kupaishana

  • @annydeus8793
    @annydeus8793 2 месяца назад

    Mimi underwear ilikatwa na mkasi jmn

  • @sophiakimaro5174
    @sophiakimaro5174 3 месяца назад

    Nachojiuliza kama mume wake alikuwa ameokoka alishindwaje kupambana na hilo joke?mmmmh!!