Nimeipenda sana ila huyu mrembo azingatie sana kofia ya kichwa(helmet)kwa sababu pikipiki zimeondoa sana maisha ya vijana watanzania ambao ni nguvu ya taifa😢😢
Ila wabongo bwana..Mbona wanawake wengi wanaendesha pikipiki..Nenda Thailand, Indonesia na China mjionee..Tena watu wanatakiwa kuwa na piki piki kupunguza foleni..hasa wanafunzi wa chuo.
Na mi na penda hii kitu balaaa lkn muonga kujifunza naona gumu lkn baiskeli najua niajua tu nilinunua nikampa mtu dy waka akaipigiza choka mbaya mara haleti pesa nikaamuakuiuza kwa screpa dadeki zake

mtangazaji jibu salamu bwana usha ni kera 😂
Ila wabongo bwana..Mbona wanawake wengi wanaendesha pikipiki..Nenda Thailand, Indonesia na China mjionee..Tena watu wanatakiwa kuwa na piki piki kupunguza foleni..hasa wanafunzi wa chuo.
Ubaya ubwela dada angu 😅😅😅😅
Mimi mwenyewe naendesha pkpk na hamjaniona
Kofia ya usalama mrembo....hata Kama unaenda mtaa wa pili kununua Chapati vaa helmet.
Unapendezea lkn ni atarii
Pikipiki hatari?? Vaa kofia.
Naaam insha allahu
Na mi na penda hii kitu balaaa lkn muonga kujifunza naona gumu lkn baiskeli najua niajua tu nilinunua nikampa mtu dy waka akaipigiza choka mbaya mara haleti pesa nikaamuakuiuza kwa screpa dadeki zake
Avae helmet
Si wengeni tunaendesha kutoka dar to Dodoma
Saloon ikowap
Helmet,sidemirrow, ni mihimu
❤❤❤❤❤❤
Hakuna mrembo hapo huyo ni dungaembe tu kama madungaeme wengine
😆😆😆😆
Mmmh wivu TU
Acha kudharau bodaboda wewe fala
Hii nayo habari mmeona mtuletee subscribers wenu si ndio
ww Acha
Ni dharau hizi yani mm siwaelewi Ayo tv tunawaamini sasa wanaanza uchawa