Mch Daniel Mgogo - Madhara ya Dhambi Evening Glory 11th July 2018

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 26 ноя 2024

Комментарии • 27

  • @FlavieKatembo
    @FlavieKatembo 6 дней назад

    Asante sana Pata . Mungu aku bariki.

  • @ahadingimbudzi1633
    @ahadingimbudzi1633 6 лет назад

    Ahadi Ngimbudzi
    Ahadi Ngimbudzi
    1 minute ago
    MUNGU AKUBARIKI SANA MTUMISHI.MIMI PAMOJA NA MKE WANGU TUNABARIKIWA SANA NA NENO LA MUNGU KUPITIA MASOMO UNAYOYAFUNDISHA.Kila siku jioni tunapata vipande.MIMI NA MKE WANGU TUMEOKOKA ,TUNAMPENDA SANA YESU.
    KARIBU SANA LUANA- LUDEWA -NJOMBE KWA INJILI ILI WATU WAPONE.

  • @muhozanadia-oz9yo
    @muhozanadia-oz9yo Месяц назад

    Ongea baba tunakusikia.amina barikiwa sana

  • @webermary899
    @webermary899 6 лет назад +1

    Bwana wetu Yesu asifiwe sana, Nabarikiwa sana mtumishi na mafundisho yako Hapa Ujerumani.

  • @NdasisiraKambale
    @NdasisiraKambale 2 месяца назад

    Asante pastor kwa maa huhubiri Yana nigusa

  • @magrethclement7243
    @magrethclement7243 5 лет назад +2

    Mungu niumbie moyo wa toba, Mungu akubariki mtumishi.

  • @georgemorara2340
    @georgemorara2340 6 лет назад +1

    May the Almighty God give you strength to keep on preaching.

  • @roviykamage5423
    @roviykamage5423 6 лет назад +1

    Mpaka michozi inatoka kwanini mm mpka leo nauhai. Asante Mungu kwakunipenda

  • @bernadethapaul8106
    @bernadethapaul8106 6 лет назад

    Mwenyezi Mungu ni mwema kila wakati. Mtumishi! Mungu akutunze!

    • @ahadingimbudzi1633
      @ahadingimbudzi1633 6 лет назад

      MUNGU AKUBARIKI SANA MTUMISHI.MIMI PAMOJA NA MKE WANGU TUNABARIKIWA SANA NA NENO LA MUNGU KUPITIA MASOMO UNAYOYAFUNDISHA.Kila siku jioni tunapata vipande.TUKO LUDEWA-NJOMBE.

    • @lightmunishi9478
      @lightmunishi9478 6 лет назад

      Pastor mimi nabarikiwa sn kwa mahubiri yako, Mungu akutunze

  • @christinakipemba1170
    @christinakipemba1170 6 лет назад

    navutiwa sanaa na mahubiri yako Mungu akuinue pastor

  • @JovinusJovenaly
    @JovinusJovenaly 3 месяца назад

    Mtumishi tunabarikiwa Sana,karibu bukoba kagera .

  • @nicole2048
    @nicole2048 5 месяцев назад

    Asanti Kwa neno , God bless you. Amen

  • @immaculeefaida7303
    @immaculeefaida7303 6 лет назад +1

    Abarikiwesana endeleya munguazidi kukupaka mafuta

  • @SimonWatabora
    @SimonWatabora 25 дней назад

    Amen Amen Amen 🙏 🙌

  • @immaculeefaida7303
    @immaculeefaida7303 6 лет назад +1

    Mchungaji ubarikiwe sana

  • @AnneNjoroge-m1f
    @AnneNjoroge-m1f 3 дня назад

    Amen

  • @magdalenamatiko9995
    @magdalenamatiko9995 6 лет назад +1

    Napenda sana mahubiri yako

  • @HappinesspeterMgaya
    @HappinesspeterMgaya 4 месяца назад

    Mchungaji tunabarikiwa na mafundisho Yako lkn mbona Tanga hufiki ,?Mungu akusaidie na akupe kibali🙏

  • @avocadotanzania3152
    @avocadotanzania3152 6 лет назад +1

    Hii ndo type ya wachungaji tunaowataka maana wengine wanataka sadaka tu

  • @immaculeefaida7303
    @immaculeefaida7303 6 лет назад +1

    Nina skiliza maubiri yako kilaleo kwakweli ninafarijika Sana

  • @SimonMaiko-g2m
    @SimonMaiko-g2m 2 месяца назад +1

    Kanisa lako mtumishi lipo wapi Mimi naitaji kuwa mwanafuzi wako

  • @jofreymkanicki4289
    @jofreymkanicki4289 Год назад

    Arikiwa sana

  • @GawaherH
    @GawaherH 2 месяца назад

    Wape dawa wagonjwa wape dozi

  • @georgemorara2340
    @georgemorara2340 6 лет назад +3

    May the Almighty God give you strength to keep on preaching.