DADA WA KAZI AGEUKA MKE EP YA 54...TUMUOMBEE MAGE JAMANI AMEENDA KUJIFUNGUA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 5 янв 2025

Комментарии • 337

  • @aishakimaro2795
    @aishakimaro2795 Месяц назад +78

    Kama unaamin mage ni kisiki cha mpingo na mama shadya kimemramba gonga like tujuane

  • @ElizabethGakii-vt6bj
    @ElizabethGakii-vt6bj Месяц назад +12

    Mungu akusaindie 🎉🎉 sana mage utajifungua mapacha

  • @Sitihaji-p4o
    @Sitihaji-p4o Месяц назад +5

    Allah atakujalia khr mage ujifungue salama mama shadia azidi kuumia nakupnda mage uko vzr ❤❤

  • @heriethmozes8151
    @heriethmozes8151 Месяц назад +11

    Mage mungu wetu hajawahi kushindwa utajifungua salama

  • @JaneNanjala-p2r
    @JaneNanjala-p2r 16 дней назад +1

    Utangoja sana hajira mage amutumainia mungu atapona utashangaa😊

  • @Clamvevotz2024
    @Clamvevotz2024 Месяц назад +38

    Nafurahi kuona Mage ameshikwa na uchungu anaenda kuzaa kwa njia ya kawaida tu na sio vile mama Shadya aliambiwa na mganga wake

    • @HhUhh-io8ix
      @HhUhh-io8ix Месяц назад

      Mganga pesa😂😂😂😂😂😂😂

  • @HidayaAbdallah-l2l
    @HidayaAbdallah-l2l Месяц назад +7

    Mungu amjalie kheri ajifungue salama pia natoa pole sana kwa ndugu zetu walofiwa ktkt jengo la kariakoo mungu awalaze marehem wote mahali pema pepon amiin thuma amiin 🤲

  • @OdetteNishimwe-u1h
    @OdetteNishimwe-u1h Месяц назад +1

    Ujifungue salaam mage mungu siasumani l

  • @SyombuaMuvengei
    @SyombuaMuvengei Месяц назад +11

    Wenzangu na mmi nipo hapa naona mshaa wai jamani nilishele nilikua kanisani nikimuombea mage kutokea kenya 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 nipeni like na mie za mbidii ya maombi🎉🎉🎉🎉

  • @shukurumakubi-kn6lk
    @shukurumakubi-kn6lk Месяц назад +6

    mponji maisha igiza niyamtu mwenye pesa lakin ungekuwa hata na gari ndogo ya kutembelea tu

  • @AminaAlo-fq8vt
    @AminaAlo-fq8vt Месяц назад +5

    Jasmine utazaa salama km unaamin gonga like❤❤❤❤❤❤

  • @sfiaalanazi5479
    @sfiaalanazi5479 Месяц назад

    Safi sana mponji kwa kumkumbuka mola wako muokoe mkeo mage kachoka

  • @MonaMwanaa
    @MonaMwanaa Месяц назад +2

    Msitukalishe appetite ikaisha nawapenda sna kweli mungu mkubwa inshallah mage atarudi na mtoto wake wakiwa wako salama❤❤

  • @WilliamMarai-l8n
    @WilliamMarai-l8n Месяц назад

    Mama shadya nampenda tu bure unajua sana ❤❤❤

  • @vitalisantony239
    @vitalisantony239 Месяц назад +12

    Kaka umeuwa sana nampenda sana mama mage very calm and wiseone

  • @AmenaMm-r5t
    @AmenaMm-r5t Месяц назад +2

    Dada mage aallah atakujalia ujifungue salam dd pia natoa mkon wa pol kwandug zet wa kariakoo walofikwa na mitian tup mbal ila tun huthunik san aallah awap subra wafiwa wot na majeruh aallah awape uzim walotangulia aallah awahifathi awasame makos yao

  • @AnnastaziaVicent
    @AnnastaziaVicent Месяц назад +1

    Mama shadia ukitoka kwenye hii muvi haita nonga jamani nakupenda san mama shadia ❤

  • @kibibimlaula2526
    @kibibimlaula2526 Месяц назад +2

    Uyu mponji mjinga sana kwan uyo shadya mwanae mpka amlipie ada angekua yatima tungeelewa

  • @javanodhiambo4392
    @javanodhiambo4392 Месяц назад

    ❤❤ Jasmine Uzaa salama Mungu yupo nawe

  • @Najmahnyangasi
    @Najmahnyangasi Месяц назад +1

    Kazi nzuri sana mponji nakupenda tu kwa kazi zako nzuri ongera sana mponji ❤❤❤❤❤❤❤❤nimefurai jasmini kushikwa na uchungu mungu amjalie ajifungue salama ❤❤🎉🎉🎉

  • @childofgoddorsila5338
    @childofgoddorsila5338 Месяц назад +4

    Jasmine ata jifungua salama kwa neema ya Mwenyezi Mungu 🎉🎉🎉🎉

  • @fatumasalim3915
    @fatumasalim3915 Месяц назад

    Mungu ajalie ujifungue salama jasimin❤❤

  • @Maftaha-k8m
    @Maftaha-k8m Месяц назад +13

    Mage ata jifungua mapacha inshaallah 🤪🤪❤️❤️❤️

    • @kadijaa7771
      @kadijaa7771 Месяц назад +1

      😂😂😂ukamsaidie kubeba

  • @FatumaBakari-c3l
    @FatumaBakari-c3l Месяц назад

    Pole mage utajifungua my....ila mm maoni yg mponji mregeshee shadia mtto wke tu ili ulimwengu umfunzi zaidi❤❤❤❤

  • @FloraDama-b6k
    @FloraDama-b6k Месяц назад +1

    Mm kutoka kenya hongera sana 🎉🎉🎉🎉 mungu amusaidie mage ajifungue salama❤❤❤❤

  • @EstherJerald-tc6ct
    @EstherJerald-tc6ct Месяц назад +1

    Mungu jalia Mr & Mrs Mponji Mungu kasikia maombi yenu

  • @imanissa5531
    @imanissa5531 Месяц назад

    Nakuombea mage uzae bila uparesheni mungu akusaidie

  • @MariaStephano-e4o
    @MariaStephano-e4o Месяц назад +1

    Mngu akuwewe mage apone

  • @GladysKarembo
    @GladysKarembo Месяц назад

    Kazi nzuri sana 🎉❤.Mage nakupenda mamaa 🎉.Ajifungue salama inshaallah 🙏♥️

  • @MwanaidiJuma-x2y
    @MwanaidiJuma-x2y Месяц назад

    Mama shadiya mama shadiya mama shadiya. Hajira hajira hajira nimekuita mala tatu... Umempiga mwenziyo ngumi yatumbo. Mungu yupo

  • @SarahNo-u8p
    @SarahNo-u8p Месяц назад

    Mwenyezi muguatamusaidiya mage

  • @VeronicahOtwori
    @VeronicahOtwori Месяц назад +1

    Kwq kweli mm leo nimeskia vibaya kuona hajra kupiga magge kwq tumbo adi damu yangu ilikimbia sana😢😢😢😢ee mungu magge anapo fika hos ajifungue salama hili mashetani wote haibike kwa jina la yesu kristo tuseme ameeen 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @tumainimgavilwa132
    @tumainimgavilwa132 Месяц назад +1

    Hajra haaachi roho mbaya tu😮😮😮 mhhh

  • @FelistaPilla
    @FelistaPilla Месяц назад +4

    Jamani hayo ni maigizo kiuhalisia ningekua nishampa mtoto wake apambane nae

  • @Stella-mq9ys
    @Stella-mq9ys Месяц назад +1

    Ma shadya uyo Kaka anakufa sana wajana na bwana wa mage

  • @khadijab7066
    @khadijab7066 Месяц назад

    Nipo nipo apa ndio naingia sasa vivuruge wangu😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤

  • @DianaKahyoza
    @DianaKahyoza Месяц назад +3

    Mungu msaidie mage ajifungue mzima

  • @JohnAdam-m7o
    @JohnAdam-m7o Месяц назад +4

    Huyo mama shadyaa hapigwi makofu lkn mbona me wananisinyaa ivo anavyomfanyiaa magie 😂😂😂

    • @kadijaa7771
      @kadijaa7771 Месяц назад

      😂😂😂 shenzi sana kampiga tna kakaimbia ndio amemtopoa sasa atazaa kwa amani

    • @LUCYMUKANGAI
      @LUCYMUKANGAI Месяц назад

      Ameshindwa na uchawi ndio sababu

    • @AminaKavuo-gj3oc
      @AminaKavuo-gj3oc Месяц назад

      Hatakufa mapama kwa kupenda huchawi

  • @Lucy-v3y
    @Lucy-v3y Месяц назад +2

    Leo nmefurahi mage yuko nauchugu nakuombea uzae salimini

  • @aminmsini3730
    @aminmsini3730 Месяц назад +1

    Hajra kapendwa huku jamani 😂😂

  • @joycemakokha9648
    @joycemakokha9648 Месяц назад

    Mama Shadia ng'oooo Wewe sio Mungu .Margy utajifungua salama Mungu wetu ni saidi ya waganga , wachawi na miungu minging

  • @Sitihaji-p4o
    @Sitihaji-p4o Месяц назад

    ❤Allah awe na ww mage wng nkupnd ❤kila la kher nikutakie uliko mwwwwww❤

  • @DianaWexa
    @DianaWexa Месяц назад +3

    Wee hajira c mwanadamu huo unyama wote😢😢

  • @MariaBwarwa
    @MariaBwarwa Месяц назад +2

    Leo nimekuwa wa Saba jamani mashabiki wa wa mage tunasonga na mwenz wa mwishomwisho❤

  • @UmyAbriya-wt4vb
    @UmyAbriya-wt4vb Месяц назад +2

    😅😅😅😂 ‏‪eti vip mama shadia eti toba hivo ulivoitowa😂😂

  • @peninahmmbone4648
    @peninahmmbone4648 Месяц назад +4

    Much love❤❤❤ from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @BigirimanaCyriaque
    @BigirimanaCyriaque Месяц назад +3

    Reo nimekuwa wakwanza kutoka 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮❤❤❤❤❤

  • @EstherMunywoki-t4s
    @EstherMunywoki-t4s Месяц назад +3

    Huyu mwanamke Maggy ni mwanamke kweli

  • @LeticiaCalderon-nr6hh
    @LeticiaCalderon-nr6hh Месяц назад +3

    Mama Shadya ulishindwa kwenye sahani utaweza kwenye kijiko

  • @SafiMahoro
    @SafiMahoro Месяц назад

    Dada mage mungu kamfunguwe wa salama

  • @FlorenceJuma-b9z
    @FlorenceJuma-b9z Месяц назад

    Wow nzuri sana, tunangojea mtoto sasa

  • @AminaMkilindi-e2f
    @AminaMkilindi-e2f Месяц назад

    Mungu yupo na jasmine

  • @julienneaboki4105
    @julienneaboki4105 Месяц назад +5

    Mungu saidia magi ajifungue kwa amani

  • @MwanakomboAliKhamis
    @MwanakomboAliKhamis Месяц назад +1

    We mama shadia mwanga unampiga mwenzio Kofi la tumbo kwa kweli vitendo vyako vimenishinda

  • @MwasitiMustafa-k7z
    @MwasitiMustafa-k7z Месяц назад

    Mungu akufanyie wepesi ujifungue salama hakuna uchawi mbele ya mungu

  • @glorymanga3650
    @glorymanga3650 Месяц назад

    Kazi nzuri sana❤

  • @MelicianaYoram-rg5cl
    @MelicianaYoram-rg5cl Месяц назад

    Ila kaka uko vizuri sana unawahisha sana move asante san

  • @HhUhh-io8ix
    @HhUhh-io8ix Месяц назад

    Inshaallah allah yupo utajifungua vizuri munoooo mageee

  • @CharlineKavira-n4g
    @CharlineKavira-n4g Месяц назад +1

    Kazi njema

  • @neemasamwel403
    @neemasamwel403 Месяц назад

    Waoooh aantee Mungu kwasababu mage kapata uchungu sasa atajifungua salama

  • @TheodoraChaki
    @TheodoraChaki Месяц назад

    Safi sana mungu mwema mage uchungu tayari tunazidi kumwombea ajifungue salama hajira Dua la kuku halimpati mwewe mponji wa mage ukisema wa nini wenzio ....
    Olewa na huyo haaaaàa

  • @WinyAkinyi-v7m
    @WinyAkinyi-v7m Месяц назад +1

    Magy unajua kuakit winy frm kenya

  • @RukiaDzombo-uf7wp
    @RukiaDzombo-uf7wp Месяц назад +1

    Hajra anatongozwa na Jadu bc utadhan ni mara yake ya kwanza kutongozwa,anauma manyasi,Aya ungekuwa umesimama c maps ungezichora nyingi kibao,,,halaf Hajra Kwa kupinga,,yaan ni muongo kupindukia,,,lkn nakupenda ❤❤❤Hajra,,,Kwa Mage hongera hope utajifungua Salam salmin, nakupenda sana ❤❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @Anitajoseph792
    @Anitajoseph792 Месяц назад +1

    Kazi ina mafunzo makubwa kila episode hongereni sana washiriki wote mmefanya vizuri ila mama Shadya 😂😂😂😂😂😂kiboko

  • @emilymusimbi-n3x
    @emilymusimbi-n3x Месяц назад

    Kupitia kwa mwenyezi Mungu, Mage atajifungua salama. Mwenye uchawi atabaki kuumbuka.

  • @Khadiga-qz6qv
    @Khadiga-qz6qv Месяц назад +1

    Ila mama shadia wewee mbona kigaga 😅😅😅😅😅😅

  • @VirginiaKitheko
    @VirginiaKitheko Месяц назад +1

    Mponji unaniuthi sana ww na huyo hajra yaani kama vile hujamuacha kaaaaaa sipendi

  • @MusaMwenda-q9x
    @MusaMwenda-q9x Месяц назад

    Mage hanahamini mungu hatasaa vinzuri

  • @toshaelias7138
    @toshaelias7138 Месяц назад

    Tunaitaji kila siku kupata episode mpya mungu awatiye nguvu

  • @Marry-u8m
    @Marry-u8m Месяц назад +3

    Mama shadie mambo yako hayata timie dada

  • @DeodathaMsogoya
    @DeodathaMsogoya Месяц назад

    Waooo naimanii Maggie utashinda na utakuwa salam ❤❤🎉🧎🧎🙏

  • @inexcutee1844
    @inexcutee1844 Месяц назад +6

    Am from Kenya Kisii na leo mimi wa kumi na Saba na kiukweri ata mme wangu amefuraia vile nimekua mzuri Asante sana team mponji kwa mafunzo mazuri umeniua ata mme wangu a nauliza nimefunswa na nani huu mda🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎁🎁🎁🎁🎊🎊🎊🎊🎊🎊🎊🎊🎊🎊🎊🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🛍️🛍️🛍️🙏🙏🙏

    • @gloryjimson9831
      @gloryjimson9831 Месяц назад +1

      😂😂😂😂😂

    • @darzone1020
      @darzone1020  Месяц назад +1

      Hahahaha 😂😂😂 jamani nimefurahi sana kusikia hii habari kama kuna mtu amekuwa na tabia njema kwa kuangalia movie zetu. M/Mungu awabariki wewe pamoja mume muishi miaka mingi na yenye baraka tele

    • @inexcutee1844
      @inexcutee1844 Месяц назад

      ​@@darzone1020 amen but mkifika number 59 ya 60 na fungua lia TV aone kwenye nawartch😂😂

    • @inexcutee1844
      @inexcutee1844 Месяц назад

      ​@@gloryjimson9831ukweri saii anaenjoy vile nimekua mnyenyekevu kwake na mtaivu kwake❤🎉🎉❤❤

    • @AminaNdugai
      @AminaNdugai Месяц назад

      Safi sana

  • @FatumaBakari-c3l
    @FatumaBakari-c3l Месяц назад

    Nimependa mage uchungu jmni nicheke tu mie siambiwi n mtu ❤❤❤❤😂😂😂😂😂

  • @Sylivia-b6v
    @Sylivia-b6v Месяц назад

    Mage I love so much na mungu ata kusaindia❤

  • @aminandurya
    @aminandurya Месяц назад

    Jmn mm Kila movie nko wa mwisho ila Sichoki Ila mm shadhia ujue Mungu Halali utaumbuka

  • @AsiaGone
    @AsiaGone Месяц назад

    😂😂😂😂😂😂 hajra anampenda jadu tenaaaaaa

  • @juliettv6626
    @juliettv6626 Месяц назад

    Tunao tazama 2024 tujuwane 😊😊

  • @MiriamNekesa-p1w
    @MiriamNekesa-p1w Месяц назад

    Mage wacha mungu angutangulie

  • @SamiHamood-x3b
    @SamiHamood-x3b Месяц назад

    Hajra wew mjinga mwenzio umpga tumbo kabisa unaroho mbaya mwanamke wew

  • @elizabethnafula
    @elizabethnafula Месяц назад +1

    Mungu akujalie Jasmin vizuri mama shadya aibike Na huyo mganga wake SS tunategemea Mungu tu Na Sio mwanadamu kama mama shadya 🙏

  • @OlivaMlewa
    @OlivaMlewa Месяц назад +29

    Mmmh nyie wasikilizaji hivi Kuna wanawake kama mama shadia kweli hebu gonga like tujuane

  • @IeilatiAbdallah
    @IeilatiAbdallah Месяц назад

    Leo nimefurahi

  • @EunicyAwino
    @EunicyAwino Месяц назад

    Mama shadia sema tu ukweli

  • @FransiscaThomas-zs4nn
    @FransiscaThomas-zs4nn Месяц назад

    Ma shadya we ni mrembo sana ila acha uchawi.

  • @CarolineImbwaga
    @CarolineImbwaga Месяц назад +1

    Wewe mama wewetu

  • @elizabethdzuya
    @elizabethdzuya Месяц назад

    Hongera Kwa mafunzo yenu yenye yamebeba uhalisia wa maisha 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤

  • @KKK-v6j
    @KKK-v6j Месяц назад

    Kazi njema 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤

  • @WinyAkinyi-v7m
    @WinyAkinyi-v7m Месяц назад +1

    Waaah Angela we mrogi ww

  • @EmmyJohnson-p9t
    @EmmyJohnson-p9t Месяц назад

    Utajifungua salama mage mung yupo mwamini 2 mungu

  • @MunyirunguHonest
    @MunyirunguHonest 11 дней назад

    Mama shadya ni shetani ya muugu moja yenyewe

  • @Fibi-og9ce
    @Fibi-og9ce Месяц назад

    Movie nzur sana ❤❤ila hajra unapenda kuforce mambo kweli... mafunzo mengi sana kila episode tunazidi kujifunza

  • @ElianeNininahazwe
    @ElianeNininahazwe Месяц назад

    Mage bana unajuwa kuigiza namachungu😄😄😄🥰🥰🥰

  • @aishaallyaishaally3220
    @aishaallyaishaally3220 Месяц назад

    Allah akutangulie hospital mage na ukajifungue salama❤❤❤

  • @SaraaSaraa-i1j
    @SaraaSaraa-i1j Месяц назад

    Move nzuri sana na mnatupa kwa wakati

  • @EdithAteka
    @EdithAteka Месяц назад

    Tujifunze kitu hapa usiwahi wazia mwenzako akufe uchukue hiyo nafasi na awali ulichezea maisha mwanamke mkumbavu hufuja ndoa yake na mikono yake miwili mage mungu akusaidia hutulete watoto mapacha mungu yupo

  • @rohdaphilip2470
    @rohdaphilip2470 Месяц назад

    Mungu akujalie mage ujifunguwe Salam

  • @LailatyMohammed
    @LailatyMohammed Месяц назад

    Mungu amjalie mag azae

  • @BintiAboubakari
    @BintiAboubakari Месяц назад +2

    Hawa wambea kweli hata muda wa kupika wala kula hawana kudandeki zenu

  • @JulieMisana
    @JulieMisana Месяц назад

    Mungu akupe wepesi Mage

  • @AggyMaghuwa
    @AggyMaghuwa Месяц назад

    hapo ndio patamu mungu mwaminifu hallelujah 🙏🙏🙏