MAJI YA SHINGO S01 EP1/baba yake amejichanga kumpeleka mjini akasome ila bint anajiunga na makahaba

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 фев 2025

Комментарии • 137

  • @NeemaMzur
    @NeemaMzur 2 месяца назад +4

    Kazi tamu.....mengine matokeo😂😂

  • @ameenaalameena4968
    @ameenaalameena4968 2 месяца назад +15

    Huyu mama hapana kwa kweli anatisha kama jini maimuna😂😂😂

  • @salumuwembo-fo5rr365
    @salumuwembo-fo5rr365 Месяц назад +1

    Clara ni aina ya mwanamke ninayempenda maishani mwangu, ni mrembo sana From Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🎉🎉🎉🎉🥰🥰🥰💯💯💯💯

  • @BENCHARLES-ho2ws
    @BENCHARLES-ho2ws 2 месяца назад +1

    Kazi nzuri sana 🙌🙌🙌

  • @HRKanangulote
    @HRKanangulote 2 месяца назад +3

    Mamã angu anapenda sana.😝

  • @halemasuliman-js8ug
    @halemasuliman-js8ug 2 месяца назад +1

    Kazi mzurii ❤❤

  • @ancillarneema
    @ancillarneema 3 месяца назад +1

    Was tamu sana🎉🎉🎉🎉❤❤

  • @Kulthumaly-cu9sd
    @Kulthumaly-cu9sd 2 месяца назад +3

    Huyu madam vip hiyo makeup hata binti haogopi anaenda tuuu😂😂😂😂😂

  • @khalsasalim7930
    @khalsasalim7930 Месяц назад +2

    Aliempaka madam makeup mungu anamuona

  • @KawtharKawthar1998
    @KawtharKawthar1998 2 месяца назад +5

    Mbona Madam KApendeza Maana SHANGINGI NDiyo inavotakiwa awe hivoo 🎉🎉🎉🎉 madam mauwa yako😂😂

  • @MathiasJaphet
    @MathiasJaphet Месяц назад +1

    Good job mmetisha

  • @nasraAl-b1w
    @nasraAl-b1w 2 месяца назад +3

    Huo wanna huyu mama kaa shumileta ak

  • @naominyaitondi2241
    @naominyaitondi2241 2 месяца назад +1

    Hizo breaks aty maji shingoooo maji maji. Mtakoma😂😂

  • @ElizabethKiula-v7r
    @ElizabethKiula-v7r 2 месяца назад +2

    Mambo ya kizamani bado yapo khaaaa

  • @Happy-b4b1e
    @Happy-b4b1e 2 месяца назад +1

    Bibi umetisha Kama jini duuuuuh Hapan Kwakweli🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿

  • @marymm3186
    @marymm3186 Месяц назад +1

    iyi kari❤

  • @AminaMwavita
    @AminaMwavita 2 месяца назад +1

    Congratulations keep it up good job ❤😘😍🥰💕💞

  • @roqayaro9439
    @roqayaro9439 2 месяца назад +1

    Nawakubali mpo vzr wote

  • @beautyibrahim8428
    @beautyibrahim8428 2 месяца назад +12

    Hyo madam jane anavoongea amechachuka mpaka namfananisha na marehemu Dida😢na leo ndio arobain yake dah

    • @mamasalhat
      @mamasalhat 2 месяца назад +2

      Weeh kumbe 40 teali daah😢

    • @cristaezekiel1036
      @cristaezekiel1036 2 месяца назад

      ​@@mamasalhat😢😢😢😢

  • @ZuwenaAbdallah-p3s
    @ZuwenaAbdallah-p3s Месяц назад

    Hahaha😂😂😂😂 ni hatari ni mpotoshaji

  • @AnithaNahimana
    @AnithaNahimana 2 месяца назад +1

    Asant sana nzuri sana

  • @tiffahbby3697
    @tiffahbby3697 2 месяца назад +1

    Nae madam jini kweli mana watisha hatar na izo make-up zenu😂😂😂😂😂😂

  • @WalqueYvesTreize
    @WalqueYvesTreize Месяц назад

    Safi sana nawahona wasani maharufu tena wakubwa

  • @fatimaumazi166
    @fatimaumazi166 2 месяца назад +1

    😅😅😅jini mweupe

  • @angeflims
    @angeflims 11 дней назад

    Mbega firm

  • @NeyKijungu
    @NeyKijungu 18 дней назад

    Crala ❤❤

  • @LinetNjue-m1g
    @LinetNjue-m1g 2 месяца назад +1

    MD Jane , kwa maringo ,na vipodozi unatisha😂😂😂😂

  • @YasintaKanyopa
    @YasintaKanyopa 2 месяца назад +1

    Kazi nzur

  • @CeciliaCeciliamuparose-zt6tx
    @CeciliaCeciliamuparose-zt6tx 2 месяца назад +1

    Ni nzuri sana

  • @alfanbaya102
    @alfanbaya102 3 месяца назад +3

    Makeup ya madame Jane mh 😂😂

  • @skmovies-m8f
    @skmovies-m8f 2 месяца назад +1

    mungu akubaliki ue na kizazi chako

  • @WadnessJoel
    @WadnessJoel 2 месяца назад +1

    Weee mama hadi unatishaaa yaniii hyo suraaaa

  • @Roze-so4he
    @Roze-so4he 2 месяца назад +1

    Kazi tamu

  • @fammamaboko6543
    @fammamaboko6543 2 месяца назад +1

    Madame Jeanne umevaa vizuri ila mpodo umezidisha 🎉🎉🎉🎉

  • @nadiatanzania
    @nadiatanzania 2 месяца назад +1

    Huyu mama no😅😅😅

  • @mariamcrispo8296
    @mariamcrispo8296 2 месяца назад +28

    Vipodozi kibao hata kama kutafuta mwonekano hapana unatisha.

  • @cristaezekiel1036
    @cristaezekiel1036 2 месяца назад +2

    😂😂😂😂😂Madam jane hio makeup kama jini

  • @HalimaAdam-r5e
    @HalimaAdam-r5e Месяц назад +1

    Huy mam mweny anajiita madamu alaaniwe kuwauza watoto wa wenzake huyo nikam hana watoto ulaaniwe madam

  • @zakhiaNuur
    @zakhiaNuur Месяц назад +1

    Huyu mama bhana kawa kama toleo la kale

  • @shemsakitika9091
    @shemsakitika9091 2 месяца назад +2

    Kabisa tunatumia bando

  • @Shadow7-g6x
    @Shadow7-g6x 2 месяца назад +1

    Wanja Sasa wa boss

  • @MuhamediRashidi-l7v
    @MuhamediRashidi-l7v Месяц назад +1

    huyu mama mv zake zote anapenda maurembo yakijnga jinga tu

  • @DoricasJosephat
    @DoricasJosephat 14 дней назад +1

    Huo uso sasa

  • @MuhindoFabrice-n8k
    @MuhindoFabrice-n8k 2 месяца назад +2

    Kwani munatuongopa Sisi wa Congo kwa kupika Mambo🇨🇩🇨🇩

  • @LovenessMollel-g4m
    @LovenessMollel-g4m 2 месяца назад +3

    Limama kma ajend shindwa

  • @YangaSimba
    @YangaSimba 2 месяца назад +6

    Ndio mchezo tu jamn ila yt kwa yte hashim kambi kamucha mwanae bila kuona km kapanda ilo bas la mjini ama la hilo n kosa kbsa japo anajitambua n mtu mzma ila alikuwa asibitishe kwa uoni wangu mjini kuna mmb mengi starajii michambo 😂😂😂😂😂😂😂😂 maan kuna watu eeee wapo kwa ajil yakuona komet za wenzao vby ty 😢 ila huo n uowon wang

  • @NuruMakabali-v5r
    @NuruMakabali-v5r 2 месяца назад +1

    ,Huo wanja mihoiii

  • @MaryThomas-h6e
    @MaryThomas-h6e 2 месяца назад +3

    Kitu nilichojifunza hapo ,, Mzee kambi angesubiri tu Hadi bint ake apande bus Jaman

  • @LightnessgreysonErasmi
    @LightnessgreysonErasmi 2 месяца назад +2

    Jaman huyu madam hiyo lipstick imemkaa vibaya + huo mdomo ndo kawa jin kabisa

  • @puritydavid9003
    @puritydavid9003 2 месяца назад +1

    Uyu mama Jen amejipaka akakaa jini

  • @SporahAndrea-o8t
    @SporahAndrea-o8t 2 месяца назад +1

    Dada kazingua hapo

  • @FatumaOmary-ek4ux
    @FatumaOmary-ek4ux 2 месяца назад +7

    Kajipodoa yeye aibu naona mie

  • @فاطمهاسماعيل-ع4س
    @فاطمهاسماعيل-ع4س 2 месяца назад +1

    Wewwww

  • @NeemaZoze
    @NeemaZoze Месяц назад +1

    Hi😅😂😅😂😅😅😂❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @YangaSimba
    @YangaSimba 2 месяца назад +1

    😂😂😂😂ila watuma comment mpewe mauwa yenu🎉🎉🎉🎉🎉🎉kaz mwaiweza

  • @Happy-b4b1e
    @Happy-b4b1e 2 месяца назад +1

    Heeeee hyo mamaduuu

  • @mishiabdul2834
    @mishiabdul2834 2 месяца назад +1

    Next plzz

  • @SubiraJombe
    @SubiraJombe Месяц назад

    Ilajamani huulembo sass mh

  • @ezekielimbalwa3964
    @ezekielimbalwa3964 2 месяца назад +1

    daaah ila basata

  • @AlexMwita-e8p
    @AlexMwita-e8p 14 дней назад

    Nan anajua ki2 kiliendelea

  • @PatriciaMshanga
    @PatriciaMshanga 2 месяца назад +1

    Mdada kiazi mbatatata

  • @HalimaAdam-r5e
    @HalimaAdam-r5e Месяц назад

    Huyu madamu amshukuru clara

  • @FatimaAbdulla-s4i
    @FatimaAbdulla-s4i Месяц назад

    Muogope mungu wee mama

  • @elizabethmahenzo7220
    @elizabethmahenzo7220 2 месяца назад +2

    ❤❤❤❤❤

  • @DonathoDavid
    @DonathoDavid 2 месяца назад +1

    wanadamu tujifunze kurizika nakidogo tulicho Nacho vinginevyo

  • @AyishaOman-cw4xs
    @AyishaOman-cw4xs 2 месяца назад +2

    ❤❤🎉🎉🎉

  • @fatmaathumani7116
    @fatmaathumani7116 3 месяца назад +1

    Mbona hamna muendelezo sasa jamani 😢😢😢😢😢

  • @Naeema-d9s
    @Naeema-d9s 2 месяца назад +2

    Mhhh

  • @RukiaZighe
    @RukiaZighe 2 месяца назад +1

    Mwisho no kilio

  • @mummyjei5634
    @mummyjei5634 2 месяца назад +2

    Mama kajipakaaa mpaka basisi ana kaa jini mwitu 😂😂😂😂😂😂msinipure

    • @mamasalhat
      @mamasalhat 2 месяца назад

      Nimecheka kama mchawi yaani nimestukaaaa

    • @mamasalhat
      @mamasalhat 2 месяца назад

      Akikujia uck lazima uzimie😂

    • @Ftwm-ew3up
      @Ftwm-ew3up 2 месяца назад

      ​@@mamasalhat😂😂

    • @MuhamediRashidi-l7v
      @MuhamediRashidi-l7v Месяц назад

      😂😂😂😂

  • @FatumaGuga
    @FatumaGuga 2 месяца назад +2

    Madam watutisha bwana

  • @HafaswZahra
    @HafaswZahra 5 дней назад

    Mbona next pllz ya 29

  • @AemVanillahTz-k1t
    @AemVanillahTz-k1t 2 месяца назад +2

    Nyie naye kwendeni Zenu Mmekaza Anatisha Anatisha Nyie Amtish Au Ndo Kiki Ovyo

  • @hadijawara1403
    @hadijawara1403 2 месяца назад +2

    Huyu madam nikama mchawi

  • @WalqueYvesTreize
    @WalqueYvesTreize Месяц назад

    Wa Tanzania na wakubali sana

  • @RashidiZiyadi
    @RashidiZiyadi 2 месяца назад +2

    😢😢

  • @AminaRamadhan-g7t
    @AminaRamadhan-g7t 2 месяца назад +2

    Hata hujapendeza na huo mpodoo 4:20 4:24

  • @paullluhanyapaullluhanya2446
    @paullluhanyapaullluhanya2446 2 месяца назад +2

    Mjue tunatumia bando nyie

  • @ConnieCdy
    @ConnieCdy 20 дней назад

    Kama urembo ni kua ivi aacha ni baki nilivyo poo😏😏

  • @AminaChibwana
    @AminaChibwana 3 месяца назад +1

    Mbna hakuna muendelezo

  • @AmiliMtanda
    @AmiliMtanda 2 месяца назад +1

    Siokwaku jipodoa uko mam

  • @FatimaAbdulla-s4i
    @FatimaAbdulla-s4i Месяц назад

    Madam jini kwiho

  • @josephinamfugale4875
    @josephinamfugale4875 3 месяца назад +2

    Muendelezo plz

  • @SalminiMaulidi-o1r
    @SalminiMaulidi-o1r 2 месяца назад +1

    Kwenyemuvi shangazi kajiblandi vizuli iyo milangi alivyo jiweka lazima ilitakiwa awe namuonekano uo

    • @FaustaKessa
      @FaustaKessa 2 месяца назад

      Kweli kabisa kavaa uhalisia

  • @Happy-b4b1e
    @Happy-b4b1e 2 месяца назад +1

    Nilibaya hatari hata kwa me so hayuk vizur

  • @ZahratAhmad-o1v
    @ZahratAhmad-o1v 2 месяца назад +1

    Huyu mama kama shetani

  • @AlexMwita-e8p
    @AlexMwita-e8p 14 дней назад

    Nini ilitokea badge nan anajua

  • @Winnie-kw9sw
    @Winnie-kw9sw 2 месяца назад +1

    Madamu unaongeaje hivyo

  • @FaithMageto
    @FaithMageto 2 месяца назад +1

    Baba Kevin wapi Kevin na love s

  • @fatmaathumani7116
    @fatmaathumani7116 3 месяца назад +1

    Mdada kiazi huyu

  • @WinnieThomas-w9e
    @WinnieThomas-w9e 2 месяца назад +1

    Mh vipodoz mh

  • @sammoses-f1d
    @sammoses-f1d 15 дней назад

    make up

  • @mamasalhat
    @mamasalhat 2 месяца назад +3

    Madam huwo wanja juu ya kope na hizo shedu na unavyo ongea kubinyua domo haibu naona mie😢

  • @ClaudetteHarerimana-ku7ug
    @ClaudetteHarerimana-ku7ug 2 месяца назад +1

    ❤❤❤❤❤❤

  • @Zynhaa3
    @Zynhaa3 2 месяца назад +2

    ❤❤❤

  • @Atikaally
    @Atikaally 2 месяца назад +1

    ❤❤❤

  • @HadijaKenya
    @HadijaKenya 16 дней назад

    ❤❤❤❤