MGUMBA EP YA 2... Starling Mponji,Mage and Hajra.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 31 дек 2024

Комментарии • 115

  • @Alicebahati-h6f
    @Alicebahati-h6f День назад +1

    Hongera sana 🎉🎉❤❤❤

  • @darzone1020
    @darzone1020  3 дня назад +22

    MZIGO HUU HAPA FULL HD MOVIE MAMBO NI MOTO TUMERUDI SASA TUNALETA ZOTE DADA WA KAZI AGEUKA MKE INAKUJA

    • @TatuMkeso
      @TatuMkeso 3 дня назад +3

      Sawa Kwan dada wa Kaz bado2 jamon maliza Hy muv bhana

    • @basimisemusafiri4856
      @basimisemusafiri4856 3 дня назад +1

      Tunasubiriya sana kaka 🎉🎉🎉🎉merry Christmas 🎄 kaka 🎉🎉🎉🎉

    • @LeticiaCalderon-nr6hh
      @LeticiaCalderon-nr6hh 3 дня назад +1

      Tunaomba dada wa kazi isiishe

    • @Anitajoseph792
      @Anitajoseph792 3 дня назад +2

      Hajra buana ety wifi unakula wewe 😂😂😂😂😂

    • @SakinaHassani-xm7ti
      @SakinaHassani-xm7ti 2 дня назад

      Kwani dada Wakazi ijaisha mponji?

  • @aminandurya
    @aminandurya 2 дня назад +1

    Hongera Kwa majibu yk mazuri mponji Mungu ndo anayepanga

  • @ElianneIrambona-n8z
    @ElianneIrambona-n8z 2 дня назад +2

    Karibuni tena ila uyu hajra ana loho mbaya kwa wifi yake na nawapenda sana ❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @Najmahnyangasi
    @Najmahnyangasi 2 дня назад +1

    Wow ongera sana mponji wetu nakupenda sana kwa kazi yako kakaa ❤❤❤❤❤❤❤ kakaa mponji sasa hapa sawa broo mage na hajrah❤❤❤❤❤❤ nawapenda sana

  • @NeemaEli-wl1dz
    @NeemaEli-wl1dz 2 дня назад +2

    Kazi zuri sana mponji mungu akuinuwe zaidi

  • @RehemaManyeso
    @RehemaManyeso 2 дня назад +1

    Kazi nzuri sana Tena Iko na mafunzo mazuri 🎉🎉❤

  • @viviankasena
    @viviankasena 2 дня назад +2

    Big up mponji n team yko yote kwa mafunzo yenu mazuri hki toka nifatilie hizi movie zako mponji nimejifunza vitu vingi sna kwenye hya maisha hata ikifika siku mungu ameniajalia mwanaume wa maisha yngu yote nitaishi naye vizuri sna

  • @AminaNdugai
    @AminaNdugai 3 дня назад +5

    Hongera sana Mponji na team yako nzima kazi zenu zina mafunzo makubwa sana na maadili kwa jamii

  • @GladysKarembo
    @GladysKarembo 2 дня назад +1

    Kazi nzuri congratulations team Mponji 🎉❤

  • @SalmaAli-o3q
    @SalmaAli-o3q День назад +1

    Vp dada kazi inaendelea

  • @PetronilaYaa
    @PetronilaYaa 2 дня назад +1

    Hongera kwa kutuletea kaz nzr nawapenda sana❤❤❤❤ hajra acha uongo

  • @MDMehndiHassan-ve9zy
    @MDMehndiHassan-ve9zy 2 дня назад +1

    Mponji polesana nachanhamoto ila mage mungu yupo iposikumojatu utamfungamdomo hajila usikate tamaa utapata mtoto🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @MaryJohn-x7r
    @MaryJohn-x7r 2 дня назад +1

    Kaka mponji ahsante nimefurahi sana kuwaona tena hasa kamage kangu jaman❤❤❤❤❤❤❤❤mungu awazidishie kila siku 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @stellajoseph1527
    @stellajoseph1527 День назад +1

    Ila mama shadia. Duuu🙌🙌

  • @FaithObash
    @FaithObash День назад +2

    Hajra kweli 😂😂😂😂 mage ndie akasema unakula sana

  • @winniemwaka3202
    @winniemwaka3202 3 дня назад +3

    Mponji hongera🎉🎉🎉kwako una upendo wa kweli❤❤❤❤

  • @HhUhh-io8ix
    @HhUhh-io8ix 2 дня назад +1

    Mponji mashaallah mafunzo mazuri munooooo bt dadako haaaaaaaaa anakera

  • @هيلنهيلن-ن1ن
    @هيلنهيلن-ن1ن 2 дня назад +1

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ nawapenda sana

  • @Clamvevotz2024
    @Clamvevotz2024 3 дня назад +2

    Tamu sana hii moto ni ule ule ni mambo ambayo watu wengi wanapitia

  • @SaadRams
    @SaadRams День назад +1

    Mponji safi sana

  • @FatumaAli-xm8di
    @FatumaAli-xm8di 3 дня назад +3

    Mponji umekosa dada ni biushuzi ana visanga komesha

  • @TatuMkeso
    @TatuMkeso 3 дня назад +2

    Kaz nzur na nyumba umebadil waooo

  • @shabanindadaye480
    @shabanindadaye480 2 дня назад +1

    Munakazinzuri team muponji munafunza djami mambomengi kbx

  • @HusnaSalum-p1q
    @HusnaSalum-p1q 3 дня назад +2

    Safi sana kwa kutusikiliza maombi yetu umemrudisha mage na saa mbovu wetu hajra 😂😂🎉🎉❤❤

  • @mwendemercy4488
    @mwendemercy4488 3 дня назад +4

    Kazi nzuri mponji❤❤❤❤ watatu leo nipeni likes zangu

  • @LeticiaCalderon-nr6hh
    @LeticiaCalderon-nr6hh 3 дня назад +3

    Mimi nachowapendea kazi zenu zina ujumbe sana ni shabiki wa Mponji tangu penzi la kaka

  • @ZamdaHamis-e7d
    @ZamdaHamis-e7d 3 дня назад +1

    Kaz mzuri ❤❤❤

  • @CharlineKavira-n4g
    @CharlineKavira-n4g 3 дня назад +1

    Kazi nzuri mponji wa 6 Léo n'a mimi

  • @HusnaSalum-p1q
    @HusnaSalum-p1q 3 дня назад +2

    😂😂😂ila hajra kweli saa mbovu 🎉🎉🎉

  • @EstherJerald-tc6ct
    @EstherJerald-tc6ct 3 дня назад +2

    Hakika majibu ya dakitari si ya Mungu ,uko sahihi Mponji iko siku

  • @MauwaAuwa1991
    @MauwaAuwa1991 3 дня назад +2

    🎉🎉🎉🎉❤❤❤ nawapenda bure ❤️

  • @KarungiNicole
    @KarungiNicole День назад +1

    Wewe mage nimupole kupitizia. Wifi waivi zinguwa makofi.

  • @mejubagu6825
    @mejubagu6825 3 дня назад +1

    Kweli mponji subra ni muimu sana🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @poshombilimasika1872
    @poshombilimasika1872 2 дня назад +1

    Usipofanya kazi utakula jeudi yako

  • @TheodoraChaki
    @TheodoraChaki 3 дня назад +1

    Hongera kama kawa bonge movie yenye mafundisho

  • @Amayragunzaley
    @Amayragunzaley 2 дня назад +1

    Iendelee ile nyingine mponji bana

    • @darzone1020
      @darzone1020  2 дня назад +2

      Wengi wamepigia kura hii kipenzi changu

  • @helinasubila987
    @helinasubila987 2 дня назад +1

    Ajila unakuaga na roho baya

  • @JackyMuthoni
    @JackyMuthoni 3 дня назад +4

    Mama shadia tumekuzoea nauogo👀

  • @FaridaAlita-jx6lt
    @FaridaAlita-jx6lt 2 дня назад +1

    Yaani huyu mponji anaakili😂

  • @MonicaFusi-k1l
    @MonicaFusi-k1l 2 дня назад +1

    yan huyu Ajra ajaachaga umbea tu

  • @Thomas-g6z5r
    @Thomas-g6z5r 2 дня назад +1

    Kama yupo mwanaume mwenye mapenzu kama mponji anyoshe mkono tumuone

  • @HalimaMed-v6b
    @HalimaMed-v6b 2 дня назад +1

    Yanafundisha yapo wif akikulete Amambo meus mwache na nyeny atayakuta uko aendako

  • @ValentinaKinyaga
    @ValentinaKinyaga 3 дня назад +1

    Very nice mponji

  • @AziziMfaume-p2d
    @AziziMfaume-p2d 3 дня назад +1

    Hongera mponji ❤

  • @HhUhh-io8ix
    @HhUhh-io8ix 2 дня назад +1

    Oyeeee mageeeeee nakupenda bureeee tu maua kwako🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @Fibi-og9ce
    @Fibi-og9ce День назад +1

    Ila mawifi wengine jaman 😂😂😂

  • @FatyMtuta
    @FatyMtuta 2 дня назад +1

    Mm sielewi maana niliona ep 1 mgumba mkewe ni yule mungine alafu leo naona yupo na mage sielewi

  • @HalimaMlavi
    @HalimaMlavi 3 дня назад +2

    Yamenikuta hayo mage wala usiwaze sio wf tu hata mama mkwe

  • @MarikiaMbombwe
    @MarikiaMbombwe 3 дня назад +1

    Kaka tunae na tunatambanae mwa mponji

  • @MimaCharamila
    @MimaCharamila 2 дня назад +1

    Ila hajra ni ushuzi kweli 😂😂

  • @LeticiaCalderon-nr6hh
    @LeticiaCalderon-nr6hh 3 дня назад +3

    Eti unaniita kama unaungua moto

  • @JaneSonko
    @JaneSonko 3 дня назад +1

    Anjira ww kuwa mtu mxima😂😂😂😂😂😂😂

  • @BettyMgaya-t3d
    @BettyMgaya-t3d 3 дня назад +1

    Hajra acha uongo jamaniiiiiii eee

  • @julienneaboki4105
    @julienneaboki4105 3 дня назад +1

    Mbona munachelewesha sana

    • @darzone1020
      @darzone1020  3 дня назад +1

      Inakuja kama kimbunga hidaya

  • @Lucy-v3y
    @Lucy-v3y 3 дня назад +1

    Mage mponji anakupenda ak

  • @TheodoraChaki
    @TheodoraChaki 3 дня назад +1

    Mage si Kwa kunenepa huko nafurahi sana michambo ya mage nahajira

    • @MdHossen-q8c
      @MdHossen-q8c 3 дня назад +1

      Engelifanya mazowezi kidogo.akapungua 😂😂😂

  • @HoHo-l1r
    @HoHo-l1r 2 дня назад +1

    Hajra wewe ni nuksi kabisaa yani Mponji hicho ndicho tulichokitaka hawa ndio wahucka tuliowataka...

  • @MwanaishaBaruti-k6o
    @MwanaishaBaruti-k6o 3 дня назад +1

    Hajrawewe nikamatiyaftina narohombaya

  • @SwalehSelemani
    @SwalehSelemani 3 дня назад +1

    Jaman mm mbona sielewi mwanzo mponji sialikua na mke mwingine na dada mwingine

  • @TheodoraChaki
    @TheodoraChaki 3 дня назад +1

    Hajra mbona wewe utapiki nawe si mwanamke acha kufitinisha ndoa ya kakako

  • @Official-naynah-tz
    @Official-naynah-tz 3 дня назад +1

    Mage wifi tunae na tunatamba nae😂😂😂😂😂

  • @YusrahJumaAbeid-hh2ud
    @YusrahJumaAbeid-hh2ud 3 дня назад +1

    Hajra were punguza tatizo mage hazai au anakula sana Yako ushayajua??roho mbaya tu😱

  • @Hoel19LulesA
    @Hoel19LulesA 3 дня назад +1

    Hajira olewa na ww uwe unauliza mmeo pesa ya matumizi wachana na ndoa ya kakako waishi kwa amani

  • @HanifaHanifa-yw4pl
    @HanifaHanifa-yw4pl 3 дня назад +1

    🎉🎉🎉

  • @Hoel19LulesA
    @Hoel19LulesA 3 дня назад +1

    Mage, mpoji anakupenda na ndio anasema uongo ilimnyazishe hajira tena maggy kuwa na imani ipo siku utabarikiwa na mtoto kuwa na amani

  • @dhahabudeche926
    @dhahabudeche926 День назад +1

    Wewe hajra tafuta mme uolewe pia wewe ukapewe hela upange budget kwako 😂😂😂😂 ondoka hapo

  • @HadijaKenya
    @HadijaKenya 3 дня назад +1

    😂😂😂Mnabala mawifi

  • @nismaali2982
    @nismaali2982 3 дня назад +1

    Mbona mponji unatuvuruga tushike lipi

  • @Hoel19LulesA
    @Hoel19LulesA 3 дня назад +1

    Hajira hata chakula ni cha kusema mtu, hujui chakula ni mavi tu kwani ww umeshindwa kula na ww

  • @Hoel19LulesA
    @Hoel19LulesA 3 дня назад +1

    Hajira umri wako watosha kuolewa, kaolewe na ww ukaanze kutapika usimsimange tu wifi

  • @Anitajoseph792
    @Anitajoseph792 3 дня назад +1

    Muacheni Mage ale anenepe

  • @ZenafurahaGiseleKingaKinga
    @ZenafurahaGiseleKingaKinga 3 дня назад +1

    Tatizo yenu munachelewa sana kupost,

  • @BimoshiBimoshi
    @BimoshiBimoshi 3 дня назад +1

    Mm wa 4

  • @HajraMalila
    @HajraMalila 3 дня назад +1

    Asanteni wote mnaotufatilia wote tunawapenda sana , naomba mnifollow

    • @darzone1020
      @darzone1020  3 дня назад +1

      Tunaomba msubscribe hii ni akaunt rasmi ya Hajra

  • @KayitesiProvidence
    @KayitesiProvidence 3 дня назад +1

    Hajra ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @AnjelaniMkandama
    @AnjelaniMkandama 2 дня назад +1

    Asante

  • @OkothShareen
    @OkothShareen 2 дня назад +1

    Nimependa kazi yenyu 22:08 ❤❤❤

    • @LeylahKakoi-uc8ow
      @LeylahKakoi-uc8ow 2 дня назад +1

      Mage muombe mungu t ipo sku huyo mbwa atafunga mdmn utspta mtoto zidisha upendo heshima kw mumeo or nakushaur huyo mbwa akikutukan rekodi kweny cm mumeo akija mfungurie asikie

  • @MonicaNduwimana
    @MonicaNduwimana 3 дня назад +2

    ❤❤❤❤❤❤❤👍🇧🇮

  • @لوسيكديسي
    @لوسيكديسي 3 дня назад +1

    ❤❤❤❤❤

  • @FaithKimwetuny
    @FaithKimwetuny 3 дня назад +2

    🎉🎉🎉🎉

  • @FaudhiaMgeni
    @FaudhiaMgeni 3 дня назад +5

    hajira nina was was na uhalisia wako 🙄

  • @Official-naynah-tz
    @Official-naynah-tz 3 дня назад +1

    Hivi kuna mwanaume kama mponji kama yuko aje tuanzishe mishe 🤦‍♀️🤷‍♂️

    • @HusnaSalum-p1q
      @HusnaSalum-p1q 3 дня назад +1

      Wapo mimi niliishi na mume wangu miaka 5 na alikuwa akiniambia Mungu mwenyewe ndo mjuzi nilikuwa na jini mahaba alhamndulilah niemezaa baba na mama nampnda sana mme wangu

    • @darzone1020
      @darzone1020  3 дня назад +2

      Tupo

  • @agnesagnes5288
    @agnesagnes5288 2 дня назад +1

    MPONJI SASA MBONA UMETOA MOVIE YOOTE NILIYOKUA NAFANYIA WIFI YANGU 😢😢😂😂😂 ILA HIYO TABIA NILIACHA AFTER KUPEWA KICHABO CHA UMBWA NA BRO YANGU MIE ..SAI MI MZURI TENA 2NAPENDA NA WIFI YANGU 😂

    • @darzone1020
      @darzone1020  2 дня назад +2

      😂😂😂😂tabia mbaya hiyo

    • @agnesagnes5288
      @agnesagnes5288 2 дня назад +1

      @darzone1020 🤦‍♀️🤦‍♀️🤦‍♀️nimeacha ila hii movie ni yangu tabia yangu jamani🤣🤣🤣🤣

  • @KuvunaGonda
    @KuvunaGonda 3 дня назад +1

  • @Lucy-v3y
    @Lucy-v3y 3 дня назад +1

    ❤❤❤❤

  • @khadijab7066
    @khadijab7066 День назад +1

    ❤❤❤❤❤❤