- Видео 173
- Просмотров 5 875 516
DAR ZONE TV
Добавлен 16 фев 2023
Dar zone tv deals with short films,movies and series ...For any issues plz call us thr +255719131211
MGUMBA YA 4..USIOMBE MAMA MKWE AKUCHUKIE UTAPATA TAABU SANA
MGUMBA YA 4..USIOMBE MAMA MKWE AKUCHUKIE UTAPATA TAABU SANA
Просмотров: 9 978
Видео
DADA WA KAZI AGEUKA MKE FULL MOVIE
Просмотров 3,8 тыс.7 часов назад
DADA WA KAZI AGEUKA MKE FULL MOVIE
MGUMBA EPISODE 3...KUNA MAMBO TUNAPITIA NI MAGUMU SANA ILA MUNGU YUPO
Просмотров 13 тыс.9 часов назад
MGUMBA EPISODE 3...KUNA MAMBO TUNAPITIA NI MAGUMU SANA ILA MUNGU YUPO
MGUMBA EP YA 2... Starling Mponji,Mage and Hajra. #DAR ZONE TV
Просмотров 17 тыс.12 часов назад
NEW BEST BONGO MOVIE 2024.. #dadawakaziageukamke #mke maskini mume tajiri #siri ya huba #houseboy
MGUMBA EPISODE YA KWANZA....USIOMBE YAKUKUTE
Просмотров 12 тыс.День назад
BEST BONGO MOVIE 2024... #clamvevo #baba Joan #dadawakaziageuka mke #mke maskini mume tajiri #DAR ZONE TV
MGUMBA EPISODE YA 1... KWANINI TATIZO LA UZAZI LAWAMA KWA WANAWAKE
Просмотров 24 тыс.14 дней назад
MGUMBA EPISODE YA 1... KWANINI TATIZO LA UZAZI LAWAMA KWA WANAWAKE
DADA WA KAZI AGEUKA MKE EP YA 64...
Просмотров 38 тыс.14 дней назад
DADA WA KAZI AGEUKA MKE EP YA 64...
DADA WA KAZI AGEUKA MKE EP YA 63...UKIONA KOBE KAINAMA UJUE ANATUNGA SHERIA
Просмотров 40 тыс.21 день назад
DADA WA KAZI AGEUKA MKE EP YA 63...UKIONA KOBE KAINAMA UJUE ANATUNGA SHERIA
DADA WA KAZI AGEUKA MKE EP YA 62....KIMEWAKA HUKU KWA MAMA SHADYA
Просмотров 41 тыс.21 день назад
BEST BONGO MOVIE 2024. #siri ya huba #wrong house #baba Joan #mke maskini mume tajiri #alinumiza sana #millardayo #wasafitv #manaratv #diamond #comedy #funnyshortsvideo #actionmovies #lovestory #nigerianmovies #bongomovies #film
DADA WA KAZI AGEUKA MKE EP YA 61...
Просмотров 37 тыс.28 дней назад
DADA WA KAZI AGEUKA MKE EP YA 61...
DADA WA KAZI AGEUKA MKE EP YA 60....ASIYEFUNZWA NA MAMAE UFUNZWA NA WALIMWENGU.
Просмотров 44 тыс.Месяц назад
NEW BEST BONGO MOVIE 2024. #wrong house #clamvevo #millardayo #manaratv #simuluzi #ripoti ya leo #wasafitv #actionmovies #comedyvideos #funnyshortsvideo #chingamedia #baba Joan #kicheche #mke maskini mume tajiri #nigerianmovies #azamtv #simba #yanga
DADA WA KAZI AGEUKA MKE EP YA 59...UTAPATA WAPI MUME MWENYE MAONO KAMA MPONJI???
Просмотров 38 тыс.Месяц назад
BEST BONGO MOVIE 2024. #siri ya huba #lovestory #actionmovies #mapenzi #aliniumiza sana #comedyvideos #funnyshortsvideo #millardayo #wasifitv #manaratv #azamtv #clamvevo #kicheche #dunia #kipesile #mke maskini mume tajiri #penzi la kaka #simulizi #ripoti ya leo #sportsnews
DADA WA KAZI AGEUKA MKE EP YA 58..MAMBO YAMEKUWA MAMBO
Просмотров 42 тыс.Месяц назад
NEW BEST BONGO MOVIE 2024. #wrong house #love #comedyvideos #actionmovies #funnyshortsvideo #millardayo #wasafitv #simba #yanga #ripoti ya leo #simulizi #mke maskini mume tajiri #aliniumiza sana #azamtv #manaratv
DADA WA KAZI AGEUKA MKE EP YA 57... HAYAWI HAYAWI SASA YAMEKUWA MTOTO TUNAE NA TUNAPAMBANA NAE
Просмотров 44 тыс.Месяц назад
BEST BONGO MOVIE 2024. #wromg house #snake boy #siri ya huba #aliniumiza sana #mke maskini mume tajiri #comedyvideos #funnyshortsvideo #millard ayo #yanga #simba #azamatv #manaratv #ripoti ya leo #simulizi #global #online
DADA WA KAZI AGEUKA MKE EP YA 56...MAMBO YAMEKUWA MAMBO
Просмотров 41 тыс.Месяц назад
BEST BONGO MOVIE 2024. #wrong house #lovestory #millardayo #actionmovies #nigerianmovies #funnyshortsvideo #comedyvideos #wasafitv #azamtv #yanga #simba #clamvevo
DADA WA KAZI AGEUKA MKE EP YA 55... TUMUOMBEENI MAGE JAMANI YUPO HOSPITALINI KUJIFUNGUA
Просмотров 37 тыс.Месяц назад
DADA WA KAZI AGEUKA MKE EP YA 55... TUMUOMBEENI MAGE JAMANI YUPO HOSPITALINI KUJIFUNGUA
DADA WA KAZI AGEUKA MKE EP YA 54...TUMUOMBEE MAGE JAMANI AMEENDA KUJIFUNGUA
Просмотров 42 тыс.Месяц назад
DADA WA KAZI AGEUKA MKE EP YA 54...TUMUOMBEE MAGE JAMANI AMEENDA KUJIFUNGUA
DADA WA KAZI AGEUKA MKE EP YA 53...MAMBO MAGUMU KWA MAMA SHADYA
Просмотров 43 тыс.Месяц назад
DADA WA KAZI AGEUKA MKE EP YA 53...MAMBO MAGUMU KWA MAMA SHADYA
DADA WA KAZI AGEUKA MKE EP YA 52... MCHAWI MKABIDHI MTOTO
Просмотров 41 тыс.Месяц назад
DADA WA KAZI AGEUKA MKE EP YA 52... MCHAWI MKABIDHI MTOTO
DADA WA KAZI AGEUKA MKE EP YA 50....NJIA YA MUONGO NI FUPI..SIRI NI YA MTU MMOJA
Просмотров 44 тыс.Месяц назад
DADA WA KAZI AGEUKA MKE EP YA 50....NJIA YA MUONGO NI FUPI..SIRI NI YA MTU MMOJA
DADA WA KAZI AGEUKA MKE EP YA 49...MUNGU NDIO MUWEZA WA KILA JAMBO USIMTEGEMEE BINADAMU MWENZIO.
Просмотров 44 тыс.Месяц назад
DADA WA KAZI AGEUKA MKE EP YA 49...MUNGU NDIO MUWEZA WA KILA JAMBO USIMTEGEMEE BINADAMU MWENZIO.
DADA WA KAZI AGEUKA MKE EP YA 48...UCHAWI NI MBAYA SANA,USHIRIKINA SIO MZURI.
Просмотров 38 тыс.Месяц назад
DADA WA KAZI AGEUKA MKE EP YA 48...UCHAWI NI MBAYA SANA,USHIRIKINA SIO MZURI.
DADA WA KAZI AGEUKA MKE EP YA 47... FADHIRA MFADHIRI MBUZI BINADAMU ANA MAUZI
Просмотров 38 тыс.Месяц назад
DADA WA KAZI AGEUKA MKE EP YA 47... FADHIRA MFADHIRI MBUZI BINADAMU ANA MAUZI
DADA WA KAZI AGEUKA MKE EP YA 46...MAGE MIMBA IMEKUWA MAMA SHADYA AKUTANA NA RAFIKI ALIYEMTAPELI M50
Просмотров 44 тыс.2 месяца назад
DADA WA KAZI AGEUKA MKE EP YA 46...MAGE MIMBA IMEKUWA MAMA SHADYA AKUTANA NA RAFIKI ALIYEMTAPELI M50
DADA WA KAZI AGEUKA MKE EP YA 45....TUJIFUNZE KITU HAPA MAMA SHADYA HALI NI TETE
Просмотров 44 тыс.2 месяца назад
DADA WA KAZI AGEUKA MKE EP YA 45....TUJIFUNZE KITU HAPA MAMA SHADYA HALI NI TETE
DADA WA KAZI AGEUKA MKE EP YA 44....MAMBO MATAMU WENGINE RAHAA WENGINE TAABU
Просмотров 44 тыс.2 месяца назад
DADA WA KAZI AGEUKA MKE EP YA 44....MAMBO MATAMU WENGINE RAHAA WENGINE TAABU
DADA WA KAZI AGEUKA MKE EP YA 43....HAKIKA DADA WA KAZI KAOLEWA
Просмотров 50 тыс.2 месяца назад
DADA WA KAZI AGEUKA MKE EP YA 43....HAKIKA DADA WA KAZI KAOLEWA
DADA WA KAZI AGEUKA MKE EP YA 42...KWA WENGINE VILIO KWA WENGINE VICHEKO
Просмотров 55 тыс.2 месяца назад
DADA WA KAZI AGEUKA MKE EP YA 42...KWA WENGINE VILIO KWA WENGINE VICHEKO
DADA WA KAZI AGEUKA MKE EP YA 41.... KARIBUNI UBWABWA JAMANI MAMBO NI MOTO 🔥🔥🔥
Просмотров 47 тыс.2 месяца назад
DADA WA KAZI AGEUKA MKE EP YA 41.... KARIBUNI UBWABWA JAMANI MAMBO NI MOTO 🔥🔥🔥
Jamani vip mbona mwendelezo hatuyoni
Polemage😂😂😂
Hongera kwa kaz nzr nawapenda sana❤❤❤❤
Mtuaoshie next ep
Inakuja
Hamuereweki hamreti toreo ringine mnatuzingua
Inakuja my dear
Nice job🎉🎉🎉🎉🎉🎉lkn pole kwa mage wetu 😢😢😢
Mashallaah ❤❤❤❤❤
Ndio mapenzi ya mamuz kwa mungu
muangalie mimi naongea alaf wew umekaa tu yani mim naongea alaf unanijibu
Mm nkiwa na WiFi kama hajra tunapigana daily pka anheshima staki upuzi
Hahaha 🤣🤣🤣 nimecheka BALAAA
Sasa mponji mi sirudii tena kukuambia hii ni Mara yamwisho.vaa miwani vizur ifike kwaskio ikae vizuri 😂😂😂😂😂😂
Hahaha 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Mimi sitaki ugomvi na wewe jmn
jaman mbana hamutoi EP sod
Wiki ijayo my dear
Ivi wazazi wengine mkoje kma Una uwezo si mtie mimba azae bac kma ww ni mungu
Mama mponji moto mmmmh 😮 ... Good job ❤❤❤❤❤
Mama Mponjiiii Mage ana mama yakeee Kama ni kuzaa Atazaaa tuuuu,Mungu sio Malongo
Mage leo umependeza mashallah
Mama mponji achakuingilia mipango ya Mungu Kuolewa Ni Sheria kuzaa Ni majaliwa 😢😢😢
Kazi nzuri sana mponji chukua maua yako🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Nimeyachukua my dear
Huko chumbani ulifata nini mwanga wewe
Ina mafunzo mengi congratulations 👏🎉
Aky mother-in-law n mawifi mh nikioma hivi eee heri nikae kwetu kuliko kuenda kutesekeka
Movin nzuri sana
Mama wavp wewe chumba chamwanao wa kiume waingia mpaka ndani hiyo yako kali sana au huo muda ulio olewa wewe likuwa hakuna kitchen part
Mama vyaa kijego
Pole mage wetu Kwa muda tu unapita
Lkn mama mponji kuzaa nimajaliwa ya Allah muwache mage haaaaaa mama mkwe jipe heshima
Daah huyu mama mkwe hafai kabisa
Mponji 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Wakwe wengine bwana
Kazi nzuri sana ila wazazi na ma wifi tusiingilie nyumba za watoto wetu
Kazi nzuri sana mponji wetu ❤❤❤❤mmmmh mage pole 😭😭 nimelia kiukweli mmmh kuzaa ni majaliwa kuolewa ni sheria mage pole aky 😭😭😭😭😭🤔🤔🙆♂️
Huyu mama wa hovyo kweliii
Jamani we mama mkwe nbuna unakiranga kuza majaaliwa mungua kipenda mage atazaa usuwaku mama utauwekawapi mage namponji nawapenda sanamauwayenu🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 iposiku munguatawafuta mazoziyenu mtapatatu mtoto
Amina. Tunashukuru sana
😂😂nilijuatu Baraka atakumbushia ubwabwa
Huyu ni mme wangu kabisa
Mponji umebabwa
Tam iyo
Nyangwende umekuja kumtesa na mage jaman😢
Aiseee hata kama ni mkwe siwezi kuvumilia upuuz huuu ntapiga mama wa mtu hatoamin macho yake
Daaah Mponji unajua kupenda kaka
Mage pole sana
Pole mage jaman kwa manyanyaso unayo pitia poleni akina mage wote mnao pitia changa moto
Pole sana mage mpka machozi yamenitoka
Nakila jambo linawakati wake
Jamani mama mkwe kiboko we haki inauma juu sio kwamba mage anapenda kutozaa mpaji nimungu jamani
Mage pole sana 🇧🇮
Ww mama umetafuta nini kwa chumba cha mwanao ulikuwa unatafuta nini ww ni mchawi
Maskini mage pole sana mponji umemwambia ukweli angekuwa Binti yake angefurahi kunyanyaswa hivyo ma mkwe ulijua hawapendani wangeoana aibu hiyo hongera mponji maoni ongeza muda
Duuh unatuzingua
Asante sana mponji mungu akubariki iwe fundisho kwa wengine